Rosti la Ndizi Nyama
Вставка
- Опубліковано 21 сер 2024
- Mahitaji:
Ndizi - 6
Nyama kadri upendavyo
Vitunguu Maji saizi ya kati - 2
Vitunguu Swaumu vipande 5-6 size kubwa
Tangawizi kiasi
Nyanya saizi ya Kati -2
Nazi - 1/2
Karoti - 1
Hoho kubwa -1/2
Follow us on Social Media
Instagram- @Meg_swahili
/ meg_swahili
*************
Facebook Group:Meg at Home - Mapishi
www.facebook.c...
*************
WhatsApp Group: Meg at Home - Mapishi
chat.whatsapp....
Nilijaribu jana kupika...Ikikua tamu sana hadi mtoto wangu kasema leo tena nipike....Asante sana
Asante sana dada kwa mafundisho yako hakika leo nimerost ndizi vizuri nimeijoy nimezoea tu mchemsho mungu akubariki tufundishe basi kurost kuku kienyeji
Asantee
Wonderful thank you so much the cleanliness of your kitchen made me take interest 🤗
The best way is boil meat if ready put ndizi in side and it keeps boiling. Then fry spice everything together and pour in side meat mixed with ndizi. This method u will see ndizi become soft compare to the one u put in spicy sauce ok . Am a Ugandan and matoke is our best food but we cook like as I show u .
Good.
Asante sana dada.Nimekuwa nikitafuta recipe ya ndizi mda mrefu
Asante sana kwa somo mpenzi,naomba uliza je kma natumia ndizi ngumu sana itafaa hvo kukata kubwa halaf pia meishiwa na nyama nataka tumia kuku badala yake mana huku nilipo ksho hakuna maduka ,So nikichemsha kuku pia niweke kma hyo nyama uvokaanga kabla ya ndizi ama
Kama ndizi Ni ngumu itabidi uzipike kwa muda mrefu au ukate nyembanyemba. Kuku pia itafaa kwa pishi hili.
Thankyou sweetie 😍😍love from Germany
Wow, Asante rafiki, nimeipenda hy.. Hongera kwa kazi nzuri na endelea kutupa darasa la mapishi kama hv.. 🥗👍🙏
kama na wewe ni mmoja walioacha kuangalia mapish na kucheki jiko like hapa😂😂👍
Hizo Ni Ndizi Aina gani
jiko lake ni zuri kweli,na kisauti chake hahaha!
Simba
😁😁😁😁😁
@Nyaki Mwache vipo ujatafuta tuu
my dia ur a life saver kwa mara ya kwanza nimepika ndizi zimelika mpaka watu kugombania aisee wanangu hawapendelei ndizi lakini juzi kwa kufata recipe yako wamekula mpaka nimeogopa thank u ubarikiwe
Nafurahi kusikia hivyo
asha Mahmoud
dada unajua kufundisha....! mungu akubariki..!
gabriel joseph 😉
Napenda...hii
Nimependa
gabr
👏👏👏👏👏👏
Dada nakupenda ile balaa you know how to teach us especially this generation endelea kutufundisha wasichana wenzako
Camilla Evaristo wapo wat wanafany kaz ilimlady apate pes lakn Dada nakukubali San unajuwa kumuelekez MTU mpk anaelewa ongera San
Camilla Evaristo nic
Hello it's Joel from Tanzania leaving in Denver Colorado I like the food I will like prepare for my visitors from Tennesse thank you 😊
Mh! Ungeongea Kiswahili tu kaka angu maana naona.......English bado!
....ila umeeleweka kiasi
@@SarahLibogomalove hahahahhaa....asante mama
@@judithmaghembe2530 congraturation
Hongera sana
Kwanza nakupa hongera kwa usafi jikon inapendeza sana,pili hongera kwa pishi zuri Mungu akubariki sana
Asante dada kwa mapishi mazuri ya matoke,chakula kinapendeza saaaana😘😘😘
Asante dia 😘😘😘😘
Yaani usafi na sauti imefanya chakula changu Leo kimekuwa kitamu shukrani sana mrembo
dah nimelipenda sana lost la ndizi dah na Mimi nitapika siku moja Mimi nimezoea kupika but hua nafel kitu kimoja tu kwasasa nishakipata asante
Shukran Dada,nimeipenda.Mungu akubariki
mhh bonge la ticha😍
Nice mapishi bomba kabisa mm nimependa n usaf wa jiko❤❤
waoooo jiko Safi mapishi ndo usisem panavutia sn Asante kwa mafunzo
uko vizuri dada yan mi sa hivi nimekuwa hatari kwenye mapishi asante kwa shule
emanuel Issaya ..c.
@@happynessjohnson6543 😁
Dada unjua kufundisha masahaallah
Nakupenda mashaallah
Sadam nakupenda
Thanks siz kupitia wewe nitajua mapishi mbalimbali but hili somo nimelipenda sana
Mashaallah Dada nimejifuza uko vizuri
DA aah hongera Sana natamni kujifunza zaidi na zaidi na we za kupata no
wooooooh jiko liko safi ww mwenyewe msafi chakula kizuri
wao . usafi tu uko vyema. thankyou
Hongera sana Rafiki, nimependa usafi wako wa jikoni, pamoja sanaaa!
Asanteee dha batsman
Mh asant
Nimei jaribu recipe hii mara tatu na leo mara ya nne kwasababu nimeipenda sana sana! Asante sana dada kwakui share recipe simple na healthy kama hii! Mi na bf wangu tumei enjoy sana huku canada. Umeni peleka mbali sana nilipo kuwa mdogo nyumbani mtwara. Asante dada ❤️
Nafurahi mmeenjoy keep watching Meg at Home 😍
asante kwa somo nzur la mapishi nimenda sana
👌👏👏👍 pishi zuri sana 😗😗🙌ntajaribu
duuh mie pia ntajaribu....unafunza vizuri sana
Asanteee sana dada kupitia ww nimepika chakula kitam sana leo
Asante Sana
Mapishi bora kweli hongera
I cooked it yesterday it was delicious like very delicious
Rosti ya ndizi nyamaa... fantastic....Mimi pia ni sheaf....wewe unapatikana wapi
Hongera sana unajua kufundisha vzr
MashaAllah dada wajua kufundisha
Hongera kwa mapishi ila hizo sufuria zako ni fire unanunua wapi nimezipenda
Asante kwa hii recipe dada nmejarbu imetokea vizuri sana
Asante dada nimependa mapishi yako nami ntajaribu
Wawoo I like it I know how to make it because am from kilimanjaro by the way congratulate your kitchen is so amazing and neet I 💘 it
Chakula chako chaumbea kama wewe
Tatizo unamakunyanzi
Good
inapendeza sana mnavyojitoa kuelekeza wengn ni kher mnavyozid kutoa elim kwa 2siojua ubarikiw Dada ye2
Napenda vile unapika bila kuweka artificial spices.love from kenya
Yes
I have enjoyed the teachings.
Thank you! Keep Watching
Waoo nimeipenda sana❤❤
Shukran dada Leo nimepka yan ad Mme wang amependa
Safi Sana👍
Waaoh,ndizi tamu sana
Asante sana nimejifunza
Hizo rosti tamu sana nijaribu kupika nakupenda sana unatufundisha mengi
nimependa dada the way ulivyopica i appreciate u
Thanks dear team Ugandan💋💋💋
Welcome dia 😍
Nzuri sana dada👌👍⭐️😋🙏🇬🇧From London
mm nimependa masufuria yako, na usafi wako jikoni ndo kitu cha msingi sana
wenoma sister unafata nikuoe
Nzur dear barkiwa sana
Nzur dear barkiwa sana
Ni aina gan ya ndz inakua nzur kwa roast ya ndz
Nimependa
Waaaooo Dada magie bila shaka wewe ni wa kwetu maana si kwa usafi huo si kwa mapishi hayo lzm Leo nikapike ndizi aisee
Shukran Dada Kwa Somo Zur
Vp Hyo Nyama Unaichemsha Kwanz Au
Nyama chemsha kwanza
acha kututoa mate ya dharura😂😂😂😂bt asnte kwa mafundisho yako nafurahi sana nimejifunza kitu kutoka kwako dear thenks
nimependa upishi wako dada lkn ungevaa kofia kichwani dada ndio vzr na sheria ya mapishi asante
ZAHARA MSAFIRI nyumbani kwako ww uwaunavaa hyo kofia? ach kuigza maisha 😏😏
@@benignisjohn6296 siigizi ila ndio uhalisia, tatizo la watu hatutaki kuambiwa ukweli, tukiambiwa tunachukia, sasa minywele hyo matimutimu kwa nn usivae kofia,we huoni kama nywele zinaweza ingia kwenye chakula,ndio kwangu navaa ikiwa nmefumua nywele,na ni kawaida yangu pia kuvaa kofia,
Woooow unanikosha dadaaa well done
Nimezipenda hatari asante my
hay... nimependa pishi lako dada japo wengine wanasema sio vizuri pilipili hoho ziive sana lakini i like that..... lazima nikapike na mie
Meipenda upo vizuri sana
Asante dada kwa mapishi mazuri.yaam
Shella Mpombo nimeipenda sana
Nimeipenda rosti lako, upo vzr mungu akubariki
napenda mapishi yako Dada,hongera
Nimependa Sana Hadi nimekumbuka home
Hongera San dada pishi zuri sana
we mwalim mzuri wa mapishi big up...
Thanks
Asante kwa upishi bora
Nmelipenda pishi lako Dada na arrangement yako pia na smartness ya jikoni
Mapishi ya ndizi kweli umepatia hongera
❤❤❤ nimekubali pishi hili
Asante sana dadangu umentamanisha
Asante meg at homr, nimependa sufuria lako
Hatar
Amejaribu shemeji yako,imekuwa mzuri
Nafurahi kusikia hivyo!
Umetisha Dadaangu big up sana....umetoa elimu kwa vitendo, safi sana
Asante nimeelewa ss joy nip dodoma
Asante
OK asante
very interesting I have learnt alot. at least now I can cook nice meal to my family.
Nimeipenda
Hunaelekeza vizuri sanaaa
Hongeraaa dad
Duuuu nice
nice sana
Mpishi sambamba na mapishi dah!
Nimepanda Mungu aiweke😋😋😋😋❤️
Hongera sana nimejifunza
Nimekupenda dada jmn
Nimependa sana mpishi yako 💯
Asante!
samahan dada umeolewa daaah mumeo anainjoy sana
napenda sana iyo pilau na ndiz asante nimepata kitu
MashaAllah kazi nzuri nimeipenda
Upon vizr dada
Ndizi umejua kuipika😘😘😘
Asante, Raha ya ndizi ipate mpishi 😘🥰
Masha allah umejitahid mamy
Safi sana
Asntenii saan kwa mafunz boraa😍😍
Hongera dadaangu unafanya vyema Sana
nami nimdau wamapishi
Unajua wengine wakifundusha wanaficha ficha pish Lao lkn huyu dada anaelekeza lkn pia unaon anachokifanya mwanz mwisho kama wengin mmeon kama mm gong like
Hii ndio yenyewe hasa uchagani❤
mapisha yako nimeyapenda San nami nataka kujifunza