Umri sio shida, kwani wakati anaoa hakujua kama bado anataka kuzunguka ale maisha? Wanaume wengi hawakui kuna wazee kila siku wanafumaniwa, nao hawajapitia! Ni tabia mbaya, mtu anapojitoa fahamu kutomjali mwenzie na familia yake,
Esco wolper hajawai kusema tumeachana alisema mimi na mme wangu hatuko sawa yan karudie interview. Juz ndo alitoa statement ya kuachana ila hakuwai sema officially wameachana . No noo ..tuwaombee warudiane ila hajawai sema hvyo alisema tu hatujo sawa basi
Bro, Kuna wanaume wame owa wakiwa na umri mdogo Sana, Na wame kaa kwenye ndoa zao Kwa muda mrefu Sana, kama ana Kati ya myaka 27 na 30, sii mdogo Tena, sema haji elewi Tu, he's not matured yet, you guys should stop saying that if a young man still under the age of 30 he still need to enjoy himself,... Instead advise Young man to be responsible, beautiful woman are born every day na hawezi ukawamaliza. Na ndomana muko watatu hapo na sizani kama Kuna mwenye ame owa Kati yenu wakati mna fanana tayari mumesha vuka hiyo age of 30. And it's not about Jacklin she's too older than the guy, no, jamaa hajakuwa mature, bado ana utoto mwingi Sana.

Umesema vema
Watu wanaacanaga na wako nawajukuu 😂😂nihatari...binadam wanabadilika balaa.
Mpo sahihi . They need to meet with one of the wiser father wapewe ushauri kiukweli ni couple nzuri pia ni wazaz
Acha Ushamba kuficha Imani yako ya Kikatoliki.... Vaa Rozari ushamba wa kusema kwamba ukivaa Rozari unabagua....umenikera saana. Ungekaa kimya tu.
Mbona povu
Hizo rozari hazina dhamani yoyote kwani siku hizi hata waislamu wengi wanazivaa, hasa celebrities dunia nzima
We isra, huo ni mtazamo wake bwana usichukie
Kwa hapo.naona kabisa wewe umeisaliti imani yako, nakushauri urudi kwa mungu wako, huko ni kukosa msimamo na unachokiamini
Umangaribi mwingi ndio chanzo cha ndoa zetu kuchacha.
Ni tabia mbaya tu hamna lolote
Familia ya mange kimambi tunaelewa😂😂😂 hata picha watu tuliziona za mke wa rich
Esco wolper hajawai kusema tumeachana alisema mimi na mme wangu hatuko sawa yan karudie interview. Juz ndo alitoa statement ya kuachana ila hakuwai sema officially wameachana . No noo ..tuwaombee warudiane ila hajawai sema hvyo alisema tu hatujo sawa basi
Ndo maana naikubali ndoa ya mkeka....Hizi ndoa za Bongo movie na Bongoflava, si ndoa bali ni kiki tu....
Ndoa za siku hizi ni mtihani maana hawa maarufu ndo hivyo hata hao ambao sio maarufu bado ndoa zao hazidumu
Ndoa za mkeka c za kufumaniwa au?
😂😂😂😂😂😂@@humbleshoalakuna bya afazi ndoa zote nintihani.
show ni ile ile haina jina KE
Ebu munamubebeleya aje ivo
Nivuzuri kuowa au kuolewa na type yako kuepusha matatizo yasiyo fixika
Watu wanabadilika hata awe wa aina yako, ni kumuomba tu Mungu
Iyo kweli watu wanabadilika kabisa...@@humbleshoal
Kuna ndoa na bongoNdoa
😂😂😂😂😂
Bro, Kuna wanaume wame owa wakiwa na umri mdogo Sana, Na wame kaa kwenye ndoa zao Kwa muda mrefu Sana, kama ana Kati ya myaka 27 na 30, sii mdogo Tena, sema haji elewi Tu, he's not matured yet, you guys should stop saying that if a young man still under the age of 30 he still need to enjoy himself,... Instead advise Young man to be responsible, beautiful woman are born every day na hawezi ukawamaliza. Na ndomana muko watatu hapo na sizani kama Kuna mwenye ame owa Kati yenu wakati mna fanana tayari mumesha vuka hiyo age of 30. And it's not about Jacklin she's too older than the guy, no, jamaa hajakuwa mature, bado ana utoto mwingi Sana.
Ashumu 😂😂
Unaifisha Imani yako ya Kanisa Katoliki kwa sababu tu shabiki wako kasema hapendi wewe uvae Rosali?. Jitafakari
Ni fikra zake jamani maana wengine hata huo msalaba hawahuamini, imani yako inatakiwa iwe ya kibinafsi pia.
😂😂😂😂😂
MME WAKO AKIENDA CHINE NDOA LAZMA ITAYUMBA NASKIA KULE NIPAMOTO JAMANI KUNA WOTOTO WAZURI HATARI PIA WANAKUHUDUMIA WEEE😮
We nae, tabia tu ya mtu iwe china, korea au hata angeenda mbinguni kama mtu mshenzi ni mshenzi tu
😂😂😂😂😂😂nihatari iyi dunia.@@humbleshoal
MME WAKO AKIENDA CHINE NDOA LAZMA ITAYUMBA NASKIA KULE NIPAMOTO JAMANI KUNA WOTOTO WAZURI HATARI PIA WANAKUHUDUMIA WEEE😮
😂😂😂😂😂😂