Tunashukuru Sana Kwa Support Ila Hatupendi pia kuchelewa maana kuwahi ndio mafanikio zaidi kwetu ila kuna vitu vipo nyuma ni vigumu kuelezea but tunawaomba mtusupport na mtutie moyo nasio kutulaumu tu🙏❤️
@@OfficialDubu_tz MFUMO WA SCRIPT MTU AKIMEZA MANENO INATAKIWA AONGEE KAMA AWAZIII MANENO LABDA ATUMIE MIFUMO YA SAUTI KUPANDA NAKUSHUKAA.......M SAIV NAFANYA SIRIAZ COMEDY ILA NKIFANYA SIRIAZ MTAONA
Allah awazidishie Inshallah kwa kazi nzuri Mashaallah 😊😊 Mwenyezi Mungu azidi kuwapa Nguvu na fikra za kila aina mtuongezeee Movie tamu tamu tuuu Mashaallah 🥰🥰❤❤❤Hongereni Team Dubu❤❤
Dubu kwa kila hatua nipo na wewe,,,,Allah akujaalie vivyo hivyo...ila nakuomba kitu kimoja ,,pole kwa kukuingilia kazi yako safi,,naomba huyo chief awe akienda sehemu ako na walinzi angalau wa3 kuonyesha ni mtu hatari na mwenye kuheshimika zaidi,,,Ahmed kutoka Kenya,,,shukrn 🙏🙏
Ipo poa!!
Pia ni furaha yenu kuona tunalalamabkuwa inchelewa, ila angalie msitupoteze mashabiki wenu.
Tunashukuru Sana Kwa Support Ila Hatupendi pia kuchelewa maana kuwahi ndio mafanikio zaidi kwetu ila kuna vitu vipo nyuma ni vigumu kuelezea but tunawaomba mtusupport na mtutie moyo nasio kutulaumu tu🙏❤️
@OfficialDubu_tz
Tupo pamoja ndo mana mara kadhaa tulijaribu kusachi part2 ila waap, Nimeelewa.
Phone number
@@OfficialDubu_tz Aisee Kaka kweli tunaisubiri Full Movie kwa hamu aisee maana hii hapa inatufanya tunakua na Kiuu, Love From Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Asante
Sungwi 🎉ni nzuri sana
Kila mtu anagombania cheo nakila mtu anamawazo mabaya ya uongozi nategea mwendekezo kazi nzuri sana hongeten 🎉❤
🙏❤️
Ongera bwana dubu kazi safi tunawapenda from burundi❤
❤️
Kama unakubali hii series gonga like,,,more love from 254
Kaka dubu napenda sana kazi zako nataman siku moja nikifanikiwa kufika dar nifanye kaz na wew
🤝
Hajira Kidoti na Dubu Mtakuwa wapenzi ...Naomba Jibu Dubu
Huyu jamaa Dubu namwaminia Sana kwa uigizaji wake❤❤❤😂
Napenda anavyoigiza nakua Bora zaid
Dubu hoyeeeeeeeeee
Mapinduzi Kwa cram na Steve mweusi safi sana Mungu awe nanyi team nzima
Awa waremboo wako waremboo Na figure tamuu sana kuliko hii junga bii skari
Kaka unachelewesha kazi sema kazi nzuri tupo pamoja
🙏🙏
Wewe unataka uletewe kazi mbio mbio ume lipa tax?
Mbona unachelewesha tena kaka , wakwanza from Burundi 🇧🇮
Hadi ndio nashindwa kuelewa 😂😂😂
Basi jibu jamni tujue tatizo lipo wapi sisi ma fans wako
Ndege wa moto,,,,kazi Safi,,,, 👍 mdomo koma🤗
Napenda sana movie zako kutoka 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
🙏
Dubu nakuamini sana chif asikutishi hujawahi kushindwa.from 🇧🇮
🥰
Kaka dubu kazi Nzur sana hongera
Ongera nime furaiyee
kazi iko vizuri🔥🔥 ila mnachelewesha sana mwisho mnapunguza morali wa mashabiki#from Kenya
Tim dubu mpo❤❤❤❤
Sonji amekaa vzr lkn ana shep kali
Mie sio wa kwanza ila nimejaribu kuwai asante sana dubu lkn usicheleweshe mno nazipenda sana movie zako
🥰
Dubu kazi nzuri sana sema huyo dada aliekutonya mke wako aliko namuelewa kinoma nipe connection 😂
kuna kiumbe wanamuita Sonji 🔥🔥🔥
Asante kaka kwakanzi nzuri. Mungu. Azidi kukuongoza. Ishallha na chamachako
🙏❤️
Ilo neno Chief ni neno geni kwetu mngemuita Mtemi tu
Nyaningwengwe nakupenda ukisema eti:alafu wewe🤣🤣🤣🤣
Umekuja bila gad ngoja nikugawie wastan bila idadi😂
Mko vizuri
Mungu akuondolee hizo changamoto zilizopo nyuma, ili tusonge mbele sambamba❤
Amiin Inshaallah ❤️
Pongezi kaka tamu
Big up bro mungu azidi kukupa kibali much love from Saudi Arabia ❤❤❤❤
❤️
Ila huyo mzee anapenda uchawa huyoooo
Nyie watu nawapongeza kwa kazi nzuri, mmefanya siku hizi mm ni mfuatiliaji mzuri wa muvi za nyumbani Tanzania hasa kazi zenu.
Hongereni sana
Tunashukuru sana 🙏
Uso wako umejaa bwibwi 😂😂😂😂😂
Kazi nzur kaka dubu
Kaz nzur dubu mungu akupe ubunifu zaid na afya njema tuenjoy pamoja na kujifunza ❤❤🎉🎉
Mnachelewesha mno
Nini mbaya na nyinyi watu wakubwa nyinyi😏badala mupongeze dubu kwa kazi nzuri mko hapa mnakimbilia likes unadhani mnalipwa😢😢
❤️
😂😂😂😂
👏👏👏👏Kaz nzur dubu❣️❣️
Uko sahihi kabisaaa kila mtu anataka like mm huwa cjui wanakazi gani nazo
Unajuaje labda like wanaenda kuziweka kwa sufuria na kuzipika😂😂😂😂😂😂😂😂
Duh so pw kaka huna kaz mbovu kaka sema umeipangilia vzr mmno tukupe maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢
🙏❤️
Wakwanza leo
Dubu kazi nzuri sana Mungu azidi kukuongeza kwenye kazi yako izidi kuwa imara 🤲big up brother dubu ww pamoja na team yako🎉🎉
Tunashukuru sana ❤️
Daha asee nime jitaidi kuisubilia adi nime toka kwenye wifi duh asee tukutane kesho apo dubu 😂😂😂😂😂😂
Mwanaume unakaa unagombea kiles c bora upakwe mafuta😂😂😂
kanumba mwingine nimempata leo hii pongezi kwako
Leten sehem ya pil move Kal sana
Jamani kazinzuri❤❤ ila mnacherewesha
Nakubali sana mzee
Jamani imeishia pazuri😊😊😊😊
Dubu kazi nzuri sanaaaa ijapokua unachelewa kutoa episode nyingine jitahidi kaka pia mda uko mfupi jameni hongera ❤❤❤ from Kenya
🤝🤝
Eeeeh Mdomo koma amekua mganga 😂😂😂
Waigizaji WanaDrama nyingi sana 😂😂😂😂
😂😂😂😂kwakipi ulichonacho we kibongee🎉🎉🎉
Mnaiga uongeaji kwa clam izo sio sanaaaa...yan kama sanaaa zamaredioni
Wanaongeaje kwa Clam?
@@OfficialDubu_tz MFUMO WA SCRIPT MTU AKIMEZA MANENO INATAKIWA AONGEE KAMA AWAZIII MANENO LABDA ATUMIE MIFUMO YA SAUTI KUPANDA NAKUSHUKAA.......M SAIV NAFANYA SIRIAZ COMEDY ILA NKIFANYA SIRIAZ MTAONA
Yani dubu unajua mpka unajua tena mashallah ❤
❤️
Dubu kazi nzur sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Safi sana Kazi nzuri 🔥🔥
Allah awazidishie Inshallah kwa kazi nzuri Mashaallah 😊😊 Mwenyezi Mungu azidi kuwapa Nguvu na fikra za kila aina mtuongezeee Movie tamu tamu tuuu Mashaallah 🥰🥰❤❤❤Hongereni Team Dubu❤❤
Tunashukuru ❤️
Kazi njuzi sana mungu awatie nguvu mzidi kutupa vitu vizuri kila siku tuko pamoja kaka💓💓
🙏
Haya jamani mie ni mwisho kutoka congo🇨🇩🇨🇩😂😂🎂
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Kazi nzuri sana napenda
Mtumishi Moto 😅😅😅 Unaupig mwingi
Mhhh alafu ww 😂😂😂😂
Piso kali,nikilla ok nikiamka fine😂😂😂😂😂😂😂😂.safi sana dubu mung akuongoze inshaallah
Amiin Inshaallah ❤️
Safi brother from kenya
Mnachelewa sana
Hongera kaka dubu🎉🎉🎉 pambaneni msikate tamaa kila kitu kitakua sawa na in shaa Allah changamoto Allah Ataziepusha...kazi ni nzuri❤❤❤
Tunashukuru sana ❤️
Dubu kiukwel unafanya kazi nzuri sana honger sna kaka
🙏
Ila dadake chifu banaaa,😂😂😂😂anajua sana,nimependa uigizaji wake😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇰🇪eti we huogopi, unaitaka yako 🤣🤣🤣🤣🤣,kali sana,🇰🇪
❤️
Nipe like kama umejua hii inaendana na cram vevo sneke boy ila mnacheresha alafu fup ila mmekuja kwa spidi🎉
Kazi safi bro we know what you go through to entertain us❤ Take your flowers 😊
🙏❤️
Kazi nzuri muwaishe Bas man
On time wacha nienjoy mwenyewe kaka kazi nzuri mno ❤❤🎉🎉🎉
❤️
Watu mafundi master
Kazi nzuri sana dubu wangu
🥰
Much Congratulations Dubu🎉🎉🎉🎉
🙏❤️
Mtumishi moto nkupenda 😂😂
❤️
Kazi njema dubu ❤❤
❤️
Nampenda uyo babu mfupi ananikosha 😂😂 eti unaona donge panda juu ukazibe😅😅
❤️
Nzuri mbaka inaboa jataidi msituchereweshee
Yaani pale patamu ndo yaisha....noma sana mzee Kikosi kiko imara sana kila mtu ako moto kivyake
🙏🙏
Nwapenda hajra na Dubu🥰❤️ kaz safi sana
🙏❤️
Tia bidii dubu kaz nzuri sana
🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤❤kazi zako ni nzuri sana ila kaka tuangushie mzg mapema maana unatuchelewesha sana
🙏
Chifu ana nyanyasa watu sana
WOW NILIKUWA NASUBIRIA KWA HAMU SANA PLZ USITUCHELEWESHEE NAPIA ASANTE KWA MUHENDEREZO❤
🙏🙏❤️❤️
Hahahahahaha we kambale ww
Dubu always u never disappoint me
🙏🤝
Nimechelewa ila nimefika❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Big up sana dubu ❤❤❤
❤️
Mozambique 🇲🇿 tunakufatilia mzee
❤❤kaz nzur love you from kanya to Qatar 🥰
Dubu kwa kila hatua nipo na wewe,,,,Allah akujaalie vivyo hivyo...ila nakuomba kitu kimoja ,,pole kwa kukuingilia kazi yako safi,,naomba huyo chief awe akienda sehemu ako na walinzi angalau wa3 kuonyesha ni mtu hatari na mwenye kuheshimika zaidi,,,Ahmed kutoka Kenya,,,shukrn 🙏🙏
Nitamu kweli❤❤❤🇰🇪🇰🇪
❤️
Hongera sana Dubu nakupenda sanaaaaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kwa kazi Yako nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
🥰🥰
@@OfficialDubu_tz napenda sana kazi zako uko jasiri aki mola akuzidishie🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🎉🎉🎉🎉
Kazi Safi 👍
Niliimis san jaman🎉🎉🎉 asante kaka dubu
❤️
❤️❤️❤️❤️❤️😜
Chifu wa machifu wa sungwi jaman we dubu wewe unabalaa ila huyu sonji nimemuelewa mashallah ijayo naomba sonji achukue nafac ya hajra alafu wewe😂😂😂😂😂
kitu og kabisa sema nyani ngwe ngwe noma
Waah mambo moto aise kaz safi sna nawamimia wadau
🙏
Like kwa pisi kali ya himaya 😂😂😂🤣🤣🤣chifu kapigwa kitu kizito mara paaaaaap🤣🤣🤣🤣🤣😍😍😍👏
🤣🤣🤣🤣🤣eti chuchu saa sita,we huogopi,unaitaka yako🤣🤣🤣
❤❤❤❤❤kazi nzuri dubu ❤❤❤❤
❤️