Ww Tena mabuti kila demu mzuri wallah ww una bahati mabuti mabuti nakupenda🌹washindwa kutogoza mwanamke watogozea wezio ww kweli mweh wallah Tena mabuti dubu nakupenda San kazi zako upo zizur ww Tena mabuti kampoza chifuu gani mdagaji tu hay poa nilala dubu nishamaliza kazi za warabu nikiamga nitaendela np na ww mwazo mwisho nisalimy San mabuti namab zangu hizo mwambay anicheka mwajuma mabuti
NAKUKARIBISHA KUTAZAMA SERIES YANGU MPYA🙏❤️
Aiseeee hîiii kaliii saàaaana nimeikubari mnooo
Much respect 🔥🔥 dubu tz
Pamoja sana kaka unaweza 🎉🎉🎉
Hapo pawa dubu tz
Ok brother,,we are happy .
Waooooo piga kelele kwa Kaka Dubu hanaga kazi mbovu kama unamkubali basi tujuwane🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Ndo tumeanza hivyo dube the best 💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
❤️
Uyu mwanaume munafki kwajifu nampendaga ungepata mwanaume odari❤️❤️❤️🌹🇧🇮
Afu wewe umeniumizia chifu wangu sijapenda😂😂😂😂😂
Likes Zangu from USA 🇺🇸 ❤
Kizuri kula na nduguyo nyangwengwe
Aujawahi kikosea movie nzuri sana ❤❤🎉🎉🙌🙌
🙏❤️
Tena sanaaa wallahi ❤ nzuriii
Kambaleee sem unainogesha movie kambale big up bro
🙏🥰
Sungwi nimekubali raha ya ngoma 🙌🙌🙌🇲🇿
Jamani Dubu kama dubu One love Huna baya ......My best actor ever ukiwa na Hajra sichoki kuzifwatilia Movie zenu hazikinaishi Mashaallah 🥰🥰🥰
🙏🥰
Hongera dubu tumeipokea wewe huna kitu kibaya na mimi siwez kukukosa nawapenda sana❤❤❤
❤️❤️
Kutoka Burundi Asate Sana Team Dubu ❤❤❤❤ Hongera Tena 🎉🎉🎉🎉
🙏❤️
Ninavyowapendeni❤😂😂😂asante sana kw kutuletea hii kwa hakika mnatuburudisha.....yaani nyie watu wamaana sana🤣🤣🤣❤️👏👏
weee dubuu weweee unahatari nitakupa sapoti mwanzobmwisho❤❤❤❤❤
🙏🥰🥰
Hata mimi
Dubu wakimbize nione like
Kuna mdada hpa akona, shape nzuri masha Allah
nakubali sana movie za dubu ..much love from kenya 🇰🇪🔥✊
🙏🙏
Kazi nzuri kaka jitahidi kuwahisha kazi
❤️
Nakubali nipeni liké basi?
Kaz nzur sana 🔥💥💥
🙏🙏
Dub hauch3lewish dio maan nakukubali
Saivi wabongo munajua kunifurahisha sana ongereni sana mungu awape nguvu
🙏🙏
Kali kabisa ila usicheleweshe next episode plzz
Hii ni kali sana nimeikubali ,hapo dubu anatakiwa awe na nguvu ya atar
😂😂😂 nyani kama nyani akaoje na yeye
Naenda sana movie zenu
Tumepelekwa kjjn na dubu🤲🤲😁😁tunasubili Kaz nzur iendelee
Kaka Nakubali Kama kawa Kama dawa 🙏👈
Nyaningwengwe wangu❤😂
Ww Tena mabuti kila demu mzuri wallah ww una bahati mabuti mabuti nakupenda🌹washindwa kutogoza mwanamke watogozea wezio ww kweli mweh wallah Tena mabuti dubu nakupenda San kazi zako upo zizur ww Tena mabuti kampoza chifuu gani mdagaji tu hay poa nilala dubu nishamaliza kazi za warabu nikiamga nitaendela np na ww mwazo mwisho nisalimy San mabuti namab zangu hizo mwambay anicheka mwajuma mabuti
Hatimae Karejea Dubu Tz Nakukubal Mzee
💪
Dubu uo mzigo wa uyo demu balaaaaaaa😅😅😅😅😅
❤❤🎉❤ wawoo kazi zuli sana hongera
🙏
Kaz nzuri love from Tokyo Japan🎉
🤣🤣
😂😂😅🏃🏽♂️🙌🏾
Iyi ni moto 🔥🔥🔥 wa kuoteya mbali wazeee
🙏
Mbona kama nimeelewa kazi ,inavutia maua🎉🎉 yenu wote kwa pamoja
Hongereni sana Dubu nawafwata toka DRCongo
🙏
uko vzr kaka dubu naomba like zng
Kazi safi dubu mungu akuzidishie akili n maarifa ❤❤❤
Amiin ❤️
Mbwa chief kapigwa moja bila😅😅😅😅chaliiiii
Tupo pamoja broh dubu kukusapoti kazi ya mikono yako 👊🏾
💪
Wallah hii kali sana🔥👏👏👏
🙏🙏
Naipenda kazi yako dubu huwa sitamani iishe hongera sanaaaa🎉🎉🎉
🙏🥰
Aloooh unyama san 👊❤️big up
Dubu from Kenya nimependa kaka
nakubali kazi yenu wakuu🙏🙏🙏
🙏
Safi Sana kaka dubu upo juu kaka big up sana
🙏
Wakwanza naomba like zng
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 kazi nzuri tuna wapenda mashabiki wenu wa india
🥰
Nzur san hii movee
Waooo Yani munatuleretea vitu vizuri
🙏🙏
Safi sana kazoe uyo chifu😂😂
Duh nzuri sana hii
Ma Gee nyani ngwengwe 😂😂😂 nakubari sana
From Burundi nipo hapa
❤️
Dubu nmekupenda aky ulivomnyoosha chief una Kaz mbovu dubu🤝
🙏❤️
eti wananita mwajuma😂😂😂
Dubu hongera kwa bonge la move upo poa kaka
🙏🙏
Oyaa broh uwakika tunaielewa kazir iko pw 🙏🙏
Musicheleweshe igizo tamu sana
Mashaallah kakangu uko poa
Kazi nzuri sana kaka dubu unajua
🙏
Likes zangu kutoka kenya 🇰🇪 😍
🥰
@@OfficialDubu_tzhongera sanaa,,,bro wanguu
Bro na kukubali muko vizuli sana 💥💥💥💥💥
Jamani mimi wa 29 lik hata tano
Mashallah team dubu mko vizuri Allah awajalie kwa vipaji vyenu inshaallah ❤
Amiin Inshaallah ❤️
Kazi njema Dubu👏
🤝🤝
nakukubali Dubu hujawai kuangusha kazi yako
❤️
Dubu is back why unakua late mkuu. Sokoni wateja NI wengi ubunifu tuu. Yote kwa yote asante na Mungu awatilie baraka kazi za mikono yenu🤲🤲🤲🤲🤲🙏
🤲🤲🥰
Hajra kazi nzuri sana am proud of u
🥰🙏
😁😁😁🤣Kambare mwajumwa weye nipasuwa kicwa
Jaman hii season ni traaaaam mpaka basi ❤
❤️
Ila dubu sina neno kaka zaid ya kukupa hongera sana yaan umetisha 🎉🎉🎉🎉🎉taaam kinoma
🙏🙏
Wow udugu wangu dubu hongeren simulizi n tamu sana huu mwanzo tu tupo pamoja wanetu🙌🏻🙌🏻❤😂😂😂
🙏🥰
Keep going...ni nzur
Namupenda nyani gwegwe ana juwa kuigiza sana 🎉
Alaf wewe dubu 😂😂 umeniumizia chifu wangu sijapenda
Mwanangu nimeona no 1 hongera
Asante Mama angu ❤️
Kwakweli Ichi kijiji Balaa😢
Woow kaz sat sna nawamimia next
Congratulations my brother Dubu good job I like it 🇹🇿🇬🇧
🥰
@@OfficialDubu_tz more love bro 🤗
Dubu unafanya kazi nzuri sana ,Mungu akuzidishie baraka
Tunashukuru kaka uko vizuri mungu atakubariki
Amiin ❤️
Hahaha naomba nikamuonye na mm jmn. ❤❤❤❤
Jamaa anaboa huyu kuekti km mwanamke anaharibu movie
Uyu nae sa mtu yuwatia udambuudambu ati anaboa tulia uko
Nakupenda dubu na timu yako
❤️
Nyani gwegwe nakumiss hatari
Daah nimeipenda sanaaaah, Dubu saf sana
🙏
Sungwi Kali🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥,,, inakubalika
Hamuwezagi kuwa seriously dubu members 😂😂😂😂
Wow good job love ❤😊
🤲🥰
Ur the best kaka kwenye hizi movie❤❤
🙏❤️
Kambar mwajuma aujaza ile mimba😁😁😁🤣
mamamaaa bonge la dude hongera sana my best actor Dubu na team yako huna baya🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🙏❤️❤️
Tuliwamisi sana karibuni tena❤❤❤❤❤❤❤❤❤.mkumba umepigaje hapo kw usafiri😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
❤️
Aise dubu umetisha sana mkuu big congratulations
🙏
Kaza nzur tumeanza vzr naona leta mwendelezo kwa wakati
Nakubali kazi zenu nawapenda bure❤❤
❤️
Wow chumba ana tako zuri
Jamani nimecheka Daaah 😂😂😂😂😂😂mnanikosha walls