PROBLEM [3]

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 173

  • @RebeccaEdwadrEdwadr
    @RebeccaEdwadrEdwadr 7 місяців тому +18

    Mh hili ni funzo nzuri sana kwa wale wanaofikilia kupitia shotikani ili watoboe maisha jamani tifanye kazi hizi shotikati balaa tupu

    • @AshaJuma-dz6hq
      @AshaJuma-dz6hq Місяць тому

      Kweli kabsa hzi shotcut zinaponza sana watu😢

  • @aprincemsafiitz9915
    @aprincemsafiitz9915 7 місяців тому +6

    Fanya mwendelezo chap mkuu umetisha sana move zako sichokagi kuangalia 🔥✨🌟🌟⭐💫

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 7 місяців тому +10

    Uhai tulio nao,uzima na afya ni Mungu katupa,twafaa kumshkuru na kua na imani kwamba tukimuomba atatujibu#tusiwe na tamaa za utajiri na mali zisizo halali...kazi nzuri chado na team yako🎉🎉🎉 inatufunza❤

  • @SathyaSanchez-y1d
    @SathyaSanchez-y1d 7 місяців тому +10

    Hii movie Iko poa sana heri nikuwe maskini lakini haya mm siyawezi kabisa

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 4 місяці тому +3

    Tujifunze kuruzika na hali zetu mungu alizotujaaliaa nazo uzima na punzi tu zinatosha nakumshukur mungu🙏🙏🤲🤲😘😘❤️❤️

  • @MajorZimba-mg4ci
    @MajorZimba-mg4ci 7 місяців тому +3

    Kkkk ulishani watching from Zambia kasumbalesa I'm enjoying it

  • @MkasyswallehsaidSwalleh
    @MkasyswallehsaidSwalleh 7 місяців тому +3

    Chado kma chado movie imenyooka mtu wngu much love from saudi Arabia ❤❤❤

  • @ZalhaMustapha-yj4os
    @ZalhaMustapha-yj4os 6 місяців тому +2

    Co kwa funzo hili chado yan umeweza mpk umeweza tena❤❤🎉🎉🌹🌹

  • @DamarisDammie
    @DamarisDammie 7 місяців тому +14

    Wakwanza nimewai from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @joanitainancioestevao3987
    @joanitainancioestevao3987 7 місяців тому +6

    Nawapenda sana kazi m'zuri 💪

  • @WixBoy-lc2esmrvumiliaSKMUSIC
    @WixBoy-lc2esmrvumiliaSKMUSIC 7 місяців тому +4

    Kazi mzuli sana kaka chado masta nakubali

  • @charlesmgina844
    @charlesmgina844 7 місяців тому +43

    Wa kwanza jaman,, naomba like hata kumi t😢😢🎉

    • @NextLevel-fg5ph
      @NextLevel-fg5ph 5 місяців тому +1

      Nime like Ila hizi like uwa Zina manufaa gani mbona mnaziomba sana?

  • @SalvanusKakalel
    @SalvanusKakalel 3 місяці тому +1

    💥💥💥freshiii iko safii nkiwa hapa kenya kanairo

  • @TitusKurui
    @TitusKurui 7 місяців тому +3

    Kazi nzuri mkuu endelea kututolea vitu moto moto kama hizi

  • @InnocentMfuranzima
    @InnocentMfuranzima 7 місяців тому +3

    Chado master tunapenda kazi yenu from burundi 🇧🇮

  • @SusanJulius-cu8xp4vx4m
    @SusanJulius-cu8xp4vx4m 7 місяців тому +20

    Chado kaomoka lakini kuomoka huko si halal, naomba likes kutoka Kenya but nko oman 🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @HassanAlly-k2p
    @HassanAlly-k2p 7 місяців тому +2

    Kazi nzuri sana usije tuchanganya endelea na mwendo wako

  • @ZakyaBakari
    @ZakyaBakari 7 місяців тому +3

    Ii nyumba ndoile ya gozi kwenye moyo wa chuma ❤

  • @rainohazard2453
    @rainohazard2453 7 місяців тому +2

    Noma sana unatakiwa tuangalie movie km hii aikupi ucngz

  • @JayHoods-c1j
    @JayHoods-c1j 7 місяців тому +7

    Kofii moja kwa chado

  • @athumanvidzongaovinzo1365
    @athumanvidzongaovinzo1365 7 місяців тому +2

    Kazi nzuri endelea hivyo usifanye movie za mapenzi,na kama utafanya za mapenzi basi upukeni sana mambo ya kuamsha hisia.

  • @paulfrancis7380
    @paulfrancis7380 7 місяців тому +4

    Nimeipenda hii kali muendelezo

  • @SamuelAloo-qv3kg
    @SamuelAloo-qv3kg 6 місяців тому +3

    Nakupenda chado huku kenya 🇰🇪

  • @BothainaBothaina-k6c
    @BothainaBothaina-k6c 7 місяців тому +3

    Jamani mbona isiendelee saidi ya hapo anyways congratulation 🎉🎉❤

  • @AshaMbeyu
    @AshaMbeyu 7 місяців тому +6

    Hongera chado kazi safi sana wale wanao taka like wanitafute ninaduka nauza 😂

  • @KadirKhan-nx1oz
    @KadirKhan-nx1oz 7 місяців тому +5

    Hiii nyimbo siwez kuipata et

  • @JefahOfficially
    @JefahOfficially 7 місяців тому +2

    Km unamini Chad o masta noma kaaba kmy 😂😂😂😂😂😂

  • @shidashida6060
    @shidashida6060 7 місяців тому +5

    Chado haya mambo hutaweza,mbona utakufa kwa mshtuko 😅😅😅😅

    • @RayaSafari
      @RayaSafari 3 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂 hata wewe umeonaeee

  • @JescaMlelwa
    @JescaMlelwa 7 місяців тому +3

    Kaz nzur sana chado

  • @VailethFrancis-ew6ro
    @VailethFrancis-ew6ro 7 місяців тому +2

    Kaz saf kabisa ❤❤❤❤ chando

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he 7 місяців тому +3

    Kazi nzuri

  • @halemamoon1782
    @halemamoon1782 7 місяців тому +4

    Heri uteseke kutafuta kwa halali kulko shot cut yenye mabalaa km yote

  • @aprincemsafiitz9915
    @aprincemsafiitz9915 7 місяців тому +3

    Mwendelezo lini mkuu

  • @VannDizzoh
    @VannDizzoh 15 днів тому

    Nakubal kazi zako chado mungu akuongezee pale ulipotoa

  • @ScoviaRamadhan
    @ScoviaRamadhan Місяць тому

    Tuache tamaa tufanye kazi na tulidhike na tupacho big up chado mastar unatufundisha kukubaliana na hali tulizonazo

  • @fatimafl8238
    @fatimafl8238 4 місяці тому

    Yan noma sana napenda sana hii tena ❤❤❤❤

  • @RehemaSalim-d3g
    @RehemaSalim-d3g 7 місяців тому +1

    Yani mi nacheka tu😂😂😂😂😂🎉😂😂 chadoo hivyo unavyoshtuka shtuka nd wanichekesha mmi,ila hongera san chadoo🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @gracekayumba-z9l
    @gracekayumba-z9l 7 місяців тому +3

    Napenda unavowahi kule TikTok yule mwehu anasema upumzike mwezi alafu tukae n stress

  • @RahmaMutesi-s4e
    @RahmaMutesi-s4e 9 днів тому

    Problème is thipg 🥂Mungu Abariki sote tuna angalia huu movie 🎥 Amiiiina ❤🙏

  • @JadanHaruna-n7p
    @JadanHaruna-n7p 7 місяців тому

    Ahaaaaaa😂😂😂 chado unachekesha kweli utaelewa2 na ngadaya wako ngadayaaaaaa atali navo kuambia

  • @JaffarIliasy
    @JaffarIliasy 7 місяців тому +2

    Nimelala huku huku mauwa yngu 🎉🎉😂😂😂

  • @GilberthRajab
    @GilberthRajab 7 місяців тому +15

    TUJUANE HAPA WANGAPI TUNAE FUATILIA MOVIE HIi YAAN TEAM CHADO##

  • @biashahassan1232
    @biashahassan1232 3 місяці тому

    Ulivyombuli bonge Kwa mission sai umepatikana chado😂😂😂❤

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 4 місяці тому

    Chado unajifanyaja muhuni ila apa umekutana na wauni so watu😅😅😅😅😅.clam,kai,chado,mnajua sana❤❤❤❤❤❤

  • @ZainababdillahAbdillah
    @ZainababdillahAbdillah 7 місяців тому +2

    Ulishaniii mdalaa nilibwinooo😂😂😂

  • @mariamuKilongola-ch6io
    @mariamuKilongola-ch6io 7 місяців тому +2

    Chado ukovizuli napenda movezako kiukweli unajuwa🎉🎉

  • @FredyAlon
    @FredyAlon 4 місяці тому

    ❤❤penda sana, good job

  • @Clever_tz
    @Clever_tz 7 місяців тому

    Chado hii series ni kali san❤❤❤wew ni bonge moja fundi mzeee💪💪

  • @AliSururu-lm7fp
    @AliSururu-lm7fp 7 місяців тому +1

    Nakubali mzee Chado

  • @HamisSauloni-p3i
    @HamisSauloni-p3i Місяць тому

    ❤❤❤❤❤❤mwamba anajua apewe maua yake

  • @Malikia-s2k
    @Malikia-s2k 4 місяці тому

    Chado mi nacheka ukisema tena😂😂😂😂

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 4 місяці тому

    Kunywa kwanza utulie na umsikilize bosi wako si uliutaka utajiri bwana 😂😂

  • @jey7274
    @jey7274 5 місяців тому

    Kka akili kubwa sana iyo waitaji maua🎉🎉

  • @ShamsaGao-nn1ge
    @ShamsaGao-nn1ge 7 місяців тому +2

    Kali saaan ila mnachelewesha sn

  • @rizikisam6481
    @rizikisam6481 7 місяців тому +1

    🥲🥲🥲🥲🥲 tamthilia za chado uwa zinamafunzo sana sio kama hizi zingne unaangalia ujifunzi chochote

  • @IshmaelOkongo
    @IshmaelOkongo 7 місяців тому +1

    chado your are fire 🔥🔥🔥 like clam vevo

  • @FelistaHassani
    @FelistaHassani 7 місяців тому +1

    Chado master
    bhna toa ata vipande vitatu vitatu watu tunachoka kusubili

  • @PamelaGawaza
    @PamelaGawaza 5 днів тому

    Hakuna msaada mwepesi chini ya jua aisee hii kweli PROBLEM

  • @GraceJuma-b9b
    @GraceJuma-b9b Місяць тому

    Jaman chado huy mlinz wak anaitw nan mbn kam namjua

  • @rogynee8135
    @rogynee8135 7 місяців тому +1

    Dah maisha haya bwan unapata Mali lakin huna raha nazo

  • @eshamohd7268
    @eshamohd7268 3 місяці тому

    Heri niuze nyanya😂😂 huu utajiri wa hivi hapana

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 4 місяці тому

    Wanaume jifunzeni jmn acheni tamaa Bora jasho lako ridhika n kipato chako😢

  • @AllyDedr
    @AllyDedr 3 місяці тому

    Chado kazi nzur San hiii🎉🎉🎉

  • @PamelaGawaza
    @PamelaGawaza 5 днів тому

    Wewehhh kubabako chado una madini kichwani? Uwiiiiiiii mimi sipendi michezo ya kwetu tz lakini chado masta wanipa fayaaà

  • @SkeetoSsaa
    @SkeetoSsaa 3 місяці тому

    😂😂😂😂😂nyumba yako alafu unaiyogopa

  • @AshaJuma-dz6hq
    @AshaJuma-dz6hq Місяць тому

    Kweli hii problem mmmh😅😅😅

  • @WaziriKibado
    @WaziriKibado 3 місяці тому

    Ngadaya umependeza sana jaman😅😅😅😅😅

  • @jacklinemwikali5045lina
    @jacklinemwikali5045lina 7 місяців тому

    Kazi safi watu wajifunze kula Jason lao namba likes ❤❤❤❤❤❤

  • @PaulCecyl-jz4mr
    @PaulCecyl-jz4mr 7 місяців тому

    Ulishani buino Luga yangu iyo🥰😂😂😂😂

  • @MrsDariya-y1j
    @MrsDariya-y1j 7 місяців тому

    Chado mambo yako ni motoooo🔥🔥🔥

  • @saluminkigaile6878
    @saluminkigaile6878 7 місяців тому +1

    Unajua sana kamanda

  • @sergenshimirimana-wf2uk
    @sergenshimirimana-wf2uk 7 місяців тому

    Kazi nzuli 🎉🎉🎉🎉mauwa Yako chado

  • @SmilingEquestrianHelmet-mc7lk
    @SmilingEquestrianHelmet-mc7lk 7 місяців тому +3

    Wapi za utajiri😂😂😂😂

  • @RachelJulius-fh9nl
    @RachelJulius-fh9nl 7 місяців тому

    Chado nampendea hapa tu hachelewi❤❤❤❤

  • @MwaishambaKipanga
    @MwaishambaKipanga 4 місяці тому

    Ngadaya nguo zimekupendeza saf chado

  • @AbelFrancis-ww7cb
    @AbelFrancis-ww7cb 7 місяців тому

    Chado unaupiga mwingi brother 🎉🎉🎉🎉

  • @ZAKARIATV-of4cx
    @ZAKARIATV-of4cx 7 місяців тому +1

    Jamani chado amaleta chuma kabisa

  • @MashaPromise
    @MashaPromise 7 місяців тому +1

    Nakukubali sana bro

  • @MsanoQuiz
    @MsanoQuiz 3 місяці тому

    Nakubali chado master

  • @erickgeorge6780
    @erickgeorge6780 7 місяців тому +2

    Nipeni like zangu na mm wa kwanza

  • @AshaSaidmrish
    @AshaSaidmrish 3 місяці тому

    Nyie short cut ngumuuuuu😱😱😱

  • @DollaIbrahimDollaIbrahim-ro7yq
    @DollaIbrahimDollaIbrahim-ro7yq 3 місяці тому

    Hizo like mmeona ni ishu sana endeeni kizitafuta mtazipata😂😂😂

  • @WardaSalehe
    @WardaSalehe 2 місяці тому

    Wangapi wamemsikia chado aksema tenaa😅😅

  • @ChristopherLucky-m5h
    @ChristopherLucky-m5h 7 місяців тому

    Much love from DRC 🇨🇩🇨🇩🇿🇦

  • @FatumaAlmas
    @FatumaAlmas 4 місяці тому +1

    Kunywa maji 😂

  • @aprincemsafiitz9915
    @aprincemsafiitz9915 7 місяців тому +1

    Nakubali jomba🎉

  • @NancyElianz
    @NancyElianz 7 місяців тому

    Nimecheka kweli jamn

  • @saidiabdalahshabani941
    @saidiabdalahshabani941 7 місяців тому

    Chado master acha ubishii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SusanBilali
    @SusanBilali 7 місяців тому

    Ao walinzi wanted kua wanavaa kaniki kiganga zaidi.....chado ange muelewa kwa haraka

  • @abdallahassan6378
    @abdallahassan6378 7 місяців тому

    KZ nzr sn 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @FATMARAHMA12
    @FATMARAHMA12 4 місяці тому

    Zawadi tena afazali nife maskini😢

  • @DianaMkembelwa
    @DianaMkembelwa 7 місяців тому

    15 sawa boc 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AzizaJuma-p7x
    @AzizaJuma-p7x 7 місяців тому

    Nzr sanaa

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 7 місяців тому

    😂😂😂😂utajiri wa kishirikina mungu zniepushe nao etiwenjo boss lakini utafwata mimi ninaco kuambiya😢 niatari kwakweli pole sana chado itakua ngumu😂😂😂😂

  • @Mr.kigoma
    @Mr.kigoma 7 місяців тому

    Hii kweli problem❤

  • @Ramskany.
    @Ramskany. 7 місяців тому

    Apo nani boss mbn kama utumwa

  • @jameskilasa759
    @jameskilasa759 7 місяців тому +1

    Eti ulishani si kizambia hiki jaman

  • @Rocky-pk4ck
    @Rocky-pk4ck 7 місяців тому

    Kazi nzur. nafatilia nikiwa PRC

  • @LuckyHans-fn5me
    @LuckyHans-fn5me 4 місяці тому

    👍👍👍🥰🥰

  • @kabweterezia4541
    @kabweterezia4541 4 місяці тому

    🔥🔥🔥