Na kunao wanaolelewa na wakafundisha mazuri yote lakini wakatokea na mabaya yote. Kwani tarbia moja wanapewa na wakatoka tofauti.... Allah yistur...yaa Rabb
Asante Kwa mawaidha mazuri Je kama m huyo mume hataki kutimiza majukumu yake,baada ya kuwa amenioa nikiwa Ni me talakiwa nifanyeje nami Ni Mwanamke nisaidir Sheikh Nina Mtihani hata najuta kuolewa Na mume huyu.
Ameeen
Jazakumullah kheir
Na kunao wanaolelewa na wakafundisha mazuri yote lakini wakatokea na mabaya yote. Kwani tarbia moja wanapewa na wakatoka tofauti.... Allah yistur...yaa Rabb
Allah akutunze uzidi kutufunza
Shukran skh.. mawaidha mazuri ala kuli haal
Mausia mema mwalim
Allah Akuzidishie Kheri
Maashaallah
Masha'Allah
Asante Kwa mawaidha mazuri Je kama m huyo mume hataki kutimiza majukumu yake,baada ya kuwa amenioa nikiwa Ni me talakiwa nifanyeje nami Ni Mwanamke nisaidir Sheikh Nina Mtihani hata najuta kuolewa Na mume huyu.
Usijute mshitakie Allah atafanya wepesi insha'Allah 🙏