PART2:KIJANA ALIEROGWA NA WACHAWI ILI WAMLE NYAMA/NILIMZIKA NIKAMKUTA YUPO HAI SEHEMU NYINGINE/UCHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 90

  • @egospeltz9486
    @egospeltz9486 4 роки тому +5

    Life is spiritual, mambo yanaanziaga rohoni ndio yanakuja mwilini, inatupasa kumuomba Mungu bila kukoma.

  • @venahsithole6463
    @venahsithole6463 4 роки тому +1

    Sharobaro umependeza hebu njoo huku nikuone vizuri

  • @fredichaki4868
    @fredichaki4868 4 роки тому +2

    Wa mwisho leoooo, Unajua kupanglia nguo davista mbaka kacheka 🤣🤣🤣

  • @eshalibaba1195
    @eshalibaba1195 4 роки тому +1

    😀😀😀😀anajua kuulamba

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 4 роки тому +2

    Hahaha jaman huyo jamaa apo kimwanza mwanza ndiyo kanyuka pamba nn.

  • @kulthumsaif8996
    @kulthumsaif8996 4 роки тому

    Uko vizuri sharo wa mwanza raha Zaidi nimekupenda kua una muhusisha mama anae kua karibu NA mama yuko karibu NA mungu

  • @ruthjohn4317
    @ruthjohn4317 4 роки тому

    Napendaga sana kaka yang unavyo cheeka...Davistar

  • @mariamripiti2137
    @mariamripiti2137 4 роки тому

    Aisee

  • @emmanelly6864
    @emmanelly6864 4 роки тому

    Taarifa na zimfikie ......

  • @mimsbaibe6mimsgul737
    @mimsbaibe6mimsgul737 4 роки тому

    Pole kwa masaibu back to the sender

  • @rosecruiz4348
    @rosecruiz4348 4 роки тому +1

    Hivyo unavyo ongea ina kaa ni kweli cz hata mimi mahali nafanya kazi boss wangu alikua ame nikasirikia sana lakini kuna siku huyo boss ali nisifia sana aka nambia nime pendeza sana baci usiku huo huo nili muota boss wangu nafanya mapenzi na yeye baci nilipo amka nili shangaa yani boss alikua na furaha sana hasira kuninunia kote kukaisha yani akawa ana ni salimia ana utani na mimi yani nilijiuliza maswali bila majibu hivi vitu kweli viko tu fanyeje jameni

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 4 роки тому +2

    Mmependeza nyote Masha Allah 😆

  • @jamilaally3172
    @jamilaally3172 4 роки тому

    Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up

  • @AbdulAbdul-pr9qe
    @AbdulAbdul-pr9qe 4 роки тому +2

    anakupa hadhi 😂😂😂😂 Davista

  • @jasminegabriel4247
    @jasminegabriel4247 4 роки тому +1

    Jamaa ana ongea kama masanja mkanda mizaji

  • @tatukizunga1191
    @tatukizunga1191 4 роки тому

    Love u 💕💕tavista mata

  • @bintimrope
    @bintimrope 4 роки тому +1

    Mmh hao ndio wanadamu nifuraha kwao kuona mwenzao anateseka

  • @salumbunga240
    @salumbunga240 4 роки тому

    Davistar kijan wako hp mtu mwenye utu wang respect 👊

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 4 роки тому

    Huyo mbibi napata fresh tuu ,,,siyule mamamshika hahaha mbibi nouma Sana huyo km bi.mwenda ivi

  • @lilianochieng4347
    @lilianochieng4347 4 роки тому

    Mambo yakiroho ni fiche na sio wote wana neema yakuvifamu,soma neno sana, omba na utakatifu.majini hayatakufikia.

  • @livingwaterchurchmbulukahama
    @livingwaterchurchmbulukahama 4 роки тому

    Hatari sana

  • @OmanOman-ik9sp
    @OmanOman-ik9sp 4 роки тому

    Mama mchawi huyo alikuwa anakujia usiku kujilia vyake😂😂😂😂😂

  • @hamisikitwana7957
    @hamisikitwana7957 4 роки тому

    Mbona ujamaliza stories hii

  • @aishabeka5562
    @aishabeka5562 4 роки тому

    Hapo ilipoishia ndo patam picha ndo linaanza sasa..Yule mama akashikwa hahaha Kama nawaona watu walivokuwa na shauku ya kujua mwendelezo

  • @SimonEdward-kj3ez
    @SimonEdward-kj3ez 4 роки тому

    Malizia hii mzee

  • @griezmannmhalaka4338
    @griezmannmhalaka4338 4 роки тому

    Davista unapenda sna habari ziwafikie 😀😀😀😀

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 роки тому

    Wachaw walikuwa wanakupiga vilungu usiku kama jela, lungu lunguleee pole sana kabaisaaa

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 2 роки тому

    Kweli umeamwa kuzitowa na sisi tuko na wewe daima

  • @violinenyakara5028
    @violinenyakara5028 4 роки тому

    Mshafika

  • @bahatiabdillah5307
    @bahatiabdillah5307 4 роки тому

    Yes wa4

  • @deelissa2746
    @deelissa2746 4 роки тому +1

    Nimecheka davistar anavyompamba mwenzie😂

  • @latifahissa8581
    @latifahissa8581 4 роки тому

    👂👀👍

  • @yoldayim4492
    @yoldayim4492 4 роки тому

    Davista story iendelee basi .....baada ya yule mama kushikwa nini kiliendelea......nimechoka kuchungulia.

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому

    Kumbe huyo mama wamove yasaladn kumbe yuko maeneo hayo move chonjo tuuuusanaaaa

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 4 роки тому

    Mama mshirika sura ngumu ivi

  • @abelmange5430
    @abelmange5430 4 роки тому

    Yanapogomaa 😂😂 Kisukuma kwioooo 🐓

  • @abdullahrashed4817
    @abdullahrashed4817 4 роки тому

    9 bora

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому

    Naona huwa nikweli mtu ukiwa unamuotaa jua mxuri wako ama mubaya wako pole sana mguu umeekaandani yabarafu ndoulale aisee kama uko gazi vile barafu yenyewe baridi ati ndounapata usingixi kweli aliekurogaa ako tuu hajafaa

  • @ashasiri2720
    @ashasiri2720 4 роки тому

    Sharo baro jamani

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 роки тому

    Aisee nimekaa mwanza Jilan na hapo, bugarika watu wengi wanasumbuliwa na tego za dizaini hyo ndo zinavuma za kukulemaza Miguu na kushindwa kutembea

  • @eyanlenjorin4566
    @eyanlenjorin4566 4 роки тому

    Yule mama akawa ameshikwa.,.............

  • @swaumujuma6333
    @swaumujuma6333 4 роки тому

    Mtihani sana kwakweli ☹☹

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 4 роки тому

    Duuuhhhhh mzigo umeshwa kumbe

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 роки тому +1

    Hii story inatufunza sana ukiichunguza kwa ndani

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 роки тому

      Inatufunza mengi na kuwafahamu binadamu jinsi walivyo wabaya bila kumkosea lakini anakuchukia nakukutesaa

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 роки тому

      @@dorcaskidoti249 nakwambia aki dadangu kwanza tumshukuru Mungu kwa neema yake na kibali cha uzima ni wengi hawakujifunza hili lkn tumepata neema na upendeleo kwa Mungu kuweza kupata mafunzo mengi na yanayo tufanya tuwe imara ktk imani zetu

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 роки тому

      @@hebronsdaughter1661 tunamrudishia sifa na utukufu ni vyake 🙏🙏🙏

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 роки тому

      @@dorcaskidoti249 Amina amina🙏🙏

    • @maryogotiny5033
      @maryogotiny5033 4 роки тому

      Tatizo watu wengine hum hawajui km hizi hadithi zinamafunzo mengi sana maan zinatujengea iman mpya ya kumjua mungu na tujue pia usipo mwamin kuna upande wa pili unaweza kukutumia,

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 роки тому

    Mmeshain kama pacha vile🤣🤣🇦🇪🇦🇪

  • @aminaolver5840
    @aminaolver5840 4 роки тому

    Wewe mbingu hutoiona yaani unampanga kuwa kweli kapendeza

  • @qelseykenya3933
    @qelseykenya3933 4 роки тому

    Davistar😂😂😂😂

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 роки тому

    Skuzote mabaya ndo ya chekwayo jaman nmecheka🤣🤣🤣🤣🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 4 роки тому

    Tupo makini sana

  • @munnawwary757
    @munnawwary757 4 роки тому

    Twenty five Leo nmewah hhhh

  • @mwashumcubwa1928
    @mwashumcubwa1928 4 роки тому

    Number 20😆😂

  • @hellenmanzi4740
    @hellenmanzi4740 4 роки тому

    Kaka kavàa kofia kitambaa cha mwamvuli🙈

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 4 роки тому +1

    Binadamu wabayaaa sana🤔🤔🤔 wanakuchukia bila kosa.. siku hasira ya Mungu ikiwaka juu yetu tutakosa pa kushika.🤔🤔

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 роки тому

      Yani sijui itakuaje siku hiyo

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 роки тому +2

      Mungu anatupenda na kutusamehe lakini sisi tunajisahau tunazidi kumchukiza Muumba wetu.😫😫

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 роки тому

      @@dorcaskidoti249 tuzidi kuomba Mungu atulinde na kutusamehe

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 4 роки тому +1

    4 jmn siamini daaah 😱😱😱

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 роки тому

    Davixter umalize uende ukerewe kuna wachawi balaa unaweza kufika huko kamera ikashindwa kuonexha

    • @zubedanyamsha1971
      @zubedanyamsha1971 4 роки тому

      😂😂😂kbsaa anii

    • @wantangosaimon5295
      @wantangosaimon5295 4 роки тому

      @@zubedanyamsha1971 kweli yaan amalize aende huko ndo kuna visa Tanzania nzima hakuna hasa vya kichawi mamamaaaa atapiga kambi mwaka mzima huko ndo unanunua samaki unafika nyumbani imeoza au unapika haiviii

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 роки тому

    Duu pole unagonga zigo bilaizini yako😔😔😔

  • @evelyneakech2677
    @evelyneakech2677 4 роки тому +1

    Number one 254 mko wapi

    • @nagibtimimi6027
      @nagibtimimi6027 4 роки тому +1

      tupo wengi lakini hatujuani 🇰🇪💪

    • @leylahloo5863
      @leylahloo5863 4 роки тому

      Tuko huku jameni ila niwakenya 🇰🇪 davistar asante umetufunza mambo mengi duh

    • @evelyneakech2677
      @evelyneakech2677 4 роки тому

      @@nagibtimimi6027 usijali tutajuana tu

  • @salehfarid1003
    @salehfarid1003 4 роки тому

    Hyu dogo nyege tu

  • @rosecruiz4348
    @rosecruiz4348 4 роки тому

    Na shika nafasi huku naiskiza baci ni coment

  • @mwambazmazoyah4628
    @mwambazmazoyah4628 4 роки тому

    Asante ngosha mwenzangu yana “pogoma “😂😂

  • @moshimungwila7770
    @moshimungwila7770 4 роки тому

    Mtoto wa mama

    • @dotosalim5090
      @dotosalim5090 4 роки тому

      Mama nikilakitu dunia kaka

    • @dotosalim5090
      @dotosalim5090 4 роки тому

      Haswa ukiwa nashida mama anaitajuka

    • @zubedanyamsha1971
      @zubedanyamsha1971 4 роки тому

      Hakuna mtu anaeza vumilia mattzo ako Zaid ya mam,ndo kila ktu

  • @mrsochu-hv7bm
    @mrsochu-hv7bm 4 роки тому

    Davistar kama mata🥰
    Wapili +968