Wow amazing umefanya kitu Cha mahana sana Japheth Asante sana usimwache mke wa Marco na watoto wateseke kamwe wape fuhara kwa uwezo wako najua kwa hiki umefanya Marco amefurahi sana anajua ulikuwa wa upendo wa kwel kwake ubarikiwe Japheth wape furaha mfute machozi hata kama bdo ako na huzuni sana fariji moyo wake kabisa asijutie kabisa we are happy for you and what you have done for our beloved Marco's wife be blessed Japheth live long and may God protect you always 🎉🎉❤
God bless Japhet to Continue with that spirit 🙏. This young family of the late Marco Joseph needs support . Kwa hivyo watanzania wale wakaribu msaidie sana hio familia... na sisi wale wa mbali from Kenya 🇰🇪 tunaiweka kwa maombi MUNGU hazidi kuwalinda.
Amtunzaye Fatima na mjane amkopesha bwana, na hii ndiyo dini iliyo SAFI, keep it up my son , unaniongoza vitu vingi vya kiroho , Mungu azidi kukutumia , barikiwa usirudi nyuma wewe ni mchungaji wa kundi kubwa usiloliona ba usilolijua, songs mbelee❤❤
Hongera san japhet kwa moyo wa upendo kwa familia ya rafiki Yako kipenz Mungu akutumie kitofauti sana kuihudumia familia hiyo hujui kusudi la mungu kwako mungu akutie nguvu japhet.
Amen. Sio wate wako na roho ya kusaidia but japhet kwa kuonyesha upendo na uo upendo dio mungu alituajia tupendane..mungu akushidishie hekima na mariifa kutoka kwake sio karibu rahisi but tuna kuombea sana.🙏🙏🙏
Sote tukiwa na upendo kama huu wa kuwajali wajane , wagane na mayatima YESU atarudi haraka tukaonane na wapedwa wetu walio lala katika mauti, MUNGU akubariki japhet.
Hongera sana Mr Japheth zabron ninakuombea MUNGU wa mbinguni akuongezee usipungukiwe kamwe! Ahsante kwa kusimama na hiyo Familia🙏🙏
Wow amazing umefanya kitu Cha mahana sana Japheth Asante sana usimwache mke wa Marco na watoto wateseke kamwe wape fuhara kwa uwezo wako najua kwa hiki umefanya Marco amefurahi sana anajua ulikuwa wa upendo wa kwel kwake ubarikiwe Japheth wape furaha mfute machozi hata kama bdo ako na huzuni sana fariji moyo wake kabisa asijutie kabisa we are happy for you and what you have done for our beloved Marco's wife be blessed Japheth live long and may God protect you always 🎉🎉❤
Bw blessed japhet may the peace of god be with you and your family
God bless you , Japheth for standing with the late marco's family , 🇰🇪 may the almighty continue to , give you strength , S wisdom 🙏🙏.
God bless Japhet to Continue with that spirit 🙏. This young family of the late Marco Joseph needs support . Kwa hivyo watanzania wale wakaribu msaidie sana hio familia... na sisi wale wa mbali from Kenya 🇰🇪 tunaiweka kwa maombi MUNGU hazidi kuwalinda.
Good Job Mr Japhet. God bless you
Mungu aendelee kukulinda pamoja na familia God bless you❤
Mungu akutunze sana kaka jafet endelea na moyo huo huo ss sote niwapitaj
Mungu muumba wavyote mwanzo uwalinde watoto na mke wa marco,mungu awape chochote wanachohitaji kwa hii maisha,na mungu ambariki Japhet zaidi.
Amtunzaye Fatima na mjane amkopesha bwana, na hii ndiyo dini iliyo SAFI, keep it up my son , unaniongoza vitu vingi vya kiroho , Mungu azidi kukutumia , barikiwa usirudi nyuma wewe ni mchungaji wa kundi kubwa usiloliona ba usilolijua, songs mbelee❤❤
Verry Good japhet Mungu akujaalie
Ubarikiwe sana Japheth Zablon kwa kuibeba familia
Arichokifanya nijambojema saana na mungu ambsriki❤❤❤❤
Mungu akubariki nakukuinua kwa kujitolea kumusaidia dada yetu pamoja na watoto wake ❤Mungu akuzidishie mahitaji yako yote ❤❤❤
Ubarikiwe sana na mwenyezimungu aliyejuu yakho tunaiman utawalea vinzuri sana hakika kiti chakho mbinguni kipo.
God bless you Japhet..endelea kumjali make na watoto wa Marco na Mungu hatakupungukia
Mungu akusaidie san kaka japhet uitunze familia ya rafik yako kpenz marco
Hongera sana Japheth Kwa kuamua kulinda familiar ya Marco mungu akupe hekima na maraarifa🎉🎉🎉🎉
God bless you ndugu Japheth for the support you have given to your brother's wife, may the Lord grant you strength and peace
Mungu akubariki Japhet kwa moyo wako Wa upendo.
Tunawapend Sana zabron singer huku mkoa wa mara mpakan mwa kenya na tanzania
Mungu akutie nguvu Japhet kwa kuifariji familia ya Marko
God,God blessing you so much Japhet❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤
Hongera san japhet kwa moyo wa upendo kwa familia ya rafiki Yako kipenz Mungu akutumie kitofauti sana kuihudumia familia hiyo hujui kusudi la mungu kwako mungu akutie nguvu japhet.
Hi...Japhteh pleas ujung lyo Family y...Macro ndio mungu...Atakubaliki❤❤❤❤❤😢🎉🎉🎉
Praying for you mungu akupe hekima ya kulea familia ya Marko
Amen. Sio wate wako na roho ya kusaidia but japhet kwa kuonyesha upendo na uo upendo dio mungu alituajia tupendane..mungu akushidishie hekima na mariifa kutoka kwake sio karibu rahisi but tuna kuombea sana.🙏🙏🙏
Pole sana Japhet kwa kuondokewa na rafiki wa karibu, Mungu akupe nguvu ili uweze kusimamia familia ya rafiki yako
mungu. Wa. binguni. akubariki. Kaka. angu. kwa. moyo. uoooo. mungu. akuzidishee. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
Acha Mungu wa mbinguni akujalizie pale ulipotoa japhet kwa kuionyesha upendo familia hii 🙏...ubarikiwe saaana
Tunakuombea sana Japhet mungu akuzidishie upendo huwo huwo kakangu❤❤❤❤❤
Mungu awatunze this is nice❤❤❤
Mungu akubariki sana Japhet pia napenda sana kazi zenu
Mungu akubariki saan kwa kumjali shemeji yako Japhet
Ubarikiwe sana jafety kwa msaada wako
Hongera kaka japhet mola akuzidishie hekima na marifa uzidi kusaidia hiyo familia
Jappheth mungu akubariki na akuongezee siku ili ukaweze kuilinda familia ya Marco.
Japhet Mungu awatunze upendo huo uzidi❤
Hongera sana kaka japhet mungu akupe uvumilivu kwa majukumu hayo❤❤
Good job Japheth be blessed ❤🇰🇪
Be blessed. Japhet 🙏🙏
God bless you japhet
Mungu akubariki sana Janet kwakumjali seemed yako na undelete kuwa na moyo how hat kwa wengine
Mungu akupe moy wa kiijalii zaid pend la marco liish ndani mwakoo🙏
Safi japhet♥️❤️♥️❤️
May Almighty strengthen your vision as u personally steps in to support the widow and kids
Ooh my dear Japhet were back in kijana mdogo endelea kufikiri kuwa nini kifanyike ili amani iwrpo na mshikane nakusonga mungu
Ubarikiwe sana Jafet Mungu akubariki na kukuinua mno
Mungu akubaliki san ❤❤❤
Mungu akulinde unapo Toka na kuingia jafti : tuza watoto wa rafiki yako
:
Mungu akutie nguvu uiongoze vizuri familia
Wow may God bless u Japhet
God bless you Japhet❤
Mungu akuzidishie mara dufu japhet
Amina ubarikiwe
Ubarikiwe sana mtumishi japhet🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Mungu aendelee kukulinda pamoja nafamilia ulioachiwa
God bless 🙏 you Japheth,na akupee hekima na maarifa Zaid ❤🙏🙏be blessed ubunderntly 🙏💯
Kuna watu wachache wwnye moyo kama wako ila congratulate my brother
Sote tukiwa na upendo kama huu wa kuwajali wajane , wagane na mayatima YESU atarudi haraka tukaonane na wapedwa wetu walio lala katika mauti, MUNGU akubariki japhet.
Ubalikiwe sana ndungu yangu Japhet
Be blessed japhet mungu WA amani akue na ww
Amina 🙏🙏🙏
Mungu awe nawe katika xafari ya maixha yak endelea kuwa na moyo mnyoof❤🎉
Mungu akuzidishie usipungukiwe amen.
Umefanya jambo jema sana kaka angu mungu akutie nguvu
Mungu akubariki japhet ❤❤
Mungu akubariki japheth
Mungu akubariki Sana Japhet
Mungu waongoze na awatie nguvu
Mungu akuonekanie sana Kwa kumsaidia mke wa Marko
Mungu akubarik
Be blessed brother
Congrants❤❤❤❤ broo
God bless you Japheth
Mungu akubariki sana kak japhet
Mungu atakubariki japhet
May God bless you Japhet
Inapendeza sana ubarikiwe .
Be blessed japhet🙏🙏🙏🙏
❤️❤️❤️
be blessed uncle Japhet
God's graces upon you Japheth
God bless you Japhet❤😊
Japhet ni mcha mungu,tunza lakini huko na mke wako bro Japhet na yule ni mke wa marco
Mungu akubariki kaka
Amen 🙏🙏
Barikiwa japhet
Mungu akubari na akupe nguvu
Mungu akusaidie ili uiangalie familia ya mwenda zake
Mungu akutie nguvu
Sina neno zaidi yakukutia2 moyo Dah! Duniani sio kwetu
God bless you
uyonikweli kabisa namungu amutie nguvu sana mkeuyu
Wow Japheth
Endelea kuwa na moyo huo huo utalipwa usipo zimia moyo MUNGU akutie nguvu
God bless you 🙏
Mungu awe nawe daima milele
Balikiwa🙏🙏
Mungu akupe upendo uipende hiyo familia
God blessed
Blessings