WATU WAELEWE WASIAMINI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 108

  • @paulmohamed649
    @paulmohamed649 3 місяці тому +5

    Wachokonooooozzzzz, nawaelewa vizur, full imagination 🤔🤔

  • @saidbakari2408
    @saidbakari2408 3 місяці тому +6

    Wanangu nawakubali saaana tena sana ninyi ni tunu ya Afrika hii

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 3 місяці тому +7

    Mpo vnzuri majamaaaa hongerA ❤❤❤❤

  • @PaulinaMachibula
    @PaulinaMachibula 3 місяці тому +7

    Nawakubali sana❤❤❤

  • @designdesign4426
    @designdesign4426 3 місяці тому +9

    Wekeni namba tuchangie hayo madini big up❤❤❤❤

  • @tonnysgalleries5848
    @tonnysgalleries5848 3 місяці тому +10

    Endeleeni kupigia misumari wazee, mpka waafrika waelewe. Tupo tunawasupport aisee

  • @sarahdeograthias9097
    @sarahdeograthias9097 3 місяці тому +7

    Kunamtu anaingiliwa sana sa Jini mahaba kila akilala usiku Kwa upande wenu imekaa vipi WACHOKONOZIIIII

  • @sulleyhamadi116
    @sulleyhamadi116 26 днів тому +3

    Big up bro naelewa sana kila mdini unayotoa kama kilaza moja.

  • @adambaton5521
    @adambaton5521 3 місяці тому +7

    Mimi nilishafunguka toka nianze kuwasikiliza

  • @PrivatusHaule
    @PrivatusHaule 3 місяці тому +8

    Nawakubali sana

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 16 днів тому +2

    You are just the master of wisdom so proud and grateful to meet this high vibration lessons ,big up brothers🔥🔥🔥👌

  • @hanskidd2290
    @hanskidd2290 3 місяці тому +3

    Dah me mnankoshaa sana ndug zang nawakubal sanaaaaaaaaaa ubongo unazid kfunguka

  • @SaidTwaha-s6w
    @SaidTwaha-s6w 3 місяці тому +6

    Ahsanteni kwa kuendelea kunitoa kwenye kiza❤

  • @paulmohamed649
    @paulmohamed649 3 місяці тому +3

    Dah! Wachokonozzz, mkoa very bright big up brothers

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 3 місяці тому +6

    Yaan Mimi mmenifunuwa mengi sana

  • @ShayoPoul
    @ShayoPoul Місяць тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂 watu wanaogopa sana ukweli...wachokonozi nawakubali sana

  • @LepatronLebon
    @LepatronLebon 3 місяці тому +6

    Nakupenda sanakk

  • @YohanaRichard-e6p
    @YohanaRichard-e6p 7 днів тому

    Safi sana vijana

  • @NeemaMatta
    @NeemaMatta 3 місяці тому +4

    Nilichelewa kuwajua mapema, ila najitahidi kuwafuatilia zaidi

  • @sontalis3375
    @sontalis3375 3 місяці тому +5

    Dini zimesababisha mpaka wazazi wetu na ndungu zetu wanatuita sisi wachawi

  • @LinusMbwiga
    @LinusMbwiga Місяць тому +2

    ufahamu wangu unapevuka kila ninapo. wasikiliza nyinyi jamaa mnastahili pongezi kubwa sana sana sana sana

  • @andrewonesmo1954
    @andrewonesmo1954 2 місяці тому +2

    Nyie jamaa mko vizuri sana muwe na maisha malefu sana

  • @fabianhaali8437
    @fabianhaali8437 11 днів тому +1

    Tuendeleee kutoa elimu 👊

  • @fanuelkasunzu5582
    @fanuelkasunzu5582 Місяць тому +2

    Hakika Mungu awabariki

  • @SaluMaige-sc8bm
    @SaluMaige-sc8bm 3 місяці тому +4

    Safi saaana

  • @thomasgogomoka6404
    @thomasgogomoka6404 3 місяці тому +2

    Wachokozi nawapata vizuri sana

  • @thomasgogomoka6404
    @thomasgogomoka6404 3 місяці тому +3

    Ďini zimewafunga sana watu wanashindwa hata kuoana kwasababu dini.

  • @JamesDustan-n8v
    @JamesDustan-n8v 22 дні тому +2

    Katika muzki namuelewa sana dizasta vina anavyo andika ngoma zake nakufananxha nae

  • @inspaya5274
    @inspaya5274 2 місяці тому +2

    Ndugu zangu mko vizuri

  • @justinmganiwa2790
    @justinmganiwa2790 3 місяці тому +6

    Mpaka waelewe mamake

  • @adrianojonas3836
    @adrianojonas3836 3 місяці тому +4

    Good job

  • @farajansekela5763
    @farajansekela5763 3 місяці тому +1

    Muwe na maisha marefu Wachokonozi,,, muendelee kutufungua akili maana tumefungwa Sana..

  • @charlesoketch3196
    @charlesoketch3196 3 місяці тому +16

    Ninauri wa miaka 55 sikuwai kupata madini kama hayo imani yako ikulinde daima saliuti kwenu nitapaje kitabu??

    • @lucredeemer
      @lucredeemer 22 дні тому +1

      Ss Anga na ardhi viliubwa na Nani? Na vili toka wapi? Kama akuna MUNGU?

    • @ConfusedBonsaiTree-zs5lp
      @ConfusedBonsaiTree-zs5lp 9 днів тому +1

      ​@@lucredeemerhivo ni vitu vya asili vilikuwepo na vitakuwepo hakuna alieviumba

    • @AbdullyOmary-p6z
      @AbdullyOmary-p6z 5 днів тому

      Wachokonozi, mko sahihi Sanaa,,waelevu watawasaport, lakin wajinga hawataelew, ,,,na ndiomaan saiv hakuna mitume wala manabii Kam wale watakatifu wa kwenye vitabu vitakatifu

  • @NeemaMatta
    @NeemaMatta 3 місяці тому +4

    Majina yetu ya asili hayafai ila majina Yao ni matakatifu

  • @ElvisDavid-qn5vd
    @ElvisDavid-qn5vd 3 місяці тому +2

    Big up❤❤

  • @dullahabdallah-nu1py
    @dullahabdallah-nu1py 3 місяці тому +2

    Nimechelewa kuwajua,nuru ningumu. Kuipata

  • @jabiriramadhani3692
    @jabiriramadhani3692 Місяць тому +2

    Appreciated

  • @SaraphinaKidoti-qe7gi
    @SaraphinaKidoti-qe7gi 3 місяці тому +4

    Nooooma sn

  • @MaurusiNyimbo
    @MaurusiNyimbo 14 днів тому +1

    mie naitwa maurus nyimbo ase mmetisha tu bure jmn

  • @ConfusedBonsaiTree-zs5lp
    @ConfusedBonsaiTree-zs5lp 9 днів тому

    Napataje kitabu wakuu

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 12 днів тому +1

    Mko sawa

  • @Dominant97
    @Dominant97 2 місяці тому +2

    Hapa nipo kugain🙏

  • @PAULOWILLIAMJOSEPH
    @PAULOWILLIAMJOSEPH 3 місяці тому +6

    Wachokonozi mbona mna upeo mkubwa mno hebu mnipe hata kidogo

  • @ShayoPoul
    @ShayoPoul Місяць тому +2

    Nataka vitabu ata kwa kulipia

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 3 місяці тому +7

    Mungu yupo, Dini ni unafiki

    • @TanflixLLC
      @TanflixLLC 2 місяці тому +3

      Ndio yupo ila sio Allah Wala god Wala sio yehova Wala yahwe.

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 16 днів тому

    🔥🔥🔥👌

  • @RizikiRamazani-u6s
    @RizikiRamazani-u6s 3 місяці тому +2

    Nilikuwa Naomba umsikilize jamaa mwingine ambaye anasaidia watu kutoka kwenye ukoloni wakifikra kama nyinyi, Anaitwa George Carlin

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 12 днів тому

  • @ShabaniNuru-o1y
    @ShabaniNuru-o1y Місяць тому +2

    Hapo kwenye kusema MUNGU hayupo mnamaanisha nini

  • @BarakaKenyatta
    @BarakaKenyatta 3 місяці тому +2

    Dini zimechangia kwa kiasi kikubwa maovu kuongezea sababu zimetuaminisha kuwa kuna mtu alibeba dhambi ya wengine Kupitia msalaba amabapo hata ukakosea utatubu kanisan mambo yanakaa sawa ,hawawafundishi watu chochote ufanyacho kina malipo yake kibaya au kizuri lazima ulipie (Karma ) ,ila tumeaminishwa yote yalimalizwa ndo mana mtu haoni shida kuua ,kuiba ,kudhurumu nk akiamin akitubu tu anasameheka

  • @shareefkamtande
    @shareefkamtande 2 місяці тому +1

    Nyie majamaa uelewa wenu ni mdogo sana tena sana inshort ni VILAZA

    • @wachokonozi_
      @wachokonozi_  2 місяці тому +1

      @@shareefkamtande unacomment kwenye akaunti ya vilaza 😅

    • @joshuamshani2686
      @joshuamshani2686 2 місяці тому +1

      Wabishie kwa fact na wala sio kuwaattack ujawaelewa

    • @shareefkamtande
      @shareefkamtande 2 місяці тому +1

      @@wachokonozi_ understanding yenu ya mambo ni ndogo sana nacomment maana mnapotosha jamii mngekuwa mmejifungia chumbani kwenu na kuongea mambo yenu wala nisingecomment

    • @shareefkamtande
      @shareefkamtande 2 місяці тому

      @@joshuamshani2686 sijawaattack ukifuatilia vizuri wao ndio wanaattack watu wenye mtazamo tofauti na wao mimi nachofanya nikualert jamii maana waTZ wengi wanaamini sana vitu vya mitandaoni
      Na suala la kutoa fact hawa majamaa hawawezi kaa na mimi meza moja hata dakika 5 ni weupe sana.

    • @shareefkamtande
      @shareefkamtande 2 місяці тому

      @@joshuamshani2686 dree code yao tu inawadiscredit hamna mtu intellectual anavaa kiuni kama hivyo

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 3 місяці тому +1

    Mimi apo kwamungu sikuelewi

  • @iddymwambene8733
    @iddymwambene8733 3 місяці тому +1

    Fact without reasonable doubt

  • @PhilipoMassawe-z1i
    @PhilipoMassawe-z1i 10 днів тому

    Dini zinafanya tunaitana makafiri

  • @RizikiRamazani-u6s
    @RizikiRamazani-u6s 3 місяці тому +1

    Huooo ni ukweli usiyo pingika, nakuomba uendelee kuelemisha watu waliyo potezwa na ukoloni wa Dini

  • @PhilipoMassawe-z1i
    @PhilipoMassawe-z1i 10 днів тому +1

    Alafu ukioji kitu kuhusu kuifam dini au kukosoa unaitwa kafiri

  • @JovinMaftah
    @JovinMaftah 2 місяці тому +1

    Yani mimi ninachoomba mawasiliano yenu

  • @angelousfrank6945
    @angelousfrank6945 3 місяці тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MisheckSiame-si1yo
    @MisheckSiame-si1yo 3 місяці тому +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @PhilipoMassawe-z1i
    @PhilipoMassawe-z1i 10 днів тому

    Wachokozi naombeni namba yen

  • @petermayunga506
    @petermayunga506 3 місяці тому +1

    Kuhusu ndoto nifafanulieni

  • @isackmachiyanshoka6754
    @isackmachiyanshoka6754 2 місяці тому +1

    Ni kama nawapata hivi.

  • @elimikasasa643
    @elimikasasa643 6 днів тому

    Hivyo vitabu vinaitwaje? Navipata wapi?

  • @richardcastromzena5136
    @richardcastromzena5136 14 днів тому +1

    Unafki upo sana kwenye dini
    5:09

  • @yohanakateko
    @yohanakateko 2 місяці тому +1

    Nakubali wanangu

  • @hamisstimu
    @hamisstimu Місяць тому +2

    Wachungaji wanasikitika sio kwamba eti vijana wanapotea bali wanaumbuka na wanaenda kukosa sadaka za wizi

  • @alexlingwendu6780
    @alexlingwendu6780 Місяць тому +1

    Ila daaa vitabu vya dini vimekaa kinafiki saana.Mfano bibilia ina mistari imekaa kinafki mpaka unaweza jiona na wewe msomaji ni mnafiki.Mfano Yakobo 1;26.Any way tupia mistari mingine ya kinafiki unayoiona kabisa inaibua mgogoro ktk fikra zako

  • @sepetukamaisala2040
    @sepetukamaisala2040 23 дні тому

    Mnapatikana wapi,,nimewaelewa

  • @johnmagubo4269
    @johnmagubo4269 3 місяці тому +1

    Hiii changamoto na comment za watu ,, inatokana capacity Yao ya uelewa, maan kuwa na Iman kwa Dini ni tofaut kufahamu Iman na wew❤ very dip kama tungekuwa na maarifa bas tusingeweza kuwaona watu awapo sahihi Kwan usahii ni upo?????tuamke

  • @nyambangomahekemaheri2586
    @nyambangomahekemaheri2586 Місяць тому +1

    NAITAJI VITABU VYAKO VYOTE

    • @wachokonozi_
      @wachokonozi_  15 днів тому +1

      @@nyambangomahekemaheri2586 kila kimoja elf50.

  • @yohanakateko
    @yohanakateko 2 місяці тому +1

    Nakubali

  • @juliusshadrack4375
    @juliusshadrack4375 3 місяці тому

    🧠🧠

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 12 днів тому

    Nipeni namba zenu

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople992 3 місяці тому +1

    Ukisema wewe ulielewa hayo mambo bila kufundishwa unakuwa mnafiki kama ni hivyo hunahaja ya kuandika vitabu wala kutufundisha, basi acha kufundisha tujua tu bila kujulisha

    • @georgemovieproduction1842
      @georgemovieproduction1842 3 місяці тому

      sasa unatakiwa ukifundishwa shuhudia..elf kumi toa elf 5 nilifundishwa leo naiona na natoa chenji na mkono wangu..yesu nimefundishwa sijawah muona..eti amini tu..acha ufala

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 3 місяці тому +1

    Shetani hawezi kuwatokea kwa sababu mnafanya kazi yake ila ipo siku atawatokea Mungu mtajua hamjui😂

    • @wachokonozi_
      @wachokonozi_  3 місяці тому +1

      @@mckobatz5861 kwa vile unafanya kazi ya mungu alishakutokea mara ngapi ndg yetu 😅 kama ulipiga naye selfiee hebu tutumie picha yake WhatsApp bwana mungu tumuone.

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 3 місяці тому +1

      @@wachokonozi_ you can't be serious 😂

  • @MussaMarko
    @MussaMarko 3 місяці тому

    Ndingu Mimi natamani kuwajua hasa kujua wewe, ili nikomenti kitu

    • @wachokonozi_
      @wachokonozi_  3 місяці тому

      @@MussaMarko sisi ndio hao unatuona hapo na hizo ndio content zetu.

  • @MutoniFunny
    @MutoniFunny 2 місяці тому +1

    Sasa unaposema mungu hayupo unanichanganya juwa mwezi mbingu arithi watu Nani ameviwumba?

    • @wachokonozi_
      @wachokonozi_  2 місяці тому +1

      @@MutoniFunny havijaumbwa! Huyo mungu wako kaumbwa na nani?

  • @PrinceAmily
    @PrinceAmily 3 місяці тому +1

    Kwa maana hiyo tuelewe kuwa Mungu yupo au hayupo?

    • @wachokonozi_
      @wachokonozi_  3 місяці тому +2

      @@PrinceAmily Hekima ni kumwachia mtu maswali ya kujiuliza, si kumpatia majibu kwa maswali yake.

  • @yamungungendu4839
    @yamungungendu4839 3 місяці тому +1

    Kaka naomba utuelezee Chanzo Cha Mwanadamu...Sisi tulitokeaje?

    • @MajiTakaMaji
      @MajiTakaMaji 3 місяці тому

      Awezi kkujibu

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 3 місяці тому

      Nyie mashetani mende tena basi unalalao hukokwako hee mende tena unawapotoshatu hamnalolote njaambaya na bangi zimezidi

    • @RajabuPius-f5j
      @RajabuPius-f5j 2 місяці тому

      Sina hakika kama atashindwa kujibu swali kama Hilo. Hao navyoona elimu ya filosofia IPO kubwa si kidogo na pia nje ya elimu pia akili zimo si za kusoma pekee . It is my view​@@MajiTakaMaji

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 Місяць тому +1

    Kitabu na kipataje

  • @Kingjmtv1982
    @Kingjmtv1982 3 місяці тому

    Ukisema eti kiumbe
    Swali kime umbwa na nani??

  • @DjFae.b255
    @DjFae.b255 3 місяці тому

    Wataelewa TU

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 12 днів тому

    Mko vizuli wajinga watawaelewa tuu

  • @EfasAlam
    @EfasAlam 13 днів тому