Dakika 6 na MAGOLI 6 Chini ya MWAMBA WA LUSAKA, Huyu CHAMA JR musimfananishe na vitu vya ajabu AISEE

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 23

  • @HamisMagambo-gw6ti
    @HamisMagambo-gw6ti 4 місяці тому +12

    Mwamba huyo wa muda wote simba sio pacome wa utopolo aliyekuja juzi tu
    Naombeni like zangu nimekuwa wa kwanza

  • @user-ub1xk6yz6l
    @user-ub1xk6yz6l 4 місяці тому +3

    Tunasema Simba na yanga.sio chama na pacome Love SIMBA love YANGA.kwani hao wengine hawachezi?
    Ni magoli wengi lkn kiukweli mchezo haukuwa wa kiufundi Sana.na hii ni baada ya Galaxy kuonekana dhaifu.

  • @CharlesPshayo
    @CharlesPshayo 22 дні тому +1

    mwamba 🔥🔥🔥🔥

  • @user-un3fj4bj2r
    @user-un3fj4bj2r 4 місяці тому +3

    Alafu nikwann mnapedakumfananisha chama jamaa niatar hayupotema kamayeye

  • @Chunsiiddy
    @Chunsiiddy 4 місяці тому +2

    inidunia ya xoka

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 4 місяці тому +1

    Dahhhh,,,,,,,,,, mi napita tu😂😂😂😂😂

  • @ShawnBeatz
    @ShawnBeatz 4 місяці тому +2

    Duuh mpenja ni koloziadad

  • @IssaDavid-nq7pm
    @IssaDavid-nq7pm 3 місяці тому +1

    Kexho ndo kesho

  • @user-nu9np6so4m
    @user-nu9np6so4m 3 місяці тому +1

    Kwa Simba hhh

  • @user-nu9np6so4m
    @user-nu9np6so4m 3 місяці тому +1

    Hanna Simba itabk kuwa Simba 2

  • @user-ik7zq7er9d
    @user-ik7zq7er9d 4 місяці тому +2

    Pacome kwa chama hajifue vilivyooo

  • @BINKOWEER
    @BINKOWEER 4 місяці тому +2

    mtangazaji pole na kizungu

    • @HVCATERING
      @HVCATERING 4 місяці тому

      nimesikia what a "bao" nikashangaa ndio kitu gani hiki ?

  • @user-kp2jf5jc2i
    @user-kp2jf5jc2i 4 місяці тому +2

    Hamcheleweshagi, baada ya mechi kadhaa kikaangoni na kufukuzwa papo!

  • @user-uo7fy3bb5j
    @user-uo7fy3bb5j 4 місяці тому +7

    Huwezi kumfananisha chama na pacome hata iweje

  • @HVCATERING
    @HVCATERING 4 місяці тому +1

    Mabeki wazembe , hawakabi....

  • @joshuadamas4764
    @joshuadamas4764 4 місяці тому +2

    Chama ni wetu tutakufa nae