HARMONIZE AFUNGUKA HANA MUDA NA KAJALA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI KENYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 317

  • @georgembise7234
    @georgembise7234 Рік тому +43

    Nimejikuta nimempenda sana good harmonize achana na wanawake wamjini makahaba watakupotezea muda sana bado mdogo!!nadhani umejifunza sana yule nimwanamke alishindikans,hormo mungu akutangulie

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Рік тому +39

    Nimependa unavyojifunza lugha ya kiingereza kwa bidii. Upo vizuri sana mtu asikukatishe tamaa

  • @baranmohamedmbashir5299
    @baranmohamedmbashir5299 Рік тому +16

    Nakukubali sana sana harmonize anajituma sana sana mungu akubariki inshallah akupe afya njema inshallah harmonize

  • @faizamohamed6993
    @faizamohamed6993 Рік тому +5

    Mungu akusimamie harmo achana na mijikahaba minguli yalio hindikana duniani you are still young

  • @maureenmusyoka5249
    @maureenmusyoka5249 Рік тому +14

    I like the way he answers question big up

  • @biashaamanimwajita8417
    @biashaamanimwajita8417 Рік тому +5

    Salute konde you are killing in an easy way 💪💪🥰🥰much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Iammose776
    @Iammose776 Рік тому +20

    Nobody talks about this great work. Guys nifikishe 1k subs nitashukuru ❤️🙏 e

  • @jamesmajuva6286
    @jamesmajuva6286 Рік тому +38

    Ongea tu Kiswahili wakenya Wana enjoy Sana kusikia kiswahili cha kibongo 🇰🇪🇰🇪

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 Рік тому +1

      🤣🤣🤣

    • @abedysteven4930
      @abedysteven4930 Рік тому +2

      Hyu jamaa huw namxhangaa xana cjui mxhamba wa English! Wakenya wenyewe wanataka aongea kiswahili yeye anang'ang'ana na kingereza!!

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 Рік тому +2

      Kwani uwajuwi wasanii bwebwe zao wakiwa makwao mtwala anaongea kimakonde

    • @janeshigami8769
      @janeshigami8769 Рік тому +2

      @@abedysteven4930 🤣😂

    • @nkoydavid9658
      @nkoydavid9658 Рік тому +3

      @@abedysteven4930 watu wasiokijuwa kingereza huwa wanapenda kukiongea kila mara

  • @husseinwemmar6217
    @husseinwemmar6217 Рік тому +4

    I really like the English pronunciation Harmo keep it up

  • @imeldangoda2319
    @imeldangoda2319 Рік тому +6

    I like the way you talk hamonize....English

  • @christinachazy8644
    @christinachazy8644 Рік тому +5

    Wao jeshi mim nafurahi sana kwa kupiga hatua mpz Mwenyezi Mungu akufungulie milango ya Baraka

  • @isackwsmithwsmith9027
    @isackwsmithwsmith9027 Рік тому +12

    Artista favorito 🔥❤❤🇲🇿🇲🇿

  • @japharikatebo3261
    @japharikatebo3261 Рік тому

    Kumbe dogo huko vzr hvi ktk lugha,
    Hongera Sana

  • @jabbr_m5982
    @jabbr_m5982 Рік тому +1

    Kazi mbele mapenzi badaye cool my brother kondeboyi

  • @imakulataedward1985
    @imakulataedward1985 Рік тому +1

    Love more harmonize achan na uyo bib mtu mzima

  • @yakoboesenga5754
    @yakoboesenga5754 Рік тому +4

    African elephant 🐘 harmonize 🔥 💪💪💨

  • @naimanimo4925
    @naimanimo4925 Рік тому +4

    This konde is getting Started I think he has a good management now

  • @mkonojr53
    @mkonojr53 Рік тому +7

    Harmo unaupiga mwingi jeshii pamoja sana

  • @terrymc5593
    @terrymc5593 Рік тому +6

    Konde ni jeshiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii🔥🔥🔥🔥

  • @sahaleabeid6986
    @sahaleabeid6986 Рік тому +3

    Penda ww Rajabu
    Ukona bidii ya maisha,as ur song i rem uh sang,Neva give up
    So don't give up brother

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 Рік тому +4

    Yess am very pressure to here your message good my young brother focus for yr work nothing more than fighting for ur life make money bro leave them.

  • @fuadaladawi1255
    @fuadaladawi1255 Рік тому +4

    Go harmo go

  • @elizabethmugo254
    @elizabethmugo254 Рік тому +7

    He is good ...mungu amtangulie

  • @johnjonath6687
    @johnjonath6687 Рік тому +2

    Mjeshi unyama 🐘🐘🐘💥💥

  • @glorianikiza3940
    @glorianikiza3940 Рік тому +5

    Milango ilifunguka kajala alikua na gundo

  • @georgentabudyo9676
    @georgentabudyo9676 Рік тому

    Daaaaahh nakubal sana kaka💯👏👏👏

  • @vivianmumbua2508
    @vivianmumbua2508 Рік тому

    Konde kama konde🥰🥰🥰much love🇰🇪🇰🇪

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 Рік тому +4

    Jeshii 🐘💪🔥

  • @nelsonmaganya5391
    @nelsonmaganya5391 Рік тому +3

    My blood I really accept you brother

  • @dimpozbeb7326
    @dimpozbeb7326 Рік тому +4

    Kondeboy forever ♥ from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

    • @jabryhassan
      @jabryhassan Рік тому

      Mimi nimetokea kumkubaki konde kuliko wasanii wote hapa bongo

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 Рік тому +4

    fwantastic penda sana soo confidence

  • @khadijacharles2433
    @khadijacharles2433 Рік тому

    Mungu akutangulie shoo yako ifane kinyamaaa

  • @abdalaathumani4490
    @abdalaathumani4490 Рік тому

    Konde boy nakubali sana jeshi

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 Рік тому

    waandishi wa habari niwaombe msimulize konde kuhusu kajala yashakua.mwachen afanye kazi.

  • @aminahassan4220
    @aminahassan4220 Рік тому

    hongera baba

  • @stevennyula9642
    @stevennyula9642 Рік тому

    Wah nice kabisa.

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 Рік тому

    Duuu konde anajua kizungu
    Mpaka mkenya ana saruti

  • @scholakilonzo2906
    @scholakilonzo2906 Рік тому +1

    Harmonise focus to your future / talent mapenzi tuachie diamond 😂😂

  • @stamilihalifa2763
    @stamilihalifa2763 Рік тому +2

    Mambo ni motooooooo

  • @shamdaud9425
    @shamdaud9425 Рік тому

    Aisee

  • @godfreymagoso5334
    @godfreymagoso5334 Рік тому

    Kijana unaambiwa ulihonga kila kitu ulichobakiwa nacho ni kikohizi,,, ila hip-hop ni nyoko 🔥🔥🔥
    Piga kazi chalii

  • @swafiyamansur4326
    @swafiyamansur4326 Рік тому

    We love jeshi from +254

  • @agiecute
    @agiecute Рік тому +3

    Hamornize

  • @Chekibob
    @Chekibob Рік тому +3

    Anamuambia Harmo aseme subscribe kwenye Tv😂😂😂😂 video cameraman wengine bana khaaaaaaa😂😂😂😂

    • @mrjohn4446
      @mrjohn4446 Рік тому

      Mjinga kweli yule camera man na simu yake a big star unaniambia aseme upuuzi kama huo

  • @agiecute
    @agiecute Рік тому +3

    We outside

  • @StAr-yu3vz
    @StAr-yu3vz Рік тому

    Hivi mnakuwaga hamna kazi nza msingi kufatiria mambo yanayotakiwa

  • @rynairene
    @rynairene Рік тому

    Congrats achana na huyo malayaaaa

  • @deusmallya3384
    @deusmallya3384 Рік тому

    Hongeaga kiswahili wee

  • @colletatesha5265
    @colletatesha5265 Рік тому +1

    Nimependa hajataka kujibu chochote kuhusu issu yake na kajala huo ndio uanaume sio midume ikiachana na mtu ni kumponda

  • @jafariabdallah7669
    @jafariabdallah7669 Рік тому +1

    Kondeboy from kondegang

  • @joleal7941
    @joleal7941 Рік тому +1

    Jeshiii🔥🔥🔥

  • @salummaulid4860
    @salummaulid4860 Рік тому

    Shida Moja tu wenzake wanauliza Kwa kiswahili yy anajibu Kwa kingeleza vita ya kukipigania kiswahili ni ngumu sana

  • @lydiachepngetich1225
    @lydiachepngetich1225 Рік тому +2

    Kumbe Tanzania ni +255 ama nimeskia Nini kutoka Kwa presenter Ali 😂😂🤣🤣😂

  • @mwakiosalim2914
    @mwakiosalim2914 Рік тому

    Ongea tuu kiswahili ya bongo usijichoche na kiingo

  • @azizimangara9024
    @azizimangara9024 Рік тому

    Mi ni Timu konde. Ila namuomba harmonize aache Mambo ya kiingereza. Anaulizwa Kiswahili ajibu Kwa Kiswahili, akiulizwa kifaransa ajibu kifaransa, akikiulizwa kiingereza ajibu kiingereza.

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 Рік тому

    Namuona mbali sana konde kwanzia sasa.yaani atakuwa mkubwa kinuziki kuliko jana naleo.kwa hili lililotokea.

  • @MrNdanguza
    @MrNdanguza Рік тому

    The best to keep people wonder is to remain quiet about the matter achana na walimwengu waendelee ku wonder what's real happend , kubwabwaja ni vibaya, fanya kazi ,mengine baadae.

  • @catherinemasiga6666
    @catherinemasiga6666 Рік тому +1

    nywele naomba Uwe hivyo hivyo

  • @juliaslotannjoolai6700
    @juliaslotannjoolai6700 Рік тому

    Poa sana bro

  • @hellenbenny8913
    @hellenbenny8913 Рік тому

    Nice one

  • @mkalywagoka9913
    @mkalywagoka9913 Рік тому

    Kwanii kiswahili hujuii sifa nyingine bana za kijiiingaaaaaa

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 Рік тому +8

    Konde music world wide

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 Рік тому +2

    Jeshii 🔥🔥👌

  • @rosaree1705
    @rosaree1705 Рік тому +1

    We're here for the shoe let talk about the show nimekwama Hapo Mimi🤣🤣 au hawajaachana

    • @jabryhassan
      @jabryhassan Рік тому

      Nakukubali sana Rosa ree unavyochana

  • @benardmatano142
    @benardmatano142 Рік тому +1

    Mnyamwezi

  • @bashangerungwe9238
    @bashangerungwe9238 Рік тому

    Nnakukubali kaka

  • @marympochela7903
    @marympochela7903 Рік тому

    Usiogope, hata Wakenya huongea English ya Ki Kenya na tunawaelewaga

  • @jullythedone8615
    @jullythedone8615 Рік тому

    Kingereza kingi maswali ya kiswahili mbona kama sikuelewi Harmo

  • @pyroxwiliam
    @pyroxwiliam Рік тому

    Ndomana na wa ambiya wezangu mapenzi ya sasa ukijifanya mujuwaji sana wa mapenzi Na we piya yatakukutana kama Yale ambayo ya limukutana harmonaz
    ivi mwezenu harmonaz alisha umbuka 😀😀😀😀👈👈👈👈

    • @amflemwafula8866
      @amflemwafula8866 Рік тому

      Ongea kiswahili bhana mbona unaikuz lugha yawatu sana kuliko yakwako

  • @mecksanga8308
    @mecksanga8308 Рік тому

    Anacho niuzi anajikuta mzungu dumiisha lugha yenu ndo maana broo wenu anawapiga bao ana promot kiswahil

  • @chantalharakandi2576
    @chantalharakandi2576 Рік тому

    Jeshi ilo non comment

  • @djhajiztz
    @djhajiztz Рік тому

    #Kingleza atuelewi

  • @jastinmkandala5620
    @jastinmkandala5620 Рік тому

    Uongo huo ,kajala Ana Mimba tunajua hakuna have za kuachana hapo sema kapewa mda wa kulea mimba

  • @josphatkahihia6295
    @josphatkahihia6295 Рік тому +1

    He never said that...

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 Рік тому +2

    Unaulizwa KISWAHILI, JIBU KISWAHILI... Mana icho kingereza unafosi (American slang) , HUKIWEZI.

  • @rosengiloi9381
    @rosengiloi9381 Рік тому +1

    Ongea kiswahili ,

    • @rusijuju3845
      @rusijuju3845 Рік тому

      Sidyo hape if he can here in American Iyo kingereza itaisha 😢😂

  • @harunarashid6404
    @harunarashid6404 Рік тому

    🔥🔥🔥🔥

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 Рік тому +6

    Ngoja nikwambia haya ya you can have it today tomorrow you cannot have it. Hiki ni kizungu cha kuigiza sio kuongea.

    • @wakembetajaphary6006
      @wakembetajaphary6006 Рік тому +1

      Kilkuja na meli ya Mv Ukerewe

    • @mugemainyas5241
      @mugemainyas5241 Рік тому

      @@wakembetajaphary6006 kinachonipa hasira ni yeye kuulizwa kwa kiswahili alafu akaweka vizungu vyake visivyo na kichwa wala miguu. Sijuh wakishajifunza mziki wanaambiwa llugha ya mziki ni kizungu?

    • @wakembetajaphary6006
      @wakembetajaphary6006 Рік тому

      @@mugemainyas5241 hatujiamin na kiswahl chetu yan 😄😂ulimbuken tuuu na hyo English sasa

  • @Ndamungu
    @Ndamungu Рік тому

    Kingereza hujui unang'ang'ana nacho. Ongea kiswahili utaleta maana zaidi.

  • @herbertkamote2213
    @herbertkamote2213 Рік тому

    mshamba tu

  • @isayakihongile4921
    @isayakihongile4921 Рік тому

    Kuna undugu kati ya fedha na kiingereza, ukiwa na pesa kiingereza utachoongea hata ukiboronga inaonekana ni urembo tu

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 Рік тому

    No Mara waa

  • @nickmallelamd6953
    @nickmallelamd6953 Рік тому

    Welcome

  • @emmymshomi8893
    @emmymshomi8893 Рік тому

    sasa hao wakenya wanajua kingereza more than u sasa nn unafanyann mshamba huo msweta unavyouweka hapo mdomoni kama chekechea

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 Рік тому +4

    Harmonize ukiacha uzungu uchwara na ushamba utapendeza kidogo.

  • @hasahaally3275
    @hasahaally3275 Рік тому +1

    Wa Tanzania na English pole

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 Рік тому +1

    papa zuuh in kenya

  • @umutoniamida2341
    @umutoniamida2341 Рік тому

    💯💕✨

  • @aminaamis5453
    @aminaamis5453 Рік тому

    Mungu akusimamie konde

  • @gladyskemunto2479
    @gladyskemunto2479 Рік тому

    Amazing

  • @jaberjohn7556
    @jaberjohn7556 Рік тому

    He is always cool unfortunately he don’t get cool women. Buddy business not women. We love u. If you feel bored contact me come to usa am your sister bro. Kuja u

  • @Chady_Kizzo_Boy
    @Chady_Kizzo_Boy Рік тому +1

    jeshi

  • @nicholasmhina8705
    @nicholasmhina8705 Рік тому +1

    Yuko nchini Kenya anahojiwa kiswahili anajibu kiingereza hivi huyu jamaa akiwa kule unyamwezini ataongea nn lugha yako ya kiswahili iko poa acha kujishaua na lugha za watu!

  • @kenyaninfinland
    @kenyaninfinland Рік тому +2

    Mnifollow pia Mimi

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Рік тому +2

    Hamonaizi utalindwa mpaka kaburini hii ni dunia tu tuiwacha hata uwe jasiri kweli ikifika muda utaondoka dunia omba mwisho mwema kufanya ibada wewe ni mwislam achana na muzik

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 Рік тому +5

    Unapofika nchi za kizungu acha kuongea kizungu chako cha nasari unakuwa vituko kwa wenyeji ona wandishi wanavyo cheka juu ya kizungu chako

  • @dorothyshee777
    @dorothyshee777 Рік тому +2

    Nifikisheni 1k subscribers

  • @user-zh8wg3lc4i
    @user-zh8wg3lc4i Рік тому

    Harmonize kuwa mwangalifu na wanawake wanawake watakuangusha. Samsoni alisalitiwa na Delaila!!

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 Рік тому +1

    Uko Sawa Hana majivuno kama wengine .

  • @simonmagani9456
    @simonmagani9456 Рік тому

    Mdogo angu bodyguard abebi beg au nani huyo