Roho mtakatifu wa MUNGU atusaidie ufahamu mpana 🙏💕❤️🙌 MUNGU akubariki sana MTUMISHI WA MUNGU kwa mafundisho mazuri unayotupa Kila wakati MUNGU akutie nguvu BABAANGU 👏👏
Dada Dina hii kitchen party gala ya mwaka huu 2023 yan umeweza na Mungu wa mbinguni kwel amekuongoza kiroho kwa kumwalika pastor Antony yan gala party hii imedamshi kulko zote uzowah kuzfanya na Mungu akuongoze kufanya jambo km la mwaka huu be blessed sister
@@gracios1324 dada Mungu anataka watu wake wakubali asili Ile aliowaumbia ndivyo inavyo wapasa watumishi wa Mungu ,Bible inasema Wala msifwatishe namna ya dunia ,ni ushauri tu naomba Roho mtakatifu aseme nae
Neno limetubariki Mtumishi, tunaomba Wachungaji mngeweka msisitizo kwenye suala la unyanyasaji wakijinsia Kasi ya Wanawake kuuawa imekua juu sana, malezi ya watoto yamedorora, kina Baba wamekimbia majukumu yao ya ulezi, watoto wa kiume wanakosa roli modo za wababa mngeweka msisitizo wa kuongea majanga haya tunayopambana nayo, hayo ya michepuko na kichwa cha nyumba hayana maana tena
Maandiko yanasema atatuletea utajiri toka watu wa mataifa. Watu wa mataifa ni ambao hawajaokoka wengi ndio hao wateja. Hata yesu alifanya muujiza kwy ile harusi kana pombe ikatosha wageni. So sion shida.
Roho mtakatifu wa MUNGU atusaidie ufahamu mpana 🙏💕❤️🙌 MUNGU akubariki sana MTUMISHI WA MUNGU kwa mafundisho mazuri unayotupa Kila wakati MUNGU akutie nguvu BABAANGU 👏👏
Ubarikiwe na Bwana Mtumishi kwa mafundisho mazuri sana
Dada Sina umeupiga mwingi sana na sisi tunaofatilia uku kwenye you tube tumebarikiwaa na tumepokea watoto na barakaa
I have highly profited from these preachings , MIGHT GOD BLESS YOU PASTOR.
Your preaching and teachings are so deep and powerful, and blessed one, God bless you
Amen mtumishi asanteee kwa mafundisho mazuri 🎉🎉🎉🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Dada Dina hii kitchen party gala ya mwaka huu 2023 yan umeweza na Mungu wa mbinguni kwel amekuongoza kiroho kwa kumwalika pastor Antony yan gala party hii imedamshi kulko zote uzowah kuzfanya na Mungu akuongoze kufanya jambo km la mwaka huu be blessed sister
Nimebarikiwa sana na mafundisho ya Mch. kupitia K'G . Tina...hakika Mungu azd kukubariki
Asante saana pastor kapola unatusahidiaa kbsss
huyu ni hazina ya Tz na Dunia yote
Gift from to God
Daaah watu mmeinjoy sana siku io na pastor tony
Tumepata somo endelevu atukuzwe yesu kristo uliye hai 👏 Amiiina 👏👏👏
Life is spiritual,hongera dina kwa kachumbali hii sijaona bure life is spiritual
The preaching was heavy indeed 😊
Blessings
Asante pastor Tony👏👏👏
God bless you Pastor Tony
Amen and Amen 🙏🙏🙏
Wooooooow!!!Am blessed
Awa ndo wachungaji tunaowaelewa❤❤,,, ila wale wengine hamna kitu.
Huyu kijana ana neno la Mungu
Amen hii ni reality kabisa, gods bless you
Amen👏👏👏👏👏👏🇲🇿🇲🇿🙏🙏🙏
Kwa.mara ya kwanza naiona nimevutiwa sana kuchanganya neno la mungu imeleta amani na faraja
Such a powerful message
You made it, Dina
Sawa mtumishi wa mungu
Such a powerful message 🙌.
Amina
Amen. 🎉❤
Mungu amsaidie mama mchungaji mavaz yake ,lakini pia muonekano aumpi Mungu utukufu tukubali asili zetu
Mungu ndivyo alivyokwambia?
@@gracios1324 dada Mungu anataka watu wake wakubali asili Ile aliowaumbia ndivyo inavyo wapasa watumishi wa Mungu ,Bible inasema Wala msifwatishe namna ya dunia ,ni ushauri tu naomba Roho mtakatifu aseme nae
@@davanasluluanord mmmmh! Ningekufahamu wewe na familia yako ningekupa jibu zuri Sana, kwa Leo acha niishie hapa
@@leticiachunga9118 amen
Si uongo, mwingine nimeona hapo sketi kweli ni ndefu hadi kwenye miguu lakni sliti ya nyuma imefika kwa haga,
Be blessed Pastore
Probably, God is using you
Hii umehubiri kweli kweli MUNGU akutie nguvu
Ameeen
Dady 🙏🙏🙏🙏Mungu akutunze wewe ni zawadi kwa kizazj cha sasa na kijacho 🙏🙏🙏🙏
Ameen
Ujumbe mzuri sana
Powerful message pastor i'm real blessed💪💪
Amennnnn
Unajua na unqjua ten
Pastor namwelewaga sana huyu
Kwanza ananitoa mawazo hata kama na hasira nakuta nacheka
Amen
Neno limetubariki Mtumishi, tunaomba Wachungaji mngeweka msisitizo kwenye suala la unyanyasaji wakijinsia Kasi ya Wanawake kuuawa imekua juu sana, malezi ya watoto yamedorora, kina Baba wamekimbia majukumu yao ya ulezi, watoto wa kiume wanakosa roli modo za wababa mngeweka msisitizo wa kuongea majanga haya tunayopambana nayo, hayo ya michepuko na kichwa cha nyumba hayana maana tena
Uliongozwa na Mungu dada sio bure.
Mtumishi mi mi ninabisharaya pombe je inakibali mbele za mungu
Kama ni biashara inayowasogeza watu mbali na Mungu then... Sio nzuri.. muombe tu Mungu aingilie kati nayy atakuongoza Nini cha kujishughulisha nacho🥰
Maandiko yanasema atatuletea utajiri toka watu wa mataifa. Watu wa mataifa ni ambao hawajaokoka wengi ndio hao wateja. Hata yesu alifanya muujiza kwy ile harusi kana pombe ikatosha wageni. So sion shida.
@@jacqueisaac8155 don't misinterpret scriptures dear brethren!!!
@@starlight100-o2l pls explain
@@starlight100-o2l make it plain
Tunashukuru sana
Gating the point
Jumamos ujataja kwanini😢
❤❤
Mnacho niuzi manaongea kingeresa wakati mpo tanzania sasa siuende ulaya mbona huko ulaya hawachanganyi na kiswahili
Some people are always there to criticise than getting the message.
May God deliver you sir
kweli nilkuwa nakuona tu kwenye mitandao lakn Kwa Leo da nimebarkiwa san
British council panakuhusu. Hiyo audience hapo akichanganya lugha anaeleweka ndio maana
pastor umenibarik San mungu akulinde san
Ukiona hivyo hapakuhusu umevamia
God bless you more Pastor Tony
Amen 🙏
Amen
Kanisa lako liko wapi mchungaji?
Amen
Amen
Amen