Mungu akubarik mtumishi mm nabarikiwa Sana na hua ukimaliza kuhubir najichunguza najikuta bado si stahili kabsa ila kwa dam ya yesu na neema na rehema zake ninastahil
Pastor you are so humble!Mungu azidi kukutumia kuwafikia wengi hayo mazingira tu yanaakisi kiasi gani unajua kujishusha nami nakuombea Mungu akuinue zaidi
Ninavyoonaga ukiwa vijijini kuhubiri ninafurahiwaga sana sina cha kusema zaidi ya Mungu wetu wa mbiguni akulinde saaana hadi ukawalete wengi kwa yesu hadi binadamu akose la kujitetea nafarijika sana ubarikiwe 🙏🙏🙏🙏🙏
“Mtu ajaribiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu. ” - Yakobo 1:13 (Biblia Takatifu) Umenijibu swali langu huu mstari ulikuwa unanitatanisha sana Nadhani biblia ya Kiswahili inahitaji update kwa kweli Nakupata vizuri kutoka Germany!
Pr ninaswali,lanichanganya,mfano mtu amesoma akapata kazi lakini ufaulu wake ulikuwa niwakuibia na hapo anapokea mshahara,,sasa inakuwaje hapo huo mshahara unahesabiwa sio harali,na kama ivo atubu aendelee na kazi au aache kazi? Naomba msaada hapa PR mmbaga
Swali zuri, jibu n kwamba wizi ni dhambi unapotubu Mungu anasamehe songa mbele huwezi kubadili makosa ulo fanya, chapa kazi Maana unalipwa si kwa ufaulu ila kwa sababu unafanya kazi. Neema ya Bwana yatosha
Amen soo powerful courageous ND inspiring message God bless you pastor am soo blessed
Tangu niaze kusikiliza pr David mmbanga nimejegeka ki imani saaaana mtumishi wa mungu ubarikiwe sana🌹🌹🌹
Amina pr David Mmbaga Mungu akubariki sana nakutakia kazi njema na Watumishe wote Mahubiri Tv
Mungu akubarik mtumishi mm nabarikiwa Sana na hua ukimaliza kuhubir najichunguza najikuta bado si stahili kabsa ila kwa dam ya yesu na neema na rehema zake ninastahil
Duh nimebarikiwa na somo hili Mungu akubariki Mlefi, Nimejikagua nimefell mitihaniMingi namuomba Mungu aniwezeshe kufaulu ili nifike anapohitaji yy
Pastor you are so humble!Mungu azidi kukutumia kuwafikia wengi hayo mazingira tu yanaakisi kiasi gani unajua kujishusha nami nakuombea Mungu akuinue zaidi
Mungu ainuliwe
@@MahubiriPrMmbaga Amen
Ubarikiwe mtumishi, unaenda hata vijijini kulipeleka neno, this is good
Amina Ubarikiwe mtumishi
Yaan hapo kansan nafikri wanakuwa wanataman uende kila siku Mungu akubariki sana
Ninavyoonaga ukiwa vijijini kuhubiri ninafurahiwaga sana sina cha kusema zaidi ya Mungu wetu wa mbiguni akulinde saaana hadi ukawalete wengi kwa yesu hadi binadamu akose la kujitetea nafarijika sana ubarikiwe 🙏🙏🙏🙏🙏
Barikiwa sana mchungaji mmbaga.
Amina mubarikiwe sana wachungaji wote wa Mahubiri TV 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼💖💞😍💓
Ni kweli pst,asante kwa ujumbe wa mungu mzuri
BONA umesema na mimi ila kwanzia sasa naamini nimeshinda kwa JINA LA YESU AMINA 🙏🙏
Aisee mnakula wengi una halisha mmoja tu 😅😂🤣
Amina Pr 🙏
Ila lazima upunguze kula
Mchungaji mahubir yak yananijeng na yananibarik kiroh haty kimwili barikiw na uzidi kutup mafunzo mungubakubarik
Amina pr na asante sana kwa somo zuri barikiwa sana
Amina pr mbaga huwa natamani sana kuya ishi maisha yako
Kuna kitu Leo umeniongezea.nilikuwa sifahamu. Ubarikiwe mtumishi
Amen God bless u man of God
Amina sana Pr ubarikiwe kwa masomo.Mazuri nakufuatilia sana
hili fundisho kweli ni la manufaa sana maishani,ubarikiwe mchungaji
Na atukuzwe BABA, MWANA NA ROHO MTAKATIFU, hakika tunabarikiwa mno, neema yake yatosha Jina la Bwana lihimidiwe sana🙏🙏🙏
Amina sana Mungu akubariki pastor
iko namatazo mungu anajiwa
kama kuna jambo mahuburi Tv imenisaidia nayo ni Imani yangu Kwa Bwana na kumtumainia yeye peke yake. mbalikiwe sana wajungaji.
I really like that belief in you sis 🙏 God bless you
Ubarikiwe chombo Cha Bwana wetu Yesu kristo
Mchungaji asante kwa neno la mungu.
amen mtumishi
Asante kwa mafundisho mazuri🙏🙏
Amina nimebarkiwa san mtu wa MUNGU MUNGU akubariki
Amina ,masomo mazito haya, kuna mguso wa pekee sana.
Am superblessed..God be with you pr
amen and amen
Nawapata vizuri kabis ktk Bunda
Pr Mungu akubariki sana
Barikiwa sana mchungaji aki tangu nianze kusikiza mafunzo yako imenisaidia sana, napokea neno la Mungu nikiwa saudi arabia
Jambo Asante kwa mambo mazuri ya kufaliji.
Mbaga au unanipenda mimi kweli uliyosema ndiyo nilivyo.
Enock kilumile toka RUKWA
ASANTE NIMEBARIKIWA NASOMO HILI ASUBUHI.
Thanks man of God
Barikiwa pasta kwa mahubiri watu wote tubarikiwe
Hallelujah hakika mungu ni mungu
Mitihani hii yangu Mungu atanipa ushindi
Shukrani mwalimu 🙏🙏🙏
Pasta wapi hapo siku nyingi hatusikii saut yabwana
Amina mtumishi uaminifu kwa mungu ni faida kwangu ni kweli.
Mimi nahomba msaada wa maombi. Ni mimi nehome mtoto wangu Lumumba yuko hapa tanzania
Kazi njema watumishi mbarikiwe
Amina ,
Mungu akubariki sana sana
Amina 🙏 🙏 🙏
Stigman Onsare Tuned from Kisii, Kenya.
Chris from kisii town too
Yaaaaani wewe watu kamawewe mnatakiwa mbarkiweee3eeee knoma sana
“Mtu ajaribiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu.
”
- Yakobo 1:13 (Biblia Takatifu)
Umenijibu swali langu huu mstari ulikuwa unanitatanisha sana
Nadhani biblia ya Kiswahili inahitaji update kwa kweli
Nakupata vizuri kutoka Germany!
Lol!! Hiyo meza
Man of God
Mungu anisaidie roho ya visasi initoke
Amina
Mshukuru Mungu kwa chochote anachokupa…
Nitumiye nimeroyako ya wasp pasta
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
AMINA
Ubarikiwe Pr.
Amina na barikiwa sana na mauhubiri yako
Barikiwa mchungaji kwa huduma. Wako wengi wanao barikiwa kupitia huduma zako. Mungu aendelee kukuvuvia zaidi.
Amen
Amen 🙏
Nikupakie kwenye torolo alafu nikupitishe kwenye kamba
🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏
Pr ninaswali,lanichanganya,mfano mtu amesoma akapata kazi lakini ufaulu wake ulikuwa niwakuibia na hapo anapokea mshahara,,sasa inakuwaje hapo huo mshahara unahesabiwa sio harali,na kama ivo atubu aendelee na kazi au aache kazi? Naomba msaada hapa PR mmbaga
Swali zuri, jibu n kwamba wizi ni dhambi unapotubu Mungu anasamehe songa mbele huwezi kubadili makosa ulo fanya, chapa kazi Maana unalipwa si kwa ufaulu ila kwa sababu unafanya kazi. Neema ya Bwana yatosha
Amen God bless you man of God
AMINA
Amina
Amen 🙏
Amen
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌.
Amen