JINSI YA KUONA MATUKIO YAJAYO KABLA HAYAJATOKEA/KUIONA FUTURE FANYA HIVI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • JINSI YA KUONA MATUKIO YAJAYO KABLA HAYAJATOKEA/KUIONA FUTURE FANYA HIVI #fafanuomedia #knowledgeforyourfuture #tujengemahusiano
    ‪@FAFANUOMEDIA‬

КОМЕНТАРІ • 38

  • @user-bd1qt2gx2s
    @user-bd1qt2gx2s 4 місяці тому +4

    Huyu anazungumzia Roho Mtakatifu asitundanganye hapa akinaimbia Roho Mtakatifu mm nakubaliana naye hiyo ili uone hakikisha utendi dhambi yaani uko safi na hiyo nguvu iko kwa wakristo waliomkiri Yesu kuwa ni mwokazi wa maisha Yao

  • @SesiliaMorice
    @SesiliaMorice 2 місяці тому +1

    Meditation ❤❤ni msaada sana jmn hamjui tu

  • @Soundstarlhb
    @Soundstarlhb Місяць тому +1

    Ukiwa mtu mwenye akili ti me amu aya ya atakusaidia sana yani kweli kabisa asante

  • @obuyakastola
    @obuyakastola 4 місяці тому +2

    Tuko pamoja twende kazi

  • @Annalisejg2ur
    @Annalisejg2ur 4 місяці тому +1

    Kweli kabisa

  • @mamashamte
    @mamashamte 2 дні тому

    Niko tayari kupata

  • @mbwangatv3355
    @mbwangatv3355 4 місяці тому +1

    Kweli k Kaka

  • @Mrmichael699
    @Mrmichael699 4 місяці тому +1

    Ni kweli

  • @user-ny1ev1bi8u
    @user-ny1ev1bi8u 4 місяці тому +1

    Aminaa

  • @LucyPeter-nu8pm
    @LucyPeter-nu8pm 4 місяці тому +1

    Nikweli kabisa

  • @IsackBukulijoro
    @IsackBukulijoro 4 місяці тому +3

    Mmmmmh 🎉🎉

  • @DinahJ-ln8pr
    @DinahJ-ln8pr 24 дні тому

    Usipuuuze ndoto aky ndoto zingine zinakuanga za kweli

  • @ArsenSilayo-r4o
    @ArsenSilayo-r4o 4 місяці тому

    Asante kwa fundisho zuri. Naomba kujua jicho kuwasha kuelekea paji la uso ina maana gani

  • @linetkimto4904
    @linetkimto4904 4 місяці тому

    🥰🥰🥰💖💖💓🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @speciozakaloli
    @speciozakaloli 4 місяці тому +2

    Jicho la tatu?

    • @speciozakaloli
      @speciozakaloli 4 місяці тому

      Nimejaribu kufungua jicho la tatu limekataa

  • @LucyPeter-nu8pm
    @LucyPeter-nu8pm 4 місяці тому

    Kati yawatu hao basi na mm nimmojawapo

  • @ciprianokapalekoko6301
    @ciprianokapalekoko6301 4 місяці тому

    Lisemwalo liko,na kama aliko laja.kama uamini basi jalibo.

  • @Rahayirwa-qy3vx
    @Rahayirwa-qy3vx 4 місяці тому

    Sio jicho laTatu ni ujuuzi wa saiclojia na huu mwalimu anatwambia kuwa na ujuuzi wa saiclojia

  • @Asiyedjali
    @Asiyedjali 4 місяці тому

    Pia mwalimu nikufanya meditation mara moja tu nakupata jibu?

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 4 місяці тому +1

    Niliwahi kuota nyumbani wamevamiwa na majambazi na wameumizwa sana damu imetapakaa, ndani ya masaa 24 tukio likatokea na watu waliumizwa sana ningejua ningewaambia wasilale nyumbani😢

  • @mayanmlingwa4250
    @mayanmlingwa4250 4 місяці тому +5

    Uongo uongo tu...JICHO la 3 lifunguliwe kizembe zembe hivyo fanya masihala sana.

    • @FAFANUOMEDIA
      @FAFANUOMEDIA  4 місяці тому +2

      Hilo somo tulisha fundisha ndugu, kw wanaofuatilia wanajua ndugu, somo hili limejikiza zaidi na clairvoyant, tafadhali share nasi kipi ni sahihi ndugu, karibu tuendelee kujifunza pamoja

    • @godwinkileo7702
      @godwinkileo7702 4 місяці тому +1

      Fanya utafiti ndio upinge au kusema ni uongo

    • @IsiyandeEzechiel-fh1gr
      @IsiyandeEzechiel-fh1gr 4 місяці тому

      Wew hujui usiw unapinga vitu usivojua

  • @wahidymrosso1894
    @wahidymrosso1894 4 місяці тому

    Weka hta namba ya cm bc kunavitu ningne tunataka kuvijua ambay vinatutokea

  • @Asiyedjali
    @Asiyedjali 4 місяці тому

    Mwalimu elimu yako nizuri sana.ila naomba namba yako.

  • @AbubakarJohn-bz9dj
    @AbubakarJohn-bz9dj Місяць тому

    Tatzo lawatanzania tuuwabish hatufundishik nahatunaiman hivyokama mtuhuelew achakukashfu

  • @LeahSakwa-tg1yj
    @LeahSakwa-tg1yj 4 місяці тому

    niliota nipo mawinguni na watu wenye mavazi meupe nataka kujua maana yake