ROMA amchana NIKKI MBISHI "Wewe ni MCHAWI acha roho mbaya, unachukia kila mtu fanya mziki wako"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 сер 2021
  • #Roma

КОМЕНТАРІ • 119

  • @dkensmopainvevo3683
    @dkensmopainvevo3683 3 роки тому +9

    Hehehehe. Message noted,
    But Nikki hawezi badilika hio ndio hip hop 🔥😂

  • @Hanskapella
    @Hanskapella 3 роки тому +13

    Niki mbishi anaongeaga ukweli, sema ndio ivo tu anadamu ya kunguni

  • @jongwemomumo8729
    @jongwemomumo8729 3 роки тому +5

    Nikki Mbishi 🎆🎇🔥💥🔥💥 Roma rudi Nyumbani kumenoga 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @einsteinfromeastern2704
    @einsteinfromeastern2704 3 роки тому +14

    Hip Hop ni tamaduni na Nikki ni mwakilishi wetu 😏

    • @hardd2497
      @hardd2497 3 роки тому

      Hiphop ipo katika sura tofauti sana na hii ndio huleta burudani maana kila mmoja hutoka kwa style yake NA mashabiki huangalia ladha wanazotaka..
      Hata huko USA ilipoanzia wasanii wanatofautiana lakini wote wanaimba Hiphop. Kuna wanaochana hardcore hiphop kama akina KRS-One, Buster Rymes, Twista, DMX lakini hawakufanikiwa sana ukilinganisha na akina Jarule na 50Cents.
      Kuna wanaoitwa Rap singers, mfano Eminem. Anaimba huku anarap. Vilevile Lil Weezy ambaye kuna wakati anaufanya mziki wake anakua kama mwanamuziki wa Rock n' Roll.
      Kuna wanaoimba hiphop softy kama Will Smith, zote ni hiphop.
      Kuna wanaotegemea autotune. Kama akina Kanye West, Tpain.
      Huwezi kuelezea upana wa sanaa linapokuja swala la muziki wa hiphop
      Style ya kughani ya raper Fabulous. inafanana na style ya NIKi Mbishi
      Kitu pekee ambacho ni rahisi ni kueleza asili ya muziki wa hiphop na muundo wake. Lakini unapoelekea no swala la wakati.

  • @darhustler
    @darhustler 3 роки тому +2

    Uandishi Roma ni mwepesi na Uandishi wa Nikki ni mzito. Mahasimu hao

  • @alimadmaulid2567
    @alimadmaulid2567 3 роки тому +2

    Binafis siwezi kumkosea heshima Niki mbishi kumshindanisha na non-hip hop Roma hivo tu.

  • @mutsdimkami6677
    @mutsdimkami6677 3 роки тому +6

    Wapige Dis track waache maneno

  • @datkazumari4014
    @datkazumari4014 3 роки тому +4

    eti Nikki anachana prof j na kumfundisha nyimbo za kuimba dah !!! ,, Nikki ni msanii sana ila shida yake anajikuvali sana ndio maana amekuwa mtu wa kumchana kila MTU na ndipo anapokosa michongo ya kupiga ela ,, ivi unasenaje Roma ni maanii mbaya wakati kwenye mauzo ya wanamuziki wa hiphop bongo yuko top3 na alishawai shinda tuzo ya nyimbo bora ya mwaka ya hiphop (mathematics) kabla hata izo issue za kutekwa na anetoa hit kibao kama KIDOLE CHA MWISHO JUU, MTANZANIA,, 2030,, kabla kutekwa kwake,, kwa kifupi Nikki shida yako ni kujua sana na bangi

  • @mjuba
    @mjuba 3 роки тому +7

    Eti Roma kiherehere chake kimezidi kimefika Tatu, kinatakiwa kiwe angalau moja au moja na nusu iv 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Majembe12
    @Majembe12 3 роки тому +6

    Naona mbishi Sasa anaanzisha ubishi wake🤣

  • @disantojevnco2718
    @disantojevnco2718 3 роки тому +2

    Ni wakati kila mtu kuangalia maisha yake sio unawamulika wenzio tu uwo ni uchawi kweli usijione wewe ni bora kuliko mwenzio .

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 роки тому +2

    Mhh Niki mbishi nae hovyooo Roma anajulikana kitambo sana au yeye ndo aliekua anataka kupata umaarufu kupitia jina la Roma?

  • @elisantemsumanje1381
    @elisantemsumanje1381 3 роки тому +1

    Wew mwamba unayeongea umepanic, Nikki ni pure nikki no mkweli

  • @chedinathaniel942
    @chedinathaniel942 3 роки тому +2

    Roma amesahau kuzungumzia jinsi alivyomuibia mistar anaemzungumzia

  • @niyongendakosamuel858
    @niyongendakosamuel858 3 роки тому +2

    Roma ndomana nakukubali unashi ki hip hop zaidi

  • @nilusclavery9855
    @nilusclavery9855 3 роки тому +2

    Music ni interntainment .. fanya research kokote dunian , wale ambao ni best singers tu af kwenye kuintertain hawako vizur mziki wao hauwalip kama ambavyo inatakiwa kuwa .. so wale ambao wanaimba af wako vizr kweny kuintertain ndo wanaupiga mwing sanaaa .. look it kwa jicho la utafit

  • @directormaganga7698
    @directormaganga7698 3 роки тому +2

    Nikki choko kinoma

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 3 роки тому +4

    Afanye mziki gani huyu jmaaaa amekuwa kma wale wamama waimba tarabu nikudiss tu kilakona 😂😂😂

    • @kennyrogers4734
      @kennyrogers4734 3 роки тому

      Alafu huaananishangaza sana Niki mbishi sikiliza nyimbo zake zoooooote lazima amtaje mtu vby sasa ndo unaimba vzr Niki mpuuzi sana

  • @victorclement3463
    @victorclement3463 3 роки тому +2

    Nikki mbishi ni mpumbavu tu hana ubishi wowote tozi tu yaani kuachana na mziki hata kimtaa Nikki mbishi ni bishoo sana ila japo roma wanasema anaimba ngonjera lakini roma kimtaaa ni hip-hop zaidi

  • @ericklaura7511
    @ericklaura7511 3 роки тому +3

    Viva Roma but don't fight for greatness💪💪💪🗣

  • @bundukitv1322
    @bundukitv1322 3 роки тому +3

    Nick anazingua

  • @divaimafuru7633
    @divaimafuru7633 3 роки тому

    Sure

  • @zuleajuma7297
    @zuleajuma7297 3 роки тому +2

    jamani roma nimkubwa sana

  • @Eddo-es7zs
    @Eddo-es7zs 2 роки тому

    WELL SAID ROMA, YOU ARE SO HUMBLE BRO

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 роки тому +1

    Roma yuko sawa kbs

  • @hkmeme5437
    @hkmeme5437 3 роки тому +1

    Roma ni mkali sana napenda nyimbo zake sote

  • @elinjex9899
    @elinjex9899 2 роки тому

    Anakoelekea NIKKI MBISHI atakosana na kila Mtu maana yeye anaona kila MTU anazingua

  • @janetahmed6948
    @janetahmed6948 3 роки тому +3

    Njo muamini maneno ya baba levo

  • @sifatiiman
    @sifatiiman 3 роки тому

    Yeeees nimesoma kule kwa roma na huku nimekuja roma yuko sahihi kabisa huyo mku**u mbishi aendelee tu na ubishi wake

  • @kiso9333
    @kiso9333 3 роки тому +1

    Mi sihangai sana hiz dic zawasanii ila nick acha izo ukiwa unadic wenzako tutakunyang'anya ubish af tukupe umboga ila nakukubali

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 3 роки тому +4

    Ruge alikuambia ttzo linaanzia kwenye jina yaan jina ndo inafnya uwe mbishi kama mk...ndu baki n hip hop alfu maisha magumu et..

  • @stephanokigosi656
    @stephanokigosi656 3 роки тому

    ni kweli kabisa, kinachomkost nikimpishi ni ujuaji

  • @eliapendakileo6289
    @eliapendakileo6289 3 роки тому +1

    Yaan Niki kujifananisha na na Roma nisawa kufanisha kifo na usingzi

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 роки тому

    Akuna point apo

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 3 роки тому +1

    Ni mawazo yake. Huo ndo uhuru unaoutaka Roma. Sikuliza watu wanakusemaje sisi wewe kuwaimba na kuhisi kila mtu ataappriciate

    • @nassarrostom1919
      @nassarrostom1919 3 роки тому

      Roma mwanasiasa sio msaniii ila ana element ya kuwa msaniii

  • @daudmtange8005
    @daudmtange8005 3 роки тому +1

    Nakumbuka mchomvu alimwambia tatizo lako ni jina badilisha jina hilo 😃😃

  • @sirizawa3360
    @sirizawa3360 3 роки тому

    Nazikubali sana ngoma za niki mbishi sauti ya jogoo aka pesa kwanza baba markom zahan na nyingine za kitambo lifestyle unayo ishi sasa siielewi kila nikivuta picha naona chenga hip hop nimaisha

  • @chakuboyofficial9720
    @chakuboyofficial9720 3 роки тому +1

    Roma ni msani mkubwa sanaa kuliko uyo wenu Nikki mbish ,ni mwehu

  • @abdulraufmohammedsalum6806
    @abdulraufmohammedsalum6806 3 роки тому +4

    Viva Roma Viva

  • @ahmedishabani9102
    @ahmedishabani9102 3 роки тому +2

    Mxhamba2 Nikki

  • @wanderaothumani4919
    @wanderaothumani4919 3 роки тому +1

    Una mafua? Creez favors

  • @barakamshiu7146
    @barakamshiu7146 3 роки тому

    Huyu jamaa anawivuuu sanaaa...

  • @ayomonsterbeats8408
    @ayomonsterbeats8408 3 роки тому +3

    Roma chuki na taarabu nyingi

  • @salimsuleiman2340
    @salimsuleiman2340 2 роки тому

    Nikki ni mtu asiyekua na future

  • @Abdullatif-zv2qq
    @Abdullatif-zv2qq 3 роки тому

    Ukimzunguzia Roma unaizungumziaa number 9 Yani ww nikki ni 4 Roma atabac kuwa roma tuu hawez badilikaa Yani saiz y'ako ni joselin mtambo na sioo romaa

  • @kreamagdfsa1697
    @kreamagdfsa1697 3 роки тому

    Napita tu

  • @tullywilson9264
    @tullywilson9264 3 роки тому

    Nikki achana na mziki, fanya vtu vngne utatoka

  • @amnyirerichardo210
    @amnyirerichardo210 3 роки тому +2

    Niki mbishi nani huyo mbona cimujui

    • @anytime5685
      @anytime5685 3 роки тому

      Ndio rap ambaeye yuko vizuri kwenye misingi ya hiphop tatizo ni kuwa na msimamo wa hard hip-hop

  • @nyangauwest7059
    @nyangauwest7059 2 роки тому

    Aujui ki2 mtoto mdogo

  • @erickmunyaigara3476
    @erickmunyaigara3476 3 роки тому

    Hiphop sio nikki mbishi...aache kujikuta yeye ndo hiphop halafu hakuna alichoifanyia....kama roma alimfundisha hiphop kwanini usiwe proud mwanafunzi wako anafanya vizuri...nini kinakuumiza nikki....ebu jaribu tu kuuliza wangapi wanajua hata nyimbo zako 5...

  • @josephmsafiri8042
    @josephmsafiri8042 2 роки тому

    nikki ndo nani. huwa nasikia tu Nikki Mbishi hilo jina tu kwanza ni shida. Mi namfahamu Nikki wa pili mhe.mkku wa wilaya ya Kisarawe. in short kujifananisha na Roma ni sawa na sisimizi kujifananisha na tembo. hip hop siyo majungu umekariri vibaya dogo. Roma kakwambia acha kujifungia magheto. kumbe huwa unachana ukiwa gheto mwenyewe n kujikubali. nimecheka sn duh.

  • @deedollarsdeedollars9909
    @deedollarsdeedollars9909 3 роки тому

    #Uwez kumpangia mt anaye jitaftia maisha yake nik Ukabila sio utaku coast kwa kutaka kusifiwa ww na ubishi wako..

  • @duncangatundu1397
    @duncangatundu1397 3 роки тому +2

    I love Roma 🇰🇪🙏🙏🙏

  • @rajabukwirassa779
    @rajabukwirassa779 3 роки тому

    Niki mbishi unayumba wapi umetoka kwa chidi benzi saizi upo kwaloma

  • @carlosford4384
    @carlosford4384 3 роки тому +1

    Niki mbishi hajawahi milikii Akili

  • @pflavour7181
    @pflavour7181 2 роки тому

    Roma niwa moto san ONDOA maswala y kutekwa

  • @frankphilipo2930
    @frankphilipo2930 3 роки тому

    Na mimi mbishi pia simsikizi.mtu

  • @hkmeme5437
    @hkmeme5437 3 роки тому +5

    Roma na Nikk mbishi wako different wote ni ma lyrical nawapenda wote, naweza skiza nyimbo za Roma kuliko Nikki mbishi

    • @juliusmj8341
      @juliusmj8341 3 роки тому

      Msikilize sana Nikki, hawa jamaa wanaweza kufanya Hip Hop iwe mbovu, Nikki kawa kama teacher wa misingi ya HipHop, achana na umaarufu tukiongelea ufundi kuna watu kama Mapacha ni hatari sana

    • @hkmeme5437
      @hkmeme5437 3 роки тому

      @@juliusmj8341 Nikk mbishi ni mkali kwa kucheza na maneno kufumba ni deep sana kumuelewa, Roma ni mkali kwenye nyimbo za kiharakati hakuna kama Roma halafu ni muuaji wa zile beat zake za tongwe record

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 3 роки тому

      Nikki ameimbaga nyimbo gani? Simjui et

    • @hkmeme5437
      @hkmeme5437 3 роки тому

      @@masalakulwa7601 tafuta 😂

  • @jumasalum1707
    @jumasalum1707 3 роки тому +4

    Nikki mbishi ni nani au ndo yule nicki minanji uyo anataka bwana kama vp roma chukua demu uyo

  • @shaphyvuai6805
    @shaphyvuai6805 3 роки тому +2

    Kwenye Post ya Roma nimependa kule mwisho tu.... Nikki kujifanya too much know kwenye kila kitu...hapa anakosea Nikki

  • @nassarrostom1919
    @nassarrostom1919 3 роки тому +4

    Roma sio msaniii bt mwanasiasa

    • @elsonkibasindila7526
      @elsonkibasindila7526 3 роки тому

      Ukiwa hauna akili mambo mengine usiandike ili kuonesha ujinga wako

    • @kheriabdu7763
      @kheriabdu7763 3 роки тому

      Kama akilizako za mbogo uliza wanaojua what hip pap
      Is

    • @mbembelatv
      @mbembelatv 3 роки тому

      Ndo tatzo la ulevi hili

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 3 роки тому

      Wewe mbwa hujui kitu

    • @nassarrostom1919
      @nassarrostom1919 3 роки тому

      @@mbembelatv sio ulevi kila mmoja ana mawazo yake Kwani we uko sawa?

  • @mhandoomary8539
    @mhandoomary8539 3 роки тому

    Amezidi bwege huyo

  • @goodykisenga2078
    @goodykisenga2078 3 роки тому +1

    Uyo nikiminaji anatafuta kiki coz anampya dunia hii y reo mwambie aache mipasho hep hop imemshinda futi6 uyo aimbe talabu manina zak

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 3 роки тому

      Huyo sio niki minaji ni niki mbishi niki minaji ni qa malekani😃😀😃😄

  • @niyongendakosamuel858
    @niyongendakosamuel858 3 роки тому

    Huo Niki mbwa tuuuu anajiona mkali kweli kumshinda Roma kweli anatufuta Kiki mshenzi huo

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 3 роки тому

    Kwani huyu Nikki bado yupo? Makubwa haya apitie huo upepo atoke

  • @sidrasidra8616
    @sidrasidra8616 3 роки тому

    Hu jama nam ame nikera haki 😏

  • @stanleymartin2943
    @stanleymartin2943 3 роки тому

    Alafu huu usemi wa makasiriko km mm nimeusikia kwa msami lkn msemo huu ukija kuwa mkubwa utawasikia wanagombania kila mmoja atasema wa kwake

  • @nostusmchilo5645
    @nostusmchilo5645 3 роки тому +2

    We nick wakujilinganisha na Roma hata charinze hawa kujuwi

  • @gabonwashington3032
    @gabonwashington3032 3 роки тому

    SnS mko poa sana

  • @annabadru2352
    @annabadru2352 3 роки тому +4

    I❤️ Roma wa tanga mwezangu 💪🏽💪🏽

  • @emanueljohn9294
    @emanueljohn9294 2 роки тому

    Cku zote km unafanya kitu kizur lazima kitaonekata km sio kusikika,chuki beef is not hip-hop,acheni kuaminisha watu ivyo,nafikili Keke ya taifa Ina uwanja mpana sn yeyot anaweza kula kwa atakavyobarikiwa,sio lazima umu-attack mtu ndio ule ,acheni mziki uongee,Ila broo nistuka ad kwa proof j unaweza ..... Naona ipo shida kwako bro nikk ,xo mk evaluation uaselfffffffff lm out

  • @mrh2812
    @mrh2812 3 роки тому +3

    Ila kiukwel Niki kakosea ila me namkubal kinom

  • @shurweryimanalidiashurwery2947
    @shurweryimanalidiashurwery2947 3 роки тому +2

    Nikki mbishi awe na adabu roma ndo baba yao

  • @simonitolya8029
    @simonitolya8029 3 роки тому +3

    Hamna content hapo,Nikki kutokukubarika kwenye stage na kutokupewa michongo ni hypocricy yetu wabongo baada ya kusema ukwel,au kutokukubari kuwa chawa.Nikki ni mkal kuliko msanii yeyote wa hip-hop hapa Bongo,sema He is always keeping it real,kitu ambacho wabongo wengi hatukipendi,Talking about lyrics,Nikki is a lyricist do not mess up with Nikki is an hip-hop icon of Tanzania,apart from that we are eaten by hypocrisy.But putting Roma and Nikki is fuckin nonsense.Over

  • @Maulambo
    @Maulambo 3 роки тому +1

    wazee na refresh page yenu kila muda bado story ya kanye west haijaandaliwa #DONDA

  • @dfinalpatrick8555
    @dfinalpatrick8555 3 роки тому +3

    Ni bangi zina mdanganya anajitahidi kuishi et kwa misimamo ya jina lake😄😄😄😄

  • @ibrapablo5429
    @ibrapablo5429 3 роки тому

    Kwel mchane huyo hana jipya

  • @Elimunamalezi
    @Elimunamalezi 3 роки тому +2

    kila siku unalalamika tuu nikki wanao mfahamu basi hawazidi watu hamsini au 60 tuu nani a anamjua nikkibishi,yaaani analalama tuu kila siku,nikki mbishi umekuwa mwehuu kabisa acha ujinga na heshimu wezako,zombi kabisa wewe huna lolote nani akupe show wewe au utaiMba wimbo gani,watoto wadogo wanakuja na kuhit wewe wapi,leo hii lapcha anafahamika kuliko wewe

  • @abdulraufmohammedsalum6806
    @abdulraufmohammedsalum6806 3 роки тому +2

    Nikki mshamba tu

  • @godfreylyimo9442
    @godfreylyimo9442 3 роки тому +2

    Nikki ndo nan

  • @edsonjeremiah5905
    @edsonjeremiah5905 3 роки тому +1

    Niki mbishi kasema ukweli tupu

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 роки тому +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌

  • @barakadaprince3742
    @barakadaprince3742 3 роки тому +3

    Tatizo niki mbishi bangi nyingi zina mzingua #Roma ni moja kati ya wasanii wa hip hop wakubwa sana tz roma me nisha shuhudia shows zake nyingi sana akiwa yupo jukwaani yani vibes lake ni nooma sana apewe tu heshima yake niki chuki zke ndo zina mkwamisha alikuja kuwa diss #team yangu weusi bila sa7bu yyote then bado tu ana lalanda landa mtaani🤣🤣😂😂😂😂😂

    • @jacksonsabana2150
      @jacksonsabana2150 3 роки тому

      Una unalolijuwa ww zaidi ya kulelewa na watoto wa kike na kuzilazila km demu ujuw hip hop bk na ndombolo ya solo huku utapelekewa moto

    • @barakadaprince3742
      @barakadaprince3742 3 роки тому +1

      @@jacksonsabana2150 aya nambie unacho kijua ww mtto wa mama kwani hip hop nini niuadui? Au nikujenga chuki kwa wasaanii wenzio?

    • @shamraabdallah1456
      @shamraabdallah1456 3 роки тому

      @@jacksonsabana2150 acha ufala ww

  • @shedrackatanasio9734
    @shedrackatanasio9734 3 роки тому

    Roma mkal ww

  • @eliatullo1929
    @eliatullo1929 3 роки тому

    Daaaaah!! Yani huyu jamaa mziki wake hata sijawahi kuulewa anaimba nn Zaid ya bifu za kijinga #Niki my brother mziki wa zaman sio wa leo

  • @supergunofficial1517
    @supergunofficial1517 3 роки тому +2

    Jina lenyewe ni #MBISHI sa kwanini asibishe

    • @allyomary9711
      @allyomary9711 2 роки тому

      Dah kueni na akili makaka nye Nikki anatete mtaa ci watt wamtaan tunamkubali antupa akili ya ziada Roma anafichua siri za siasa yule mtetezi wamtaa usije mtukana Nikki nyie wegi wenu wamjengon face kama izi auwezi kuta anakaayoshi