MUHIMU ZITANGAZWE WATANZANIA WAZIFAHAMU IKIWEZEKANA FUNGUENI VITUO VYA ELIMU NA MAUZO NCHI NZIMA, LENGO LINAWEZA KUFIKIWA ,NCHI INAWEZA KUOKOA PESA NYINGI SANA ZAKUAGIZA BIDHAA HIZO KUTOKA NJE
Guys, unaonaje hizi video, je unapata chochote kitu wakati akitazama hii channel, please comment, nijue kama kuna sehemu ya kurekebisha, lengo ni kukupa taarifa, elimu na exposure mtazamaji.
Hongera sanaaaa kwani zitarahisisha uzalishaji
we have to use our own, I appreciate the work
nimependa sana here go tz
Nice
Jamani kama kweli hizo mashine zinaundwa tz jambo la jema sana
Kelele.. nyingii.. uskivu duni.
We appreciate, tutarekebisha na kuboresha sauti,
MUHIMU ZITANGAZWE WATANZANIA WAZIFAHAMU IKIWEZEKANA FUNGUENI VITUO VYA ELIMU NA MAUZO NCHI NZIMA, LENGO LINAWEZA KUFIKIWA ,NCHI INAWEZA KUOKOA PESA NYINGI SANA ZAKUAGIZA BIDHAA HIZO KUTOKA NJE
Ni kweli Boss, ndio maana tumeanza kwenye social media
😂😂 Wachina gani..???
I like it bt gharama zake zikoje
Okay, unahitaji mashine ipi boss, ili nikupe bei, na pia unaweza piga simu namba 0753435912
Guys, unaonaje hizi video, je unapata chochote kitu wakati akitazama hii channel, please comment, nijue kama kuna sehemu ya kurekebisha, lengo ni kukupa taarifa, elimu na exposure mtazamaji.
Good work, capmuni iko wapi
Ipo Morogoro
🤣 Promo_SM