NAY WAMITEGO- MIMI NINA DHAMBI NYINGI SANA,MASHOGA,LAANA,ILA MUNGU WANGU ANANISAMEHE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
    Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
    Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

КОМЕНТАРІ • 175

  • @ghuhenjasper8666
    @ghuhenjasper8666 2 роки тому +18

    Nakushauri kaka Ney, Usiache kuimba nyimbo za Kisiasa. Mkiwa wawili wewe na Romma mambo yataenda.

    • @kakaaignas3675
      @kakaaignas3675 2 роки тому

      Ney kichwa sana

    • @swahililandtv1
      @swahililandtv1 2 роки тому

      UCHAWI NA MAPENZI / AINA YA NDOA full interview na wadada pambe

  • @ema4968
    @ema4968 2 роки тому +4

    Hongera japo sasa kwenye ibada sikuelewi Mungu yupi unamwabudu

  • @josephsimba3007
    @josephsimba3007 Рік тому +3

    Nakupenda sana kutoka congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥💪☝🏾 ney for live 🇨🇩

  • @masudimwinyi7301
    @masudimwinyi7301 Рік тому +1

    Kataa kubali rukaruka lkn siku moja tuu ndani ya jeneza ndio utajua km Mungu wako ndio uyo uyo aliewaumba watu wote pamoja uyo unaemuabudu nae pia kaumbwa na Mungu unaemkataa wewe dunia tuu inakuadaa ndugu yangu mAisha ayo ulionayo Ni mapito tuu

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 2 роки тому +7

    Kwel wew ni True boy 🔥

  • @SaidHamisi-ng4pv
    @SaidHamisi-ng4pv 5 місяців тому

    Inakuwaj mshikaji wangu raisi wetu wamta naitwa said khamissi from rwanda endelea kupambana kaka nakubali ngoma zako broth

  • @onesmomlinga2739
    @onesmomlinga2739 2 роки тому +5

    Mtangazaj yupo perfect sana hana mambo mengi

  • @issahamis3286
    @issahamis3286 2 роки тому +2

    Nakubal true boy hakuna kama wew nakubal mzee mbabaa

  • @mpundempunde1722
    @mpundempunde1722 2 роки тому +7

    Ney we ni fala mzee upo na akili nyungi sana big up man you are real niga

    • @swahililandtv1
      @swahililandtv1 2 роки тому

      UCHAWI NA MAPENZI / AINA YA NDOA full interview na wadada pambe

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 2 роки тому +10

    Mtangazaji anafanana na Hamorapa🤩

  • @captenndunga6745
    @captenndunga6745 2 роки тому +21

    Kusema ossama alikua gaidi namba 1 duniani unakosea usiongee usichokijua... Soma kwanza historia ya mtu kabala hujamchafua ni kama wewe tulivokua tunajua unakunywa pombe kumbe hunywi... Tusikariri historia potofu walizitupandikiza wazungu ni sawa na kuamini kua idi amini alikua anakula nyama za watu au kuamini kwamba gadaf alikua dikteta.. Tujifunze kusoma hisoria za wanaharakati walotangulia kabala kuwachafua KUNA MWANDISHI 1 ALIWAHI KUSEMA UKITAKA KUMTAWALA MUAFRIKA KIFIKRA WEKA HISTORIA KWENYE VITABU mana hatuna desturi ya kujisomea vitabu.

    • @jumakassim8718
      @jumakassim8718 2 роки тому

      Swadakta

    • @swahililandtv1
      @swahililandtv1 2 роки тому

      UCHAWI NA MAPENZI / AINA YA NDOA full interview na wadada pambe

    • @johnmalembo6464
      @johnmalembo6464 Рік тому

      Wasanii wengi hawasomi vitabu....
      Ndomaana wakaitwa wasanii... Maneno mengi without facts... Burabura nyingi without big minds.

    • @SajeedaBilal-hg2ph
      @SajeedaBilal-hg2ph Рік тому

      Kweli kabisa kaka, wengi wetu hatusomi historia,wazungu walitudanganya na wanaendelea kutudanganya

    • @ManmanChuwa-ku4cr
      @ManmanChuwa-ku4cr Рік тому

      Ni gaidi vipi!? Elezea so ugaidi wake ulikuwa WA faida au hasara

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 Рік тому +2

    Ney king of hip-hop tz and afrika

  • @rashidkihunga2938
    @rashidkihunga2938 2 роки тому +5

    Ney big up sanaaaaaaa

  • @sirbaraka
    @sirbaraka 2 роки тому +2

    Presenter uko vzr sana,Nay wa mitego uko very realistic 💪

  • @AnuwarAbdallah
    @AnuwarAbdallah Місяць тому +1

    Hapa Ney anasema anaabudu shetan

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 2 роки тому +1

    Am tz mupo vizur na MTANGAZAJI amechangamka sana anajua sana🥰💯

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 2 роки тому +1

    Ney na kukubali sana nakutazama kutoka saudia Arabia.

    • @allyzanzibar8983
      @allyzanzibar8983 2 роки тому

      Hana mpngo za ya chuki et anashangaa Osama na anamwita Gaidi
      Boya tu khanisi tu

  • @alphonselwitomushabaalm1788
    @alphonselwitomushabaalm1788 2 роки тому +3

    Kweli kabisa ata na miye nilikuwa najuwa kama nay anakunya kweli pombe kube eko tu simpo vile 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @swahililandtv1
      @swahililandtv1 2 роки тому

      UCHAWI NA MAPENZI / AINA YA NDOA full interview na wadada pambe

  • @eliahmasinjisa3546
    @eliahmasinjisa3546 2 роки тому

    Nakukubali kaka taarifa kama hizo coz staili zako zinashawishi kama kweli unakunywa au kuvuta bangi napenda kazi zako ty kaka

  • @giftpamelagiftpamela4494
    @giftpamelagiftpamela4494 2 роки тому +3

    Big up broo ney💖💖💞💞🙏🙏

    • @swahililandtv1
      @swahililandtv1 2 роки тому

      UCHAWI NA MAPENZI / AINA YA NDOA full interview na wadada pambe

  • @hajijuma8661
    @hajijuma8661 Рік тому

    Nakukubali sana Broo, upo sawa kiukwel

  • @douglaskombo7356
    @douglaskombo7356 5 місяців тому

    On point

  • @dinyoabeli9028
    @dinyoabeli9028 2 роки тому +8

    Safar ya maisha ya Ney anadai alikua anavuta bangi Leo ajawahi vuta mbn hatuelew #NEY

  • @monadinadi5295
    @monadinadi5295 2 роки тому +3

    Safi ney mzee Wa ukweli

  • @amirdingu9939
    @amirdingu9939 2 роки тому

    Uko vzr sana bro ney wa mitengo

  • @paulkonongo7361
    @paulkonongo7361 2 роки тому

    Nakubali big up ish maisha ako tu usifate maisha yao bahat njema nakutakia

    • @swahililandtv1
      @swahililandtv1 2 роки тому

      UCHAWI NA MAPENZI / AINA YA NDOA full interview na wadada pambe

  • @bienf-jdogo-bindieudonne9122
    @bienf-jdogo-bindieudonne9122 Рік тому +1

    Kaka nafurai sana kupitiya haya maneno unayo isema kwamuda huu ulikuwa kwenyi festival Amani kwetu Bukavu Ila sikuweza fika kukuona sababu umli wangu ulikuwa mdogo sana sababu sijajulikana Kaka Ila unayo sema hapa wengi hawaamini kuwa kilamtu ana mungu Wake anaamini naflai sana Kaka bienf-j Dogo-bin immortel lif crow Bukavu kavumo combo deux kwetu kijijini combo deux groupement miti

  • @manrasiel8054
    @manrasiel8054 2 роки тому +3

    Mtangazaji anajua sana. Hongera sana Mr Ney

    • @swahililandtv1
      @swahililandtv1 2 роки тому

      UCHAWI NA MAPENZI / AINA YA NDOA full interview na wadada pambe

  • @hamisaamoor7902
    @hamisaamoor7902 2 роки тому

    Nakubali kaka nimejifunza kitu Asante Sana

  • @charlesjoseph1081
    @charlesjoseph1081 2 роки тому +4

    Ney, niliwahi sikia stories yako njia panda in clouds FM leo mbona unatudanganya

  • @emmymathias2325
    @emmymathias2325 2 роки тому +1

    Ipo vuzr ney umenifurahish umewafundusha sas wasiojitambua wajitambue Mambo yakutembea nabodbod mikonon ndabodabod waach

  • @boctale5069
    @boctale5069 2 роки тому +1

    Nay noma

  • @samsonhezron
    @samsonhezron Рік тому +2

    Apo kwenye Bangi umedanganya maana nilishawahi kufatilia interview yako Moja ulisema ulivuta sana Bangi na ni mwanamke wako wa kwanza ndiye aliyekushawishi ukaacha bangi

  • @mwangonjim2mbad155
    @mwangonjim2mbad155 2 роки тому +2

    Nakubali m2mbad mbeya boy

  • @mosesmwaka774
    @mosesmwaka774 Рік тому

    really it's very very beautiful my star 🌟

  • @hossenmuhaji9471
    @hossenmuhaji9471 2 роки тому +4

    Jamaa anajua presenter good job

  • @mashamgaharo3881
    @mashamgaharo3881 2 роки тому +7

    Uko vizuri kaka Ney nakukubali sana

  • @Mwanam345
    @Mwanam345 2 роки тому +1

    Ney nakukubari sana saport kipaji chang

  • @DonPrince11
    @DonPrince11 Рік тому

    Amazing

  • @barakakusa7606
    @barakakusa7606 2 роки тому +5

    Ney acha uongo bangi ulivuta Sana miaka hiyo na we mwenyewe ulikili Hilo kwenye interviews ulizofanya Mika kadhaa iliyopita.

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 роки тому

      Kwa Millard ayo alisema mwenyewe labda kama ameacha ila hata mdomo wake unaonesha

    • @amosmichael487
      @amosmichael487 2 роки тому

      Huyu mwongo kimara bucha ana manzi yake pale kuna baa maarufu kwa Urio namkutaka analewa sanaaa yani nashangaa huyu mbwa anatudanaganya labda wa mikoani ndo watakuamin

    • @mohamedkhalifa6014
      @mohamedkhalifa6014 Рік тому

      @@amosmichael487 mwamba anatupanga kinyama Yan 😂😂

  • @user-tm3ut4px5s
    @user-tm3ut4px5s 7 місяців тому

    Nikweli kaka hongera

  • @swahililandtv1
    @swahililandtv1 2 роки тому +1

    UCHAWI NA MAPENZI / AINA YA NDOA full interview na wadada pambe

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 8 місяців тому

    Ney.kama unabarikiwa na midhambi.ujue umenyosha.jehanamu soma luka.16.mstari.19.yule tajiri.alikuwa na.hela.hakupata matatizo.baada ya kufa mwili akaangukia jehanamu.Mungu.wa.mtu.mmoja.hayupo

  • @danielelikana5118
    @danielelikana5118 2 роки тому +1

    Nay acha uogomwanba nakumbuka ulikuwa na shoo mwakitolyo ulilewa sema kweli

  • @user-wu2ig1ds3v
    @user-wu2ig1ds3v Рік тому

    Nakubal

  • @issahamis3286
    @issahamis3286 2 роки тому +1

    Mama Rudi nyumban vp mzee mbaaba true boy ulikutana na kinyago nn

  • @huberthmlawa3276
    @huberthmlawa3276 Рік тому

    Ney nimekukubali sana mwana

  • @user-uy9zt6mb7d
    @user-uy9zt6mb7d 5 місяців тому

    Waouh!! Natamanisa nabkuimbana wewe mukubwa miminiko mu kongo mani 🇨🇩

  • @omarswaleh6082
    @omarswaleh6082 2 роки тому +2

    Kama una dhambi nyingi wajijua fanya bidi ujiepushe na moto maana ni mkali

  • @alexnikole-qz7kp
    @alexnikole-qz7kp Рік тому

    Ney nakukubari maana hauna usinichi pia kwenye nyimbo zako upo vizuri unatumbua jipu chaps KAZI kaka

  • @charlesdjuma1594
    @charlesdjuma1594 Рік тому

    Nay wa mitego msaani wangu

  • @mdta8161
    @mdta8161 2 роки тому +2

    Kaka ney nakupendaje

  • @frankurio469
    @frankurio469 Рік тому

    Toa wimbo maalumu wa kupinga vitendo vya ubasha, ushoga na usagaji, please!!!!!

  • @jamesgasper6764
    @jamesgasper6764 2 роки тому +3

    Jamaa anatosha Sanaa kuwa presenter ila mbona kama anajiedit Sana naona mawanja ktk kope na mkorogo Kwa mbaliii au macho yangu.

  • @sayotaboyGospel
    @sayotaboyGospel Рік тому

    So poa nakukubali

  • @kellybreezytz2491
    @kellybreezytz2491 2 роки тому +1

    Huyu Jamaa nilikua sielewi kwanini baba yangu anamkubali hili Jamaa ni AKILI MINGI

  • @lodricklema9593
    @lodricklema9593 2 роки тому

    Big up ney

  • @SanibiliKonoladi-dp1wx
    @SanibiliKonoladi-dp1wx Рік тому

    Kaka iyoo sauutii ya bangiiiii kabiiisa iyooo achaa izoooo kaka

  • @fidelisnairowa6121
    @fidelisnairowa6121 2 роки тому +1

    Nay kwere sana

  • @saadatiyahyashabani-yg2xy
    @saadatiyahyashabani-yg2xy Рік тому

    Nay wamitego Kanye west 💥⚡

  • @khalfanidaudichando2750
    @khalfanidaudichando2750 2 роки тому

    kaka wamitego big up

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 Рік тому

    Ney mitatuu hiyo tubu.Mungu hapendi ni alama za freemason

  • @issakisalu9237
    @issakisalu9237 Рік тому

    Nani alikwambia Osama ni Gaidi namba moja duniani

  • @sayotaboyGospel
    @sayotaboyGospel Рік тому

    Huyu jamaa mhhhh

  • @nelsonntarej3457
    @nelsonntarej3457 Рік тому

    Cool

  • @ngwanasongowelero7153
    @ngwanasongowelero7153 2 роки тому

    Mungu yupi sasa

  • @user-ng1dp7qq8w
    @user-ng1dp7qq8w Рік тому

    👊🔥🔥

  • @angelfortunatus117
    @angelfortunatus117 2 роки тому +3

    😘😘😘❤️

  • @amosmichael487
    @amosmichael487 2 роки тому +2

    Mungu wako yuko mason zake za free😂😂

  • @anithamsaki9911
    @anithamsaki9911 2 роки тому +2

    Jamnii huyu kaka nampenda Bure jinsi tu anavyo ongea mungu tua anajua

    • @adammwita170
      @adammwita170 2 роки тому

      Sasa unatuambia sis anitha si utafte namba yake 😄🤣😂

    • @anithamsaki9911
      @anithamsaki9911 2 роки тому

      @@adammwita170 haahaha muonee sijamaanisha hivyoo jamnii mmmmh makubwa najua likichwa lakoo lishawazaa negative

  • @hassanmwepesi5632
    @hassanmwepesi5632 Рік тому

    True boy

  • @balakasilungwe8525
    @balakasilungwe8525 Рік тому

    namkubali Sana jamaa

  • @kilianmhagama475
    @kilianmhagama475 2 роки тому

    Iko tamusana hiyo

  • @nkeshaenock1046
    @nkeshaenock1046 2 роки тому +3

    Hapo kuhusu kumiliki simu nimekuelewa

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 2 роки тому

    Nakupenda Nay sana sana jmn naomba number yako 😔😔😍

    • @swahililandtv1
      @swahililandtv1 2 роки тому

      UCHAWI NA MAPENZI / AINA YA NDOA full interview na wadada pambe

    • @barakamnazareti5745
      @barakamnazareti5745 Рік тому

      Kwenye namba make apo Kwanzaa nicheke

  • @feysanga8308
    @feysanga8308 2 роки тому +1

    😍😍😍😍😍😍😍

  • @temwajilaha4181
    @temwajilaha4181 2 роки тому

    ney mimi shabkiwako namba moja kutoka igunga

  • @emanuelneriwa6619
    @emanuelneriwa6619 Рік тому

    Ukiwa sio sigma huwezii muelewa baba yaga

  • @diolindanativo7268
    @diolindanativo7268 2 роки тому +3

    Uyuu mtangazaji ana kichwa kizuri jamani na hayo marangi.

  • @najmahamisi4824
    @najmahamisi4824 2 роки тому +2

    Kinata

  • @khadijakdj8640
    @khadijakdj8640 2 роки тому

    Huyo kaka na hivyo vinywere anafanana na D

  • @benedictsekibaha1265
    @benedictsekibaha1265 Рік тому

    Kwa case ya Mashoga na wasagaji watubu Kwa dini zao kama sivyo kitakuwa kizazi Cha laana na Mungu atatuadhibu si lazima Kwa moto kama Sodom na Gomora

  • @mosesmwaka774
    @mosesmwaka774 Рік тому +1

    Tukutanane Congo DRC maana wa kina mond na wakina kond na msanii mwenzenu amewahi kufika kwa nini usifike nami natamani nikuwe msanii kama wewe ni kute kwenye njia MOSES mwaka

  • @danielsaimoni9140
    @danielsaimoni9140 Рік тому

    Watupe hio Sasa

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 2 роки тому +2

    Acha uongo wewe
    Unakunuywa mda Sana'a

  • @mudynkofia4063
    @mudynkofia4063 2 роки тому +3

    Huyu jamaa namkubali San anapenda kuongea ukwel

    • @swahililandtv1
      @swahililandtv1 2 роки тому

      UCHAWI NA MAPENZI / AINA YA NDOA full interview na wadada pambe

  • @farahatianthony7566
    @farahatianthony7566 2 роки тому

    Naomba namba

  • @gilbertgabriel7800
    @gilbertgabriel7800 2 роки тому

    Sana

  • @bushzerahamusic4762
    @bushzerahamusic4762 2 роки тому

    Niambie kaka mistari nakuaminia nirushie biti la hip hop mi pia na chana

  • @marioleonce6367
    @marioleonce6367 2 роки тому

    Ney huchoshi aiseee

  • @fatumaali4275
    @fatumaali4275 2 роки тому +5

    Ney matataaaa!🤣🤣🤣

  • @youngsimba2054
    @youngsimba2054 Рік тому

    Mana há sapoti

  • @happynjukiz6495
    @happynjukiz6495 Рік тому

    sasa mbona unawenge bro

  • @puritywanjala6452
    @puritywanjala6452 2 роки тому

    Nilijua wewe ni mlevi wa wanawake😂😂😂

  • @edwinkeche1148
    @edwinkeche1148 2 роки тому

    Khaligraph jones 🇰🇪🇰🇪🇰🇪😂

  • @Mr_Andati
    @Mr_Andati 2 роки тому +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @dadysamsungalaxt8289
    @dadysamsungalaxt8289 2 роки тому +1

    Neiy kuwa mkweli mbona unasema unasujudu wakati wanaosujudu ni sisi waislam au wewe ni muislam?

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 2 роки тому

      Sio wote wanaosujudu ni Waislam ma budha na orthodox nao wanasujudu

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 роки тому +1

      Wewe vipi wanasujudu mabaniani na wachina mashaolin kwenye matemple wewe wawapi 🤣🤣🤣🤣

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 2 роки тому +2

    The problem ya hawa watangazaji hawam-research mtu, this guy lied to us pale Clouds Radio Njia Panda

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 Рік тому

    Mtu apendi pombe apendi mpila Kuna anacho kipend??

  • @fabianjoseph7874
    @fabianjoseph7874 2 роки тому

    Duuh iyo boda boda nime iyelewa