Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
GIGY MONEY AFUNGUKA UHUSIANO WAKE NA DIAMOND/ SINA BIFU NA ZARI AOMBA KUKARIBISHWA NYUMBANI KWAKE
- Додати в
- Мій плейлист
- Переглянути пізніше
- Поділитися
Поділитися
Вставка
Розмір відео:
- Опубліковано 11 кві 2023
- Usikose kutazama Manara Tv kupata Habari zote kwa Uhakika zaidi
КОМЕНТАРІ • 119
Наступне
Автоматичне відтворення
EXCLUSIVE : ZAYLISSA AMCHANA MAKAVU LIVE HAJI MANARA / TUNAGOMBANA SABABU HUNIKUMBATII USIKUManara TV
Переглядів 15 тис.
Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1YahStoneTown
Переглядів 354 тис.
EXCLUSIVE: WEMA SEPETU AIKANA RUSHWA YA NGONO, AFUNGUKA KUVUNJIKA UHUSIANO WAKE NA DIAMOND PLATINUMZManara TV
Переглядів 46 тис.
Стрибки у висоту: ФІНАЛ, ПРЯМА ТРАНСЛЯЦІЯ / Олімпіада-2024, дві українки: Магучіх, ГеращенкоСуспільне Спорт
Переглядів 630 тис.
Я обещал подарить ему самокат!Vlad Samokatchik
Переглядів 9 млн
ВАНЯ КУХАРЧУК В КЛУБІ ДИЛЕТАНТІВ #39ЛЕВИ НА ДЖИПІ
Переглядів 849 тис.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memesCRAZY GREAPA
Переглядів 7 млн
GIGY MONEY afunguka Ugonjwa wa ZARI Uingereza/Kweli ALITELEKEZWA?/Kulala kwenye KOCHIRick Media
Переглядів 21 тис.
Harusi ya HAMAD & ESHA BUHETI 2023 #wedding #eastafricaweddings #harusi #tanzaniaweddingsFanu_martine
Переглядів 21 тис.
NI BALAA!! MASHA LOVE APIGANA NA JIMMY MAFUFU MBELE YA HAJI MANARA, ASKARI AINGILIA KATIManara TV
Переглядів 140 тис.
TAZAMA ALICHOKIFANYA GIGY MONEY BAADA YA KUULIZWA KUHUSU PENZI LA DIAMOND NA ZUCHUDuma Tv
Переглядів 62 тис.
EXCLUSIVE: GIGY MONEY AWACHANGANYA ALIKIBA NA ABDUKIBA APISHANA NA DIAMOND PLATINUMZManara TV
Переглядів 51 тис.
ZUCHU AMJIBU DIAMOND "UKITAKA UNIWEZE FANYA WAZI WAKUONE MAHASIDI WAUMIE..."Bongo Plus
Переглядів 20 тис.
Ni MREMBO, MSOMI, ana miaka 25, ana KAMPUNI ya UJENZI kubwa inayotikisa Dar, atoa SIRI za kufanikiwaSimulizi Na Sauti
Переглядів 174 тис.
WEMA ATAJA MWANAUME ALIYEMSUUZA MOYO KULIKO WOTE KABLA YA CHIBABA- MANARA HOUR PART 2 WEMA NA HAJIManara TV
Переглядів 184 тис.
GIGY AFICHIA SIRI YA JINA LAKE/MONEY NI BABA YANGUZamaradiTV
Переглядів 27 тис.
«Не хочу, щоб мій син жив в країні, де війна», - за що воює 24-річний морпіх #україна #війна #зсуСлідство.Інфо | Розслідування, репортажі, викриття
Переглядів 826 тис.
«Жінка моя - героїня, я це так»: батько шістьох дітей та боєць 10-ї ОГШБр #shortsСуспільне Донбас
Переглядів 457 тис.
ТЫ С ДРУГОМ В ДЕТСТВЕ😂#shortsBATEK_OFFICIAL
Переглядів 4,4 млн
«Його, каже, не зламали. Ви гляньте на його очі - вони злі»: Розповідь матері полоненого бійцяСуспільне Донбас
Переглядів 507 тис.
Зеленський з британським премʼєром нагородили бійця у госпіталі #війна #україна #зсу #shorts #людиСуспільне Чернігів
Переглядів 279 тис.
Дурнєв дивиться сторіс ZОМБІ #51Aleksey Durnev
Переглядів 908 тис.
ДИНАМО - РЕЙНДЖЕРС. Ліга чемпіонів. ПРЯМА ТРАНСЛЯЦІЯFootball Hub
Переглядів 489 тис.
"Где логика" в Камеди😁#ComedyClub #КамедиКлаб #харламов #азаматмузагалиев #демискарибидис #тнт4 #тнтТНТ4 Shorts
Переглядів 4,3 млн
Yaaan wewe mdaaa huwa nakukubali sana loveeee you manala umefanya vzr kumuita hyu mdada 😅😅😅😅😅😅
I love you gigy😂😂😂 Nakupenda sana mpnz ❤❤❤.
Mh izi tv za mchongo
Giggy mapesa yaani sitawahi choka kumpenda mama Myra 💕💕💕💕
1. Wabongo wanapenda umbeya
2. Have consistent on your topics
3. Wabongo love scandals etc 😮
This is only GiGy l know l love her a lot😂❤
Jamani Gigy ni top in Dar she is so free so open,yaani ni chizi mpaka chizi tena namkubali kwakweli
Yani misipendag kufatilia mambo ya wasanii lakin nikipita sehem kunagigy lazima nisimame nisikilize majibu yake ya shot shot hadi raha hajielezi kimasifa kama wadada wengine hajishauwi ovyo mkweli muwazi anawaza kutafuta maisha Sana anandoto zakuwa boss nakupenda Bure gigy mzuri
Unaniachaga hoi Sana... Mkweli Sana wewe.❤
Mbona kaa umeenda kulala heaven 😅😅😅😅😅@gigy🙌🙌🙌🙌🙌
Mimi huyu interview ya Gigi inipite 🙆🏽♀️😍😍😍😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️🔥
Shogileeee 🤣🤣🤣😆😅
@@irakozesania1680 e asiyopitwa 🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥
Aiseee G😂😂😂😂😂😂😂😂😂Yan nakupenda uko huru mpaka raha😂😂😂😂
Ila gig money ni pis Kali hayo mengine yakujichetua ni nakishi tu ❤❤ bt MTU Ako very hamble
Maswali yako Manara jaman yatagombanisha watu
Rajabu Kila kitu chake cheupe😂😂😂😂Love you Gigy bure tu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kuna maswali yakijinga mpaka manyoya yanatoka😂😂😂😂😂🙌 huyo Gigy money achelewi kulianzisha.
this gal i just love her, very hilarious.
Wonderful 🔥🔥🔥🔥
huyo ndiyo gigy♥️♥️♥️♥️🙌🙌🙌🙌
Kila mtu siku hizi ana ka tv kake UA-cam ngoja na Mimi nifungue kakwangu............😂
😂😂😂😂😂
Fungua
Fungua tyuu mpak leo jomon nataka uni interview
Love you gigy
I just love how real she is 🤣🤣🤣
good i like the way unaiongolea hiyo mambo yako na Zari umeifanya kibiashara zaidi
Kweli hii manara tv .haji tunakupenda sema kuwa seriously isiwe km simba na yanga
love you gigy 😂❤
Sijawah kosa interview ya giggy
Ninachosema huyu gigy ni mtu makini sana japo wengi mnamuonea ni machepele lakin anakitu sana kichwani mwake
Waooooo gygy
HAHAHHHHHHAAAAH ET Rajab kila kitu cheupee
Kuwa sírias Manara lakini TV yako ni nzuri sana mana sauti zinasikika vidhuzy na ina kwaliti nzuri
Manara..hatukuelewiiii kabisaaa
Manala ludi kwenye gam utuchaluwe wanasimba tume kukumbuka
My uko vzr
Gigy safi sana
@Zari Boss lady see this
Ndomala yakwànza nimechaka mpaka mbabu zinzima kaogopa shuka jeupe 🫢
ha ha ha ha ha ha.. I love gig walai... eti kwani mi mama yao
Huyu binti ni very intelligent!
Gigy fala sana.. 😅 eti inawezekana nyuma yake kuna diamond haaya ww nyuma yako kuna mungu fanya.. 🤣
Nimefurahia lakini hiyo mipoda dadaa
Nakupenda gigy
Kumbe Kuna manara Tv
Mwenyewe ndo nashangaa kumbe ipo na watu hawasemi jmn watu wasiri😶
Gigi napenda nakupenda jinsi unavyo jikubari
Gigi apo kwa harmonize.. kha😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂
My GIGI IS POSITIVE I LIKE HER
❤
Interview ya Kinyamwezi... Imesimama
Hahahahahahaha kumbe tv hadi home
😂😂😂abdu huyu kiba kwani mm mama yao.
Huyu ndo gigy
maswali ya manara bhana
gigi hujawahi kushiriki ushirikina???
Haha jamani Gigy 😂
Kwa kweli nimedanga na gigy sinza ambiance alikuw mchafu anatupa tupa machupi machafu ndani kufua awezi
ila manara kwa vipensi vyako vinaniacha hoi😂😂😂
Haaahaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila GIGY HAHAHAHAHAHAAH
Gigy money pambee
😂😂😂😂😂 Gigi hataree
Nimechaa jamaniiiiii 😂
Uyu Gigy 😅😅😅😂😂😂
😅😅😅😅😅😅 ety hagy nasikia joto 😅😅😅😅😅 nakupenda sana gygu money
GIGY MONEY MKWELI
😂😂😂😂😂 ckua najua Kwan mm mama yao😂😂😂😂
Baada ya show, Manara naye atapita eeeh!🤣🤣🤣
Nimekuona London kwa boss wako zari kakukomeshaaaaa
Manaake kwanza nichk kuhusu ayo mayoya
😁😁😁😁😁yaani uki deti na gig umekwesha
😂😂😂😂😂😂Nimejikuta tu nacheka 😂😂
We we siyo mama yao😂
Saut sasa!
HIZI FUNGA ZENU NI KUKAA NA NJAA TU....HSYO YAKUONGEA !!
Kwenye chaguzi co mnafk, gig 4lil
Kwakweli mi napenda jinsi ulivyo muwazi
😂😂😂 Ali mlitembea barabarani mkavuka barabara, Rajabu mashuka meupe na ulikua kwenye period.
Haji 😄🤣😂😆😄et kufuru
NA NYIE WAPENDA DUNIA WAISLAM WACHENI KUCHOCHEA MUUNKARI NA MACHAFU TUMUOGOPE MUNGU /MWISHO WETU HATUUJUI
😂😂😂😂😂😂Gig Money unanikoshaga moyo
Huyu nusu kabisa🤔🫣🫣
Maanara
😄😄😄jmn
Manara kitu gani unazungumza bwana nini maana ya kutrendika,nini maana ya kupostiana hakuna lugha rasmi ya namna hiyo rekebisha kiswahili bwana
Nawe Haji siku moja umpe mtu nafas ashije hiyo mike akuhoji kama unavyowahoji hao unaowahoji
Giggy money, anadharauliwa na anakubali. I felt very bad . Maswali mengine hata sivizuri kuijibu😢
Pipa na ufuniko mmekutana hpo
Mjomba mjomba haji come with New content know who you want to catch 😮
Mbagala3😂😂😂😂😂Mbagala
😀😀😀Rajabu
WEWE TAFUTA VIPINDI VYA MAANA VYA HATMA YA UHAI WAKO WACHANA NA VIPINDI VYA MAKAHABA , NA UFUSKA NA UJINGA MUONE MUNGU KWENYE UMRI WAKO USHAURI WA BURE NDUGU YANGU DUNIA HADAAA ULIMWENGU SHUJAAA .SIFA ZA DUNIA ZINA MWISHO BABA
GIGY NI MKWELI MNO HONGERA...ZAMBI YA UONGO UMEISHINDA
Haji muache mtu ajieleze
Haji bado hajui kuhoji wasanii jitaidi kuchagua maswali yenye maana maswali yako mengine yanaboa
Hakuna mtu anaemchukia Zari ila ukitukanwa kubali sio kuwa mjinga na kukubali kutukanwa kwa sababu eti mtu ana mali mpumbavu wewe njaa itakuuwa.
Duh ila katembea na wengi hatari..., Ni mswahili kweli. Alivyojibu swali la kutembea na wakina kiba mmh. Kwahiyo hata akivaa migauni hiyoo wanakuwa wanamjua hadi ndanindani huko
Na yeye anawajua ndan ndan wanajuana
Hahahaaa
😂😂😂
Nifikisheni 200 subscribers ❤
Nitashukuru sana 🙏
Kwa kipi ulicho kifanya
@@teddylameck3355 kala daku alaf aja jamba huyo😂
Mh
Manara Anajaribu kujitikisa angalau
Iamke lakini wapi, 👉🐸🐸🐸🐸🐸
Umependeza Gigy money ila makeup na rangi ya mwili hapana bhana usoni mletee mdhungu 😅 but big up ❤
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Kamependeza kamekuwa sasa kanajitambua
😀😀😀😀😀Manyoya yameshindwa kuelewa mada yanachomoka
Sikiza Gugy Money na Zuchu walivyo ulizwa madada wawili swali hili lina wahusu hao.unaweza kulala na nani kati yao wawili bila kufanya chochote wewe Manara
Nikikutana na kipande cha gigy lazima nisikilize