Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mashaallah kaka uko vizur sana wazee watauwa hao mshenga yko sahihi kuliko wali wasiwauze watoto wao
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatu WADAU WA RIYADH na koo zima ya riyadh Tv online znz
Maa shaa Allah.... Mungu amuhifadhi Shekh Omar na Riyadh tv online nyote...
Aaaamin INSHA ALLAH
Riyadh tv online znz mpo vizuri Allah azidi kuwanyanyua
Mashallah
Mashaallah wamempata mke
Mashaa Allah hichi kipndi nakipnda san, Allah azidi kupeni wepesi kwa Kutupa mafunzo na ujumbe mzito
Ma shaaa Allah ladha mwanana kweli bila kupingika mshenga tupo sawa lkn hata walii pia yupo sawa lkn apo atakuwa anakomowa au anakataa kwa indirect maana kuna msemo wasema akufukuzae hakwambii tokaa
safi sana
MashaAllah from mascat oman tuna wapata vizuri sana
Masha Allah
😂😂😂😂☝usije inuka ukapania suluwali ukaaza kujimwaga mana naona uvumilivu umekushinda😂😂😂hunatishu sikunyingine weka box. Mshairi mashaallah hongera zote nakupeni
Riyadh mwambie awage anatuzana 😂😂asije kuwasukuma kwenye viti wezie
hahahahahahahhahah ZAyyat Zayyat haaaya tu
@@RiyadhTvOnlineZnz 😂😂😂😂😂kwaraha zako👌
Yasalam yasalam yaaaasaalaaam noha noha da!
Daaah waliii kauaaa
Imeishiaje jama ama ndoa ishapita?
Walii acha zako izoooooo
Wallikabana sanaaa au anauza
MASHALLAH BURDAAN KABISA
Ahsante Shukran
Aloo nimeupenda huu ubunifu... Natamani nishirikishwe alooo ... Ujumbe umefikishwa kwa njia ya burudani
Masha ALLAH wewe tu mkuu unawqeza kushiriki
Assalam alaykum tunaomba muendelezo
Abuuu rdhwani baba huyu cmchumi watoto wake lakin
Natamani nitie swaut kweli kwenye mashairi km haya
Ujembe umefika ila mawalii ni haki ya mtoto kutoa kauli ya mahari ipi anayotaka na sio nyie kujitolea tu
Kama kuna uwezekano nauwomba huu utenzi
Wote wapo sawa kutokana na kilaa mmoja na mtazamo wako
Shehe MOH'D apo cmahar TN apo panazwa kitu kaka
Huu mtanange mngeniaka japo kugawa dhifa
Sibasi akae na mwanao
Hizi ndio sauti za mashairi, akina famau wanaimba tu
Bardan kwel kwel