SAUTI LADHA MWANANA: QISA CHA KUSIKITISHA MNO / NIMEOKOTA MWENZENU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 65

  • @yanikdabo2137
    @yanikdabo2137 5 років тому +3

    Subhanallah allahu atuhifafadhi na atulipe pepo za darja za juu inshallahu na mtume muhammad ( saw ) rehma a amani ziwe juu yake inshallahu n ahli zake pamoja inshallahu amina

  • @AhmedAli-jz5it
    @AhmedAli-jz5it 4 роки тому +6

    MashaAllah, Allah Akupe kheri. Mtoto ni wako wala usimpe, na hata ukumwambia huyo mtoto hatomtaka mama huyo aliyemtupa. Hongera mughani.

  • @idrissajumakona5871
    @idrissajumakona5871 5 років тому +2

    ماشاءاللہ.... جزاك اللهُ‎

  • @fatmaebrahim4010
    @fatmaebrahim4010 5 років тому +4

    Mashaallah kamshtaki na mtoto mweleze atakuelewa kuamamji sidawa

    • @robloxgame2465
      @robloxgame2465 4 роки тому +1

      Mashalah M mungu atakulipa mazuri yote wewe ndio mama wewe ndio ulolea kuzaa siku moja tu kulea ndio miaka mtoto atakuelewa usijali kaa kwako na mwanao mtulie msiondoke

  • @mudymponji52
    @mudymponji52 5 років тому +4

    Masha allah

  • @mahanur4468
    @mahanur4468 4 роки тому +2

    Dah pole sana kwa kweli uwo mtihani kiukweli lkn kwa uwono wngu hakika ata akimchukua bc M/munngu atakupa fadhila zko kwa kumlea uyo mtto kwa vile inavo takiwa kaza moyo dada angu inshallah mungu atakusaidia

  • @hajishake1352
    @hajishake1352 3 роки тому +1

    pia ongea na mtoto umueleze kweli biidhnillah mtoto atabaki kwako, allah akujaalie subra na maamuz ya kijasiri kama alivokupa ujasiri wakat wa kumlea

  • @robloxgame2465
    @robloxgame2465 4 роки тому +2

    Mashalah mama

  • @ramlaleila374
    @ramlaleila374 3 роки тому

    Ma Shaa Allah

  • @hajishake1352
    @hajishake1352 3 роки тому

    maashaallah, onge na allah katika swala istikhaara, kisha yeye atakuonesha la muamua

  • @nailatyahmad7298
    @nailatyahmad7298 5 років тому +2

    Mashaallah Alhamdulillah

  • @alimuhsin9591
    @alimuhsin9591 5 років тому +1

    Mashallah 😀

  • @zuwenasuleiman2115
    @zuwenasuleiman2115 4 роки тому +1

    Masha Allah❤️

  • @nyotanjemaingarayo5384
    @nyotanjemaingarayo5384 4 роки тому +1

    Masha Allah mtoto usimtoe kwa sababu yeye kamtupa kwa lengo hamtaki jeeee angekufa angemdai Nani? Lea mwanao ila vyema kutoa taarifa polisi

  • @yusrayushau641
    @yusrayushau641 5 років тому +1

    Mashaallah barakallah

  • @abdallahhaidary7987
    @abdallahhaidary7987 5 років тому +1

    mashallah

  • @جنيتكينيا
    @جنيتكينيا 5 років тому +1

    MashaAllah mungu yupo

  • @immtm4930
    @immtm4930 4 роки тому

    A.aLAYKUM WARAHMATULLAH... UTENZI MZURI SANA MASHAALA
    PILI: NAOMBA KWA MWENYE UTENZI WA RAMIA BINTI DASI NAOMBA TAFADHALI TAFADHALI.. BARAKALLAHU FIKUM

    • @mohdhakim8216
      @mohdhakim8216 3 роки тому

      Waalaykum salaam warahmatullahi wabarakatuh. Vipi umeupata namm nautafuta

    • @immtm4930
      @immtm4930 3 роки тому

      @@mohdhakim8216 kwakweli Bado hadi sasa

  • @swalha8456
    @swalha8456 5 років тому +4

    😭😭

  • @inabikorwaneema8815
    @inabikorwaneema8815 4 роки тому +1

    Yaa salam

  • @alibadi6323
    @alibadi6323 2 роки тому

    Nimwanao huyo Allah akuzidishie

  • @fatumambashir1857
    @fatumambashir1857 3 роки тому

    Jmn machozi yanitoka pole mummy mungu atakulipa

  • @mohamedsalehe9051
    @mohamedsalehe9051 5 років тому +1

    asante

  • @othmanhaji1832
    @othmanhaji1832 5 років тому +2

    Unakaribia kubeba Ladha asili ya Utenzi wa Ramia. Jitahidi zaidi

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 5 років тому +1

    Mashaallah

  • @salumumohamed7661
    @salumumohamed7661 4 роки тому

    Pole sana

  • @biommy6700
    @biommy6700 5 років тому +2

    Swadaqta

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 років тому +3

    MASHAALLAH MASHAALLAH MASHAALLAH

  • @yassirhalimamohammedmohamm5913
    @yassirhalimamohammedmohamm5913 3 роки тому

    MashaAllah 😭

  • @nurdeenallydeen76
    @nurdeenallydeen76 4 роки тому

    Is so good

  • @radhiaathuman3350
    @radhiaathuman3350 5 років тому +2

    Masha Allah inauma lkn HD choz

  • @mitimiti3629
    @mitimiti3629 3 роки тому

    Mshitaki kwa kosa la kumtupa mwanae

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 років тому +3

    🤔👂

  • @abassagah3190
    @abassagah3190 3 роки тому

    Shair zur sann

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 5 років тому +2

    Aaaaaaa ww kirahisi rahisi tuu nimtoe nimpe mwanangu wa kumlea iwe iwavyo simtoi

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن 4 роки тому +1

    KWA KUA UMEKIRI KWAMBA SIYO MWANAO BASI ATAKULIPA MWENYEZI MUNGU KWA NIA YAKO NJEMA.

  • @selejuma622
    @selejuma622 5 років тому +1

    Bora ubaki nae maana yy kazaa kweli ila hakumtendea haki mtt

  • @hawa4968
    @hawa4968 4 роки тому +2

    Simtowi mtoto! Kwanin alimtupa hakuwa na shida nayee

  • @upstairszaidan4904
    @upstairszaidan4904 Рік тому

    Kwanzaa utaamini vipi kwakusematu mtoto wangu hakuna uhakika kwahiloanalodai akatoweusibitisho police ufanyike upelelezi wakina halafututajua kweli wake au choyo tu

  • @Qadar-vx4gj
    @Qadar-vx4gj 5 років тому +1

    😭

  • @maryambhallo333
    @maryambhallo333 4 роки тому +1

    Mpeleke polisi afungwe kwa kujaribu kuua, na we uendelee na mwanao

  • @khalmudodoma6271
    @khalmudodoma6271 Рік тому +1

    Huu utezi nimelia sana

  • @zulfamohamed4549
    @zulfamohamed4549 4 роки тому +1

    kiukwel mtoto kumzaa s ndiy kumaliza kaz s kuzaa ila kaz kulea jaman uyo nimwanawe t mama mlez

  • @mugishabindeba2752
    @mugishabindeba2752 3 роки тому

    Mpeleke Police akijibu hoja Kama aliweza kumtupa hata ukipa atamtoa khafara

  • @ghanimaali4507
    @ghanimaali4507 3 роки тому

    kusema la ukweli nimeumia sana ila suali lngu lipo hapa je mtt kama huyu anakurithi au vp

  • @hamudmuhammed536
    @hamudmuhammed536 5 років тому +2

    ata aje na polisi mianne simpi labda aniue

  • @maryambhallo333
    @maryambhallo333 4 роки тому +1

    Uchungu wala hauji asingemtupa

  • @saidindambalilo4441
    @saidindambalilo4441 4 роки тому +1

    Nimelia hatari

  • @S4_tzk
    @S4_tzk 11 місяців тому

    Usimpe uyo mwanao wewe usimpe

  • @arjunnraju3201
    @arjunnraju3201 5 років тому +2

    masha allah

  • @saidindambalilo4441
    @saidindambalilo4441 5 років тому +1

    Mashaallh

  • @mugishabindeba2752
    @mugishabindeba2752 3 роки тому

    Mpeleke Police akijibu hoja Kama aliweza kumtupa hata ukipa atamtoa khafara