Punguzeni mahari wanao taka kuoa wapate njia nyepesi kupatikana. Kumsomesha ni kumpa elimu sio chambo cha kupandisha mahari. Ikiwa anampandishia kwa kutomtaka. Hio ni njia muafaka.
Naamini hilo ndilo fumbu kwa mshenga.kama kweli ni muoaji,basi asikate tamaa ,kwa maneno ya waalii wa huyo binti,hizo ndio hoja tu na vituko vya walii,kutaka kujua kweli wataka ndoa na huko na msimamo kamili wa kuoa binti yake.(simba)naamini umepata mke.
Mashallah kazi nzur sauti ladha mwanana
sauti nzuri yenye mafunzo kweli. shukrani. Mwalimu Nyandwaro-Kenya.
❤ mashallah ila waislamu tufahamuni kuwa mahari yalokuwa ghali ndoa hukosa baraka kasema mtume Muhammad saw
Mashaallah mashaallah nzuri inshaallah utapatikana muafaka
masha Allah ...nzur sana
Mashaallah mashaallah mashaallah jamani mambo nimoto 🤗🌷🌷🌷🌷
Afadhali nimemuona Shekh Omary japo kwa vidio hii.Maana kwa kughani daaaaa!!!
Muendelezo wa sehemu ya tatu ipo wapi?
4:12 ❤
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatu WADAU WA RIYADH na koo zima ya riyadh Tv online tv znz
kumbe ww upo umepotea au mchakato wa siasa
Asalam alaykum warahmatullah
MashaAllah Zanzibar chami
Mashaaallah
SHEH RIDHWAN VP MBONA WASHIKA KICHWA
Naiyomba hii wana riyadh Tv
Unaweza kuidowload hapana tatzo
Ndugu mtangazaji unatukatisha utamu tunaomba ukae kimya
Insha ALLAH
MM NAONEA MTANGAZI AMEIMARISHA MTANANGE MASHALLAH VP HARUSI IMESHAFANYIKA?
Wallahi Riyadh nyie ni faghari ya Zanzibar
Punguzeni mahari wanao taka kuoa wapate njia nyepesi kupatikana. Kumsomesha ni kumpa elimu sio chambo cha kupandisha mahari. Ikiwa anampandishia kwa kutomtaka. Hio ni njia muafaka.
Mahari ghali hakuna lakini tupate maelewano 🤝
Sheikh ridhwan unambwembwe mpaka nafrah
Ah mimi ningesamehe mke nkatafuta mjane aliefiliwa na mume nikalea yatima
Milion 5 sheh omar kimbiya haraka KWA wari wackuizi kimbiya haraka sheh km
Ipo ucwe na wasws
5 MILION BORA NINUNUWE NG'OMBE NIFUGE NITAPATA FAIDA MANA WATAZAA NITAUZA PESANACHUKUWA MWENYE
Uliishia vipi jama au ndio mlimaliza kimyakimya
Bado unaendelea
Mahari hayo Mimi sioi bora nikaoe mjane au niende arusha huko
huko arusha unaenda kuokota au wachukua bure
huyo mjane sasa ni milioni mbili rabda ukaoe kizee
Naamini hilo ndilo fumbu kwa mshenga.kama kweli ni muoaji,basi asikate tamaa ,kwa maneno ya waalii wa huyo binti,hizo ndio hoja tu na vituko vya walii,kutaka kujua kweli wataka ndoa na huko na msimamo kamili wa kuoa binti yake.(simba)naamini umepata mke.
Wala haturingi
Mahari kidogo ni yenye baraka
Mtanange umeendeleaje
Itaendelea soon Insha ALLAH
Kwahisani yako tulizana😂😂😂tupate kusikiliza Riyadh kwahisani yako mwambie atulizane
Mbavu zangu huku kwann huwa hutulizani?
Mtihani
Nineipenda mausha sasa hivi yameoanda Na hapoo hapo ndowa nahari nyingi sio baraka
@@zayyatiyussuf9566 nani huyo Zayyat asotulia
@@RiyadhTvOnlineZnz Ridhwan
Swsw
Muendelezo tunasubir
Mnapotaka kizur mkubali kuzurika
Unapita kizur ukubali kuzurika da! Heeeee!
katafute mjane hhhhh umasikini kitu kibaya