Stamina ft Phina - YULE (Official Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 жов 2024
  • #Stamina #SlideDigital
    Stamina Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
    ffm.to/stamina...
    Written & Performed by Stamina
    Video Directed by Deo Abel
    Follow Stamina on:
    / staminashorwebwenzi
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: / slidedigitaltz

КОМЕНТАРІ • 628

  • @Alwatan_moh
    @Alwatan_moh 2 роки тому +1

    Saraphina nlikua nataka kuthibitisha unajua...nimeamini kwamba unajua saaaannaaaaaa👌

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 2 роки тому +1

    Nice video nice song love you my Zanzibar beautiful island location 🏝🌊⛱🌇🏖🐬

  • @fuadkassim6496
    @fuadkassim6496 2 роки тому +1

    Shorwe bwenz kumetisha, kwenye hilo coras la kimataifa la huyo mDada

  • @MorisKithome
    @MorisKithome 8 місяців тому +1

    Thiz guy is powerful in music

  • @michaelmaziku991
    @michaelmaziku991 2 роки тому +1

    Dah hawa watu wananguvu sana stamina kasahau kabisa na sasa kaanza kusifia haya bwan ngoja tusubir mwisho wa picha sijui utaimba nn tena yakikukuta ndugu yangu maan wanawake wote mwalimu wao kipofu.

  • @Joramkatana
    @Joramkatana 2 роки тому +1

    2022 bado tunaishi nayo...
    Kenyans in the house mikono juu...

  • @allanwanyama5736
    @allanwanyama5736 2 роки тому +2

    Mr bonaventure mob love from Nairobi Kenya we ni king huku kenya tunakuita kiongos

  • @kijatabley1371
    @kijatabley1371 2 роки тому +3

    Kama nanuona Vanessa mdee within sarafina ...! She so talented

  • @alostyle8575
    @alostyle8575 2 роки тому +1

    Mr shorobwezi ndoga limejaa mistari nimeamini

  • @husseinbakary1969
    @husseinbakary1969 2 роки тому +1

    Huyu sarafina ni kwanini hajafika mjini kwa nguvu zote maana ni bonge moja la mwanamuziki

  • @vaisytz4670
    @vaisytz4670 2 роки тому +16

    Stamina sholobwenz we jamaaa ayo maneno yako sjui unatoaga wap itabid tukupe uking wa wa hip hop🔥

  • @osmankhoke254
    @osmankhoke254 2 роки тому +1

    Naomb Young Dee atumiwe link imfikie
    akae akijua huu ndio mziki wa real Hip hop music si kupiga kelele kwa media kma muimba taaarab
    shenzi snaa
    much respect from +254

  • @alphamwambelo8189
    @alphamwambelo8189 Рік тому +1

    mmeandika viingereza saaana mm nakuja na swahili hii ngoma ili ujue hajabaatisha fuatilia album nzima ya PARADISO mwana n katili kinoma

  • @frankgervas2961
    @frankgervas2961 2 роки тому +2

    Kaka hii ndo ngoma yang ya mwaka 🙏🙏🙏🙏maana akuna ngoma niliyo sikiliza mwaka huu nikaielewq

  • @hirwagustave4229
    @hirwagustave4229 4 місяці тому +1

    Brazza Stamina , I got every thing it's takes am telling you..

  • @miketez2160
    @miketez2160 7 місяців тому +2

    Am always here when i see my comment is liked ..i return to comment again ..this guy is a vybe

  • @caspermukalo6323
    @caspermukalo6323 2 роки тому +1

    Atema anahema stamina no one like yu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪nuff love

  • @jumanyamhanga2381
    @jumanyamhanga2381 2 роки тому +2

    mwamba hajawai kufeli Like nyingi kwa stamina🔥🔥🔥

  • @amanipololeti8180
    @amanipololeti8180 2 роки тому +1

    Mm masai ila ngoma zako nazielewa kinoma kaka salote 👏💯💯💯

  • @bigjahq197
    @bigjahq197 4 місяці тому +1

    aka ka bwana ni msani bora wa hip hop
    stamina so fresh

  • @willinjowritter206
    @willinjowritter206 2 роки тому +4

    My comment ain't worthy to be here.. much love and blessings from KENYA 🔥🔥🔥..

  • @haxkhabaisa9433
    @haxkhabaisa9433 2 роки тому +2

    Good music ninacho kumbuka tu kwa ex ni kile kiuno kigumu 😂😂

  • @jaykaris
    @jaykaris 2 роки тому +1

    Halafu unapata katoto kana leta utoto 😅😅😅 mwambie yule Young bado anahitaji kukua,😀#wamemchokoza mbeya

  • @milungaapeshijerome
    @milungaapeshijerome 2 роки тому +2

    Ww huko vizuri lakini viva roma ndie emetuboa kweli mwaka huu

  • @jumalwaho7940
    @jumalwaho7940 2 роки тому

    Hongeraaa Dada yanguu ongezaa bidiiii nahisiiii ukoo vizuriii umeshatoboaa

  • @wambandobabu3433
    @wambandobabu3433 2 роки тому +63

    24th dec 2021 history was made by stamina... it's a hit 🔥🔥🔥

  • @docilecreatives1
    @docilecreatives1 2 роки тому +1

    Ukiongea kuhusu stamina kwenye game ntakuaambia kuhusu Sharobwezi ndo stamina mwenyewe

  • @luthermbio7581
    @luthermbio7581 2 роки тому +1

    Young dee umesikia io pg kazi acha majungu umekaa unamzungumzia mtu yy anatoa kazi2 acha bangi

  • @epatone3303
    @epatone3303 2 роки тому +2

    Kaka utawauaaaaaaa by Epa Tone

  • @schadhabamungu4646
    @schadhabamungu4646 Рік тому

    Daaaah

  • @babanurdeenommydephb8992
    @babanurdeenommydephb8992 2 роки тому +14

    Stamina remains my favorite he never disappoint always ❤️❤️💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mayamichael8664
    @mayamichael8664 2 роки тому +14

    I can see how all the compliments went so stamina but yoooh Saraphina did the great job here...she is damn the best❤️♥️

  • @dixminderjngao1056
    @dixminderjngao1056 2 роки тому +3

    mwanangu stamina🔥🔥🔥piga kazi achana na YULE young dee

  • @schoolofsuccess666
    @schoolofsuccess666 2 роки тому

    We ndo sweet, tenaa sweetie wa mchongo!! Ur de only one!! Nikikuona .... Kula Hadi..... Shwashwaainii waooooh hatariii!! Siwez kukuumiza m cna pakwendaaa!!

  • @mathiaswambua7643
    @mathiaswambua7643 2 роки тому +1

    Goma langu Bora Kabisa Huwa Sichoki Kulisikiliza Until Die ✊

  • @Jack_khedirah3
    @Jack_khedirah3 2 роки тому +43

    Yule Stamina has never disappointed

  • @inclyrics4384
    @inclyrics4384 2 роки тому +1

    Aaaf Young Dee anaenda kwenye media aaf anasema stamina haujui huu mziki wa rap, huyu D anawazaga kweli?

  • @sabahiaboud654
    @sabahiaboud654 2 роки тому

    SARAPHINA SARAPHINA OOOOOWWW SARAPHINA WEEEE 💚💚💚💯

  • @mbappeyudasi1278
    @mbappeyudasi1278 2 роки тому +3

    BUg up my brother
    Ninacho kumbuni kiuno kigumu kwa yule x

  • @jumanyamhanga2381
    @jumanyamhanga2381 2 роки тому +1

    Sarphina kwenye Corus Hajawai fell Bonge moja la hits song🔥🔥🔥

  • @bonfacetumain2524
    @bonfacetumain2524 2 роки тому +7

    Underrated rapper but always proving critics wrong. Nice one Stamina mungu akuzidishie. Much love from Kenya

  • @brothermo9343
    @brothermo9343 2 роки тому

    Jamaa unajuwa paka unabowa💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @ketsonempire
    @ketsonempire 2 роки тому +18

    Kazi safi,na hakika hujai tuangusha mafuns sugu🙌.... Honestly this has been the best Album for 2021.. hakuna Album imeshinda repeat mode kama hii... More love Mr. Bonventure from 254🇰🇪🇰🇪

  • @hermanmwachuya8327
    @hermanmwachuya8327 2 роки тому +8

    if your reading this @2060 ..know this man was our best creative rapper during them hey days

  • @MOTHERFLOWERS385
    @MOTHERFLOWERS385 2 роки тому +1

    Wakitaka uniteme ndio kwanza unanimeza💯💯💯🙈🙈🙈

  • @boysondeniclousTv
    @boysondeniclousTv 2 роки тому +9

    You real killed it ,, stamina umekaa kwenye content and saraphina umenogesha Sana hiyo wimbo

  • @jackystotaa5921
    @jackystotaa5921 2 роки тому

    Hiyo sauti ya saraphina na uo uwezo wa stamina sasa sijui 2ite dude au tuitaje saraphina wewe stamina wew

  • @mahamoudmkunga2798
    @mahamoudmkunga2798 2 роки тому

    Huyu dada kaupiga mwingi sana humu 🍾🍾🍾🍾

  • @eagleculturetv4692
    @eagleculturetv4692 2 роки тому

    it's moro town baby💥💥💥

  • @Jumashadhil380
    @Jumashadhil380 2 роки тому +2

    Kazi Kali Sana Watoto Wadogo Wanapiga Kelele Tu Interview Zao,,,,,,
    🥰🥰🥰Huyu Demu Mkali Sana

  • @enochgy6798
    @enochgy6798 2 роки тому +1

    Sure staminaa uko juu nmetamani npige ngoma na wewe buh uwezoo ndo sinaaa,buh hope one day ndoto yangu itatimiaaa

  • @immajames6829
    @immajames6829 2 роки тому

    Umetisha saana broo unyama ni mwingi saana humu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @diamondplatfans500.kviews5
    @diamondplatfans500.kviews5 2 роки тому +1

    Stamina anakumbuaka zaidi alipo wekewa sumu🤾

  • @mohamediramadhani6120
    @mohamediramadhani6120 2 роки тому

    Umeuwaaaa kak tisha mbaya yaan ni bonge la nyimbo hilo.congratulation broo we2 wa morogoro

  • @denismusilipapa2981
    @denismusilipapa2981 2 роки тому

    Stamina is the King after Roma✊

  • @lamarmullahzalim2748
    @lamarmullahzalim2748 Рік тому +2

    Phina's voice is magical. 💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    Big tune

  • @mohammedkombo3727
    @mohammedkombo3727 2 роки тому

    Stamina nakukubali Sana mtu wangu ukosei kabisa magoma yako yanakimbiza Sana

  • @smartchannel8141
    @smartchannel8141 2 роки тому

    eti kuna mtu alisema bila roma huyu mjomba hawezi🤔🤔🤔🤔🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪

  • @MR47HYPER
    @MR47HYPER 2 роки тому +3

    Stamina unacho kumbuka kw Yule Ex ni kiuno kigumu big up bro

  • @mdeeyoofficial3795
    @mdeeyoofficial3795 2 роки тому

    Mamaaa lyrics cama hakuna yeyote mwenyenazo stamina pekeyake

  • @jimmgithinji9675
    @jimmgithinji9675 2 роки тому

    Yeyote Yule Anasalute hii Banger...... Big up Mr Bonventure....

  • @sarafinajeremiah7035
    @sarafinajeremiah7035 2 роки тому

    Weee sarafina ❤️🥰 wewe ni🔥🔥🔥🔥🔥kaza mama upo juuuuu🥰🥰❤️

  • @donatkyambala8208
    @donatkyambala8208 2 роки тому

    Kichwa cha habari Tz kishatoa habari mpya. Asante sana kaka

  • @hafidhkikocho9161
    @hafidhkikocho9161 Рік тому

    Phina yan nakupenda bure una vocal za hatar uko vizur sana natural beauty Africa.

  • @georgeotieno8280
    @georgeotieno8280 Рік тому

    Oiiii Kaka stamina Mimi mistari zako zanimaliza bro,hivi naeza sema kuwa wewe ni msanii unayejua assignment yako na kile ambacho sisi kama mashabiki wako tunachotaka
    Much love and respect toka +254

  • @sammymutiso6758
    @sammymutiso6758 2 роки тому

    Stamina 🔥🔥🔥🔥🔥balaa la Africa

  • @kelvindanda6052
    @kelvindanda6052 2 роки тому

    saraphina ulikuaga wapi siku zote hizo plz welcome to the game coz ur fireeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @thomasmartinez786
    @thomasmartinez786 2 роки тому

    Naunga mkono hoja ww ndo rapa bora mwaka huuu stamina🔥🔥🔥🔥

  • @therealOssie
    @therealOssie 2 роки тому +12

    I love Stamina and I highly recognize him as one of the gifted MCs in Africa, I understand and speak Swahili well, his writing is just mind blowing as the context is ever accurate and well connected with him. Hongera sana. Salam kutoka Uganda 🇺🇬.

  • @twishyobrah7803
    @twishyobrah7803 2 роки тому

    Uko poa kenya nimekuwakilisha stamina

  • @kwizeraismael8784
    @kwizeraismael8784 2 роки тому

    Shorwebwezi unaweza kabisa.. big up sana broda ... Holla at ya

  • @gama_liely
    @gama_liely 2 роки тому

    Dah ila msenge unajua kuandika🔥🔥🔥🔥🥰🥰🥰

  • @kayadolf5817
    @kayadolf5817 Рік тому

    Yule mkenya hapa, much love for my G Stamina

  • @chrianmulaki1599
    @chrianmulaki1599 2 роки тому +1

    Stamina hii ngoma umeua kuanzia mwanzo hadi mwisho 🔥🔥🔥

  • @michaelminja
    @michaelminja 2 роки тому +1

    Sarah kauwa sana big up Stamina never disappointed

  • @Lumegilemukata
    @Lumegilemukata 2 роки тому +1

    Mr Boniventure
    $alute kwako my brother 👏👏Yule is 🔥🔥

  • @nixnovember
    @nixnovember Рік тому +2

    This is the smoothest Chorus i've heard in a while. Saraphina ni kiboko❤🙌🏿

  • @nickypezzooo7792
    @nickypezzooo7792 2 роки тому +2

    Stamina hajawah kosea

  • @obzboy8725
    @obzboy8725 2 роки тому

    Goma kaliiii, melody Kali kwenye CHORUS, mwisho feeling Kali ya wimbo

  • @raymondmchunguzi8770
    @raymondmchunguzi8770 2 роки тому

    Muziki kama baiskeli ukishajua umejua 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @meck_billions
    @meck_billions 2 роки тому

    Hahaaah, shorwebwenzi hiyo mistari haainichoshi Mzee ,hujawahi feli ,kichwa amplifier

  • @meddymustard7632
    @meddymustard7632 2 роки тому

    Vanessa umemkava kabisa 🔥🔥🔥Talent

  • @innocentmgo8145
    @innocentmgo8145 2 роки тому

    Waukaee unatishaaa upo tayari kutoa adi ini

  • @kuborashid9351
    @kuborashid9351 2 роки тому

    Konkiii snaaa... Hii chemistry motoo💪💪✔️💯💯💯💯

  • @samsonpaul130
    @samsonpaul130 2 роки тому +12

    Saraphinaa voice is such a 🔥

  • @MonoEye254
    @MonoEye254 2 роки тому +1

    Always Naenda Gym ju ya ngoma za stamina

  • @cliffpalm9550
    @cliffpalm9550 2 роки тому +17

    This Guy stamina 🔥🔥🔥 legendary . can't get enough of you much love from 254🇰🇪🇰🇪

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 8 місяців тому +1

    Phina kasimama vzr sn kwa chorus

  • @fedricndete4907
    @fedricndete4907 2 роки тому +1

    Mkali wangu stamina

  • @harunauwesu2076
    @harunauwesu2076 2 роки тому

    Nyimbo Kali sana Ila huyu saraphina ana hatari sanaaaaaaaaa

  • @Kingdom_Creative_Studios
    @Kingdom_Creative_Studios 2 роки тому

    stamina ylemmmoja na rhymes za kiajabu... kuna vingi vya kupa ya nini nikupe stress...unatiiiiisha bro

  • @emmanuelngendakumana3361
    @emmanuelngendakumana3361 2 роки тому

    Kabisa, voice ya Saraphina ya tisha mno
    Good Collaboration Stamina

  • @crisndembwele4016
    @crisndembwele4016 2 роки тому +1

    Daaah bonge langoma 100+100 huyo Dada kwenye chorus Ametisha yaEla yote💪💪💪Much love@mziki mtamu sio lazima tuimbe vidude😂

  • @carloswekesa254
    @carloswekesa254 2 роки тому

    Kenya we stand up 🇰🇪🇰🇪🇰🇪. wamemchokoza tena 🐐🐐🐐💪🏼💪🏼💪🏼

  • @shanyabdul2386
    @shanyabdul2386 2 роки тому

    Dada anasauti nzur jaman...kajua kuunogesha wimbo

  • @imaniaboubacar4236
    @imaniaboubacar4236 2 роки тому +2

    Big up big up my star for every time
    Another one
    I luck it

  • @araphatimura7970
    @araphatimura7970 2 роки тому

    Brother stamina uko Moto sana.. mziki mazur kinoma my brother

  • @Franciskalimilwa
    @Franciskalimilwa 2 роки тому

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥umetisha sana kaka🙌🙌🙌🙌🙌

  • @ShaqueeBlackrapper
    @ShaqueeBlackrapper 2 роки тому +4

    Saraphina voice turned me on 🔥🔥🔥

  • @jumasetumbi147
    @jumasetumbi147 2 роки тому

    Mwaka unaisha kilaini sana. Umetisha Stamina. Hivi ndo inatakiwa.