HIGHLIGHTS: Vitalo FC 0 - 4 Yanga SC Highlights CAF CL.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 67

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 2 місяці тому +20

    Dube salute kwako umechukua yellow card kwa ajili ya timu

  • @alexcharlz06
    @alexcharlz06 2 місяці тому +9

    Master key 🗝️ .. free kick 🔥

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 2 місяці тому +9

    Safi sana wanajeshi wetu endeleeni kupambana tuko nanyi kwa maombi

  • @MauwaSaid
    @MauwaSaid 2 місяці тому +5

    Mungu aijalie yanga❤❤❤❤

  • @LoshivaLengeli
    @LoshivaLengeli 2 місяці тому +2

    Yanga tamu GSM mungu akuongezee miaka

  • @makoyemayila1793
    @makoyemayila1793 2 місяці тому +6

    Mzize wa moto sana kipindi hiki

  • @Muhammedually
    @Muhammedually 2 місяці тому +8

    Huyu jamaa akitangangaza mechi zetu tunaanzia 4

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 2 місяці тому +4

    Bravo wananchiiiiiiiii 🔰🖤💛✅⚽⚽⚽

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 місяці тому +4

    Hatutaki kabisa MAZOEA,... yeyote Lazma AKALIE

  • @Samalextz
    @Samalextz 2 місяці тому +6

    Yanga kwa ujumla wenu tunawashukuru sana kwa burudani murua

  • @HamisiAmiri-n3f
    @HamisiAmiri-n3f 2 місяці тому +3

    Dube tumepataa

  • @Muna-en4yq
    @Muna-en4yq 2 місяці тому +1

    Wonderful my team ❤❤❤

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 2 місяці тому +8

    Maforward watulie wanapopata mipira toka kwa viungo kocha alifanyie kazi hili tena kwa kila mchezaji.

  • @LINGSONMWAMPAMBA
    @LINGSONMWAMPAMBA 2 місяці тому +3

    Jamani yanga noma

  • @hubertmwemezi8426
    @hubertmwemezi8426 2 місяці тому +5

    Yanga bingwa 🏆🏅

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 2 місяці тому +7

    😂😂😂😂vital,O mtoto kautaka mtoto kautaka mtoto kautaka mtoto kautaka mtoto kautaka mtoto kautaka mtoto kautaka 💚💛🇹🇿🔥💪

  • @BahatiSego
    @BahatiSego 2 місяці тому +2

    👏👏👏💚💛💚💛

  • @benardmatano142
    @benardmatano142 2 місяці тому +4

    Marudio itakuwa kama Simba Tu ,, chums mbili moja

  • @GervasMwageni
    @GervasMwageni 2 місяці тому +1

    Kwani waoo wanasemajeee

  • @Kimweri_tz
    @Kimweri_tz 2 місяці тому +4

    Hii Yanga haizuiliki jaman

  • @AbdulStopper
    @AbdulStopper 2 місяці тому +2

    Asante

  • @PeterSevere
    @PeterSevere 2 місяці тому +1

    Pacome is better than Chama kwahiyo pacome aanze mimi sio kocha lakini mawazo yangu

  • @clintonkatyale6891
    @clintonkatyale6891 2 місяці тому +1

    Ila dube kama hatakuwa na majeruhi msimu huu atakwa hatari sana

  • @thuwaibamkana9691
    @thuwaibamkana9691 2 місяці тому +4

    💛💚💛💚

  • @HellenGerevss
    @HellenGerevss 2 місяці тому +2

    ata mm napenda awe anatangaza mechi za yanga zote

  • @RechoeExzaud
    @RechoeExzaud 2 місяці тому +2

    Japokua tumeshinda lkn tumecheza chin ya kiwang ilibidi iwe 6

  • @GarimaMayango
    @GarimaMayango 2 місяці тому +3

    Haizuilik kwa kumfunga vitalooo😂😂😂😂

    • @abdunnurahmedsilim7456
      @abdunnurahmedsilim7456 2 місяці тому

      Tumeshawazoea makolokwinyo endeleeni kuteseka 😂😂😂

    • @HappyBarnOwl-ug5kt
      @HappyBarnOwl-ug5kt 2 місяці тому

      Kwan ww hujawah kufungwa na yanga

    • @NuhuMhema-g3i
      @NuhuMhema-g3i 2 місяці тому

      We hujafugwa

    • @SalhaSewando
      @SalhaSewando 2 місяці тому

      Huyu nae kumbe semaji la makolo lete timu yako uchezee koki amelowa unateseka ukiwa wap😢😢😢😢😢😢😢😮

    • @ashamkesa979
      @ashamkesa979 2 місяці тому

      Tena Vitalo o nibora kuliko kolo yeye anacheza club bingwa kolo anacheza shirikisho

  • @T_Darius
    @T_Darius 2 місяці тому +13

    Hawa gem ya marudio wanaweza kuchezea zaidi ya nne😂

  • @AnziChaula-u9z
    @AnziChaula-u9z 2 місяці тому +1

    Huyu dube nazan tim za tz zinaon waxje mpa lawama bureeee maan anayoyafany uko powa wasije wakajikuta wakawa wanachezea 7 kila gam

  • @josephminja7953
    @josephminja7953 2 місяці тому +4

    Kuachana naushindi huu ila gharib mzinga nibonge lamtangazaji uwezo anao 🎉

    • @sosomacharles9920
      @sosomacharles9920 2 місяці тому +1

      Kwa kweli hapa tumepata Charles Hillary mwingine.

  • @azmedmtwana8135
    @azmedmtwana8135 2 місяці тому +4

    Hata simba pia hatuzuii😂😂😂😂

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 2 місяці тому +2

    Usiombe ukutane na Dar young Africain

  • @AlindaVedasto
    @AlindaVedasto 2 місяці тому +2

    ❤❤❤ yanga

  • @Abdulramadhan-xv7dn
    @Abdulramadhan-xv7dn 2 місяці тому +2

    Yanga bingwa

  • @CharlesPaulo-x6f
    @CharlesPaulo-x6f 2 місяці тому +1

    Yangaaaa hatariiiii

  • @NdokejiSahani-b1l
    @NdokejiSahani-b1l 2 місяці тому

    Chama katoa pasi ya maana kweli kwa dube

  • @DavidShukran-mk5dv
    @DavidShukran-mk5dv 2 місяці тому +3

    🎉yanga

  • @SenyaSakaya
    @SenyaSakaya 2 місяці тому

    Walikunya sup mapema

  • @markmakowa6154
    @markmakowa6154 2 місяці тому +2

    Aisee!😅😅😅

  • @adamuandrea6658
    @adamuandrea6658 2 місяці тому +3

    Tunaomba zile hidden camera tafadhali

  • @Tausiisa
    @Tausiisa 2 місяці тому +1

    Dubeeeeeeeeeeeee😅😅😅😮😮😮

  • @grolymwenga4715
    @grolymwenga4715 2 місяці тому +4

    wamepigwaa

  • @rukaya-jg7hj
    @rukaya-jg7hj 2 місяці тому +4

    Tupo ugenini mjue😂😂😂😂

  • @samweledward7664
    @samweledward7664 2 місяці тому +2

    Yanga Bingwa

  • @jumamzelela4207
    @jumamzelela4207 2 місяці тому

    🇹🇿💛💚💛

  • @ndayishimiyetherence1191
    @ndayishimiyetherence1191 2 місяці тому

    Tunataka highlights iwe na dakika kama 30

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 2 місяці тому +1

    Mbona Baleke Simuoni?kwa kweli mm naumia sana.

    • @AnziChaula-u9z
      @AnziChaula-u9z 2 місяці тому

      Koch atakua kaon hakidhi vigez

    • @emanuelsamwel999
      @emanuelsamwel999 2 місяці тому

      ​@@AnziChaula-u9zsio kocha ndugu , baleke na Chadrack boka taarifa zao zilichelewa kuingizwa kwenye system ya Caf kwahiyo mechi za awali hawakuruhusiwa kucheza mpaka mechi baada ya Vital'O ndo wataruhusiwa wote wacheze

    • @emanuelsamwel999
      @emanuelsamwel999 2 місяці тому

      ​@@AnziChaula-u9zsio kocha ndugu , baleke na Chadrack boka taarifa zao zilichelewa kuingizwa kwenye system ya Caf kwahiyo mechi za awali hawakuruhusiwa kucheza mpaka mechi baada ya Vital'O ndo wataruhusiwa wote wacheze

  • @MauBonde
    @MauBonde 2 місяці тому

    Hatuhitaji wanafki kwenye kujenga yanga ni taasisi kubwa ,kwenye swala la Haji wacha nifafanue ,kuna manufaa wanayapata wachezaji wafadhili wasemaji na club , wanachama mashabiki hawanuafaiki na chochote.maoni tuu.tulikuwa hatuhitaji ,tunakosa wanachama kwa ujinga wa trending..Mimi binafsi Haji simtaki ,hatutaki mamluki yataturudisha nyuma.kwa mfano wasemaji na wafadhili wanapata deals tofauti kupitia nembo ya taasisi na hakuna asilimia yoyote ambayo club nataasisi itanufaika nayo.maoni tuu katika kulijenga taifa.

  • @rashidingorosangorosa9038
    @rashidingorosangorosa9038 Місяць тому

    Yangaaa

  • @طارقالحمادي-ط5ك
    @طارقالحمادي-ط5ك 2 місяці тому

    شو اسم المباراه

  • @henrickchambilo3119
    @henrickchambilo3119 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂