USHAURI KWA WAUZA MITUMBA WAPYA🥰

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 53

  • @nicholauscharles74
    @nicholauscharles74 19 годин тому

    Umenifaa sana aseee, ushauri mzuri, very honestly, God bless you

  • @hildakazinza8481
    @hildakazinza8481 15 днів тому +1

    Asante sana. Tupe mawasiliano yako

  • @Evelynemlemeki
    @Evelynemlemeki 3 місяці тому +1

    Asante sana barikiwa

  • @LuccyJoseph-n4i
    @LuccyJoseph-n4i 4 місяці тому +1

    Asante sana Mungu akubariki

    • @loaras96
      @loaras96  3 місяці тому

      @@LuccyJoseph-n4i Amen

  • @fortunatusanyilebuli318
    @fortunatusanyilebuli318 Місяць тому +1

    ❤❤🙏🙏kipenz

    • @loaras96
      @loaras96  Місяць тому

      @@fortunatusanyilebuli318 shukrani

  • @ScolahGwamaka
    @ScolahGwamaka 6 місяців тому +3

    Namba yko my

    • @loaras96
      @loaras96  6 місяців тому +1

      0743133421 karibu

  • @octavianmacha7739
    @octavianmacha7739 7 місяців тому +2

    Barikiwa mno dada angu sijawahi kujutia uwepo wako Mimi ni mshindi na tajiri kupitia wewe!!

  • @FinerMushy
    @FinerMushy 6 місяців тому +1

    Nimekupenda Bure mpendwa maana Niko na mpango wa hiki unachikisemea mpendwa

    • @loaras96
      @loaras96  6 місяців тому

      Asante sana karibu

  • @Oceancooperate
    @Oceancooperate Місяць тому +1

    ushauri mzuri lakini sauti yako ipo chini sana jitahidi kuwa unazingatia sauti yako

  • @JeremiaShaonaro
    @JeremiaShaonaro 3 місяці тому +1

    How much for a quality chiffon blouse bale

  • @ruthotanga2960
    @ruthotanga2960 6 місяців тому +1

    Dada nashukuru mimi ni mkenya nataka kuuza balo la cotton dress lable kani nzuri nashukuru

    • @loaras96
      @loaras96  6 місяців тому

      Sina kitu inaitwa Lebo sababu Lebo hubadilika kwa kipindi

  • @monaishm9445
    @monaishm9445 6 місяців тому +1

    Dada minataka baro la jinsi za kiume bei gan

    • @loaras96
      @loaras96  6 місяців тому +1

      BALO ZA MEN JEANS BEI ZAKE NO 1 & CREAM👇👇
      ✅Kuna la 500,000 /= 580,000 /= china pc 90-100 hizi ni kampuni mbili tofauti ndio mana bei tofauti
      🔰650,000 /= LA CHINA PC 90-100
      -
      🔰750,000 /= la UK PC 100
      -
      850,000 /= la canada pc 100 pia la DUBAI bei moja
      -
      ✅ kiufupiiiii MEN JEANS BALO NI 500,000/=, 580,000 /= za CHINA PC 70-80 (kampuni tofauti izo) izi bana zinatoa jeans modooo za vijanaaa pekeee , UK / TURKEY 750,000 /= pc 100 & mainili kabisa CREAM DUBAI au ilo la CANADA 850,000 /= PC 100 hizi pia zinakuaaa mchanganyiko modo za vijana na jeans pana za watu wazimaaa ✔️✔️✔️ BALO NZURI NI HIZO TU ACHAANA NA UO UCHAFU MWINGINE
      🟥NB ; kuna balo hadi za 300,000/= nyingine 250,000/= ila hizo nilizoorodhesha hapo ndio balo NZURIIII HAZINA MASHAKA ✔️✔️✔️

  • @Steve-q8m
    @Steve-q8m Місяць тому +1

    Vp dada naweza PATA belo ya taulo

    • @loaras96
      @loaras96  Місяць тому

      @@Steve-q8m nina bathrobe pekee boss

  • @TusaKiblaga-vp9jg
    @TusaKiblaga-vp9jg 2 місяці тому

    ❤❤

  • @RaphaelChacha-x9g
    @RaphaelChacha-x9g 4 місяці тому +2

    Dada nahitaji kuanza ila sijajua mahali pakupata mzigo

    • @loaras96
      @loaras96  3 місяці тому

      @@RaphaelChacha-x9g karibu tuwasiliane 0743133421

    • @RaphaelChacha-x9g
      @RaphaelChacha-x9g 3 місяці тому

      @@loaras96 ahsante nita kuchek

    • @RaphaelChacha-x9g
      @RaphaelChacha-x9g 3 місяці тому

      @@loaras96 ahsante nita kuchek

  • @pilipili1907
    @pilipili1907 4 місяці тому

    Uko wapi Mrembo na Bero la Nguo za Mitumba za watoto shi Ngapi

    • @loaras96
      @loaras96  4 місяці тому

      @@pilipili1907 Nyamanoro Mwanza,Kuanzia 480,000 nk

  • @PETRONILAMNYILIPANDUKA
    @PETRONILAMNYILIPANDUKA 7 місяців тому +1

    Upo wapi

    • @loaras96
      @loaras96  7 місяців тому

      Nyamanoro Mwanza 0743133421

  • @hamisstimu
    @hamisstimu 3 місяці тому +1

    Weka namba yako ya simu madam

    • @loaras96
      @loaras96  3 місяці тому

      @@hamisstimu 0743133421

    • @hamisstimu
      @hamisstimu 3 місяці тому

      @@loaras96 ubarikiwe saana

  • @veronicambilinyi3854
    @veronicambilinyi3854 6 місяців тому +1

    Naomba namba zako please

    • @loaras96
      @loaras96  5 місяців тому

      0743133421 karibu

  • @thomasmtweve9899
    @thomasmtweve9899 4 місяці тому

    Namba Yako please

    • @loaras96
      @loaras96  4 місяці тому

      @@thomasmtweve9899 0743133421

  • @LeahGabriel-nk6tz
    @LeahGabriel-nk6tz 5 місяців тому +2

    Namba jaman

    • @loaras96
      @loaras96  5 місяців тому

      0743133421 karibu

  • @ramanycore
    @ramanycore 5 місяців тому

    BALO MNATUMA MIKOANI NA GHARAMA NI ZA NANI?

    • @loaras96
      @loaras96  4 місяці тому

      @@ramanycore tunatuma,gharama ni juu ya mteja

  • @OyelMina
    @OyelMina 6 місяців тому +1

    Na nikija nataka pisi moja moja ila nataka kama 600.!?!

    • @loaras96
      @loaras96  6 місяців тому

      Pis za kitu gani boss

    • @OyelMina
      @OyelMina 6 місяців тому +1

      @@loaras96 yaani namanisha kuchambua moja moja ila nachukua kama pic za nguo 600 bei inakuwaje hebu nieleweshe Dada..!?!

    • @loaras96
      @loaras96  6 місяців тому

      @@OyelMina itategemeana na aina gan umechanganyaje bei sio uniform huu ni mtumba boss

    • @OyelMina
      @OyelMina 6 місяців тому

      @@loaras96 haya Sawa Dada nimekuelewa..!??

    • @vailethsawe-fj2mz
      @vailethsawe-fj2mz 6 місяців тому

      Dada kama nataka niwe nachukua mzigo wa nguo za kike lakini niwe natembea minadani nitatoboa