Mke wapili wa Bujra afunguka kwa Mara ya kwanza

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 78

  • @GjhBjhhj
    @GjhBjhhj 3 місяці тому +1

    Madikodiko ni mke wa kwanza Bujura maburuk mungu akujalie wake wakupendana

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 3 місяці тому +4

    Mashallah kaka Mungu awalinde na wawe na kheri kwako nawe uwe na kheri kao hadi mkutane tena peponi hapo kwa kufatilia sheikh othuman upo sahihi maana anafunza kweli Mambo mazuri Allah awe nanyi Amen ❤❤❤🎉🎉🎉🎉 mabrook ❤

  • @SaumuLuvuno-s6w
    @SaumuLuvuno-s6w 3 місяці тому +2

    Waume wengine ni mahasidi nyoka wakuuma na hawatokula but bujra big up bro

  • @user_faff84
    @user_faff84 3 місяці тому +2

    Ma Sha Allah kherr inshallah....mabrouk

  • @waridi7932
    @waridi7932 3 місяці тому +11

    Bujra umejiletea moto maishani. Mke wako wa kwanza hajakwambia yuataka likizo kwa hivyo usiifanye sababu. Jiandae na zaidi ya unayoyatarajia. Hakuna mapenzi ya watatu

    • @ZulfahMuhammad
      @ZulfahMuhammad 3 місяці тому +1

      Usiombeye mabaya mwezio bali muombeye duwa sasa hayo maneno mayaba ya nini nenda zako huko

    • @waridi7932
      @waridi7932 3 місяці тому +1

      Hakuna Dua yoyote mbaya aliyoombewa, Bali huu ndio ukweli wa maneno. ​@@ZulfahMuhammad

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le 3 місяці тому +2

      weye choyo kinakuhangaisha tu roho mbaya

    • @RahmaMwatete
      @RahmaMwatete 3 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😊utanivunja . ..mbavu​@@nahlahassan-fd6le

  • @thumalove1886
    @thumalove1886 3 місяці тому +1

    Sio kweli bana mm mime wangu aniona mpya kila siku😂😂😂sijui vile ni maskini akifanikiwa ndio ataniona wakawaida

  • @Sity-zo6hf
    @Sity-zo6hf 3 місяці тому +1

    Mabrouk alfu Mabrouk❤❤❤In Shaa Allah iwe ya kheir bro.

  • @firdaushamid8200
    @firdaushamid8200 3 місяці тому +3

    Mwanamke anatimiya kwakumuhishimu mume wake sio kwa ukewenza

  • @MamakeSabrina
    @MamakeSabrina 3 місяці тому +7

    Appreciate hata mm ni muhanga wa matal so uke wenza raha asikuambie mtu

  • @MayoMwanarusi
    @MayoMwanarusi 3 місяці тому +1

    For sure huyu mtangazaji anamaswali ya uchochezi hii ndoa ikivunjika kidole ntaanza kukiotesha kwa hyu mtangazaji. Adigo tuna taabu sana. Huyu mdada mke wa pili kwa kweli Mungu amjaalie na hekma na msimamo alionao.. Ila mtangazaji punguza hujaifanyia haki hii interview.

  • @maryamahmed1510
    @maryamahmed1510 3 місяці тому +3

    Umekosea bujra kusema umempa mapumziko nikama ulikua amekuchosha ama pengingie ukiwa una ridhika

  • @SharrifCharo-mi1bn
    @SharrifCharo-mi1bn 3 місяці тому +9

    Mtangazaji hana maswali ya maana

  • @REHEMANCHALIKA
    @REHEMANCHALIKA 3 місяці тому +6

    Mashallah japo tuliona n movie🎉🎉🎉🎉waliodhan n movie mko wap

  • @naomifuraha
    @naomifuraha 3 місяці тому +3

    Mashaallah 🎉mabrook mkaka nilidhani ni Kiki 😅😅😅😅

  • @RizikiChamosi-u4x
    @RizikiChamosi-u4x 3 місяці тому +1

    Shukuran dadangu hivo ndivyo inatakiwa tutenguwe kauli ya mkemdogo kivuruge

  • @Fatumaaliboko
    @Fatumaaliboko 3 місяці тому +2

    Masha Allah.. Allah awafanyie wepec nyote mko kwenye mtihani mgumu

  • @Maiya-f4h
    @Maiya-f4h 3 місяці тому +2

    Hongereni kkaa bujra Allah awaongoze❤

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 3 місяці тому +5

    Alf mabrouk kwa maharusi, mungu awapatie masikilizano inshaallah. Amin 🤲🤲

  • @mwanamisimwangaro8001
    @mwanamisimwangaro8001 3 місяці тому +2

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah Tabarakallah...ALLAH awalinde na awajaze maelewano ...mke mdogo na mkubwa muelewane ndio awe na furaha zaidi

  • @AshaSuleiman-o3p
    @AshaSuleiman-o3p 3 місяці тому +2

    Ma Sha Allah Mungu awape maelewano na subra in Sha Allah

  • @kadijaa7771
    @kadijaa7771 3 місяці тому +2

    Haya kaka hongera uwalee wakezo wawe na furaha uwe na uadhilifu in sha Allah mungu akuongoze katika jambo hili ni mtihani sana

  • @bintijumachongoa892
    @bintijumachongoa892 3 місяці тому +6

    lkn sawa kumpea ruhusa mme wako kwenda kwa mke mkubwa..ule n moyo tu wa upendo ...mke mdogo ana moyo wa upendo hana choyo ..aliona yeye avmlie sku mbl lkn ule mwenzake awe sawa

    • @ZulfahMuhammad
      @ZulfahMuhammad 3 місяці тому +1

      Kwakweli Allaah amzidishie moyo wa huruma

  • @aishabarua6857
    @aishabarua6857 3 місяці тому +2

    Mashallah tabarakah allah, kuwa muadilifu, uta weza

  • @Sarah-tq2vc
    @Sarah-tq2vc 3 місяці тому +2

    Maa shaa Allah kaka bujra

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 3 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂Ata cjui nacheka nn meju mm najikuta naraha thuu na comment za uko chini.... Masha Allah mke wa pili mungu akujalie utuzalie mzee Mohammed na mke mkubwa popote ulipo mungu akupe subra na moyo huo huo wa kukubali mwenzako

  • @monarose6091
    @monarose6091 3 місяці тому

    Mashaallah kheri in shaa Allah

  • @user-ju9mi1ft4v
    @user-ju9mi1ft4v 3 місяці тому +1

    Mashaa Allah tabaraka Allah ❤❤

  • @Mariamsalim-m2v
    @Mariamsalim-m2v 3 місяці тому +3

    Mmmm jamani kama yupo mke mwenza kama huyu namtakia mume wangu jamaniii

  • @FredKe-xb4bo
    @FredKe-xb4bo 3 місяці тому +4

    Napenda kazi zenubsanaa❤❤

  • @BiashaHamad
    @BiashaHamad 3 місяці тому

    Mashaallah

  • @mealiipafu-wg7dx
    @mealiipafu-wg7dx 3 місяці тому

    Hao ndio wanawake wa peponi Dunia y sai kuwapata wanawake km hao n moja Kwa mia Allah baarik ndio zenu

  • @kavutogalgalo1396
    @kavutogalgalo1396 3 місяці тому

    Mashallah bro awajalie khr

  • @faizaally6581
    @faizaally6581 3 місяці тому

    Nani anataka tuwe wake wenza❤❤

  • @MwanasaadaAsha-es6ov
    @MwanasaadaAsha-es6ov 3 місяці тому +1

    MashaAllah❤❤❤🎉🎉

  • @husna34562
    @husna34562 3 місяці тому +1

    Mbavi galigovya 😅kher inshaallah

  • @RizikiChamosi-u4x
    @RizikiChamosi-u4x 3 місяці тому

    Bado hajawa mume wamtu kwa sababu hajatimiza ziko nafasi pili

  • @aisharajimbo6784
    @aisharajimbo6784 3 місяці тому

    Muulizaji anaboa maswali mengi ht mtu hajielezi sana

  • @leylaabuu7025
    @leylaabuu7025 3 місяці тому

    Uke wenza mzito sio rahisi, Bujra unamoyo mmoja utapendaje wawili uyo mke wa pili anakaa anavishindo

    • @Feisal-hamad
      @Feisal-hamad 3 місяці тому

      Kama hausupport heri utulie coz ukizidi wakufuru kwa Allah

  • @swabrinaamani-cb3yx
    @swabrinaamani-cb3yx 3 місяці тому +1

    😂😂😂😂pwani hakun bikra

  • @mwanauluhassn658
    @mwanauluhassn658 3 місяці тому +1

    MashaAllah

  • @LaadiBrand-o3d
    @LaadiBrand-o3d 3 місяці тому +1

    Ww bujra huweleweki mara ilikua ni kiki mara umeona 😏

  • @fatumashehe361
    @fatumashehe361 3 місяці тому

    Mm ctaki mkeke mwenza

  • @FredKe-xb4bo
    @FredKe-xb4bo 3 місяці тому +3

    Mbona haina sauti

  • @Sikukuu-u5e
    @Sikukuu-u5e 3 місяці тому +1

    Mashaallah mke mdogo

  • @Sikukuu-u5e
    @Sikukuu-u5e 3 місяці тому +1

    Mbona sauti jamani

  • @zuhuraabdallah2124
    @zuhuraabdallah2124 3 місяці тому

    hakika Allah nimjuzi wayote oweni mukiwa mutakuwa waadilifu

  • @SaumBby
    @SaumBby 3 місяці тому

    Me ntakua wa tatu basi🤭

  • @AlhamSchfam
    @AlhamSchfam 3 місяці тому +1

    Wee bujra duh hatari Sana, Ivi ni kweli

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 3 місяці тому +1

      Hatari inatokea wapi?

    • @AlhamSchfam
      @AlhamSchfam 3 місяці тому +1

      Wee uwoni maradhi y moyo hayo ashamuekea mkewe😢😢😢school mate wangu uyo bujra but duh ameachia bomu

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 3 місяці тому

      @@AlhamSchfam Mke wake ndie alie kuambia kua alipewa maradhi ya moyo ama ni wewe ndie unamuekea? Inaonekana wewe ni mnafiki

    • @AlhamSchfam
      @AlhamSchfam 3 місяці тому

      @@yusufmwangichannel6692 sawa mm nafki kuwa wewe mtu wa peponi c mwenye ndio ametamka mke wake hayuko sawa

    • @AlhamSchfam
      @AlhamSchfam 3 місяці тому

      Ooh watafuta Kiki kupita n upepo wa mwenzako

  • @Mkambe-tr3iz
    @Mkambe-tr3iz 3 місяці тому +1

    😂😂😂😂🎉

  • @dorahhussein
    @dorahhussein 3 місяці тому

    Mm kusema ukweli siwezi uke weza Nina wivu vibaya sans

  • @RehemaHamisi-i4u
    @RehemaHamisi-i4u 3 місяці тому

    Yataka moyo kibinty hana baya

  • @abdallangome1351
    @abdallangome1351 3 місяці тому +1

    Sauti mkuu tafdhali

  • @mwanauluhassn658
    @mwanauluhassn658 3 місяці тому +1

    MashaAllah

  • @FredKe-xb4bo
    @FredKe-xb4bo 3 місяці тому +2

    Mbona haina sauti