JOB, MSHERY WAFUNGUKA BAADA YA KUFIKA DUKANI KWA MZIZE "HUYU NI MCHEZAJI WA TAIFA/ WAJE HATA WENGINE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025
  • Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
    Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv

КОМЕНТАРІ • 23

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 Місяць тому +6

    Wallah Umoja Wenu Ndio Utawafanya Mfike Mbaliii Mzidi Na Roho Izo Izo Ya Imani Na Umoja Insha Allah

  • @azizambise
    @azizambise Місяць тому +17

    Jamani tuwaangalie Job, Bacca na Diara hawa watu wapo tayar kufa kwa ajili ya team

  • @Mari89wx
    @Mari89wx Місяць тому +3

    Yanga nawapenda sana, mnaumoja, mnashirikiana na kuungana kwa mkono kwa mambo mengi.💚💚✅✅✅🇹🇿🇹🇿🌻🌻

  • @LucaiyaKyaka
    @LucaiyaKyaka Місяць тому +4

    Namuomba M/Mungu awajaalie Kheir na Mafanikio kwenye maisha yao Inshaallah

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Місяць тому +1

    Hongera yanga yangu... huko makororo wanapigana misumari balaa..

  • @AminaAmina-cr8jq
    @AminaAmina-cr8jq Місяць тому +4

    Mungu wajalie waungane hivyo hivyo

  • @rajabually869
    @rajabually869 Місяць тому

    Kumbe lile goli lilikuwa la ufunguzi wa nduka Mungu mkubwa asinge funga tusingeona haya hongera sana muweke Mungu mbele

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 Місяць тому +1

    Mungu Alisema yes hakuna wa kupinga

  • @RobertAlyce
    @RobertAlyce Місяць тому

    Hongera Sana arikamye na taifa kwaujumra kwani hayo hayapatikani popote duniani zidi yanga tu kwani tokanimeanza kushabikia mpira wa miguu haijawahi tokea sapoti Kama hiyo yaupendo mkubwa hakika Raisi anaweza kutufiksha mbari tukopamoja nanyi naitwa adamu dubwi pingo charinzepwani

  • @josephmathayo5139
    @josephmathayo5139 Місяць тому +2

    Hili jambo ni Zuri Sana. Ally Kamwe endeleza kampeni za namna hii Kwa Wachezaji wengine.

  • @LuckyTemu
    @LuckyTemu Місяць тому +1

    Kamwe leo ana kazi ya kubadilisha Nguo 2

  • @EmanuelMiyonjo
    @EmanuelMiyonjo Місяць тому

    Hongera clementinyo mzinze

  • @MhabeshiMaluja
    @MhabeshiMaluja Місяць тому +1

    Waliid mzize mtu na nusu huyu tena hajashangilia saana ingekuwa kibu sasa angevua mpaka chupi dadeki..😂😂

  • @matunzojr4862
    @matunzojr4862 Місяць тому

    Mshery anajifanya kuongea kwa itifaki mamaeh😂😂😂

  • @RobertKajege
    @RobertKajege Місяць тому +1

    Hii ni timu wachezaji wanaishia kifamilia ZAIDI UPENDO,UMOJA na ushirikiano uko juu sana

  • @rajabually869
    @rajabually869 Місяць тому

    Ongeza nguo naona hazitoshi

  • @KudraEliasa
    @KudraEliasa Місяць тому

    Nic san

  • @ABM-e7f
    @ABM-e7f Місяць тому +2

    Tupeni Hiyo anuani lilipo duka

  • @DimosoAbduly
    @DimosoAbduly Місяць тому

    We dada punguza mdomo