Muda Ambao Dua Hujibiwa Haraka / Wajanja Wote Waliutumia Usiku / Sheikh Walid Alhad Omar
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- Muda Ambao Dua Hujibiwa Haraka / Wajanja Wote Waliutumia Usiku / Sheikh Walid Alhad Omar
Sheikh Walid Alhad Akieleza kwa uzuri na ubora wa hali ya juu kabisa juu ya Darasa la tafsiri juu ya muda ambao dua hujibiwa haraka na wajanja wote waliutumia usiku
Darsa la tafsiri kichangani 2021 la mwezi ramadhani mwaka 1442H lilotolewa na sheikh Walid Alhad Omar kwa uzuri na ubora wa hali juu kabisa tiizama na endelea kufatilia darsa zetu na usisahau kushare kwa wingi tizama video zetu mpaka mwisho usisahau kushare
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/Dars...
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop...
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: /
► LIKE DARSA TV on Facebook: /
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks - Розваги
Huyu Shekh kanislimisha Mimi juzi🌹
mashaa Allah
Maahaalah karbu ndugu yetu ktk imani
Allaah azid kukubaariki na kukufungulia zaid dear
Mashallah
Maashallah hongera sana 🌷
Allah akuzidishie kwa hakika unanigusa na kukirimu mtima wangu Allah akujalie pepo ya juu kabisa.
Shekh ninakufuatilia sana Allah akulipe kheri,pia nakupongeza kwa kuteuliwa/kuchaguliwa kuwa shekh mkuu wa mkoa Mufti hakupoteza naamini anajua huo ni mgodi unaotoa madini ya thamani ,Allah akuongoze ktk uongozi huu aliokubariki,nafuatilia sana visa vyako,elimu na mawaidha yako yenye mafundisho mazuri
ALLAH, akuongoze katika kusilimu kwako,
Sheikh wang Allah akuifadh kwa kila la her maneno yameniingia🙏
allah akulipe shekh wetu
Shukran sheikh Allah akulipe kher inshallah
Sheeeh naomba uniandikie hayo maneno mie huwa nakufatilia sanaaa nanaamka sana usik wa manane kuombaaa
Ben vp
Kwani unatuambia ili tujue kua wew mchamungu 😊😅
izonizana zako kuwa nawivu wafa ida amka naweye ili umshinde tushindanekwajili ya allah
Wallahi, Sheikh umenizindua, shukran.saana Nilighafilika. Majuzi nilipata mtihani na ukweli nilitereza nilifanya ibada kumbe ya kishetwaan, Alhamdu Lillah leo nimekusikiliza vema yaani ni kama ulikuwa unanisema mie...nashukuru Allah sw akulipe mema
Umekuza Imani yangu ahsante sana Allah akulipe mema
Mashaallah nakufatilia sana darsa zako unapenda kutupa faida huna kubana bana Allah akupe afya uzidi kutupa vitu kama hivi
Aaamin umeon eeenh
Shukran sana shehe walidi mungu akupe afya njema
Nimelia wallahi kwa hichi kisa
Nimemjua wiki hii,ktk youtube,haki umeniweka krib na Allah,ulipwe mema mengi na Allah sheik Walid.
0
Maaaa shaaa Alllah
Alhamdulillah
Ni kweli kabisa ...wewe ni kama Mimi tu Allah ampe Pepo huyu mja jamani anejua kuniwema karibu na allaha.
Aziza yn uy mt ana paswd uczozpat san kw mashekh wengne kwke unazpat Allah atuekee inshàallah
Mm nimekuwa karibu na allah sama siku hizi asbabi yy allah amuweke mashaallah
لا إله إلا الله محمد رسول الله لا إله إلا الله والله اكبر
Mashaallah shekh wetu allah akufanyie wepesi ktk kutufikishia mambo mazur
Manshallah allah akulipe nimejifunza mengi kutoka kwako
Allah akulipe kheli shekhe
Asante mungu akupe maisha marefu
Shukran saana sheikh Allah akupe afya uzidi kutuelimisha
MASHALLAH BIN GHAMMY NISEME NINI KWAKO KWANI KILA UTACHOONGE KINAGUSA MOYO. ALLAH AKUINGIZE PEPONI KWA HURUMA ZAKE . AMEEN YARAB.
Kweli sheikh allah akuhifadhi akupe umrifu uzidi kutufunza na kutukumbuaha amin
JazakAllwahu khairan Sheikh ❤️ ♥️
Mashallah Allah akuhifadh shekh
Ameen
Nakupenda shekhe napenda mafundisho yako
mashallah 🙏
Assalamou alaykoum wa rahmatullah wa barakatu imam kabla ya yote natangulia kwa kumuomba Allah akujalie kila lakheri duniani na kesho akhera osizani kama mawaidha na elimu onafundishaka inaishiaka uko Tanzanie mie apa nakufata drcongo nakuomba ukue na kuongeza mandiko mimi niko mamuma ile inaweza kunisaidiya sana inchallah
Kaongeee nae online yake ya cm yake Utapata
Muafaka wa Jambo lako
Asalamu alaikum waramatullah wabarakatuh! Shekh nakupenda Mimi Unanisaidia sanaaa❤ Rwanda Tunakupenda ❤❤❤❤
Shkrani ghaaaaalim nakukubali alh azidi kukubakisha utupe faida
Mashaallah hakika mungu akulinde sheikh wetu
Allah aendeleeee kukupa afya njema na uelewa zaidi
Kweli kabisa Mgodi wa Madini unaopatikana kichangan
Jina zuri Abdul Allah umeliharibu hivyo subhana Allah
Masha a llahu allahu mustaanu
jazakha Allah kheir allah atakulipa in sha allah
Ustadhi,,,mie nimesilimu Sasa Mambo mengi siyajuwiii naomba msaada wako mie huwa naamka ucku wamanane
Jamani tusem ukwel huy sheikh ana hekma saaana anajuwa kulea jamii kwel kwel mung amuwek
mashaallah allah akupe umr mrefu wenye baraka shekh warid
Mashaallah shekh allah akulipe
Nawaombeni namb ya huy sheikh tafadhl
Alhamdulillah shukran sheikh la mkoa .. Napongez sana kwa cheo hcho maalim wngu kaka yngu ..
Maashallah, Shukran
Allah atuhifadhi sote
Mashaallah ❤❤❤
Mashaallah Allah akuhifazi tuzidi kupata manufaa
Mungu amuweke panapo stahili shekh wa mkoa wa daar es salama
Nimependa unavyo elimisha nitakupateje shehee
Jazakkallah khairah
MaashaAllah shekh Walid Allah akuhifadh
Homgera kissamwanyange
Masha ALLAH sheikh ALLAH akupe umri
Jazakallahu khayra
Nakupenda kwa ajili ya Allah sw kwa mafunzo yako
Inshallah Allah akulipe
Shukuran
MaashaAllah
MashaAllah Allah barik
naomba mawasoliano yako
Huyu shekhe WA mkoa WA daresalam nishekh nae mufti hajakosea kabisa kumteuwa nimemfuwatilia darasa zake huyu nimwalim pia simtu wakujinyanyuwa Allah amuhifadhi pia mufti wetu Allah amuhifadhi.
Alaahumaa Amiin yarab
Mashallah tabarka Rahmani. Ww ni shekhe wetu tunae kupenda sn. Kwa mawaidha yk
Barakallahufika ya ustaadh
Mashaallah
Aslm alkm ww... Shukran sana sheikh Walid. Jazakallah kheir 🙏
Mashallah shelkh nskuomba niandikie iyo Dua ya sijida tafadhali
Ahsat shekh mollah akuhfadh uzd kutup faida🙏
Sheikh naomba noadikie hyo duaa ya sijida🙏
Shehe Wengine kiarabu atujui
Asalam walaykum shekh walid kweny sijda unaweza kuomb ata swala ya faradhi au man apo mm sijaelewa vzr kidogo
Masha Allah Allah akulinde
Mashallah
جمل جد
jazzaka Allah kher sheikh
Niko Kenya nakupata naomba kuongea na wewe jinsi Gani nitakupata
Shukran jazza.
Wajanja wanatumiaga uciku
Mungu mkubwa
Assalam alaykum sheikh wangu. Tafadhal naomba kuuliza, Kuna mahala umesema tuombe kwa kiarabu, je Kuna sababu gani inayozuia kutumia luga nyingine wakati mwenyezi mungu anasikia lugha zote.
Sio lazma kiarabu nafsi yako tu ya moyon inatosha
Skiliza kwa x nyingine kwa umakini
@ Ally kimwaga kaaminisha ukiwa ndani swala ukiomba dua usiombe kwa Kiswahili kwasababu kwenye swala hakutakiwi kutiwa lugha nyengine isipokuwa kiarabu tu . Nandio akashauri kama una jambo lako nenda akuandikie kwa kiarabu uwe uanomba kwa kiarabu ukiwa ndani ya swala, ila kama hayupo ndani ya swala unaweza kuomba kwa lugha. Lugha yoyote ile na uliombalo liwe zuri ndoivo tu kwajinsi nilivo elewa mimi
kuomba kwa kiarabu imekusudiwa kwenye swala hususan za fardhi na ndio maana akasema uombe kwa kiarabu na ikibidi akuandikie ili uhifadhi ukiwa katk sijda ya kwenye swala uombe.....
Ila ukiwa katika hali nyengine piga kwa kiswahili au wengine wanasema hata kwenye swala za sunna unaweza kuomba kwaa kiswahili.
Wallahu aálamu.
@@saidsaleh1856 Twayyib
Asalam aleykum, mimi nilikua nahitaji kujua je mwanamke mjamzito wa tambo la miezi nane anaruhusiwa kusali amekaa chini na nasali vipi, kwasababu kila nikijaribu kusali kawaida tumbo linanielemea na ninapomaliza sijiskii sawa katika upumjaji na kuacha sala naona ni makosa na sitokua na raha naomba mwenye elimu hii anifahamishe
Asalam alaykum, mtu Kama anataka umpe maelekezo anapaataje mawasiliano
Samahani et hii kulhalaw ni dua ya kumuombea marehemu?
Ustazi sisi wasammbaa pengine hatujui kialabu tufundishe
Taadaha hata kuonga kiarabu
mh mh weshu
Ooh sharifa nawe mndunghu angu.............kuomba Dua Kwa lugha tofauti katika swala sio Sahihi ,inabatilisha swala
Hizi darsa zako Sheikh huwa ni wap? Na lini na lini ?mida ipi
Masha Allah Sheikh walid. Mola akupe kila la kheri hapa duniani na kesho akhera. Akuzaidishie elimu na ss tupate faida, kwani darsa zako unatamani usimalize darsa zako.
Shehk kama mimi sijui kiarabu naombaje jmn na ninapenda kuomba kwa sigda kama unavyosema?????msaada pls
Hadith dhaifu
Yako iko wapi uliotufundisha
@@hawaramadhani4066 😂😂😂😂😂
Mwenyez mungu akufanyie wepes sheeeh
Allah akulipee,,, naomba Sheeh uniandikie kiarabuuu,,
Napenda darasa LAKO sanaaaaa
Je naweza kuomba maombi yangu Kwa kutumia lugha ya kiswahili?
Ndio unaweza kuomba maombi yako kwa kiswahili.
Yanatgmea n wp hyo maomb y kiswhl ama lugha nyengn yyte kwny swal n kiarab t ht km una maombi yko bnafs bs uyataje kw kiarab km kw maneno y shekh wet. Wallah a'alam
Utasikia zaman tulikuwa tunasemaga hivyo yule mtu wetu
Masikini shekhe umenitowa machozi. 😭😭Kumbe ni muza mkaa? Hana kitu kusha anatowa?
pole ila ni miongoni mwa sifa za wachamungu
Ninaomba shehe unifundishe duwa
Somo hapa ni kwamba sala ni lugha ya Kiarabu tu.