BONGO MAFIA PROMO

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 1

  • @benezethkapongwa453
    @benezethkapongwa453 7 місяців тому

    Ni kweli Bongo Cinema kama mnavyojitanabaisha mnatoa muvi za ubora wa HD, lakini utoaji wenu ni wa taratibu sana. Hebu fikiria movie mnatoa part 1a mwaka huu halafu part 1b mwakani, mtu atafuatilia kweli movie Kwa mtiririko mzuri? Ataacha, labda faida Kwa vizazi vijavyo tu. Bora hata mngetoaga muvi nzima Kwa pamoja(au hata Kwa kufuatanisha) ili hata mkichelewa kutoa, mnakuja kutoa nyingine tofauti, wakati Ile ya awali mshaimaliza