God talks in silence.uyo jamaa wakwanza Kuna time anaongeleshwa kama amenyamaza and that's is the time God is telling him to help at the same time kashetani kwa ubali kanamwambia apana..anakaskiza
Ni kweli kabisa Tz wagumu kuna mtumishi kutoka Us alikua Tz kwa week mbil after apo akaenda Kenya baada ya siku mbili alishuhudia kua wa tz ni si wakarim kama wakenya not unless awe ni mkristo kwa hii clip cheny aliongea ni kweli kabisa😂
Tzn wapi like za dani wema ❤❤❤❤
Asante sana
Kalibu Sana Tz kwetu❤❤❤❤
Tanzania ❤❤❤❤❤ much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Dan Wema karibu Zanzibar
Kuwafanyia social test
Be blessed Apostle Mey God to you Good always
Napenda sana kazi unafanya apostle
Much love from kenya. Kazi nzuri mutumizi wa mungu. Fanya uje utembee huku kwetu sirare
Ubarikiwe sana
Karibu sana tu nakupenda W TZ
Apostle Dan
Good job
Watz utu hamna jirani wetu. Weeuu
Naona wàjikakamua na kiswahili cha bongo kweli kaka
kama umependa nipe like
Kwani hii page ni yako ama ni ya Dan wema ndiyo update like,,,sielewi…
Ubarikiwe Sana Dan Aki karibu sana Tz
GOD bless this man
waaaah. tanzania hamna utu jamani. ama hawa ni kabila fulani kutoka kenya walihamia huko
😅😅😅 kaka wacha uchokozi Yani unamaanisha watu wabaya ni wakenya tu😅😅😅
Be blessed Dan
Tanzania wako na roho ngumu xana,,,,God bless you
Safi sana, KARIBU SANA TANZANIA.
Karibu sana Tanzania
Kumbe kenya tuko wakarimu,nilidhani tz ndio wakarimu kutuliko
Sense of humanity ❤
Waoo nawarundi tupo we nimwema kbsa
Njoo kwetu Zanzibar Kuna watu wakarimu sana
Bro Mungu hafananishwi Na kitu chochote
Dan tenda wema kabisaaa
❤❤❤❤❤❤❤
Karibu sana kwetu ❤dani mungu akubariki sana zaidi ya sana ❤❤❤
Jamanii mungu
Waaaa , no words
Watanzaina wamechomaaa
Weee.tanzania
God talks in silence.uyo jamaa wakwanza Kuna time anaongeleshwa kama amenyamaza and that's is the time God is telling him to help at the same time kashetani kwa ubali kanamwambia apana..anakaskiza
😅
Watz aibuuuu
Looo
Be blessed
👏👏👏
Tzn siwakalimu aki
Eisshh mbaka wako 2k imeshikanaa
Mwita ni mukuria
Watz ni wagumu wachoyo acha tuu acha tuu Dani
Followers are not getting the information loud and clear
Ungewapea dola ya kenya
I gave out 100 bob thinking it was Dan wema😮😮 am still regretting
😂😂😂😂😂😂😂😂kilikuramba,Kuna waseee utek advantage yake bydha
Ni kweli kabisa Tz wagumu kuna mtumishi kutoka Us alikua Tz kwa week mbil after apo akaenda Kenya baada ya siku mbili alishuhudia kua wa tz ni si wakarim kama wakenya not unless awe ni mkristo kwa hii clip cheny aliongea ni kweli kabisa😂
Haha huyo boda wa 2 ulikuwa unamuomba mia Moja ya Kenya ama Tz? 😂
Boda wa Tz atapata Mia y’a Kenya kweli
Kwa waTanzania ni wachoyo hivi? Ghai! Dunia haina wema
I thought TZ everyone would be able to help mmmh.
Den be safe
Tanzania wako roho ngumu
I thought TZ everyone would be able to help mmmh.