I'm from Kisii but I've I've stayed kamba land for yrs now...i can attest that this people are wonderful...I love them so...hoping to get a wife too from this land before i leave...they are kind
For once nimeona mtu mwenye najua kwa channel yako nimeamini you don't script your videos...Uyu ni wife ya pastor they even have a church inaitwa Body of Christ they are good people...watembelee siku moja😊
I've been touched by Esther's act, even after learning that Phillip had decided to help Wema. Because if it was another boss, the worker angekipatapata. Hata mimi hupenda kumusaidia mtu yeyote nikiwa na uwezo. Kuna wakati nikiwa conductor pale Kangemi nilikuwa napatwa hata na abiria, ananiambia hana hata ndururu, namwambia tu aingie kwa gari. Nimekua kutoka utotoni nikijua kuwa kusaidiana ni tendo nzuri. Giving is more than receiving. 🎉
Wow Easter may God bless you ,you are one in amillion we need people like you in a society,even your employer he has a good ❤️ i love your humbleness ❤️❤️
My first time to watch your social tests. Let me say nimependa sana this boy na Esther. When i land Macha, lazima nitafute hii cyber. Niwabuyie lunch
Wow pls do....
Hii cyber iko Machakos wapi, I need to be their customer and if possible nibuy lunch
Iko macha wapi niende niwapromote
From Tanzania, Mungu akubariki Dan Wema kwa huduma yako!Sina kitu lakini maombi yangu Mungu akuinue zaidi!
It's important for Esther to know that Philip the servant was willing to pay 10 bob for the photocopy.
I'm from Kisii but I've I've stayed kamba land for yrs now...i can attest that this people are wonderful...I love them so...hoping to get a wife too from this land before i leave...they are kind
I agree kambas are good hearted from experience.
@@Penalty252thanks 🎉be blessed
😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
Am proud to be a kamba ❤❤❤❤
Tumebarikiwa na roho ya utu na warembo😂😂😂nani anapiga comment yangu😊
Hakuna ❤❤
We need people like you ester you're one in a million
Easter is sooo beautiful, kwa sura and heart may she be blessed abundantly
I know Esther and she is very humble in deed
For once nimeona mtu mwenye najua kwa channel yako nimeamini you don't script your videos...Uyu ni wife ya pastor they even have a church inaitwa Body of Christ they are good people...watembelee siku moja😊
I know both of them personally, the two very humble
This channel is making me learn alot...thank you Apostle Dan
Wow inanfinza mengi
I've been touched by Esther's act, even after learning that Phillip had decided to help Wema. Because if it was another boss, the worker angekipatapata.
Hata mimi hupenda kumusaidia mtu yeyote nikiwa na uwezo. Kuna wakati nikiwa conductor pale Kangemi nilikuwa napatwa hata na abiria, ananiambia hana hata ndururu, namwambia tu aingie kwa gari. Nimekua kutoka utotoni nikijua kuwa kusaidiana ni tendo nzuri.
Giving is more than receiving. 🎉
Esther asante....umetuwakilisha vyema...am happy
Apostle this incredible..kudos
Wow Wakamba we have clean hearts God bless you more my dear sister ❤️ 😘
Most Kenyans know that kambas are not selfish
that is good of them . Good virtues by both the boss and employee. they are good hearted
God bless Esther and philip.show them mercy and kindness as they have shown kindness and good heart to your servant in the name of Jesus Christ
Wonderful. Blessings to Esther and his worker. If I could reach them, I can bless them in a special way
Wow ....proud to be a kamba😘🙏
Wow Easter may God bless you ,you are one in amillion we need people like you in a society,even your employer he has a good ❤️ i love your humbleness ❤️❤️
Kambas are always generous and humble straight forward people
Her NAME says it all… not only is she beautiful but you can even sense she has a special heart 🙏🏽
Kutoa ni moyo wala sio utajiri thanks Essy for representing kamba people your so humble. Hugs from Singapore
Akh mb.ona mimi nasaidie watu lakini mimi nalipwa mapaya kweli nimekosea wap
thank sana bro wakamba wako hipo❤❤❤❤❤❤
Good job Pst.Dan wema.
Blessed Esther Cyber.
It's good to see a good mkamba because most kambas are bad,i live with them,nawajua
I love it they are very humble
Huyu dada ana roho nzuri kama muonekano wake
God bless you Dan....your social experiments manze have really taught me alot....
I love such people who understand people out there have problems. There are still good people out there.
Dan Wema amefanya Wema akaenda na mwenyezi mungu Amen Amen 🙏❤️
They are humble and loving
This is wonderful may God bless good heart so that they continue doing this
Humbleness in these two says it all.... Dan pia Mungu azidi kukuinua na kukubariki
Mungu akubariki sana Dan mwema Kwa kazi njuri ahuduma umenifanya nimelia kia bless so much mungu akuweke sana
Be blessed easii na kijana
Hadi I've subscribed katika UA-cam yako....be blessed too Dan
Aki wakamba si ni roho safi na wakarimu jameni aki??
May God bless the work of your hand
No one has ever been poor for giving
When someone being told by strange that he got kind heart that filling is another level
Waaau God bless you Esther and the boy you will never lack in your lives guys na muwe na hyo roho🙏🙏🙏
Wow..mkamba kweli akiamua kupeana anakupea roho safi...awezi kunyima kitu yake
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂
😂😂
Beautiful hearts
Esther , God bless so much, thanks extending a helping hand to that guy
Kamba people are the best in this Kenya...
Kind hearted lady and gentlemen
Sure kambas are bad news
Ester you're one in million may God keep on blessing you 🙏
wow, loving the love here apostle
Dan wema nimechifunza kwako God bless you
Esther, I like, love, pray and ask God to bless you.
Wow! Boss en employee good hearted❤❤
Dan barikiwa sana
May Jehovah God bless the lady and her employee.
what beautiful souls
Dan god bless you 🙏🙏
Hii kipindi neipenda sana that's apostle
Amen 🙏 let them get blessed
Esther anipigie simu. natafuta MTU ako na roho Kama ya Esther
Leta no.
I hope ulimwambia the boy alikuwa willing kulipa juu pia aneza dhani huyo boy anachezanga na job
When you give you receive more, may God bless you Esther
Mpaka na fair walai😢 Mungu Awasaidie wote wawili😂😂😂😂😂❤
Wakamba are good people good bless esther aki
I would like to tell Dan wema ukipewa Doo na mwenye unainterview pliz return to them. Hata Kama ni 10,20 ama 100
😂😂😂 aki my tribe hadi salamu ni kikambas😂😂
Dan you are doing a good work kabisaaa. God bless you
From Facebook aki they are both humble my God bless them and you Dan wema
Huyu apostle hukua mzuri sana
Kambas! are kind fullstop
Kambas are humble
Masii kwetu ❤️❤️
Dan unakuja migori lini
Wakamba ni wazuri sana
Haki Esther hako mrembo na roho safi.
Fika migori bro
God bless you Dan weme
Nataka huyo madam kuwa bibi yangu any connection Dan
Wow.....hapa kwa ESTHER CYBER nitapitia niwanunulie lunch pia....
God bless you mightly
Nice na venye Easter ako romantic
Muulize ni macha wapi ata Mimi nimependezwa na wao
Nitawatembelea
May God bless them🥰
God bless you Esther
May God remember me to touch one heart one day
Adi fare ...kweli kuna wazuri duniani
I like this
Amen 🙏
Mungu ni mwema kula wakati
Esther has a good heart🎉
wahh...God bless you ester
Ungepea ata uyo mwenye alinyamazia
Sote tungekuwa na roho ya kusaidia hakuna mwenye angelia shida
True
Amen and Amen
DJ Shiti?
Good job brother
Wakamba mko roho safi sana
BLESSING EASTER CYBER
❤❤❤❤❤ aky ukambani tu
You deserve it Congratulations 🎉🎉🎉😂❤
akhi awa watu wako tu sawa
Kaka mungu wetu akubariki natamani huo muujiza nimi jamani
Wakamba wako sawa wanaelewa na Huwa hawapedi maneno mengi silent listener 😅😅😅😅