MASHEIKH WAKUBWA TZ WAKUTEGEMEWA ONGEENI NA MANARA KUHUSU STARA YA MKE WAKE ... MTU MAARUFU NI KIOO ... ALAFU MARA NYINGI ANAJIHUSISHA KUHUDHURIA KATIKA SHUHULI ZA KIISILAAM.. AU KUWAALIKA MASHEIKH.. LAKINI MASHEIKH WAPO KIMYA KUMNASIHI MANARA NA MKE WAKE ... ALLAH ATUHIFADHI HATARI SANA

Masheh maslah
Hivi haji ana ndugu yake😂😂😂😂😂
Mwalim Abasi jamani! Nimefurahi kuwaona walimu wangu wa madrasa😊.
Maashallah
Manshalaa❤❤❤
tuwe tunafuata taratibu na sheria ya uislamu
Ila Haji hapana aisee wewe ni mtu wa kipekee sana ukipewa mic na huo mdomo 😂😂😂
Mwambie mkeo avae viruri ajistiri kwenye mashehe
Nilichojifunza leo watu maarufuu cyo wa kufanya nao siri coz wanatoa siri kirahisi sana eti kumtoa mtu kwenye siti
Nashangaa
Na mashekhe wamekaakimyaaa mke wa haji hajajistir
mke wake yupo uchi mbaya sana nywele na kifua na shingo mbele ya adhara tena maurid Dah msiba mkubwa
Shughuli kubwa kama hii wewe mke wa haji mwenyewe unashindwa kujistir kweli minywele nje jaman
Sasa huyo mkewe alishindwa kujistiri vizuri loh au hakuna wakubwa wakumwambia
Kujifanya watakatifu kipenz ishi wwe
@salimalaquimane3077 sio utakatifu bibie kwenye jambo lakujistiri nikujistir sio usupar staa poyeee napia ukumbusho unawafaa wenye kuamini kwaheri
Ukijistiriwewe inatosha😅😅😅
@uwasesifa7563 shankupe naomba nikuambie ukumbusho unawafaa wenye kuamini sio wewe
@@Naju645 ukiamini mwenyewe inatosha malkia
Maashallah