😭KIFO NI HAKI YANGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • Muda mwingine mtu anachukua maamuzi magumu sio kwa kupenda bali ni kutokana na magumu anayopitia katika maisha na hii yote ni kutokana na mapenzi "KIFO NI HAKI YANGU"
  • Фільми й анімація

КОМЕНТАРІ • 125

  • @muhamedimdoe
    @muhamedimdoe Рік тому +2

    Daaaaaah kak uko vzr xn pongezi kwako nakukubali xn ni moja ya mdau wako salute kwako na nitabaki kukubali

  • @halimajay606
    @halimajay606 Рік тому

    Duh imenitoa machozi 😭😭wallah nimejifunza kitu keept up brother

  • @AnnaMundia-d3o
    @AnnaMundia-d3o Місяць тому

    Yaumiza ..usiombe yakukute..thanks Thedon

  • @khalidisaid3754
    @khalidisaid3754 3 роки тому +1

    Daah.. Brother kaz nzur yan siy pow Respect My Brother Allah akubless uzidi kufikish ujumbe zaid nazaid katik jamii ze2 maan daah.. Hiz tabia zimekithir za kusalitian yani.. Respect 👊👊

  • @priscanamntala4133
    @priscanamntala4133 3 роки тому +2

    Duuuh inaumizaa saana big up broo😭😭😭 jamaanii nani kaimba hiyo nyimboo please😭

  • @abeidramadhaniabeid1075
    @abeidramadhaniabeid1075 2 роки тому

    Dah nikegundua ki2 kaka asnt san makukubali sana tean san

  • @jayeventstv313
    @jayeventstv313 3 роки тому +4

    😭😭😭😭😭😭😭😭niliyapitia haya mwaka 2018 😭😭😭😭😭 so painful.... Ila Alhamdhullilah Nashukuru Mungu ...baada ya miaka mitatu..nina furaha ya moyo Wangu na mke wa maisha ... Ahsante kwa mafunzo yako kaka...hakika nimejifunza sana.

  • @lucasathedon7397
    @lucasathedon7397 3 роки тому +1

    Bro kiukweli umeniliza kipaji unacho mungu awe nawe ziku zote za maisha yko ili ukaelimishe jamii

  • @zenakioga6567
    @zenakioga6567 Рік тому

    Duuuuuuh wanaume wanapitia magumu Sana mung waongoze vema ktk kuchagua mke mwema

  • @karembo7082
    @karembo7082 Рік тому

    Ibra the don ubarikiwe🙏

  • @sophiasarwatt7451
    @sophiasarwatt7451 2 роки тому

    Ahsanteee sanaaa kwa mafundisho

  • @masasthedon4570
    @masasthedon4570 3 роки тому

    Kikwer imenitoaa machoz hay yanayokea asant San kak👏👏

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 2 роки тому

    God bless 🙏 you brother good job 👍👌

  • @mscobra1401
    @mscobra1401 3 роки тому +1

    Woo nakukubali sana pale unapo tetea haki ya wanawake 🥰🥰🥰

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 2 роки тому

    pole sanaa

  • @stevenogongo5427
    @stevenogongo5427 Рік тому

    pole sana kawainda ya wanawake ibra

  • @allyweslay4949
    @allyweslay4949 3 роки тому

    Dah noma kweli hata mm nilipitia mwaka 2020 iliniuma sana ila nilijifunza mengi sana kwa ss moyo wangu unasukuma damu si nyengine

  • @uuuuiiii3917
    @uuuuiiii3917 2 роки тому

    Daah wqnqwake sie wauwaji Sana nimeumia

  • @aminamwakabonga8319
    @aminamwakabonga8319 3 роки тому

    Upo vizuri broooo

  • @antiagilbert9967
    @antiagilbert9967 3 роки тому

    DA nkaisi amejitundika kweli,kumbe anafikisha ujumbe😀😀😀

  • @essambader4075
    @essambader4075 2 роки тому

    😢😢😢😢😢Daaaah imeniuma sana ongereni sana wapezi kwama fuzzo yenu mzuri sana

  • @shambaniabdul
    @shambaniabdul Рік тому

    Braza endelea kufanya vizuli nas tupo nyumaako

  • @lekishonkubany3428
    @lekishonkubany3428 2 роки тому

    Poleni sana

  • @allanlukamba5206
    @allanlukamba5206 2 роки тому

    Bro hii mpenzi waja 2 😘😘😘🙆🙆🙆🙆

  • @xtinetvshow5793
    @xtinetvshow5793 3 роки тому

    Wah mm kashtukaa Kaka bt..
    It absolutely 💯👍

  • @shadiahshadiahshadiahshadi4060
    @shadiahshadiahshadiahshadi4060 3 роки тому

    ♥️♥️♥️ Allah awazidishiye umuli mirefu awape mwisho mwema

  • @vickyjuakam8826
    @vickyjuakam8826 3 роки тому

    Daah inaniuma sana,From DRC🇨🇩🇨🇩

  • @johnmuhagama6291
    @johnmuhagama6291 3 роки тому

    Kwri moyo unaumiasan ukiw umemupend mwanamuke sisi wanaume mungu atusaidiye san unakufa iviv kisa mwanamuke ,,😭🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩

  • @anthonymose1559
    @anthonymose1559 2 роки тому

    Daaa inauma sana aki imenitoa machozi,,, usiwahi kuketi chini ya mti ukiwa na stress🙏🙏

  • @aishaaisha2224
    @aishaaisha2224 Рік тому

    Dahh inauma sn hii 🙏🙏🙏

  • @keithandayisaba8984
    @keithandayisaba8984 2 роки тому

    Mapenz shinda sana anauma

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 6 місяців тому

    Bac usilie baba 😢 good job

  • @ummykhanifa962
    @ummykhanifa962 2 роки тому

    Mungu azidi kukubariki kaka wewe kwa mafunzo yako

  • @azinakamenya7009
    @azinakamenya7009 2 роки тому

    Pole sana

  • @irakozeshella758
    @irakozeshella758 3 роки тому

    Allah akupe maisha marefu yeny kheri na barka ndani yake

  • @امينه-ط9ذ
    @امينه-ط9ذ 2 роки тому

    Kazi poa haki naomba huo wimbo kakangu

  • @muddy6076
    @muddy6076 3 роки тому

    Daah big up bro

  • @maximaizamaximaiza3574
    @maximaizamaximaiza3574 2 роки тому

    dar bro uko vzur 😭😭😭😭😭

  • @abdul-rahimhassan6199
    @abdul-rahimhassan6199 Рік тому

    Darsa mzuri

  • @aminamfupi7948
    @aminamfupi7948 3 роки тому

    Da niatar walhah ila Dunia unapo mfanyiya mwenzako ubaya ipo siku naww utafanyiwa walhah

  • @NaomiNaomi-z5v
    @NaomiNaomi-z5v Рік тому

    Inauma saan😢

  • @anneilado3352
    @anneilado3352 2 роки тому +1

    Imeniguza sana

  • @eddybostonniyukuri9504
    @eddybostonniyukuri9504 2 роки тому

    Big up Sana kabisa wewe is like panado of Uwumivu tu kabisa.

  • @mamiyfeiy
    @mamiyfeiy 3 роки тому

    Umenitoa machozi kaka . Daah watu wanalizwa sanaa

  • @ElieBukundika
    @ElieBukundika Рік тому

    Tuna pewa somo gani ndani ya iyi

  • @bahathmartine2997
    @bahathmartine2997 2 роки тому

    Kwakweri changamoto kubwa dunian ni Ndoa aiseee mapenzi changamoto kubwaa aisee

  • @monicamichael6967
    @monicamichael6967 3 роки тому

    Nakukubali sn

  • @malengagustave7251
    @malengagustave7251 2 роки тому

    Daaa inahumiza kabisa 🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️

  • @michaelkn2639
    @michaelkn2639 3 роки тому

    Uko noma Kk

  • @aishathaishath4056
    @aishathaishath4056 3 роки тому +1

    Daah 🥺 mapenzi yanauma si mchezo, ila yote ni kukubali tu matokeo na kusonga mbele.

    • @sethalex7400
      @sethalex7400 2 роки тому

      Kabisa ukiwe nauweze achana nayo alio pita nikushukuru mungu

  • @tumainiezekia5873
    @tumainiezekia5873 3 роки тому

    Ahsante kwaujumbe

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 3 роки тому

    Duuuuu, inauma jaman
    Kaz nzur

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 Рік тому

    😅😅😅😅 kwakweli inauma

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 роки тому

    Mh inauma sana aise nawafatilia nikiwa 🇦🇪

  • @nduwayezuvianney0569
    @nduwayezuvianney0569 3 роки тому

    Naumia sana kbx. 😭😭😭

  • @tinnahngazi2754
    @tinnahngazi2754 3 роки тому

    Weeeh🤔🤔 aya magumu kweli mahusiano yatatumaliza."kifo n haki yangu"

  • @kaserekajeremie564
    @kaserekajeremie564 2 роки тому

    Inauma Sana🇨🇩🇨🇩

  • @vanessadioceles8083
    @vanessadioceles8083 3 роки тому

    Duh inauma sana na pia aya bado yapo mpaka leo

  • @kibobokatuni3602
    @kibobokatuni3602 2 роки тому

    Dah! Bro unatufundisha sana, - nachukia mahusiano, na sitosahau kumthamini na kumpa kila kitu na kujitaidi kumsaidia kumshauri kwa yale aliyokuwa akipitia kwenye familia yake but at the end
    Alinikana na kunitukana zaidi Nilitukanwa na mtu nisiyemjua akijitapa kuwa yuko nae..
    Nimetokea kuwachukia hawa wadada....

  • @khadijaomar3914
    @khadijaomar3914 3 роки тому

    Dah kwa kweli hii imenitoa machoz duh

  • @aishathaishath4056
    @aishathaishath4056 3 роки тому

    Tuned.

  • @yvonewere4012
    @yvonewere4012 2 роки тому

    It's very true brother love is something very funny 😭😭😭😭

  • @mohamedhasnuu9992
    @mohamedhasnuu9992 Рік тому

    mm sijalia ila nimepata hisia kwa maneno yake

  • @Solanjerecho
    @Solanjerecho 2 роки тому

    Oooh my God ibrah Pole sana 😭😭😭😭😭

  • @petermilinga4047
    @petermilinga4047 2 роки тому

    Kaka jitahidi uko vyema

  • @omanss268
    @omanss268 2 роки тому

    Ibrah umeniliza Sana😭😭😭

  • @daudmsigwa7672
    @daudmsigwa7672 3 роки тому

    Hakika nikwel unayo yasema👍👍

  • @mugishaclarisse8130
    @mugishaclarisse8130 3 роки тому

    Congratulation 😍😍😍

  • @nassonngwema2294
    @nassonngwema2294 3 роки тому

    Jaman hii video naipataj

  • @dogomkalimani
    @dogomkalimani 3 роки тому +1

    Daa!!

  • @zenakioga6567
    @zenakioga6567 Рік тому

    Unalilia nini mnafiki wewe tapeli WA mapenzi mpaka pesa za watu Una maana kabisa na mama ako nae sio mama Sahihi anakuongoza ujinga kabisaa duuh mungu simama nasi ishaallah

  • @nassonngwema2294
    @nassonngwema2294 3 роки тому

    Jaman huu wimbo kaimba nani

  • @Burtukan4120
    @Burtukan4120 8 місяців тому

    😢😢😢

  • @hidayaalisaid1083
    @hidayaalisaid1083 3 роки тому

    Mtihani kwa kweli wengi wanapitia haya

  • @saumumagembe2956
    @saumumagembe2956 2 роки тому

    It's so pain😔😭

  • @njamanjamanjama3348
    @njamanjamanjama3348 2 роки тому

    Mwamba pamoja🙏🙏🙏

  • @shambaniabdul
    @shambaniabdul Рік тому

    Pongela kaka tunakupendasan

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 3 роки тому

    Loooh zedonnnnnnnnn😭😭

  • @beatricesumaye9695
    @beatricesumaye9695 3 роки тому

    Jaman 😭😭😭😭

  • @pilirwambo6862
    @pilirwambo6862 3 роки тому

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭nimeumia sanaa

  • @samsonisaack5145
    @samsonisaack5145 3 роки тому

    Kiwango

  • @mzungumwinyiashs9244
    @mzungumwinyiashs9244 3 роки тому

    Inauma sana aki....😭😭😭😭😭

  • @joanmbaisi7410
    @joanmbaisi7410 3 роки тому

    It's really hurting but hivyo ndio walivyo binadamu wa sasa

  • @drsambo6294
    @drsambo6294 2 роки тому

    dah so sad

  • @doreenmussa673
    @doreenmussa673 3 роки тому

    Jamani wanawake tujifunze

  • @omarAli-dh7fh
    @omarAli-dh7fh 2 роки тому

    𝕀𝕓𝕣𝕒 𝕨𝕖 𝕟𝕚 𝕜𝕚𝕥𝕒𝕤𝕒 𝕓𝕒𝕓𝕒

  • @omanss268
    @omanss268 2 роки тому

    😭😭😭😭inauma Sana

  • @looqmanmw8190
    @looqmanmw8190 3 роки тому

    Hii inauma bro

  • @neliastanley629
    @neliastanley629 3 роки тому

    Duuuh so pain

  • @mugishaclarisse8130
    @mugishaclarisse8130 3 роки тому

    Nikweli Kaka

  • @lelashaaban2126
    @lelashaaban2126 3 роки тому

    👏👏👏

  • @laidayassmine319
    @laidayassmine319 2 роки тому

    Inauma Sana tue tunajikaza

  • @DreamDream-jh7sw
    @DreamDream-jh7sw 2 роки тому

    🤦‍♀️😑😭😭😭

  • @jeromenduwayo7
    @jeromenduwayo7 3 роки тому

    Duh!
    Ibrah huu wimbo "maisha na mahusiano jamani utajifunza mengi duniani kutoka kwake Ibrah Thedon... " Unapatikana pekee bila kuambatana na video? Naomba unijibu Ibrah

    • @ibrahthedon
      @ibrahthedon  3 роки тому +1

      Unapatikana

    • @jeromenduwayo7
      @jeromenduwayo7 3 роки тому

      Naomba uniambie namna ya kuupata

    • @mosirlow8296
      @mosirlow8296 3 роки тому

      @@ibrahthedon mm pia naomba uniambie jina la huo wimbo

  • @pilishazycounterog8200
    @pilishazycounterog8200 3 роки тому

    Kk ibra aya yapo xn

  • @lelashaaban2126
    @lelashaaban2126 3 роки тому

    Daahh 😪

  • @mercymuranga817
    @mercymuranga817 3 роки тому

    Inauma sana 😢

  • @piresombati3651
    @piresombati3651 3 роки тому

    Inauma 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @istumaimilandu8739
    @istumaimilandu8739 2 роки тому

    Acha kulia utapata mwingine

  • @stevenogongo5427
    @stevenogongo5427 Рік тому

    sorry brother very bad