MUNGU AKULINDE KAKA WEWE NA KIZAZI CHAKO PIA AMBARIKI TAHFIF MAMA YETU MZAZI ALIE KUNYONYESHA JANABI KAKA! INSHALLAH KHERI! MIMI BINAFSI NIMESHUDIA UMUHIMU WAKO WEWE NA TIMU YAKO HAPO MUHIMBILI ASANTENI! KWA KUMTUMIKIA MUNGU KWENYE ENEO HILO TAKATIFU! ALHAMDULILLAH! INSHALLAH MNALIPWA FARAJA HONGERENI😢😮
ninafunga na kutokuwa wanga na sukari lakini uzito unapungua kidogo. Kingine nipokula metabolism inslow hata sisikii njaa. nini nifanye nipunugue uzito zaidi na sipendi kufanya mazoezi
Mwenyezi Mungu ameumba kila ugonjwa na dawa yake, hivi wataalamu wote duniani wameshindwa kugundua dawa za uhakika za magonjwa yasiyoambukiza? Au ni mchezo wa dunia kutumaliza dct ,nawaombeni wataalamu mfanye tafiti tupate Tiba za kudumu za magonjwa yasiyoambukiza
Nashukuru sana Leo nimetembelea hapa na kujifunza kitu ila nna swali ikiwa umefunga Kwa masaa kadhaa yaan ukala mara Moja Kwa siku ama mara mbili Kwa siku jee muda ambao huli unaruhusiwa kunywa maji?
Profesa Janabi naomba usiache kutoa hiyo elimu huku mitaani Hali wananchi si nzuri angalau unatupa mwana na maarifa ya kujua Nini Cha kufanya mungu akubariki pro Fesa
Ellen White ameandika sana kuhusu milo miwili, kwa siku. Changamoto tunayo wasabato kwa kutokusoma kile tulichopewa na kukiiishi. Dada White kwa kuwa hakuwa msomi wa sayansi kama Prof, aliishia kusema "milo miwili kwa siku inatosha", lakini sayansi (Profesa) inasema zaidi kuw ni kwa nini. Soma counsels on food and diet by Ellen White, kuna kipengele kinasema Regularity in eating.
unaeleza kwa usahihi sana kutokana na huyo mama nukuu nyingi zipo kwenye vitabu vloten vya kio mani kila makabila yalikuwa na sheria zao za mlo je tupo tayari kuwaelekeza watoto wetu tangu wakiwa wadogo faida za kula kwa mpangilio na kufanya kazi tukianza toka hapo tunaweea kutatua tatizo Janabi anatufundisha tuliposhindwa kufundisha familia kuhusu mlo sahihi
Njia rahisi ni hii,pima urefu wako kwa centimeter toa 100. Inayobaki ni kiwango sahihi cha uzito wako. Mfano mtu mwenye urefu wa centimeter 170-100= 70. Anatakiwa awe na kg 70 au 73
Mwenyezi Mungu akubariki sana Doctor
Bonge moja la Somo
Ahsante kwa elimu nzuri Prof. Janabi. Ubarikiwe sana
Asante sana doctor.. Kumbe nimekaribia kupata kisukari ee mungu baba...
Nianze kupambana kufunga leo leo
Asante Sana Daktari kwa mafundisho mazuri Mungu baba akubariki Sana Ni Muthaura toka meru Kenya.
Dr Janabi, uko vzr tunachukua notes
Mola wetu akubariki prof❤
Kwelii kabisa kulala usingizi ni muhimu sana Asante sana kwa maalumati mazuri
Asante sana daktari kwa somo zuri
MUNGU AKULINDE KAKA WEWE NA KIZAZI CHAKO PIA AMBARIKI TAHFIF MAMA YETU MZAZI ALIE KUNYONYESHA JANABI KAKA! INSHALLAH KHERI! MIMI BINAFSI NIMESHUDIA UMUHIMU WAKO WEWE NA TIMU YAKO HAPO MUHIMBILI ASANTENI! KWA KUMTUMIKIA MUNGU KWENYE ENEO HILO TAKATIFU! ALHAMDULILLAH! INSHALLAH MNALIPWA FARAJA HONGERENI😢😮
Asante sana kwakweli ubalikiwe sana doctor
Asante sana kwa somo zuri huwa najifunza vingi sana
Ubarikiwe sana.lakini ulichelewa kutufundisha tumepoteza we ngi.
Mungu akubariki zaidi kwa somo hili la muhimu.
Asantee pfs Janabi❤❤❤❤
Samahani Dr je kwa mama anayenyonyesha inakuwajeee
Hii nzuri sana. Mungu akubariki
Shukrani kwa maneno mazuri
Asante sana doctor be blessed
Nimekupenda jamani mungu akubles
Prof nasikia ukifunga kwa muda mrefu inasababisha vidonda vya tumbo?
ninafunga na kutokuwa wanga na sukari lakini uzito unapungua kidogo. Kingine nipokula metabolism inslow hata sisikii njaa. nini nifanye nipunugue uzito zaidi na sipendi kufanya mazoezi
Samahani sana Mimi nimnene zaidi naitaji kupunguza nifanye nini
Doctor Asallam aleykum mimi hunywa chai asubuh satisa mchana nakula chakula silitena mpaka kesho je kunatatizo?
Ahsante sana
Daktari nimekuelewa, changamoto ni nikifunga vidonda vya tumbo vinaanza kuchachamaaa nafanyaje?!
Asante sana kwa mafundisho
Mwenyezi Mungu ameumba kila ugonjwa na dawa yake, hivi wataalamu wote duniani wameshindwa kugundua dawa za uhakika za magonjwa yasiyoambukiza? Au ni mchezo wa dunia kutumaliza dct ,nawaombeni wataalamu mfanye tafiti tupate Tiba za kudumu za magonjwa yasiyoambukiza
Je hakuna asali za vidonda vya tumbo?
Thanks dr
UMENISAIDIA SANA
Nashukuru sana Leo nimetembelea hapa na kujifunza kitu ila nna swali ikiwa umefunga Kwa masaa kadhaa yaan ukala mara Moja Kwa siku ama mara mbili Kwa siku jee muda ambao huli unaruhusiwa kunywa maji?
yes maji unaruhusiwa
asante sana Doctor Janabi, umenipa somo zuri sana n
janabi wewe hapa tanzania wewe tunakuheshim sana hongera
Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana, nimejifunza mengi
Huyu ni Muslim ila ni daktari!
Profesa Janabi naomba usiache kutoa hiyo elimu huku mitaani Hali wananchi si nzuri angalau unatupa mwana na maarifa ya kujua Nini Cha kufanya mungu akubariki pro Fesa
Katika hicho kipindi cha kufunga, unaweza kunywa maji?
Mtume Muhammad (swa) amesem...FUNGENI MPATE AFYA....
Naam
How..??
Ellen White ameandika sana kuhusu milo miwili, kwa siku. Changamoto tunayo wasabato kwa kutokusoma kile tulichopewa na kukiiishi. Dada White kwa kuwa hakuwa msomi wa sayansi kama Prof, aliishia kusema "milo miwili kwa siku inatosha", lakini sayansi (Profesa) inasema zaidi kuw ni kwa nini. Soma counsels on food and diet by Ellen White, kuna kipengele kinasema Regularity in eating.
Hellen alipest kwenye bible.Mungu alishasema mapema kabla ya huyo msabato.
unaeleza kwa usahihi sana kutokana na huyo mama nukuu nyingi zipo kwenye vitabu vloten vya kio mani kila makabila yalikuwa na sheria zao za mlo je tupo tayari kuwaelekeza watoto wetu tangu wakiwa wadogo faida za kula kwa mpangilio na kufanya kazi tukianza toka hapo tunaweea kutatua tatizo Janabi anatufundisha tuliposhindwa kufundisha familia kuhusu mlo sahihi
unchokitabu cha huyo Ellin white unipe
Jamani maji ila naluhusiwa?
Somo zuri sana
Prof. Janabi ni hazina kwa Taifa. Elimu hii ingefaa itolewe kwa vijana mashuleni
Allah akubariki
Je doctor uzito wa binadamu unatakiwa uwe kg ngap kiumri
Njia rahisi ni hii,pima urefu wako kwa centimeter toa 100. Inayobaki ni kiwango sahihi cha uzito wako. Mfano mtu mwenye urefu wa centimeter 170-100= 70. Anatakiwa awe na kg 70 au 73
Next session inatoka lini?
ua-cam.com/video/Ns9KLkpSgEc/v-deo.htmlsi=doXZbRTSxEKxh66I

👊👍✌.
Asente dokta swari rangu ni kwamba mm natumi avidonge vya ukimwi na uzito ni mkubwa nifanyeje
Dokta nna tatzo la moyo naomba msaada wako unitibu sn uwezo nakufa Mimi na watoto Bado wadogo sana
Mh mbona umetuma sms ya kusikitisha ivo ndugu yangu.Mungu yupamoja nawe usiseme ivo
Mwanga
Hayo ni marudio