@@jameslyatuu95 standard ya maisha nch za ulaya ipo tofauti, ukimsikila vzr hyo dada amejarb kuonyesha n kias gan maisha yapo kwa nch aliyopo mfano kazungzia haki za watu zinavyolindwa na serikal inavyojarbi kuboresha ustawi wa watu wao nk
Ohooo 😢😢😢 haoo watu wa Australia, Melbourne, London, UK pamoja USA Washington DC,ni family 🐈 cat msianzee,kuwasifia,asa hivi trump ameanza kutufukuza,itaenda kwa baba yao London kisha hicho kijukuu chao Melbourne tusipendee kuwasifia nchi za wenzetuu ni htr tutakuja pata hasara 😢😢😢
🤔Mahitaji ya jamii nchi za Ulaya na Australia huwezi kufananisha na Afrika. Hakuna shida ya maji au umeme na kila wiki au wiki mbili taka zote zinakusanywa na Serikali za mitaa. Ubaguzi upo nchi zote duniani lakini tunatafautiana. Asanteni jamani kwa mchango wenu wa mawazo na kwa kuturushia hii habari.
Ni tapeli tu huyu mtu anayesaidia watu uwa hajitangazi ukimsikiliza kama una akili timamu unaona yeye mwenyewe bado anajitafuta, angekuwa amejipata asingeongelea kufungua mgahawa Tanzania 🇹🇿 she is just a small timer, maisha ya ughaibuni umekaa miaka 15 Na una watoto watatu na yalivyo kuwa very expensive utakuwa Na hela ipi ya kujitangaza unasaidia watu hawa Ndio watu wakisaidia watu kadhaa basi dunia nzima inajua ! Watanzania muwe makini na hawa matapeli sio kila mtu anayeishi ughaibuni ni mwema kuna matapeli sana siku hizi muwe makini sana Na wako waongo wengi sana ukute wengine wanaishi kwa social benefits za serikali ila wakiwa mitandaoni wanaongelea mambo makubwa sana waongo waongo
@ usifikirie watu wote ni wapumbavu kama wewe mpumbavu huyo tapeli eti tajiri anataka kusaidia watanzania si akasaidie ndugu zake masikini wa Burundi 🇧🇮! Watu wenye uwezo wa kusaidia watu uwa hawajitangazi mitandaoni utapeli mtupu ! Watanzania ni watu waelewa Na wajanja Na wengi wetu tumetembea Na wengine wako ughaibuni tunamchora tu anavyodanganya watu Na viikingereza vyake vingi 🤣🤣🤣🤣
@ Kabwela you are 200 percent. I lived there for 30+ years, the cost of living at the moment is just too much. There are no freebies huko. Maisha ni magumu sana. Hiyo disability ni hao suppliers wa Government NIDS, Google it, the scheme has been reviewed 100 times. Most of the suppliers were rorting the system. Homelessness is a choice? My God wewe dada, go and ask them.
@@joackymjackson9144 Australia hawajali elimu uliyotoka nayo kwenu,kama unataka Kazi ya office ni lazima usome tena, otherwise ufanye Kazi za kawaida wakati unajitafuta na upate working with children check and NDIS certificate ili ufanye baadhi ya Maeneo.I hope nimekusaidia
@@joackymjackson9144 about moving ni kwamba Australia ni nchi ngumu kupokea wageni but ukiingia kama mwanafunzi ni rahisi Zaidi though utalipa Ada kubwa kuliko wenyeji,hapo ni ujipange au ujaribu karata yako kuapply Visa ya kawaida utafute sababu nzito
@Mumewangu yes naishi Melbourne,state ni Victoria yeye akiambiwa atapajua ni wapi,namuhitaji kwasababu nataka tuongee kuhusu NDIS (watu wenye uhitaji maalum)
@ sasa nimekuuliza unaijua Australia 🇦🇺 unaijua historia yao hujibu unaanza kubwabwaja, Australia ni wabaguzi kupita maelezo kama ulikuwa hujui Na wala huwezi kulinganisha ubaguzi wa nchi zingine !
I agree with Kabwela. Eti homelessness is a choice? Huyu dada anaishi Australia hipi? It is very sad, she is not telling you the real situation. Is she dreaming! Anawadanganya big time.
@@ClaraLyimo-g8s tapeli tu mtu anayesaidia watu uwa hajitangazi ukimsikiliza kama una akili timamu unaona yeye mwenyewe anajitafuta, maisha ya ughaibuni umekaa miaka 15 Na una watoto watatu na yalivyo kuwa very expensive utakuwa Na hela ipi ya kujitangaza unasaidia watu hawa Ndio watu wakisaidia watu kadhaa basi dunia nzima inajua !
@mhogomchungu7882 wew usibishe huyo mamake anaitwa afsa mossi alikua mbunge wa afrika mashariki katika chama cha cndd fdd tafuta jina afsa mossi youtube ama google utamuona usibishe wanafanana sana
Binti nampongeza sana na safari yako ya maisha.kwa umri wewe ntakuita mwanangu.mungu akubariki mwanangu.
Jaman tuko Australia pia Fellow Tanzania lets comment here
wow, naweza pata mawasiliano, i wish one day to be there
Jina lako halisi ni nani? Unakujaga kwenye community? Mimi pia nipo Melbourne 😊
Maisha ya ulaya yana kuzwa sana ila ukwel ni kwamba ni maisha ya kawaida sana tumekaa huko No where like home
Umekaa ulaya ya wap uncle??
@@PatsonPiusulaya ni ulaya whats your point?
@@jameslyatuu95 standard ya maisha nch za ulaya ipo tofauti, ukimsikila vzr hyo dada amejarb kuonyesha n kias gan maisha yapo kwa nch aliyopo mfano kazungzia haki za watu zinavyolindwa na serikal inavyojarbi kuboresha ustawi wa watu wao nk
We unapoona ana exaggerate n wap??
Dada ana moyo mzuri sana mungu azidi kumuongoza
Huyu dada ni Mrembo sana
Mrembo kwako😊
Nice and lovely
King chales alikuja hapa Sydney Australia mwaka jana November
Vizuri sana
Chris Falvour na Hafsa Mossi mmeuwa sana🎉🎉🎉🎉 anaitwa Hafsa Mossi na mim naitwa Mussa Mossi tuishi humo😅😅😅😅
Ohooo 😢😢😢 haoo watu wa Australia, Melbourne, London, UK pamoja USA Washington DC,ni family 🐈 cat msianzee,kuwasifia,asa hivi trump ameanza kutufukuza,itaenda kwa baba yao London kisha hicho kijukuu chao Melbourne tusipendee kuwasifia nchi za wenzetuu ni htr tutakuja pata hasara 😢😢😢
Ukiwa hauna hela hata hapa bongo unabaguliwa
💯 . You absolutely need to be home if you want to invest in anything otherwise you’ll cry a small
Cat cry.
Hamna nchi ambayo haina maskini huyu Dada anazingua hamwezi kufanana wote kipato anasifia mpaka anaongea uwongo
🤔Mahitaji ya jamii nchi za Ulaya na Australia huwezi kufananisha na Afrika. Hakuna shida ya maji au umeme na kila wiki au wiki mbili taka zote zinakusanywa na Serikali za mitaa. Ubaguzi upo nchi zote duniani lakini tunatafautiana. Asanteni jamani kwa mchango wenu wa mawazo na kwa kuturushia hii habari.
Iv ni website gani ambazo ziko surely overseas Yan nkipata naweza kuomba nakupata make link zngn jau kwer
Ingia play store download app yao ,jobs at Australia
Mtuuliziye USA kunakuwaga Green Card hivi Australian hakuna bahati nasibu mi natokeya Burundi🇧🇮🇧🇮
Hakuna green card Australia
Sio kutumia "small" kila sehemu unaeza tumia "a little"
King alikuja Australia October last year
❤❤❤
Dada naomba connection kama mtanzania mwenzio nije nipambane bado sijakata tamaa
Connection ya nn
Ingia play store download app ya kutafuta kazi
Mimi nawachapa wakikosea
Vp ufugaji wa kondoo maana primary tulifundishwa australia ndo inaongoza kwa ufugaji wa kondoo
Mm naomba nipate rafiki nje ya nchi hata 1 ili kushea ideas tu
Muombe Tramp 😂😂😂
@@Zuu673 Asante kwa mawazo yako pia ni mazur (tenda unalopenda kutendewa usilopenda usitende kwa mwingine maana Huwa linarudi kama lilivyo)
Ni tapeli tu huyu mtu anayesaidia watu uwa hajitangazi ukimsikiliza kama una akili timamu unaona yeye mwenyewe bado anajitafuta, angekuwa amejipata asingeongelea kufungua mgahawa Tanzania 🇹🇿 she is just a small timer, maisha ya ughaibuni umekaa miaka 15 Na una watoto watatu na yalivyo kuwa very expensive utakuwa Na hela ipi ya kujitangaza unasaidia watu hawa Ndio watu wakisaidia watu kadhaa basi dunia nzima inajua ! Watanzania muwe makini na hawa matapeli sio kila mtu anayeishi ughaibuni ni mwema kuna matapeli sana siku hizi muwe makini sana Na wako waongo wengi sana ukute wengine wanaishi kwa social benefits za serikali ila wakiwa mitandaoni wanaongelea mambo makubwa sana waongo waongo
Hacha chuki ndio maana kweli kabwera ww. Nini shida zako .
@ usifikirie watu wote ni wapumbavu kama wewe mpumbavu huyo tapeli eti tajiri anataka kusaidia watanzania si akasaidie ndugu zake masikini wa Burundi 🇧🇮! Watu wenye uwezo wa kusaidia watu uwa hawajitangazi mitandaoni utapeli mtupu ! Watanzania ni watu waelewa Na wajanja Na wengi wetu tumetembea Na wengine wako ughaibuni tunamchora tu anavyodanganya watu Na viikingereza vyake vingi 🤣🤣🤣🤣
@ Kabwela you are 200 percent. I lived there for 30+ years, the cost of living at the moment is just too much. There are no freebies huko. Maisha ni magumu sana. Hiyo disability ni hao suppliers wa Government NIDS, Google it, the scheme has been reviewed 100 times. Most of the suppliers were rorting the system. Homelessness is a choice? My God wewe dada, go and ask them.
Duuuuuuh Tena . mungu wangu
How to move from Tz to Australia but i'm arleady educated with bacherol degree in electrical engineering.
@@joackymjackson9144 Australia hawajali elimu uliyotoka nayo kwenu,kama unataka Kazi ya office ni lazima usome tena, otherwise ufanye Kazi za kawaida wakati unajitafuta na upate working with children check and NDIS certificate ili ufanye baadhi ya Maeneo.I hope nimekusaidia
@@joackymjackson9144 about moving ni kwamba Australia ni nchi ngumu kupokea wageni but ukiingia kama mwanafunzi ni rahisi Zaidi though utalipa Ada kubwa kuliko wenyeji,hapo ni ujipange au ujaribu karata yako kuapply Visa ya kawaida utafute sababu nzito
Ukifika lazima usome Tena fatilia wengi wakifka wanasoma
Hello,naishi Australia, Victoria,naomba uniunge na huyo dada tafadhali
Him yakweli hayo!
@Mumewangu yes naishi Melbourne,state ni Victoria yeye akiambiwa atapajua ni wapi,namuhitaji kwasababu nataka tuongee kuhusu NDIS (watu wenye uhitaji maalum)
I am in Melbourne too na ni Mtanzania
Kwani huyo ni mtz. Au. Mnyarwanda watanzania tuwe makini
Akiwa mtz au wa rwanda, anakuathiri nn ww. Na huo umakini unasema tuwe nao katika angle ip??
acha ujinga.
Umakini wa kivipi@@GanjaAttitude
Racism sio eti inafanyiwa Africans peke yake.kaba zote wanafanyiwa racism.
Kwani hauwezi kuongea kiswahili str8?
Str8 ndiyo nini,mimi ni mzee.
Australia 🇦🇺 hiyo nchi haina hata mpango ni wabaguzi sana ukiwa uko utabaguliwa Hadi ukome , New Zealand 🇳🇿 sio wabaguzi kama Australia 🇦🇺
Nch gan haina ubaguzi??
@ unaijua Australia 🇦🇺 historia yake na ilivyo sasa usiropoke tu hiyo nchi haina hata maana kwa ubaguzi
@ hata hyo dada hajakanusha kwamba ubaguz haupo. Unachotakiwa kujua hakuna nchi haina ubaguzi, hata hapo tz ubaguz upo sawa kaka.
@ sasa nimekuuliza unaijua Australia 🇦🇺 unaijua historia yao hujibu unaanza kubwabwaja, Australia ni wabaguzi kupita maelezo kama ulikuwa hujui Na wala huwezi kulinganisha ubaguzi wa nchi zingine !
I agree with Kabwela. Eti homelessness is a choice? Huyu dada anaishi Australia hipi? It is very sad, she is not telling you the real situation. Is she dreaming! Anawadanganya big time.
Nipe number ya sister huyo kama ana hari yaku push watu kufika kujirafutia huko
@@ClaraLyimo-g8s tapeli tu mtu anayesaidia watu uwa hajitangazi ukimsikiliza kama una akili timamu unaona yeye mwenyewe anajitafuta, maisha ya ughaibuni umekaa miaka 15 Na una watoto watatu na yalivyo kuwa very expensive utakuwa Na hela ipi ya kujitangaza unasaidia watu hawa Ndio watu wakisaidia watu kadhaa basi dunia nzima inajua !
huyu si mtoto wa afsa mossi mbunge wa Burundi kubitia chama cha cndd fdd huyu mrundi mamayake aliuwawa
Acha uongo 😂😂
@mhogomchungu7882 wew usibishe huyo mamake anaitwa afsa mossi alikua mbunge wa afrika mashariki katika chama cha cndd fdd tafuta jina afsa mossi youtube ama google utamuona usibishe wanafanana sana
Hafsa Mossi alishafariki? Alishawahi kuwa BBC swahili reporter pia.