GPS: TRUMP afyeka misaada ya Kigeni, ajiondoa WHO, jinsia sasa ni mbili tu Marekani, atikisa dunia

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 148

  • @silverman6930
    @silverman6930 8 днів тому +6

    Masubi you spoke so eloquently my guy full facts .. I’m impressed my guy . Excellent show big up to you all 🇬🇧👊

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 8 днів тому +12

    Dj simaa unamadini sanaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🙏🙏🙏maneno ya magufuri yameanza kuonekana tusishi kwa kutegemea Tanzania sio masikini 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @MarkIsrael-t7k
    @MarkIsrael-t7k 9 днів тому +8

    Nafurahi sana kumsikiliza masubi , hakika

  • @KHAMISRASHEED1796
    @KHAMISRASHEED1796 9 днів тому +4

    djsima ❤Mungu awatangulie kila hatuwa inshaallah

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 9 днів тому +12

    Safi sana Trump🎉🎉🎉
    Misaada ya nn?
    Nchi Ina kila kitu bado watu wanatembeza bakuli huku pesa zinaliwa tu , sa tuone !
    Nchi za wenzetu wana uzalendo wanajenga nchi kwanza ila sisi wabinafsi .
    Misaada ndo inafanya wacontrol kila kitu!
    Rip Magu
    Hao mashoga ni washenzi waliobadirisha jinsia watajijua wakae ss humo na wanaume

    • @MarkIsrael-t7k
      @MarkIsrael-t7k 9 днів тому

      Masubi upo vizuri mkuu

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 8 днів тому

      Hata US wanachukua mikopo China na wanajitegemea kila kitu. Sema mikopo ingetumika vizuri tungefika mbali

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 8 днів тому +1

      ​@@BigZhumbeSS inaishia kwenye mifuko ya watu

  • @MuherMuhammad-lt7vi
    @MuherMuhammad-lt7vi 8 днів тому +5

    Dj asmaa nakukubali

  • @trizereve3386
    @trizereve3386 9 днів тому +2

    Sound perfect ❤DJ smaa

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie 8 днів тому +1

    Nawakubalisana yani nyinyi mnaakilisana domoklsia niutumwa naniutapeli kabisa ❤❤

  • @Abdillahjuma-u2q
    @Abdillahjuma-u2q 3 дні тому

    Dj smaa hua unaumwa sana pindi unapockia VIONGOZI wa HOVYO wa AFRICA

  • @SalumuMisigaro
    @SalumuMisigaro 9 днів тому +5

    Mtegemea cha mwenzie hufa masikini. Mabakuli ya kuombaomba yaishe na ndio maana wanatuwekea mitego ya vikwazo. Safi na aendelee hivyo hivyo azidi kuwaamsha walio lala!

  • @GeraldElias-s7j
    @GeraldElias-s7j 9 днів тому +3

    MAGUFULIFICATION OF AFRICA 🌍

  • @RobertChacha-si1js
    @RobertChacha-si1js 9 днів тому +6

    Mwanadamu aliumbwa kumtegemea Mungu sio mwanadamu mwenzie, Africa na misaada utadhani mmechanjiwa, majitu yanagawa rasilimali kwa wageni kisa tu kuomba, ujinga tu

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 8 днів тому

      Umechanganya doctrine , usitafasili maandiko Kwa akili zako na usichukue wazo lako ukalichomeke kwenye maandiko , biblia inakanuni zake za kutafasili zinaitwa Amunetix,

  • @pinielefraem4159
    @pinielefraem4159 9 днів тому +10

    Asiishie kwenye misaada tu afrika mpaka viongozi wa afrika wapigwe marufuku kwenda us

  • @OmarAbdallah-l9z
    @OmarAbdallah-l9z 9 днів тому +8

    Mm nimfuatiliaji mkubwa sana wa gps ya sns mnapotoa mifano ya nchi za kiafrika ambazo viongoz wake wanaendesha nchi kwa misaada tu mbona hamuitaji Tanzania au viongozi wao hawakosei mana sikuzote mifano yenu kwa Africa ni nchi za wenzenu tu mara Rwanda sijui Uganda mara Uganda hem kuweni wawazi na km hamuwez kutolea mfano Tanzania katika ujinga naudhaifu waviongozi basi acheni na kutolea mifano nchi za wenzenu

    • @Liberatus-k2c
      @Liberatus-k2c 9 днів тому

      Wanafikii hawa😂😂😂

    • @mwanaidikingazi4222
      @mwanaidikingazi4222 5 днів тому

      Siwanaogopa kutekwa

    • @SamwelRobeth
      @SamwelRobeth 2 дні тому +1

      Utaenda kuwawekea mzamana unazan wahataki wanataka ila nchi zetu ukiwasema kesho utapotea

  • @JamesNyandwi
    @JamesNyandwi 9 днів тому +4

    Hapo Sawa arahan James bright Evelyn 🇧🇮🇿🇲🇿🇦🇹🇿🇹🇿

  • @josemrema5789
    @josemrema5789 9 днів тому +2

    MNAJUA SANA #GPS

  • @yvesyveldinhomzee.5682
    @yvesyveldinhomzee.5682 6 днів тому +1

    Apa nyumbani USA 🇺🇸 kweli kuna vurugo nyingi sana mzee,
    Sema ALLAH tu njo atasaidiya kweli 🙏

  • @mwanaidikingazi4222
    @mwanaidikingazi4222 5 днів тому

    Watu wengi walikua wakimchukia magafuli asaivi wanamuelewa halafu ndio hayupo tena baba endelea kupumzika kwa Amani 😢😢

  • @MejackPaul
    @MejackPaul 9 днів тому +9

    Magufuli alikuwa raisi wa kuigwa

  • @novatusstanley2789
    @novatusstanley2789 9 днів тому +2

    Nawakubali sana wana GPS 🫡

  • @HuseinYusuph
    @HuseinYusuph 9 днів тому +6

    sky we ndio mwenyekit wa uwo mjadala hapo muongoza mjadala wape nafasi mmoja baada ya mwengine ili to avoid confusion wakat tunawasikiliza

  • @aysherkabby5937
    @aysherkabby5937 7 днів тому

    Thanks guys......🙌🙌🙌

  • @mgayan1222
    @mgayan1222 8 днів тому +1

    Dah! Magufuli angekuwepo tunge enjoy. Kama haikuwa mpango wa MUNGU 🙏 bhasi bhana😭

  • @Moranotz
    @Moranotz 8 днів тому

    Mmetisha san wa gps

  • @MejackPaul
    @MejackPaul 9 днів тому +2

    Nimeisubiri kwa muda mrefu sana

  • @msafirimiracle6613
    @msafirimiracle6613 9 днів тому +2

    Wa kwanza leo,big time sns

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 8 днів тому +7

    Tunashangilia msitu kuungua wakati tumo ndani jamani magonjwa

  • @karimmunis8302
    @karimmunis8302 9 днів тому +3

    Self raliance kwa kila nchi ndo suluhusho .. mtegemea cha ndugue hufa maskini

  • @franktangeki9342
    @franktangeki9342 9 днів тому +2

    mtegemee ghalama ya maisha kupanda tanzania na bei ya vitu kupanda sababu viongozi watasema marekani imezuia misaada tanzania

    • @RamadhaniMohamedi-de2vc
      @RamadhaniMohamedi-de2vc 2 дні тому

      Kwani sasaivi sukari shingap kwani marecani walikua awatoi msahada misihada ainafaida yoyote.

  • @MarkIsrael-t7k
    @MarkIsrael-t7k 9 днів тому +4

    Smaa punguza kingereza, hakuna mzungu anakuskia kisa unachanganya na kinge

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 8 днів тому +1

    Akili utakavyoiweka na ndio itakavyokua tu!

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 9 днів тому +1

    Safi Trump

  • @ramgainmkubila1213
    @ramgainmkubila1213 9 днів тому +3

    Kwanini Tanzania dj sma asiwe mshauri wa raising?? Jamaa ni jiniaz

  • @abuugubi9312
    @abuugubi9312 9 днів тому +3

    Tuko pamoja

  • @zulfaibrahim1929
    @zulfaibrahim1929 8 днів тому +2

    Atukome sisi canada hatutaki atwingilie miaka yake 4 tuu aondoke

  • @Uesilamsiodiniyakweli
    @Uesilamsiodiniyakweli 8 днів тому +1

    Kiufipi Dogo kipara smah ni mganga wa kienyeji 😂😂

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 9 днів тому +1

    Hii Ya Ngombe kali saasa😢😢😢😅😅😅😅😅

  • @atutweve4160
    @atutweve4160 9 днів тому +3

    Maneno kibao simlisemaga marekani hana lolote nyie haya sasa urusi atoe hizo hela pyeeeeee 😩

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j 9 днів тому

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 9 днів тому +1

      @ yani kuna watu kuongea tu hakuna wanachokijua kuhusu nchi za Magharibi wamekalia tu kuhate haya sasa urusi atasaidia kila kitu wasiwe nashida

    • @Uesilamsiodiniyakweli
      @Uesilamsiodiniyakweli 8 днів тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nilikua na tafuta hii comment

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 8 днів тому +1

      @@Uesilamsiodiniyakweli minakasirika sana, wanaazaje kumuudhi baba wa dunia 😩😥wakati hatujajipata bado

    • @tmd-y8c
      @tmd-y8c 8 днів тому

      Akili ndogo sana umetumia, how comes uanze kuzungumzia urus aanze kutoa misaada, kwan huwez kuishi bila misaada?

  • @maxiellmillian
    @maxiellmillian 8 днів тому

    👏👏👏

  • @djafro8729
    @djafro8729 9 днів тому +4

    Pombe maghufuli alikuwa bora Africa

  • @loicebaraza
    @loicebaraza 8 днів тому +1

    Misaada ikatishwe hapo naunga,kwanza hazitumiki vizuri most of it inaenda mifukoni mwa viongozi,and Africa needs to start putting our houses in order!

  • @Paulo-c9z
    @Paulo-c9z 9 днів тому +2

    Mitano tena ngoja tuangalie maneno ya wanafki

  • @MejackPaul
    @MejackPaul 9 днів тому +1

    Mmechelewa sana GPS

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 9 днів тому

      Sasa we ka ulishawahi kuskia si utulie waachie wenzio ambao wao wanaona imewahi

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 8 днів тому +1

    Alisema Afrika wenyewao wanataka bado watawaliwe tu bado kujiongoza alisema ivyo!

  • @tmd-y8c
    @tmd-y8c 8 днів тому +1

    Akili kubwa mno uchambuzi wa leo

  • @kingnass6410
    @kingnass6410 7 днів тому

    Hapo kwenye ngombe sasa😂😂

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 9 днів тому +1

    CANADA KUWA JIMBO LA USA, RAHAAAAA SAAAANA KWANGUUUUU😂😂😂😂

  • @kingndinyo9764
    @kingndinyo9764 9 днів тому +1

    Kwenye misaada hapo na jinsi yuko 🆗.....raisi wa 🇧🇫Burkinafaso alisema Africa 2nauwezo wa kuisaidia ulaya huko na mabaramengine..... Akate kila kitu kila mtu afe nachake huko

  • @khadijaa815
    @khadijaa815 6 днів тому

    Dokt smaa naomba unielekeze dawa ya cholesterol

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 7 днів тому

    Ndo tutajua atujui tulichekelea ile khasara ya moto sasa wanatukomeshea kwenye misaada aya kila mtu akalime kwa mashamba ya babu zake tukiumwa tutumie miti shamba heee kimeturamba😂😂😂

  • @princeimani8078
    @princeimani8078 8 днів тому +1

    DRC

  • @BofuMlanzi
    @BofuMlanzi 8 днів тому +2

    Ardhi yenye rutba tunayo, watu wa kutumika wapo. Viongozi wengi wa Afrika hawana dhamila ya dhati ya kutafuta mabadiliko.

  • @MohamedMbaraka-g2e
    @MohamedMbaraka-g2e 9 днів тому +2

    Hapo kwenye jinsia kupo poa hapo

  • @ummyahmad9093
    @ummyahmad9093 6 днів тому

    Canada ni tajiri kuliko marekeni Canada tunamafuta na tunawapa umeme marekani

  • @AngelBakrana
    @AngelBakrana 8 днів тому +1

    Sky Kongo vp gps

  • @benoitniyukuri2105
    @benoitniyukuri2105 8 днів тому +1

    Watanzania na kuita watu haramu 😢

  • @SmilingFuchsiaFlower-jl7dg
    @SmilingFuchsiaFlower-jl7dg 8 днів тому +1

    Arv zikiadimika vifo vitaongezeka,maambukiz yataongezeka apo mungu ajalie viongoz wazalendo Africa

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 8 днів тому +2

      Ndo watu tiache zinaa na uashetati
      Laa sivyo ni kufaa tu

    • @bulunjamalimikulwa4876
      @bulunjamalimikulwa4876 7 днів тому

      mmmh! huo mdomo wako huo! alokwambia HIV inapatika kwa uasherati na zinaa tu ninani?? ukumbuke kuna wanaokipata wanao tangu kuzaliwa, wapo wanao bakwa, ajali na kuambukizwa kwa makusudi so unavyosema hivyo hao nao watasaidiwa je. acha kuongea maneno ambayo kimsingi yanaukakasi kuyasikia kutoka kwa mtu kama ww! ARVs zimesaidia sana kufubaza virus hivyo kupelekea magonjwa nyemelezi kupungua kwa mwathirika, kiasi huwezi leo kumtambua kwa haraka, so kama hivyo ndivyo unaweza Kuta hata famili ama ukoo wako watu muhim wamekwisha kwakua hizo ARV zimeficha Siri na kupunguza vifo. mmmh kazi ipo.

  • @UpendoNgailo-f9t
    @UpendoNgailo-f9t 4 дні тому

    Aliesema HATUWEZI BILA KUKOPA SAS JIBU LIMEKUJA KWA VITENDO KUWA ALIKUWA ANATOA KAULI YA KIJINGAAA ,

  • @DINASSOUR
    @DINASSOUR 9 днів тому +2

    Uyo anatumia dawa za wagsnga wa kienYeji

  • @RobbinMollely
    @RobbinMollely 5 днів тому

    Jmn

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 8 днів тому +1

    Iyo kiukweli kuomba omba ni upotofu wa Akili tu!

  • @MaryamSaid-id6yh
    @MaryamSaid-id6yh 8 днів тому +2

    Mataifa makubwa ikiwemo Marekani hazijawahi kutoa misaada kwa nchi zilizoendelea bila ya masharti au kupata wanachokitaka in return. Hii misaada has always been transactional and with restrictions.

  • @sa3dasa3da87
    @sa3dasa3da87 8 днів тому +1

    VIONGOZI WA AFRICA WAENDE WAKAMUULIZE IBRAHIMU TRAORE
    YEYE AMEWEZAJE KUIJENGA BUKINAFASO BILA YA MISAADA WALA MIKOPO YA WAZUNGU

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 9 днів тому +3

    Trump kazini...huu upuuzi wa omba omba ya viongozi wa Africa uishe... halafu huu upuuzi wa LGBTQ umalizwe kabisa

  • @mdl6463
    @mdl6463 6 днів тому

    Hakuna kitu hapo kama huna uwezo huna tu wezetu wanaamuka asbh wanawaza nini wafanye Ila RUSHWA adui wa haki

  • @lemontheneutral768
    @lemontheneutral768 9 днів тому

  • @ismailAhmed-z5j
    @ismailAhmed-z5j 9 днів тому

    ✌️

  • @danielmgalla558
    @danielmgalla558 8 днів тому

    Ngoja niwasanue, usitishaji wa hiyo misada in next 1 year itasabisha vifo vingi sana, hadi watoto wenu hapo

    • @AwaShaban
      @AwaShaban 7 днів тому

      Kwanini watoto wafe kunanini??

  • @djafro8729
    @djafro8729 9 днів тому

    Na mjinga wako Ruto mwenye ulisema ni mzuri anatulazimisha hiyo chanjo ya ngombe

  • @josephlwago5950
    @josephlwago5950 8 днів тому

    Sky kongo hali ni mbaya yani wengine nì viĵana wadogo kuna video hapa nimekuta sehemu

  • @Mgema001
    @Mgema001 9 днів тому +1

    Haki ya kuzaliwa isipopitishwa marekani... Trump ajiandae kuliingiza taifa kwenye vita ya wao kwa wao

    • @HanceMagazi
      @HanceMagazi 9 днів тому

      😅😅😅😅😅 sio kweli wewe

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j 9 днів тому

      Ile sio Africa wewe 😂😂😂😂😊

  • @BlackKing89-l1u
    @BlackKing89-l1u 9 днів тому +1

    Si mlikuwa mnasema hamtaki misaada kutoka Marekani. MaRange yatapungua sana mitaani😆

  • @TPW_FLUXY
    @TPW_FLUXY 8 днів тому

    😢yani hakuna kupoa tuko na Trump bega kwa bega aendelea kufanya anavyo fanya kazi iendelee kama kawa kata na misaada isiyo na maana wala tija kwa wananchi

  • @Onekenya93404
    @Onekenya93404 7 днів тому

    Dj Asma ni mkono birika, skiza maelezo yake kuhusu dawa ya anazozitumia.

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 7 днів тому

    Mtachagua wenyewe kuendelea kununua V8 au kujenga nchi

  • @Bahati47
    @Bahati47 9 днів тому +1

    Najiuliza kuhusu jinsia atakomea marekani tu? Mana pale kwenye ki nchi Chao ndio kumeoza

  • @mrabdultv8356
    @mrabdultv8356 8 днів тому

    GPS kama kawa kama kawaidazziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 2 дні тому

    Nawaombe kwa Mungu siku moja mpate fursa ya kuchambua hili shirika la WHO tu.ivi mnafikiri haya magonjwa ya ajabu huku africa kusengekuwepo hili shirika la WHO haya magonjwa yangekuwepo?

  • @HalimaGalgalo-d1g
    @HalimaGalgalo-d1g 7 днів тому

    Dunia tunaelèkea wapi

  • @TPW_FLUXY
    @TPW_FLUXY 8 днів тому

    Hii mijitu kwani walio badilisha jinsia nani waache wakae kama Mungu alivyo waumba

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg 9 днів тому +1

    Canada waanze kufanya biashara na urus na china

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 7 днів тому

    Trump ni mwamba hakuna ushoga hakuna Who

  • @HassanRamadhanPashua
    @HassanRamadhanPashua 8 днів тому +1

    America wameona wanaanguka kiuchumi ni swala la mda tu

  • @abdullmo8736
    @abdullmo8736 9 днів тому +1

    Mbona hajajikita Gaza kuhus kuwachiwa mateka

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 9 днів тому

      Sikiliza Gps iliyotangulia vipande vipo vingi usianze kulaumu

  • @RayMakini
    @RayMakini 8 днів тому

    Canada ni nchi ya wageni, yan ni watu mataifa mbali mbali ndo waalilijenga iloo taifaa

  • @respiciouscharles1817
    @respiciouscharles1817 9 днів тому

    Kaka sma,nakupataje,?ninashida yamgongo sasa nimiezi sita sasa toka nianze kusumbuka,nilipima na uti wamgongo ukaonekana umenyooka,tafadhali shida yangu ni abc za namna yakufanya,zaidi yayote ninawapata sana

  • @jamesmkanula4625
    @jamesmkanula4625 9 днів тому +1

    TUPO PAMOJA GPS

  • @PeterMmari-p4d
    @PeterMmari-p4d 7 днів тому

    Magufuli alishatuwasa kuusu misada nikundeleza umasikini

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 2 дні тому

    HAPA NAONA KABISA ARV NA DAWA ZA MALARIA ZITAANZA KUUZWA.NI VIZURI WAAFRICA TUJITEGEMEE KULIKO KUSUJUDIANA.KILE CHA SEREKALI KUSEMA INATOA DAWA BURU KWA WAGONJWA WA UKIMWI ACHA TUSUBIRI ITAKUWAJE.

  • @abuunusaibayussuf4829
    @abuunusaibayussuf4829 9 днів тому +1

    Wacheni wahangaike hao ni washenzi tu

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 9 днів тому

    uongo uo..jinsia ni 2??

  • @Abdulrahmanhamidu-k2u
    @Abdulrahmanhamidu-k2u 8 днів тому

    Djsma mtuwazandan kabisa

  • @ticia950
    @ticia950 6 днів тому

    TRUMP SIMPENDI NATAMANI ATA AFE LEO

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 8 днів тому

    Shida ya nchi za kiafrica kuwa ombaomba sio wazungu ninufisadi wao uchu wa madaraka na rushwa

  • @miltonmachage2462
    @miltonmachage2462 8 днів тому

    Tuliompenda trump Sasa risasi zinaturudiaaa ilaa viva trump ingawa tunaumia

  • @manjoriwakunesa7006
    @manjoriwakunesa7006 9 днів тому

    Simaa namba nabayako

  • @innocentmaganga4640
    @innocentmaganga4640 7 днів тому

    DJ sma natamani kujua sababu za wewe kuvaa cheni yenye ramani ya ISRAEL/PALESTINE.

  • @ShedrackShedrack-c2b
    @ShedrackShedrack-c2b 8 днів тому

    Trampu ni mchawi kama wachawi wengne wa apabongo

  • @ghazarmohamed1585
    @ghazarmohamed1585 8 днів тому

    Taifa la usa uchumi umeyumba nadhani wanabana matumizi kujijenga, pia kuhusu chanjo si kila chanja sio sawa kama chanjo itoke kwetu wenyewe sio kuletewa, ngombe kuachia hewa je kwao wanawachoma au kenya tu? Siamini kuhusu chanjo kwamba kila binadamu ana chanjo vipi wa hadzabe? Vipi wale kisiwa cha india ambapo hakuna anaruhusiwa kufika au Amazon forest huko America ya juu ??

  • @OmarAbdallah-l9z
    @OmarAbdallah-l9z 9 днів тому +1

    Trump kasema hawatambui mashoga mbona hamuongei