Huu wimbo nimeuweka humu ili kila mmoja aweze kuufahamu na kujifunza mashairi yake na kuuimba kwa ufasaha. Shukrani kwa bendi ya Polisi na TVT kwa kurekodi video hii.
Majira Yetu haya, yangekuwaje sasa,utumwa wanchi Nyerere ame ukomesha❤❤❤❤ mh wangekua wanaruhudu kuimba nyimbo za Taifa aina mbili. Basi Taifa stars wangeimba huu Pengine ata uko Afcon wangejituma warudi namatokeo mazuri kabisa ,, Mungu ibark Taifa Stars Amina
Nalipenda beti la tatu "Nchi yenye azimio lenye tumaini, ndiwe pekee yako mwanga wa watanzania, nitakuthamini hadharani na moyoni unilinde NAMI ntakulinda hadi kufa" true patriotic song🇹🇿❤️
Kama kuna hazina tunayo kama Taifa ni nyimbo, sanaa, utamaduni na lugha ya kiswahili. Mambo haya ndo yanatuunganisha kama Taifa. Mungu akubariki sana mpendwa kwa kuleta hizi nyimbo.
@@godfreysemwaiko3290 The original "Kingdom Coming" was sung in a stereotypical African-American slave voice and maybe offensive to those of African descent, so I think it is an amazing comeback for you Tanzanians to take a song that stereotypes your African-American brethren and turn it into your very own patriotic song. As an African-American, you have my respect, with love from the United States.
Niskiapo wimbo huu machozi hunitiririka, huniongezea amani, uadilifu na uzalendo wa hali ya juu nakupenda nchi yangu Tanzania nipo tiar kufa kwaajili ako
@@elishamusa5193 basi Elisha unaonekana ni mtu mnyonge sana. Manake unakwenda kinyume kabisa na Maumbile ulioumbwa nayo. Hata wanyama wanapendelea familia zao kuliko wanapoishi
TAZAMA RAMANI Tazama ramani utaona nchi nzuri Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka, Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri, Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzaniaaaaaaaaaa…. Majira yetu haya, yangekuwaje sasa Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2 Chemchem ya furaha amani nipe tumaini, Kila mara niwe kwako nikiburudika, Nakupenda sana hata nikakusitiri, Nitalalamika kukuacha Tanzania. Majira yetu haya, yangekuwaje sasa Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2 Nchi yenye azimio lenye tumaini, Ndiwe peke yako mwanga wa Watanzania, Ninakuthamini hadharani na moyoni, Unilinde name nikulinde hata kufa. Majira yetu haya, yangekuwaje sasa Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2
Moja ya nyimbo zilizokuwa zikiimbwa katika nchi watu tunasisimka Lakini ukilinganisha na baadhi ya watu wasiotambua wanavyotugawa nikisikia wimbo huu natamani kulia
Ndugu Semwaiko ninakushukuru sana kwa kuuweka wimbo huu hapa. Nimekuwa nikiutafuta huu wimbo na wenzake kwa muda mrefu sana bila mafanikio. Naomba kama una nyimbo nyingine za uzalendo uziweke hapa tafadhali, haswa hizi zilizoimbwa na watu hawa imara (askari) Asante sana na nakuombea moyo wa kuipenda Tanzania na kuitendea mema.
Ni kweli ni jambo la kushukuru sana kwa hili, ilikuwa huwezi kupata kabisa nyimbo za uzalendo wetu wa Tanzania ila sasa inafurahisha sana. Naungana nawe kutoa shukrani kwa aliyefanya jambo hili, pia asiache kutuletea na nyingine kem Kem.
Mwenzenu nina ombi kwa watanzania woooooote kwamba naomba wimbo wetu wa Taifa wa Tanzania.uwe.wimbp huu tazama.ramani badala ya ule Mungu lbariki Tanzania ambao ni.wakukopi na.kupest toka Afrika.ya.kusini. wimbo ulioimbwa na kundi.la.Geofrey.Semwaiko unafaa sana kwakuwa umeimbwa kitaifa kikamilifu
Wimbo wa Taifa hatukuukopi, angalia historia yake ndipo utakapojua kuwa melody ni sawa na Nkosi Sikeleli Afrika, lakini wa kwetu ni tofauti kabisa halafu kumbuka sisi tulipata uhuru kabla ya South Afrika. Wimbo huu ulitungwa kule Ndada, ndugu yangu tafuta historia yake utashangaa sana. Proud to be Tanzanian!
Jaman huu wimbo naupenda sana lakini kuna maneno mengine hatusikii mfano ubeti wa tatu mwishoni tunaomba wimbo huu muuchapishe kwenye vitabu mashuleni ili watoto nao wajifunze maana kuna watu mpaka leo hawaujui
Wakati huo uzalendo ulikuwa mkubwa na hatukufikiri hata siku moja tutakuja kuwa na wasaliti; wa kwanza akawa Kambona ambeye tulimsamehe ila siku hizi wasaliti wengi mno kiasi kuwa moyo wangu unasononeka sana sijui ni maadili gani tunayatoa kwa watoto wetu. Wasaliti wengi hawana uzalendo na nchi yetu, wimbo huu unawasuta kabisa.
Uwaendee vibaraka wa mabeberu na mafisadi wasio itakia mema tanzania mungu amulindi raisi wetu kwa masirahi ya Taifa tuendelee kufurahiya uzuli wa taifa letu lenye mito mabonde milima maziwa na asari
Dahhhhhhhhhhhh Ama kweli nnch yetu Imejariwa vitu vingi sana lakin kwa Wimbo huuu Mnanifanya nizidi kuifurahia sana na kujiskia huru Zaid, Nakupenda Sana TANZANIA yangu MUNGU tuepushe na majanga mengi na kila uhalibif woote.
Majira Yetu haya, yangekuwaje sasa,utumwa wanchi Nyerere ame ukomesha❤❤❤❤ mh wangekua wanaruhudu kuimba nyimbo za Taifa aina mbili. Basi Taifa stars wangeimba huu Pengine ata uko Afcon wangejituma warudi namatokeo mazuri kabisa ,, Mungu ibark Taifa Stars Amina
Nalipenda beti la tatu "Nchi yenye azimio lenye tumaini, ndiwe pekee yako mwanga wa watanzania, nitakuthamini hadharani na moyoni unilinde NAMI ntakulinda hadi kufa" true patriotic song🇹🇿❤️
Uliye weka huu wimbo bila shaka wewe siyo mchoyo, Mungu akupe afya jema na Maisha marefu, japo sikufahamu naimani Ni mtanzania mzalendo safi sana
asante. Tuipende nchi yetu, kwa ajili yetu na vizazi vijavyo
This one is super good congrats from kenya
I love u Tanzania your so nice no matter what
Kama kuna hazina tunayo kama Taifa ni nyimbo, sanaa, utamaduni na lugha ya kiswahili. Mambo haya ndo yanatuunganisha kama Taifa.
Mungu akubariki sana mpendwa kwa kuleta hizi nyimbo.
Hio nayo ni ukweli tunapenda choir za kitanzania
NAKUPENDA SANA TANZANIA 🇹🇿
The melody of this song comes from the Civil War song "Kingdom Coming" by Henry Clay Work, written in 1862.
I never knew this, thanks for pointing out. But many songs in this world are evolving around with different lyrics and languages.
@@godfreysemwaiko3290 The original "Kingdom Coming" was sung in a stereotypical African-American slave voice and maybe offensive to those of African descent, so I think it is an amazing comeback for you Tanzanians to take a song that stereotypes your African-American brethren and turn it into your very own patriotic song. As an African-American, you have my respect, with love from the United States.
Hii nyimbo ni Nzuri Sana hadi Unajihisi happy ilove Tanzanian
Niskiapo wimbo huu machozi hunitiririka, huniongezea amani, uadilifu na uzalendo wa hali ya juu nakupenda nchi yangu Tanzania nipo tiar kufa kwaajili ako
Ukiwa tayari kufa unaitwa Gaidi.
A Kahtaan naipenda nchi yangu kuliko kitu chochote
@@elishamusa5193 Duhh.
Bro hata mimi naipenda nchi yangu lkn aijawexs kuvuka nafasi ya familia yangu Elisha
A Kahtaan kwangu mm nchi n bora kuliko familia
@@elishamusa5193 basi Elisha unaonekana ni mtu mnyonge sana. Manake unakwenda kinyume kabisa na Maumbile ulioumbwa nayo.
Hata wanyama wanapendelea familia zao kuliko wanapoishi
Tanzania is only Country which i have,I love my country more than everything in this world!
Aaaaaaasante yani Sijui nisemeje kuhusu huu wimbo, yani waniburudisha adi machoz mungu awabariki watanzania jamani.
Asante ww uliyetupia wimbo huu wa kizalenda Tafadhari tupia na nyimbo nyingine za kizalendo Mungu akubariki
Naipenda nchi yangu ya Tanzania. Sijui kama shuleni siku hizi bado watoto wanafundishwa hizi nyimbo
Wimbo mzuri Jamani,Mungu bariki Tanzania
naipenda hii band saaana naitamani niwajoin siku moja
Asante Mungu kwa kunijalia nizaliwe Tanzania
Huu ndio uzalendo! R.I.P Baba Wa Taifa Mwl.J.K. Nyerere tutakukumbuka daima.
Nice song from Tanzania Police brassband, God bless our country
Nani anaweza kuweka lyrics hapa,nawapenda Tz
Greetings from Melwood
TAZAMA RAMANI
Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzaniaaaaaaaaaa….
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere
ameukomesha X2
Chemchem ya furaha amani nipe tumaini,
Kila mara niwe kwako nikiburudika,
Nakupenda sana hata nikakusitiri,
Nitalalamika kukuacha Tanzania.
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere
ameukomesha X2
Nchi yenye azimio lenye tumaini,
Ndiwe peke yako mwanga wa Watanzania,
Ninakuthamini hadharani na moyoni,
Unilinde name nikulinde hata kufa.
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere
ameukomesha X2
@@abelg2488 uko vizuri brooo hongera sana
@@abelg2488 beti ya pili anatajwa Karume... anyway hongera
Nakupenda Sana Tanzania ❤❤❤❤
Moja ya nyimbo zilizokuwa zikiimbwa katika nchi watu tunasisimka
Lakini ukilinganisha na baadhi ya watu wasiotambua wanavyotugawa nikisikia wimbo huu natamani kulia
Hongereni kwa uzalendo na Mimi ni mzalendo tuungane tulijenge taiga letu
I love my country Tanzania..am proud to be a Tanzanian
Kiukweli huu wimbo huwa naupenda nitajitahidi kujifunza mashairi yote niwe naimba kila ninapojisikia. Ahsante sana comrade.
Ndugu Semwaiko ninakushukuru sana kwa kuuweka wimbo huu hapa. Nimekuwa nikiutafuta huu wimbo na wenzake kwa muda mrefu sana bila mafanikio. Naomba kama una nyimbo nyingine za uzalendo uziweke hapa tafadhali, haswa hizi zilizoimbwa na watu hawa imara (askari) Asante sana na nakuombea moyo wa kuipenda Tanzania na kuitendea mema.
savedlema asante sana. tuko pamoja
Asante
How to let go stress
Ni kweli ni jambo la kushukuru sana kwa hili, ilikuwa huwezi kupata kabisa nyimbo za uzalendo wetu wa Tanzania ila sasa inafurahisha sana. Naungana nawe kutoa shukrani kwa aliyefanya jambo hili, pia asiache kutuletea na nyingine kem Kem.
Ahsante sana mkuu.Mungu akubariki
I love my country Tanzania
I love so much my country duuh mungu endelea kutupa amani
Wimbo ulitujengea uzalendo sana ❤️❤️❤️❤️❤️
Ivi siku hizi watoto wanaomba hizi nyimbo mashuleni nawauliza wakurungwa &wakushi
Tanzania nchi yangu
Mwenzenu nina ombi kwa watanzania woooooote kwamba naomba wimbo wetu wa Taifa wa Tanzania.uwe.wimbp huu tazama.ramani badala ya ule Mungu lbariki Tanzania ambao ni.wakukopi na.kupest toka Afrika.ya.kusini. wimbo ulioimbwa na kundi.la.Geofrey.Semwaiko unafaa sana kwakuwa umeimbwa kitaifa kikamilifu
Kabisa
Wimbo wa Taifa hatukuukopi, angalia historia yake ndipo utakapojua kuwa melody ni sawa na Nkosi Sikeleli Afrika, lakini wa kwetu ni tofauti kabisa halafu kumbuka sisi tulipata uhuru kabla ya South Afrika. Wimbo huu ulitungwa kule Ndada, ndugu yangu tafuta historia yake utashangaa sana. Proud to be Tanzanian!
Hujui historia tuu, wao ndo walikopi
Sisi tulianza kupata uhuru kabla South Africa iwe si ndo tuwaige wao?
Hujui unachoongea, angalia kwanza SA imepata lini uhuru na Tanzania
Awa Jamaa uwa wanajuaga sana
duu huwa nafrah sana nikisikia wimbo huu asante Tanzania yangu
Naupenda sana huu wimbo, melody, na mashairi yake dah...
Kuna sehemu kama mbili wanamumunya mumunya maneno hawa. ☹️☹️🙆♂🙆♂
Respect for my Country Tanzania
Jaman huu wimbo naupenda sana lakini kuna maneno mengine hatusikii mfano ubeti wa tatu mwishoni tunaomba wimbo huu muuchapishe kwenye vitabu mashuleni ili watoto nao wajifunze maana kuna watu mpaka leo hawaujui
Tanzania yetu oyeeeeeeeeee
Jaman kama mtunzi wa hii nyimbo aliongozwa na Mungu maana kila ausikiaye haumwachi bila kuckia hisia za machozi na upendo wa nchi yetu NAKUPENDA tz
Halafu hapo hujainigiza Tanzania, Tanzania, nakupenda kwa moyo wote.
Nice song
Kipindi hiki nilikuwa natamani kusikia nyimbo kama huu au Tanzania Tanzania.ubarikiwe
Wakati huo uzalendo ulikuwa mkubwa na hatukufikiri hata siku moja tutakuja kuwa na wasaliti; wa kwanza akawa Kambona ambeye tulimsamehe ila siku hizi wasaliti wengi mno kiasi kuwa moyo wangu unasononeka sana sijui ni maadili gani tunayatoa kwa watoto wetu. Wasaliti wengi hawana uzalendo na nchi yetu, wimbo huu unawasuta kabisa.
Beautiful!!!
thank you for this song God bless Tanzania and its people
Dislikes za wachawi kama kawaida, huwa hazikosi. Hata kwenye wimbo mtukufu kama huu.
Huu wimbo ni bora sana
Uwaendee vibaraka wa mabeberu na mafisadi wasio itakia mema tanzania mungu amulindi raisi wetu kwa masirahi ya Taifa tuendelee kufurahiya uzuli wa taifa letu lenye mito mabonde milima maziwa na asari
i love my blood country Tanzania
Huu sasa ndo unafaa uitwe WIMBO wa TAIFA.
ule OG tunasimangiwa sana sana na WASAUZI na watu wengn wanadai tumeuiga kutoka kwao.
Dahhhhhhhhhhhh Ama kweli nnch yetu Imejariwa vitu vingi sana lakin kwa Wimbo huuu Mnanifanya nizidi kuifurahia sana na kujiskia huru Zaid, Nakupenda Sana TANZANIA yangu MUNGU tuepushe na majanga mengi na kila uhalibif woote.
naipenda paka naumwa nikisikia huu wimbo wa uzalendo mwongozo primary school
Nakupenda sana Tanzania nchi yangu
Very melodious song! What are they singing about?
Aikunle78 beauty of Tanzania
Beauty of Tanzania
It is about the beauty of Tanzania
asanten sana kwa wimbo huo kizalendo
Napenda kutoa ushauri wangu huo ndio uwe wimbo wa taifa la Tanzania,,kwasababu unaonesha uzalendo kwa Taifa la Tanzania,,,
Katika nyimbo tatu zilizo pendekezwa kuwa nyimbo za Taifa na huu ulikuwa mmoja wapo,ila ukapita wa Taifa wa sasa
I love my country tanzania
Naipenda nchi yangu
Tanzania 🇹🇿
Tazama ramani Tazama Taifa star Tazama Rais MAGUFURI
Tazama ramani utaona nchi nzuri Tanzania
Wimbo ukifungua.kwenye simu upo kwa maandishi bonyeza ule.wenye wamasai.wamesimama
TANZANIA I love u very much my Country
I love this song
Ubarikiwe sana, ni nani aliandika wimbo huu? Ilikuwa mwaka gani? Mara ya kwanza ilirekodiwa wapi?
Inanikimbusha utoto wangu😢😭😭
Hakika nimekumbuka mbali mnooo, najivunia kuwa mtanzania
Kuna watu wanauimba lakini wanauaribu kwa kutia majina yasiyomo
Ninyimbo ambazo hukamilisha Utanzania wangu
Tanzania nchi yangu tulinde amani yetu
J'aime mon pays
Teach me French brother. ❤️🇹🇿
Watoto wa cku hizi hawazijui hizi wao ni daimond tu nakumbuka shule ya msingi majimaji nachingwea mwaka 1995 chini ya mwl mtila ni hatari
Mungu ibariki Tanzania yetu
Lengo lake hasa nini?
jamani huu wimbo merodi yake niyakimashuhuri tz tunawatunzi wazuri sana yani merod zake hata usiposikia maneno ukisi utajua hiyo ni tz
Shukrani sana kwa kuweka wimbo huu 👏👏👏👏👏👏👏
Kidogo tu ungekuwa wimbo wa taifa!!!
I love you my country TANZANIA
kaka Semwaiko umefanya vizur xan
Music
asante sana nimeutafuta huu wimbo sana , niliupenda enzi za shule ya msingi ni wimbo ulionijengea mapenzi na nchi yangu Tanzania
Hongera sana Mkuu kwa wimbo huu, nilikuwa nautafuta sana ili niwafundishe wanafunzi wetu wa kitanzania.
I love you Tanzania
Mambo
Am proud to be a Tanzanian forever.
MUSIC
Bado wimbo wa taifa kutolewa video sasa
Tanzania no Moja ya nchi iliyopo kwenye Raman na inayovutia
Huu wmbo mashaalah. Nkumbk shuleni kuna vesi lazma nkae kmya kdgo wengi ulikuw unatuchngany hehe lazma uskilzie kdgo afu ndo unaunga wsp 0653244018
I love my nation TANZANIA
Awersome
Reminds me of my primary school years.
Safi
2019
Tanzania oyoooo
paka machozi yani bubujika NAKUPENDA NCHI YANGU TANZANIA
Ombea nchi tupate viongozi we ye hofu ya mungu Ili Taifa letu lie delete kuwa na amani
Wimbo wa kizalendo unavutia
l love this song ever
LOVE MY TZ
naitaji ata nijue kuimba tu lakini siwezi inaniuma sana
Thank you!
Bwana yule mvuruga nchi anafanya nijute kuwa mtanzania lkn leo Nahisi kurejesha upya utanzania wangu kupitia wimbo huu makini...