kama kwa sasa watakuwa wameamua kubadilisha dhehebu lakini ni wakatoliki na tulikuwa nao ssiku zote kwenye matamasha ya viwawa hapa Jimbo katoliki Dar mfano matamasha yaliyokuwa yakifanyika Don bosco Upnga na Osterbay walikuwa wakishiriki vizuri sana kama vijana wakatoliki wenzao
Ni SDA ndgu wameanza kuimba kwa kujitolea tukiwa pathfinder club kama vijana wa kisabato the voice group limeundwa na vijana 4 wa familiya mmoja ya mzee Marehemu kwa sasa n Marehemu watoto wake ndio the voice group ndio waliotoa tangazo la tigo 2003
Jamani sijawahi fikili Hawa watu Tanzania hii kumbe Tunao wonderful ❤❤❤❤🎉🎉
Ni wasabato wanaitwa the voice accapella love them always their doing wonders
New Jerusalem
Wow!! I got goosebumps!! , so powerful & Emotional
Munaimba vizuri Ila ninyi ni nuru ya ulimwengu ndenge za vichwani hazitakiwi Kwa waadventista wasabato? Walawi 19:27
Wamenikumbusha lile tangazo la Du! La Tigo😂😂😂😂
Bass! Bass! Bass! Umejitahd lakn ongeza bidii kijana bado kidogo
Safi sana
SDA ni fire.
Dhinda ya Dhulu
🙌 Big up the voice tz .....
Always your big fun🤗
God bless you brethrens
Ahhaaahhaa mpigaa bezi uyuu mshikaji wamchongo kwl...ahhaahhaa
Bass akaze
Chezea Muziki wa SDA, ni 🔥
Hawajasema Hilo tuseme ni mziki tuuu.....
Hawa ni sabatooooo
Kwani ni wasabato?
The real voice
Wow
Hao ni wasabato
Good
Hawa jamaa ni balaa haw sio roman kweli
SDA kaka
@@footy_genius aisee wako vizuri
Sda
🇹🇿🇹🇿❤❤
members wa SDA hao
kama kwa sasa watakuwa wameamua kubadilisha dhehebu lakini ni wakatoliki na tulikuwa nao ssiku zote kwenye matamasha ya viwawa hapa Jimbo katoliki Dar mfano matamasha yaliyokuwa yakifanyika Don bosco Upnga na Osterbay walikuwa wakishiriki vizuri sana kama vijana wakatoliki wenzao
Hawajawahi kuwa wakatoliki. Ila hushiriki matamasho yoyote
Wasabato hao...hawajawahi kuwa wakatoliki ila wanaendaga tu....njoo sabato hayo kwetu ni ya kawaida wapo wengi kama hao
Ni SDA ndgu wameanza kuimba kwa kujitolea tukiwa pathfinder club kama vijana wa kisabato the voice group limeundwa na vijana 4 wa familiya mmoja ya mzee Marehemu kwa sasa n Marehemu watoto wake ndio the voice group ndio waliotoa tangazo la tigo 2003
Mzee Mark baba yao aliwasapoti sana
Walialikwa hao bana ni wasabato toka wadogo mpk sasa hivi sema huwa wanatoa huduma ya uimbaji sehemu mbali mbali