MR PIMBI MWIJAKU ILE NYUMBA AMEJENGEWA NA KONDE BOY ,NINA USHAHIDI ASILIMIA 100

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 49

  • @aminawaziri6460
    @aminawaziri6460 8 місяців тому +3

    😂😂mwijaku ongera sana kaka

  • @aisharamdan8358
    @aisharamdan8358 8 місяців тому +5

    Jenga yakwako mshamba wee

  • @israelnibigira4990
    @israelnibigira4990 8 місяців тому +10

    Umeshikwa pabaya 😂😂😂mtu mzima hovyo jama kajenga Hafu unabisha utaishia kwenye nyumba yakupanga

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 2 місяці тому

    Kweli kaka unaweza kuwa na kiwanja lakini kujenga lazima ujipange Sasa Iko wazi

  • @HamisiFaki-q8g
    @HamisiFaki-q8g 8 місяців тому +1

    Pimbi umechemkaaaa😮

  • @EmanuelMosha-mv4ks
    @EmanuelMosha-mv4ks 8 місяців тому +1

    Kweli ww ni pimbi.kweli..😂😂

  • @pauljamesmwamtekele8003
    @pauljamesmwamtekele8003 8 місяців тому

    Ila mwijaku kiukweli nimeona nyumba yake Ila kwa bln 1.3 hpn.na lile ni tenki la maji sio swimming pool bwana😅😅😅😅

  • @user-bf9xj3nf1o
    @user-bf9xj3nf1o 8 місяців тому

    Upepo kwasasa uko kwa harmonize tusidanganyane

  • @user-nb6yh2bn9y
    @user-nb6yh2bn9y 8 місяців тому

    Sula kabisa lina wivu😮

  • @lulu24peter24
    @lulu24peter24 8 місяців тому

    😂😅😅😂😂😂😂😂akileta voice cjuh

  • @Yangaone-h8j
    @Yangaone-h8j 8 місяців тому +1

    hapo ndo mnapofeli nyiye machawa, chawa mwenzenu kathubutu basi nawewe tukuone kana hujapasuka msamba unawatukanisha wafupi wenzako

  • @rachideabdulrehemane5682
    @rachideabdulrehemane5682 8 місяців тому +1

    Mr pimbi ukitaja gali anayo tembeleya unakoseya yeye kafokasi kujenga nyuba mambo tá mari abadaye.
    Mimi sina gorofa lakini nina nyumba nzuri wala sina gali.
    Ninakukubali lakini apo unaboronga. 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

    • @mathiaslyamunda2526
      @mathiaslyamunda2526 8 місяців тому

      Kwahiyo wewe unaamini ile Nyumba ni ya 1.3B.. na unasema umejenga?? Mwijaku alitamka tu ku trend.

  • @noelkyando9490
    @noelkyando9490 8 місяців тому

    Facts hzi lkn😂😂

  • @ISAACSHABANI-h1y
    @ISAACSHABANI-h1y 8 місяців тому +1

    Mimi nimekuelewa Mr pimbi hapo umesema ukweeeeeel mtupu

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 8 місяців тому

    Pimbi uko sawa kabisaa

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 2 місяці тому

    Kisima kile kaka

  • @sultansultans9462
    @sultansultans9462 8 місяців тому

    Pimbi 200 % mzee wa fact 100%

  • @isayakihongile4921
    @isayakihongile4921 8 місяців тому +1

    Maajabu nyumba ya ghorofa ya bilioni 1.3 vyumba vitatu

  • @JulianaMushi-nq3kc
    @JulianaMushi-nq3kc 8 місяців тому

    Ujenge nyumba ya b unakatika viuno clouds 😆😆

  • @OmanOman-bm1lr
    @OmanOman-bm1lr 8 місяців тому

    Huyu choko baada afanye kazi ajenge maisha yake badala ya kufatilia mambo ya watu mshambaa mkubwa wewe chefu

  • @kamanda007
    @kamanda007 8 місяців тому

    Pimbi umechoka, huna kitu hapo unapiga domo tuu upate pesa ukale chips mayai, na hata nyumba ya nyasi huna

  • @user-wy4fv9vd7w
    @user-wy4fv9vd7w 8 місяців тому

    wivu huo jaman acheni😂😂😂😂😂

  • @tonymasy8872
    @tonymasy8872 8 місяців тому

    I wish to know the advantages of faking life plz

  • @YusufSuba
    @YusufSuba 8 місяців тому

    Chakuzi siyo simimpuli

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 8 місяців тому

    Mzee wa Facts 😂😂😂😂

  • @mwendemwende5789
    @mwendemwende5789 8 місяців тому

    Wivuu we kwenda kojoa ulale

  • @rachideabdulrehemane5682
    @rachideabdulrehemane5682 8 місяців тому

    Watu wana magali yakifahar zaidy ya 10 lakini awana nyumba

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 8 місяців тому

    mwijaku alimpinga mwambino na gari la bilion

  • @HamisiFaki-q8g
    @HamisiFaki-q8g 8 місяців тому

    Pimbi wivu ni uginjwaaa utaugua kwa vivu wako ww

  • @user-qu3zc4id1o
    @user-qu3zc4id1o 8 місяців тому

    Mr pimb Nlkuaga Nakkbal Sana Ila Saiv nakundhalau Sana Ila Kuusu Bei ya nyumba Kweny B. Na nakitu Hapo mm Mwenyewe sikubal Ila Kuanza kuongelea Mambo ya gar Sio Lazma afany unavotaka Ww Mtu Anaweza kujenga gorofa Hata gar Yakawaida Hana Sasa Ww unamlazmshaj Afanye unavotaka Ww Acha Ujinga Bhana.

  • @RamcyeeJunior254-nb9cj
    @RamcyeeJunior254-nb9cj 8 місяців тому

    Wewe nawe n pimbi kweliii sasa unaongea nini

  • @lucymtuka3199
    @lucymtuka3199 8 місяців тому +2

    Acha wivu pimbi

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 8 місяців тому

    😂😂

  • @user-dv3qv5uh4c
    @user-dv3qv5uh4c 8 місяців тому

    😂😂😂

  • @caissemalatinho252
    @caissemalatinho252 8 місяців тому

    Sasa wewe pimbi umejenga

  • @HamisiFaki-q8g
    @HamisiFaki-q8g 8 місяців тому

    Pimbi VP ww umekua mchawiiiiii😂😂😂

  • @user-py9sr5zx4v
    @user-py9sr5zx4v 8 місяців тому

    Akili fupi Mtu mfupi

  • @zdaima
    @zdaima 8 місяців тому

    Mtu akiwa mfupi na akili nayo huwa fupi

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior 8 місяців тому

    Wewe Mwijaku anapiga madeal makubwa.Pili mke wake ana mawe ya kutosha.We ishia kupiga kelele.Tunahitaji kuona watu tunatiaja moyo siyo kupondana pondana.

  • @OmanOman-bm1lr
    @OmanOman-bm1lr 8 місяців тому

    Kama Huna pesa Huna pesa wewe mshamba wewe