Hapa saudia nimungu2 ndio anajua hapa mwarabu hataki uwe kichwa ngumu au mpole kua hpo katikati mtaelewana na hawa mashetani alhamdulilah alirudi nyumbani salama
Wee kipande asikuambie mtu jela za saudia huezi juwa ni asubuhi wala mchana mko free pia kula na km ulipiga boss kitambo walikuwa wanalipa mfungwa sijui siku hizi lkn muda huo tulikuwa tunalipwa .shida huoni juwa hushugulikiwi na mtu upo tu kula kulala .but i thank God nilisaidika na ministry of labour nikatoka after 4 months. Lkn niliwapa kibarua wakati nilijaribu kutoroka nikavunja mlango wa nyuma kumbe si njia ya kutoroka ni jikoni😂
Hiyo ni kweri kabisa dada yangu hunasa tumumbe mungu 🙏 tu ndiye kimbilio chetu machozi yetu mungu anasikia
Wallai sudia nilicho kifanya mpaka waliponirudisha Kenya alhamdulillah mungu mkubwa Allah saii niko qatar 9years alhamdulillah
Hapa saudia nimungu2 ndio anajua hapa mwarabu hataki uwe kichwa ngumu au mpole kua hpo katikati mtaelewana na hawa mashetani alhamdulilah alirudi nyumbani salama
Ukifika gulf rasima ujue kuomba mungu
Si auntie wherever you are come out and talk to your family,,, how I wish to see my shosh happy after seeing you😢😢
Nacheka kaa mazur😂😂eti utatusumbua apana sisumbui tena ,aki pole sana ddngu uku mpka uwe na subra ya hali ya juu sana mm hpa eee
Mungu atusaidie tumalize contracts twenden twetu salama...kwa neema ya mungu
Amen Amen 🙏🙏🙏🙏
😭😭Nikweli Dad twavumiliya mengi
Saudi uwe na subra tuh kando nahapo haraka yako ndio itakuuwa masaibu ya Hawa waarabu ni mengi sana na ukimweka Allah mbele ni mtetezi
100% exactly asilimia zote
mimi ht nipewe nini saudia siend na katar wakenya sijui kwanini wanapapenda huko akii
@@kgchippyjna walikamatwa wengine Tanzania wanaojiuza Oman subhannawallah wanacheka kma wapo kijiweni hta hofu hawna
@@RitbayRitbay😮
Kanikumbusha mbali nilijifanya nina mashetani yakapandakweli😂😂
😂😂
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
Wee kipande asikuambie mtu jela za saudia huezi juwa ni asubuhi wala mchana mko free pia kula na km ulipiga boss kitambo walikuwa wanalipa mfungwa sijui siku hizi lkn muda huo tulikuwa tunalipwa .shida huoni juwa hushugulikiwi na mtu upo tu kula kulala .but i thank God nilisaidika na ministry of labour nikatoka after 4 months. Lkn niliwapa kibarua wakati nilijaribu kutoroka nikavunja mlango wa nyuma kumbe si njia ya kutoroka ni jikoni😂
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nmecheka kwa sauti 😂🤣😂😂 shenzi kabsa ww 😂🤣😂
😀😀
@1599k6g saudia acha tu shida ndio zinafanya tuwe watumwa
Wanapenda.kuchukua simu
Nacheka kama mazuri wallah 😂😢
Hapo dadangu pole
Yani huku Saudi ni mungu
Saudi nilipitia hadi kula kwa dustbin ndio nisife weeh
🥹🙆🏽♂️
😢😢😢😮😢😢😢😢😢😢
Next please
😅😅
Mataso ndio yana fanya mtu atoroke
Duh nihatar
😢😢
🇪🇸🤔🤣🤣👍❤️🤲🤲🤲