WA CONGO WAIGA KENYA KUCHAFUA SERIKALI WAMEJUTIA😟

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 107

  • @amanimanase8799
    @amanimanase8799 32 хвилини тому

    Kazi nzuri mr raisi Felix

  • @Josaphine-o2w
    @Josaphine-o2w 14 годин тому +1

    Kg mungu amechukiswa na matendo ya Hawa vingozi atahaza kushuka mwenyewe katikati kila nchi polepole tu kupitia vitendo Fulani ama viza Fulani ongoja tu mtaziona kwa Sababu tumekataa kutupu dhambi zetu turundi kwa mungu watu wanangangana kupata mahali na hanaza za dunia mungu hanyuko mbali. Thank you so much kg for your good program always

  • @okokoosenge6193
    @okokoosenge6193 53 хвилини тому

    Sio kweli nimuongo this guy

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 6 годин тому +2

    Uenda vijana wa kicongo wataogopa wanajiunga na vikundi vya waasi wanawasumbua mama zao dada zao baba zao na ndugu zao

  • @amanimanase8799
    @amanimanase8799 27 хвилин тому

    Kafanya vizuri

  • @euniceshanii2980
    @euniceshanii2980 8 годин тому +2

    Waaah na NIWATOTO wadogo angeacha TU Sasa Congo imebaki nanan😢😢😢

  • @OscarNshimirimana-y1i
    @OscarNshimirimana-y1i 48 хвилин тому

    Acha mdomo Hawa vijana wenzetu wavivu sana na wanaoenda Hela sasa watazitoa wapi😎😎😎😎

  • @JacobMutiso-t9p
    @JacobMutiso-t9p 10 годин тому +1

    Uongozi wa kumwaga damu ni chikizo mbele ya mwenyezi Mungu.. viongozi wa congo wataadhibiwa bila huruma Kwa kuua hao watu wote bila kufuata sheria😢😢

  • @BhBh-j4q
    @BhBh-j4q 15 годин тому

    Waaah leadership comes from God 🙌🙌🙌

  • @okokoosenge6193
    @okokoosenge6193 55 хвилин тому

    Do you have video?

  • @JanvierlukaJanvier
    @JanvierlukaJanvier 3 години тому

    Ruto ni mama san ww Congo Babalao bro 🫡🫡🫡🫡🫡🤝🫡🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🏆👑👑

  • @IssaHamisi-s5m
    @IssaHamisi-s5m 8 годин тому

    Du damu ya mtu aidhulumiwi mungu yupo nao inauma sana poleni sana wacongo 😭😭🇨🇩🇹🇿

  • @vero57
    @vero57 4 години тому +1

    Huyo raisi na waziri wake ni wauwaji , hakuna mtu duniani asiye kosa !!!! Kwanini muna toa uhai wa mtu????

  • @Marry-u8m
    @Marry-u8m 8 годин тому +1

    Huyo rahisi hana utu kabsa aki😢😢😢

  • @adolphrowlandmakatiani6111
    @adolphrowlandmakatiani6111 15 годин тому +2

    Usilinganishe Kenya na Congo,
    Kenya tunalindwa na "constitution"
    Congo has a very long way to go.

    • @kgchippy
      @kgchippy  14 годин тому

      Very long indeed and we Kenyans as well sometimes the so what we call constitution doesn’t apply to some😢

    • @johnmasha7851
      @johnmasha7851 9 годин тому

      Ongea kiswahili ​@@kgchippy

    • @GeremihJuma
      @GeremihJuma 9 годин тому

      President zero zero of Congo ☝️☝️☝️

  • @katekimotho3546
    @katekimotho3546 5 годин тому

    😢😢😢yaani mwafrika anaua watoto wao ndio akinge mzungu. Mungu wangu

  • @luizrexmusic
    @luizrexmusic 13 годин тому +5

    Eti ruto ni mzuri kwako I've wasted my time kuwach

    • @kgchippy
      @kgchippy  10 годин тому

      😀🤣😀🤣😀jamani

    • @alisoncarol8504
      @alisoncarol8504 6 годин тому

      ​@@kgchippyjameni usicheke kaka, don't forget the githurai 45 hundreds were offed,the kware 42,youths being abducted then we find bodies.The maandamano youths, Not forgetting the hundreds still missing and nursing shot wounds. Fanya hesabu buda.Good where? Afadhali wapi? Tofauti ipo kweli?

    • @alisoncarol8504
      @alisoncarol8504 6 годин тому

      Hata mimi amenishtua leo😢

  • @emmakicham4664
    @emmakicham4664 13 годин тому +2

    Kg na pia ukue ukifanya utafiti vizuri....wa congo wanasema hao ni wahalifu,walibetray inchi yao..na it was a gang yenye ilikua imeua over 15m life of innocent. People...kenyans wanafanya peaceful maandamano jus to keep their government on toes..to bring change.. usilinganishe izo situations

  • @RizikiShabani-f8f
    @RizikiShabani-f8f 18 хвилин тому

    Mimi malaga aliniuzi sana baba mbaya kabisa

  • @AnnoyedDove-oo3kk
    @AnnoyedDove-oo3kk 2 години тому

    Daaa inauma sana siamini kama unaweza kuwa hvo kuna namna tu

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg 15 годин тому +1

    Ila kuuwa watu ili kuficha udhalimu sio suluhisho....wallah Congo inatumika vibaya sana kwenye maswala ya uongozi....ila Mungu yupo anawaona

    • @kgchippy
      @kgchippy  14 годин тому

      Siku ya hawa viongozi itafika watawajibika kwa vitendo vyao😢😢

  • @kalistarkwamboka
    @kalistarkwamboka 14 годин тому +1

    Huyo Helode ni GOD ako ba dawa yake😢😢😢

  • @LucyWambui-qr1pw
    @LucyWambui-qr1pw 8 годин тому

    Tobaa yanafsitubi 😭😭😭 wangewafunga jela hatakama ni maisha badala yakuwauwa maskini wamungu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @emmanuelhamisi3050
    @emmanuelhamisi3050 11 годин тому +1

    Hawa walikuwa wanapendua serikali ambayo ni mbaya.sheria huwa inasema kuwa umefanya uhaini na inafaa uuliwe but kenya tunaongelea kuhusu viongozi ili warekebishe tabia zao.sisi hatutumii silaha yeyote.

  • @StrongbowArrow2004
    @StrongbowArrow2004 16 годин тому +3

    Mbegu walioipandikiza wazungu huku kwetu Afrika ni hii demokrasia, ikitokea wananchi wa taifa lolote lile watie nguvu kwenye kufanya kazi nadhani kila mmoja ataitunza nchi yake, lakini leo hii vijana kama hao wa Congo wamesha poteza maisha na huyo Rais yupo tu madarakani😢😢 Wana Afrika tujitume kwa kujiajiri wenyewe kupambana na hayo maisha magumu sio kutaka kupigana na dora,serikali inaondoshwa kwenye sanduku la kura TU!

    • @kgchippy
      @kgchippy  16 годин тому +1

      100% sahihi ☹️😔

    • @doreenkarimi4572
      @doreenkarimi4572 15 годин тому +1

      ​@kgchippy Hiyo sio sahihi kabisa. Weh kama unafikiria eti kura yako inacount then bado umelala. Congo ni one of the richest in resources lakini hadi wa leo as we speak, that country is among the poorest in the continent. Can you even fathom that kweli??! 😢..meaning these govts that has been in power hii time yote, hakuna chenye wamekuwa wakifanya ila kutuuza pamoja na lands zetu. I would rather dying fighting for freedom rather than cower in fear. One way or another we all must die and what an honor to die for freedom and truth!! Rest well dear ones and continue fighting in the next realm..crying to The Most High asitusahau sisi tuliobaki kujaribu kuitumikia nyumba lake. Afrika needs a very huge awakening for what is coming sio kueneza fear. We are explicitly commanded NOT TO FEAR!! ✊🏾✊🏾✊🏾

    • @kgchippy
      @kgchippy  14 годин тому

      @@doreenkarimi4572Umeongea la maana mkaka! Yangu tu nikuunga mkono kushukisha utoaji wa damu kwa vijanaaaa😢

    • @doreenkarimi4572
      @doreenkarimi4572 14 годин тому

      @@kgchippy sijakataa mimi lakini elewa kuwa hawa walio mamlakani wanaoserve colonial masters hawawezi shuka tu hvo. Hata ukiangalia history, they always end up kuua watu..wao wanajali tu maslahi yao. Wewe omba Mwenyezi Mungu akujaze na Roho Yake Mtakatifu atakaye washa moto ndani yako na kukuondolea uoga ndo uweze kusimama dete in truth kwa msimu unaokuja kwa kuwa Mola tu ndiye Mtetezi wetu. Na wakati wako utakaofika Mola kukuchukua tuta sherehekea na wewe in spirit coz every life lost for God and the cause MUST always be celebrated 💜💜💜

  • @karisakahindi7583
    @karisakahindi7583 10 годин тому

    Hio sio shera ya kuuwa watu kama ni kweli viongozi wapo hatarini mungu atasimama tu

  • @vero57
    @vero57 4 години тому

    Lakini hii ni mbaya sana kuwaa watu, kisa nini cheo??!!!!! Inasikitisha sana , UMOJA WA MATAIFA MUNASEMAJE KUHUSU HILI??????
    HIII NI MBAYA MNOO!!!

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 7 годин тому

    😭😭😭😭😭woiii machozi

  • @FearlessAfrican
    @FearlessAfrican 11 годин тому +1

    Kenya katiba ni kubwa kuliko mtu binafsi hata Rais.

  • @florencezawadi3784
    @florencezawadi3784 7 годин тому

    Uzuri hata yy hataishi milele😊na waendelee na mauwaji Yao si wakubwa n wao,siku Yao pia itafika,kama wa Rwanda walipata justice hata huyo wa Congo na Kenya Chao kiko motoni,wakae wakijua kila kitu kina mwisho,na wakati wa nyani kufa miti yote huteza,mungu azidi kuwarehemu walio uwawa....

  • @karamahfoudh8
    @karamahfoudh8 3 години тому

    Tumia lugh moj ucchanganye malungha

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 14 годин тому

    From 🇧🇮 iyo kweli kenya na congo kiswahili niki moja na wale wa digo wa naongea lunga ya congo

    • @MercyJ-p6y
      @MercyJ-p6y 10 годин тому

      Shindwa kabx wewe ujatembea

  • @lalumohdyanga5508
    @lalumohdyanga5508 15 годин тому +2

    Innahlillahi wainahilaih rajiony mateso waliyoyapata iwe ndio mwisho wa dhambu zao Aameen yarabb yaumaa sana🤲🤲🙏🙏

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 15 годин тому +1

      Amyn yarabiaalamyn

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 15 годин тому +1

      😭😭😭😭jamani inauma saana kilanijixiwia machozi yanatoka. Roho inauma. Kwani huyo Rais ataishi milele afikilii sikuyake nakwa nn nchinzima wamenyamazatu. Watoto wadogo wangewatishatu wasingerudia tena wangetulia hao ss wamewauwa wazaziwao wanaumiaje. Binaadam😭😭yarabi kilaaloshilikikuwauwa hao watoto wazalilishe woote kabra hawajafa😮uwape azabu Duniani na ahlah😭🤲

    • @kgchippy
      @kgchippy  14 годин тому

      @@HanifaOman-oo4pl😢😢😢

  • @NgugiKamau-rr3zp
    @NgugiKamau-rr3zp 3 години тому

    Marcius Nguema,Jean Bedel Bokassa.nilimpende tshisekedi lakini sio tena kama kabisa amefanya hivi.vijana chukueni silaha wazee wafukuzwe uongozini africa mobima,nzima

  • @jamillahmussa3775
    @jamillahmussa3775 10 годин тому

    SubhanAllah, Inna lillahi waina illaihi rajiuun, naam, usifanananishe kenya na Congo, sisi hatutaki kumngoa Ruto, ila awache uongo, dhulma hatujafikiria pa kumuondoa, ata ruto ni mbaya wangapi wamekufa? Ruto ni ile ameogopa kufanya hadharani ila huufa watu kwa siri,

    • @katekimotho3546
      @katekimotho3546 5 годин тому

      Ziko sawa. Congo ni nchi ya umaskini Sana ilhali iko na madini haziwasaidii, zinasaidia serikali Tu na wazungu.

  • @Elizabethnzulavoma
    @Elizabethnzulavoma 9 годин тому +1

    Sasa hivi kenya sio congo tena unatoha ngupu wapi ya kusema ruto ni mzuri

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 15 годин тому +1

    Subuhanallah. Inasikitisha viongozi wa Dini wapokimya. Jamani. Viongozi hawana huruma. Dam za watoto walowauwa zitawamaliza viongozi 😭

    • @kgchippy
      @kgchippy  14 годин тому

      Viongozi wa dini baadhi yao wamekua wa mchongo😢

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 14 годин тому

      @kgchippy mtihani sana

  • @RamazaniAmisi-ns5mf
    @RamazaniAmisi-ns5mf 15 годин тому +2

    awaja kosea katika watu walio ulia Kuna ma group zama gang waalifu ambao Wana tiya usalama mudogo katika town ya Kinshasa watu Wali kuwa awalali ajili ya ao magang ambao wanao jiita ma kuluna

  • @MaryBiyaki-t4y
    @MaryBiyaki-t4y 12 годин тому

    Weeeh 🤔🤔 damu za watu, kweri watu watakuja kutoa machozi juu ya damu za wenzio,😢😢pole sana

  • @JanvierlukaJanvier
    @JanvierlukaJanvier 3 години тому

    Apo sasa nipoa San kbs bro

  • @amanimanase8799
    @amanimanase8799 26 хвилин тому

    Ata marekani wanauwa hiyo ni shelia ya nchi

  • @RaphaeliPesambili-lv5mz
    @RaphaeliPesambili-lv5mz 4 години тому

    Vizuli sana

  • @josephatjosephat4269
    @josephatjosephat4269 10 годин тому +1

    Mbona telegram hujaweka kitu

  • @Awaasha-cn6bx
    @Awaasha-cn6bx 6 годин тому

    SubhanaAllaah

  • @flm1530
    @flm1530 16 годин тому +1

    Bado nyie gen z

  • @DjamilaHatungimana-ex5ee
    @DjamilaHatungimana-ex5ee 3 години тому +1

    😢😢😢😢😢❤❤

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 3 години тому

    Law is law

  • @reubenmanyange6222
    @reubenmanyange6222 15 годин тому +1

    No democracy in Congo

    • @kgchippy
      @kgchippy  14 годин тому

      It will coat the citizens 😢

  • @lelaabeid729
    @lelaabeid729 7 годин тому

    Congo imekuwa kama syria.Mungu anaona

  • @Awaasha-cn6bx
    @Awaasha-cn6bx 6 годин тому

    Nimeona sehemu sikujua kama ni kwelli nilijua ni movie tena sikusikiliza mpk mwisho nikaachana nayo kumbe ni uhalisia ee MwenyenziMungu warehemu marehemu waondolee adhabu ya kabri mmmh hii kali

    • @JamilaJumanne-u7q
      @JamilaJumanne-u7q 6 годин тому

      Wao wakongo wanadai hawa waua watu wanabaka nakupora mali za watu!! Yaan nizaidi yasimba sa tumwamin nani lkn😢

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 14 годин тому

    Hatari hao ni Vibaraka wa nchi za magharibi

  • @neziajoseph9726
    @neziajoseph9726 Годину тому

    Kama mliweza kumsaliti Patrice lumumba na kumuua je itakua hawa watu yani laana itazidi kuwatafuna wakongo...huu mchezo lengo ni kuwanyonga wale waliotaka kufanya mapinduzi sio vinginevyo...mlaaniwe milele nyie viongozi.

  • @ZabadiMachemba
    @ZabadiMachemba 7 годин тому

    Subhannallah, ukatili ulioje huo!! Hiyo serikali ni ya Dictator mkoloni. Ama ni kizazi cha Hitler? Allah awabashirie pepo hao vijana wamekufa mashujaa, kwa ajili ya kutaka kujikomboa na nchi yao. Allah awaliwaze wazazi wakishuhudia hadharani Wana wao wakipigwa risasi kwa makusudi. Eh, Mungu atunusuru na Africa yetu hii. Makubwa!!!

  • @henryking6070
    @henryking6070 6 годин тому

    Walipewa onyo zaidi ya miaka zadi ya tano ila bado waliendelea na uhalifu wao wa kuuwa wa mama, baba, watoto kama mwaka wa 2021 waliwa kuvamiya familia na kuuwa watu wote

  • @benimlisa6056
    @benimlisa6056 9 годин тому

    Inatakiwa iwe ivyo... Hacha wauliwe ni waini. Uwaini hauna namna zaidi ya kuuwawa. Iwe popote duniani. Wahaini lazima kuuwawa.

  • @EzekielBisengimana
    @EzekielBisengimana 4 години тому

    Warifanyamakosa tofa uti, kukata kata watu,na watoto, mushahara wa thambi nini

  • @GatekaFatma
    @GatekaFatma 10 годин тому

    Congo nilivokuwa na Mali nyingi sijuwi kwann wanakuwa hivi

  • @rodgersjuma633
    @rodgersjuma633 14 годин тому

    Wewe hujuwi siasa ya Kenya kimya!. Raila hangewawa Kwa kujiapisha maana Siku zode ndiye hushinda Kwa kura ila huibiwa ni sawa kuku mwera kuandamana baada ya mwewe kumpokonya kifaranga

  • @okokoosenge6193
    @okokoosenge6193 55 хвилин тому

    Brother don't laying

  • @Aisha-t2q
    @Aisha-t2q 8 годин тому

    Kwanza mimi najiuliza nyie vijana na nyinyi kwa nini msikatae mkamuacha huyu mzee mpenda madaraka aende na family yake

  • @mwatelaedward1638
    @mwatelaedward1638 13 годин тому

    Kenya tuna katiba bro

  • @Mila-i9g3k
    @Mila-i9g3k 11 годин тому

    🥲🥲🥲😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @songamberetv2219
    @songamberetv2219 13 годин тому

    Uyu jama ni mjinga sana izo videos anaonyesha ni za watu waliozama na boat katika ziwa kivu. Walionyongo ni vibaka wanauwa na kuiba watu na hawo waliyotaka kupinduwa serekari wako jela walihukumiwa kifungo cha maisha

  • @SheeMaryam.M
    @SheeMaryam.M 9 годин тому

    Hao vijana wenye wanalia, ndio waliuliwa ama 😢??? Heri wangefungwa kuliko wawaue , viongozi wetu wa Africa na madaraka, wako radhi wauwe Kila kiumbe boreko wabaki viongozi

  • @zuhramwavyoni8400
    @zuhramwavyoni8400 15 годин тому +1

    ❤❤❤❤

  • @karamahfoudh8
    @karamahfoudh8 3 години тому

    Hio ndio dawa yao mnafk

  • @benimlisa6056
    @benimlisa6056 9 годин тому

    Kwani walio vamia bunge la Kenya walibaki? Never in life want to overthrow the government. Raila alikataa huo ujinga wa MigunaMiguna baadae. Never in life want to overthrow any government and fail and think you will survive.. You will disappear and no one will never know about you...

  • @MoinamoinaSaid
    @MoinamoinaSaid 3 години тому

    Unasemaje wale vijana kuluna wakiua watu kwa mapanga kubaka vijana ? kula witi wasichana kuvamia usiku majumbani ? kuhiba mali za watu? kutesa watu mitaani ?? namengine ??? unasemaje vijana umri wawo unanzia umri 12 hadi 35 ndo ukubwa ????

  • @mkataremboiya6870
    @mkataremboiya6870 8 годин тому

    I wonder how can men kill their own sons cz of power for what blood precious than power or highest seat why not jail them very sad may God revege them.

  • @benimlisa6056
    @benimlisa6056 9 годин тому

    Wewe Mkenya unaongea tu lakini hujui wa Congo vizuri. Alichofanya Tshekedi yupo sahii. Congo inauwasi wa ovyo ovyo. Usipo uwa wajinga kama hawa Congo aitobadilika... Kwanza ningependa utawala wa Congo uongeze nguvu zaidi umalize na wale wanaojiita M23... Adhabu ya uwaini duniani ni kifo...

  • @leawamukota9217
    @leawamukota9217 13 годин тому

    😭😭😭😭

  • @halimaali8732
    @halimaali8732 13 годин тому

    😢😢😢

  • @manix243
    @manix243 27 хвилин тому

    Opération zéro kuluna

  • @جوبنتالجو
    @جوبنتالجو 14 годин тому

    Wewe waja kusema rudo ni nzuri kwan sheria ya gongo ni ya Kenya vyenye rudo anafanya kumbe vya kupendeza wewe kwenda uko na rudo wako inji ni ya rudo

  • @ebakeichinge7081
    @ebakeichinge7081 8 годин тому +1

    Kuna uwongo kwenye taarifa zako

  • @AtifaIslam-t6g
    @AtifaIslam-t6g 9 годин тому

    Wewe nawe usilete uchochezi sasa kama wasema twasema rito ni mbaya wa Congo walikua waiga kenya ni kutaka ruto afanye kama Congo au nini ukiongea ongea tu kilicho token na dio kuleta hadith huu niuchochezi

  • @douglasmukhebi8565
    @douglasmukhebi8565 8 годин тому

    I u normal do ur research

  • @georgeikinya2779
    @georgeikinya2779 4 години тому

    My friend, your comparison of kenya and congo is wrong. Kenyans use constitutional means . All the demonstrations, picketing, caricatures and artistic political satires manifested by Kenyans against political establishment is provided , guaranteed and protected by the constitution. Infact its the kenyan government that goes against the constitution when it abduct and hold incommunicado a citizen for exercising his or her rights.

  • @georgeodhiambo870
    @georgeodhiambo870 6 годин тому

    Do u know what u r talking about that raila try to overturn the government

  • @catecate90
    @catecate90 7 годин тому

    Pole kwao aki😭😭😭