Mbosso - Tamu (Official Music Video) SKIZA 8544941 to 811
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- TAMU is a swahili word meaning “Sweet” is a romantic love ballad that expresses Mbosso’s affection towards a beautiful lady. Lyrics to the song also enhance the beautiful physiques this woman has also being among the reasons why Mbosso finds everything about this woman Sweet.
Get tamu
iTunes:itunes.apple.c...
Spotify:open.spotify.c...
Google:play.google.co...
Pandora:www.pandora.co...
Deezer:www.deezer.com...
Tidal:listen.tidal.c...
Tamu was shot and directed by Tanzanian music video director: Kenny (from Zoom Production) and captured in the following Tanzanian locations of Mbeya Iringa & Dar es Salaam:
1. CHUNYA MOUNTAIN (corner roads) - Mbeya
2. UTENGULE COFFEE LODGE - Mbeya
3. KITULO NATIONAL PARK (God’s Garden) - Iringa
Known in Swahili as “Bustani ya Mungu” - God's Garden that is the name the locals call the Kitulo Plateau while botanists call it the Serengeti of Flowers, comparing it to the Serengeti National Park which is filled with huge varieties of animals. The Kitulo Plateau is filled with colorful varieties of flowers which blossom all year round. Formerly this beautiful place was known as Elton Plateau after Fredrick Elton discovered this area for the first time in 1870 and after being a sought after floral attraction for many tourists, in 2005 the Government officially declared Kitulo a National Park.
4. NDANDALO SUSPENSION BRIDGE “Daraja La Kiteputepu” - Kyela, Mbeya
This is a wire bridge of width just sufficient for a person to cross. It joins the villages of Ndandalo and Ibungu of Mbeya and Kirwa region. Locals use this bridge for daily transportation either by foot, bicycle or motor bike and cross said bridge by turns and a waiting gap of ten minutes each before the next cross.
Song produced by Lizer (Ayoo Lizer) from Wasafi
For Bookings: Email:managembosso@gmail.com
Follow Mbosso On:
Instagram: / mbosso_
Twitter: / mbossokhan
Facebook: / mbossoofficial
Contact Zoom Production:
zoomproduction4@gmail.com
directorkenny1@gmail.com
0718546547
#wasafi #mbosso #tamu
Moja ya wimbo mzuri wa Mbosso wangu✌️ Kuangalia kutoka Malawi 🇲🇼 2024
All the way from Kenya,last week I promise myself to support Kenyan music in anyway but, I couldn't forget wcb of course this tamu by mbosso has brought bongo to another level, wapi likes jameni 🇰🇪
Was all that necessary? 😂😂😂ungeomba likes tu iishe😂😂😂😂
@@brendatuei6530 I'm also happy sijai pata reply kwa UA-cam, wee ni WA Kwanzaa
Wakenya wapi like
Mboso noma
Hiyo label hata aslay akija akapata muongozo utampenda broo
mbosso kill it as always tamu sana sauti yako''' show me your lv yo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
he is the best
Mbossokill
yeah bby
Nakubariii
Usicheze na Aslay mxee, but song zak pia nkali
Huyu kijana hachezi na muziki. Mambo serious!! 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪
Awwww taaaaaaaamu saaaaaanar.
I looooooooove it..I love ur Energy MBOSSO.You Never Dissapoint. Team kenyaaa😍😍😍😍😍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
He is not from kenya he is from Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
wahoooooo mbosso kaka uko juuu sana
Mboss uko xw
Nchi yetu...wasanii wetu...kamera zetu...TV yetu...redio yetu...haiiii mamaaaa Tamu...#wcb4life🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏💪💪💪👍👍👍☝☝☝☝tam
Umeona
Umetsha kaka
Kumbe Tz tuna maeneo mazuri hvy hii vdeo imechukuliwa mbeya na iringa nzur kwakwel
Naona mvua ya kituro, barabara ya chunya, matema beach na daraja la mto kiwira(kiteputepu)
Siyo kweli
@@fridaywilly9395 ukweli ni upi??
Friday soma maandshi hapo chin ya vdeo utaelewa kama n kwl au so kwl kama hujui kingereza waambie wakutafsrie
@@hadjahassan9302 achana nae huyo hana analolijua....
Waswahili Walo nje ya East Africa likes zenu apa pliz.....mbosso following from Asia
Leo boso lazima tukupe like kama zote from K S A
Kapsaaaaaaa sumbua watu wa rangi ya machungwa na waasaaaaafiiiiii
Which country are you nipo Philippines
Azicious baby nipo china...
Gregory Nicole tamu tamu
Mbosso is of another level piga likes ya mwaka mpiya 2024 tukienda
Kama unaamini hii ngoma itakuwa kali tena 2025 tujuane na likes
we mtoto umetuxhindaaaa yaan kama unamkubalii xna mbosso dondoxha like hapa
Tunapenda ngoma zako mbosso love u Nairobi kenya
Kazan na nyie cku mjvunie kl cku mncfia vya wenzen nyie ln mtacfiwa
Mobsso iloved
@@sarapaulo4718 ⅞
Mbosso mambo yote nitokae Kenya wafanya vyema kaka basi gongeni like nanyi wapenzi waskilizaji
Ooooh my God I love you mbosso coz you are so amazing voice oh my God
Mbosso tu the world🎉🎉🎉🎉
Ave bin waiting 4 dis video who else is mad with this song piga like kama imeweza ,Mbosso 👏👏👏
Audio TAMU, video TAMU director Kenny we ni mnyama💪, beat TAMU, mazingira TAMU 💪👍🌟 mshedede💯✨
mboso mkal
Waaah mbosso Kenya loves u very much Kama unakubali gonga lyk
Mxaani ambae xichokii kuxikiya nyimboo zakee ni huyu kaka ata iwe imepitwa na mdaa❤❤❤❤
Yani nikama movie dar!!! master umeuwa,,, yani wimbo moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤❤ thanks Ndungu wangu uh
I am Kenyan but i refuse to stop loving mboso songs.
Mbosso tulisubiri kwa hamu sana kuliona hii video oe nakubali kaka wimbo mtamu kweli ulivyosema nipeni like ✊✊✊
Kweli hii ni tamu ❤❤
Nisiwe mnafiki mm nampa pongezi director ckujua kama bongo sehemu kama izo zinaweza kuchukuliwa video ikaonekana ulaya hapo barabaran ni kutoka mbeya kwenda kyela ila huwezi jua yan big up @kenny na ww muimbaji cfa unazo maana unajuaa unabalaa
ni kutoka mbeya town kwenda chunya
ip pw tm
Ni kwenda chunya
Nihatar sana tamu tamu tamu tamu yanipaka kisongoni nikikumbatia tamukolea
hapo sawa mbosso 💯✔️✔️👏 👏 nitumie no Yako mboss niku2mie hata Pesa za maji hii wimbo imemfanya demu wangu ajiamini 😂😂😂
Sio nyimbo sema wimbo😁
Mboso,ktk wote walioimba nyimbo za mapenzi duniani,we ndi mtalamu was Kwanza kuyatunga maneno matamu ya kimapenzi
Now you know why diamond has not yet done collabo with Mbosso. This guy has already put Harmonize Lava Lava and Rayvanny in his shadow and with this I strongly believe he has surpassed Diamond himself. Simba wa bongo.. Kama wakubali gonga like
Jibebe is already a collabo btwn the two
Wacha speculation za ovyo
Soon ngoma ya mbosso na diamond Wait for it plz
@@denismweu7866... Man jibebe cannot be called collabo they're too many in the mix which makes it hard to pick one.. Let us see em only in one video n we'll talk
Am. From future Baikoko song will be great collaboration between mbosso and diamond now relax guys am. Your prophet.
Our Tanzanian country is so beautiful, #kilimanjaro #ngorongoro #serengeti #kitulo #mikumi #tarangire. cograts mbosso kwa kuthamin vivutio nya ndani.
Ayani nilikuwa nasubiria hiii video mbosso unajua kinoma noma ingeni nahapo sasa fala nyinyi nasisemi mengi mim utakaye shoboka lakwako
Tamu.........Waambie mimi beberu si jogoo la pasaka wanakunja ndita watazeeka haraka........steel wire ananisugua hanaga mbaaaaya laa azizi.......tena fundi wire kazi anaijua🔥🔥🔥
Chama Cha wasoma komenti Tanzania na Kenya wekeni likes zenu hapa tuwaadhibu Mawingu FM kwakukosa ladha Kama hizi.
Wcb Ni utamu jumla jumla🤗🤗🤗🤗
watanzania Lazma msaidie wakenya waongezeni artist moja kwa wcb banah
Gonga like if you agree with me like please
I see this guy standing as an icon of Bongo Music and flying Tanzanian’s flag international markets. From Perth, Western Australia 🇦🇺 Much love 💖 bro, keep it up.
#Mbosso hii nayo ni Kali sana,naipendaaaaaa
Komerezaho
Came here after the concert. This song is a master piece. Blada ur so underrated
kama unamtambua Mbosso kama mwimbaji hodari wa nyimbo za mapenzi, Honyesha kwa kutia kidole rangi
Mbosso kip up
@@mutungukioi4286 kabisaa
@@mutungukioi4286 kabisaa
Allow
@@tobbybrown3464 yea
Mbosso i want u to sing in my wedding anniversary am just in luv Wiz ur songs much love from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
*Kwa Mara nyingine tena Mbosso a.k.a mshedede kijana mwenye majina Mengi Piga kelelelelelellele LIKE KAMA UNAMKUBALI MBOSSO*
Mboso tunakpenda all the the from 🇺🇬
Mbosso khan mbosso mshedede mzee kilungi kama anavojiita
nikuchumchum tamu iko safi sana
Kama ulikua wangoja hii video!
KENYA LETS SHOW SOME❤️
Hit the likes guys👍👍♥️!
4th viewer hapa!
Video Moto kama pasi
Nyie si hamtaki za bongo ..mbn mnakuja ahaah
@@awadhhamza9296 idiot
@awadh hamza tena wavimbe na wanune tuko hukuu!
Shata 254 ume nena bana
Mbosso mistari yako safi❤❤❤❤
solute kwako Mbosso penda sana ngoma zako kama unamkubali #mbosso gonga #like nikuone
Penda sana mboss
Kama ulikuwa unazubiri hii video gonga like kwa #Mbosso
Much love from a Nigerian man
🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Big congratulations oga...... I'm Tanzanian let's support each other....... In Nigeria i really love mr wizzboy ....great all there.......
Jonah Twetwe Omashola kwa oxhen wapumue
@@pascalnasiel1576 thanks man, we all are proudly Africans 🇳🇬🇹🇿
@@godfreymbuya6282 Africa is full of talented people, Nigeria 🇳🇬 Tanzanian 🇹🇿 one people
Tuko 2024, kama Bado unaskiza weka like tuone
Mboso yo real patriotic musician i nvr knw b4 we ar proudly of you💪💪...For promoting our domestic tuorist atraction...May almight God grant yo alot of success 👏👏👏🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Location wap hyo mkuu Yuvenal nimeilewa kinomaa
Pliz just type in swahili too much gramatic mistakes is high we promote our heritage and be proud of our language
Im in kigamboni dsm fr now
Tumefufuka tena asante jah kama upo 2025 nionyeshe upendo❤ hapa
Niko apa ❤
Mbosso keep growing .......
Itafune imumunye ifike kwenye koo...wish tou the best
Guys the problem he doesn't read messages I wish I could tell him how much I love him he's my favorite Tanzania artist the best one and will always be , keep going please and may God blessed u, much love from south Sudan 🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸
Yan this pple wananfanya nsielewe nyimbo zengne zzte zaid ya za Wasaf tu! Kaz nzuri n nzurii tu,so much loveeee from me to you!
Maskini jeuri nipeeni like ata moja wakenya 🇰🇪 tunamkubali nyimbo kubwa tena tamu❤️♨️♨️♨️♨️♨️♨️🎶🎶🎶
Margaret Wanjiru woooza
mim mas
HEHEHE...TIGA WANA SHIRU
Huyu amenimaliza
alvindo wetu yuko
this Director is a killer short yoooooo!!!!! respect to the all team MBOSSO A.K.A Mr Romatic respect
Nikiskia hii ngoma siku yangu inakua tamu automatic. Big up Mbosso all the way from Kasarani, Kenya .
From Kenya.. here I can't get enough of this song who feel it like me..gonga like tukiedanga 😘😘
Kweli
I found it now and feel the same way, listening to it already two days 🤗❤️
Hamia kenya mbosso muziki kama huu tunaukosa🔥🔥♥️👊🎸
Mbosso you will kill us ooooh... Kenya badala ya kutengeneza reli si tutumie hiyo pesa kununua huyu msanii jamani
Amos naona sasa umeongeaa ...wapi wewe hizo machupa zitembeee baba
😂😂
Ukweli umenena
Sergio amos Wakenya 🇰🇪 🇰🇪 mnanifuraisha nyie 😂 😂 😂 😂
Mapenzi imefufuka tena nikamkumbuka mboso❤❤❤from Canada
Kweli kasupuu ana Sura nyororo....kiuno...taaaamu...😍😍😍
Kama unaamin mbosso anafanya mziki mkubwa kuliko wasanii wt wa ya Moto band weka like hp twende wt
Mohd Dadi yeah
Watu wa #playKemusic waendelee kungoja sana...tutaskiza WCB na Naija mpaka waamue kutoa ngoma ka hizi
Hapo hapo luminate 001 mombasa caunty
Sex
Mbalasi Dan
With this type of songs....unahitaji tuu dem mrembo na wine....baaas inaflow🎉😮
Sasa pale unapoamua MAPENZI BASI alafu Mboso atuachia hii ngoma,eeehhh liwe liwalo MAHABA NIUE kama mbaya mbaya
Mahabaaa
Napenda sana hodari picha yake shida na nadekezwa love you mboso from USA 🇺🇸
Charite Kato
mbosso no nouma
2019 🔥🔥☄️ mboso #*,mshedede # wale waunguja wenzangu mko wapi
Tupo fatma
Ibrahim Khamis Safi sanaaa
Tupo☝️
@@ochuochan4132 hapo ni wapi nipasupuuuuu
Na tusiokua waunguja umetuekapi dada Fatma?
Asha hio mambo mboso watanjiua tunakupenda but milele 🥰🥰🥰 we love you men
Ni wangapi wame angalia hi video zaidi ya mara 20 ....
Ngonga likes WCBLife...
Mbosso ata Mie ni fundi wa kuchelewesha.........👏👏👏👏
mbosso kalii saaana....never disappoints.
measurable lm crazy with it
Mido Power m
Nice
Mido Power
Mbosso wangu nakupenda sana 😘 From 🇰🇲
Am a Kenyan,living in the united states from my childhood.I do not understand anything in Swahili,but trust me,Swahili is known all over the world.its the sweetest language in AFRICA.I love this song soo much,I googled the lyrics and now am always singing it with my white friends💓I miss home,and I mean EAST AFRICA😔😢.am coming home soon for my holiday and I swear am going for kiswahili classes,I need to understand everything now
patrickkitambo@gmail.com....you can call me via hangouts and i will be talking to you swahili!! this will imorove how you communicate in swahili
Raychal yoyonda
Try online tutorials and interactions in swahili..
Probably not brought up in Kenya, Swahili is widely spoken in Kenya. All the best my dear.
I feel you soul sister. At this rate I'm thinking I might just start a Swahili tutorial channel. I'm in Wa Seattle. I miss conversating in my native tongues. It's songs like this that bring me that homely feeling.
napenda msamiati ambao Mbosso hutumia katika nyimbo zake.
Mabrouk kaka kwa kila kazi yako,mola akupe wepesi katika kila jambo lako,alfu mabrouk#😍😍😍
my daily dose....i have to watch it daily.... #CONGRATULATIONS MBOSO WITH LOVE FROM KENYA#
Me too mashallah can't sleep until l woch this song like this song very much 💕💕👌👌👌
Never get tired of listening to this song love from Eritrea 🇪🇷
Ilove you
The same ❤️❤️❤️
Wow am in love with eritrea girls
@@dominicseneti9536 we love you too
Okey
Your crush jully from Kenya ❤😂😂.
Pongezi Kwa wimbo mtamu
This GuY Rocks🙌...The Flow Is Cool N the Voice😍...From 254
Jomoni tamuuuuuu.💓💓💓👌👌tamuuuuuu oooh jomoni tamuuuuuu,,,we mkali jomoni haukoseag ata kdg yani, Bless
Kaa unampenda mbosso khan gonga like hapa na ushare congratulations mbosso the best singer in the part of love songs but it is like the idea of the video is the same with that of "#Nadekezwa My King Please Polish."
"Na nilivyo fundi kucheleweshaaa...kombe kombe" Mbosso mkali kweli kweli
Let us take this to a milli in a week ❣️ wakenya mpo 🇰🇪
Kwenda, support kenyan music
Kasembeli Barasa nyoko wewe
Na nilivo fundi kuchelewesha🔥🔥🔥🔥🔥. Mbaya hii kutoka kwa Mbosso
Ila Mboso we fundi wa mapenzi utadhani ni real...you sing with feelings .. ooh my God❤❤💋💋
Ka Kuna msee napenda nyimbo zake it's mbosso I just feel the passion of being in love aki ........ilove him❤️
The lion of Tz,,,,hacheki na music,,, vaya que talento madre Mia,love fro Spain missing home Kenya my mother land
Mbosso Moingné Mapedzi Mazouri😍Dédicace à my princesse Royal Allaouia ❤️🇷🇪
Team mboso khan.... Naomba like hata moja jameni
Sawaaaa kbx
Nshakupa
@@yirgayemyirgah7820 MBB
@@hamidarizikimohammed5733 MBB🤔🤔???
Me 2 I love mboss big up
naipenda sana sauti, Waafrika wana sauti nzuri kama hizo, upendo mwingi kutoka Pakistan
mavideo kwin wa mboso sana pataga tabu sanaaaa 👊👊👊👊👊
😘😘😘😘 hahah goma la kufungulia mwaka hiliiiii,hata videi yake nayo ni TAMU
Chrismsafi Media ok
Mshedede muhindi wa kusini !!!
kama unamuelewa mbosso plz gonga like kwende sawa!!
.oky
Jaman,mbona munanionea hivi, 2019 yote cjapata like ata moja,wapi za wakenya nawapenda sana yani bure🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
davie yulemkenya hapana tupo pamoja
Support kenyan music
@@fluxxyentertainment5486 kenya music is trash
davie yulemkenya tuko pamoja
Wakenya tupo kwa wingi
Much Love❤️ from Somalia 🇸🇴
Like zifike👊
good
Leo nimekawa ila poa naombeni like zenu kama mnamkubali Mbosso
Mamaaaaa Nakufa Leo mbona uyu dogo kama muhindi.... 😍😍😍😲😲😲😲
The fact that we kenyans got an on going campaign #playkenyamusic i couldn't help but play this more than kenya music 😍😍😍😍😍
Nawapenda sana #wcb
Tupewe zetu za kenya tend zetu
Precisely
thanks for being honest
wait for us the time is here.
mususu ya solo ndombolo
#Mbosso Utaua babaaa
Pamoja ngoma Kali saaaana
❤❤ nyimbo bado kali na tunatamba nayo 2025 b
mbosso uko Juu brathaa,ur songs got true soul ,mbosso ako Juu kivyake alone,JST lyk "Messi", extraordinary this guy is gifted his songs got soul ,,,simply BIGUP 👏👏lyk if ur agree 👍
From #254 nakutambua sana Mbosso 💪💪ngoma tamu 🔥🔥🔥🔥🔥
A Kenyan studying here in UK and this song just makes wanna fly to home😊
And the song is Tanzanian 🙄🙄
@@sherifaali7268 yes we listen to Tanzanian songs more than the Kenyan ones😊
Wenye mahaba tamu,njooni hapa yaani penzi motooooo 👌🔥🔥