YESU NAJITOLEA KWAKO MWILI NA ROHO. By C Kidanka.Chang'ombe Catholic Singers. Mratibu Aloyce Goden.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • YESU NAJITOLEA KWAKO MWILI NA ROHO, NITENDE UNAVYOTAKA ×2.
    Wimbo huu umetungwa na Mwl Christopher Kidanka.
    Ni Wimbo Muhimu sana ambao pia ni sala ya kujikabidhi kabisa kwa kristo mkombozi wetu. Pia ni Wimbo wa MIITO ( WITO).
    Mtunzi wa wimbo huu anatukumbusha kuwa Yesu ndiye muweza wa yote na pia ndiye Mratibu wa maisha Yetu hivyo wimbo huu tuutumie kama sala na tunamshukuru sana kwa kuturuhusu wanachang'ombe Dar Tuendeleze uinjilishaji kupitia huu wimbo alioutunga Ili injili isonge Mbele
    MUNGU ATUBARIKI SOTE#nyimbozakatoliki #kanisakatoliki #kwayakatoliki #nyimbozainjili#kwaresma

КОМЕНТАРІ • 27