Pasaka.Jiwe walilokataa waashi.B Simfukwe,Chang'ombe Catholic Singers.Mratibu Aloyce Goden Kipangula

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 21

  • @aminayusuph1694
    @aminayusuph1694 Рік тому +3

    Nimefurahi kusikia umerekodi wimbo huu, sifa Kwa mungu na mungu awabariki Sana.

  • @redemptaruta1691
    @redemptaruta1691 7 місяців тому +2

    Jiwe walilokataa waashi ni (jiwe imara) limekuwa jiwe kuu la pembeni (la pembeni), limekuwa jiwe kuu la pembeni x2
    Bwana Mungu ndiye aliyefanya jambo hili, nalo ni la ajabu sana kwetu.
    Hii ndiyo siku aliyofanya Bwana Mungu, basi tushangilie kwa furaha.
    Utuokoe sisi sote ewe Bwana Mungu, tunakusihi utupe furaha.
    Abarikiwe ajae kwa jina la Bwana, alete Baraka toka mbinguni.
    Wewe ndiwe Mungu wangu nami nakushukuru, ninakutuza Ee Mungu wangu.
    Mshukuruni mwenyezi Mungu kwa kuwa ni mwema, na fadhili zake ni za milele.

  • @annajohn908
    @annajohn908 5 місяців тому +1

    Amina❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 6 місяців тому +1

    Naupenda sana wimbo huu ! unavutia ,unanifundisha na kunikumbusha mbali sana !!

  • @angelomfilinge8662
    @angelomfilinge8662 6 місяців тому +1

    Kwa moyo mmoja nawashukuru mtunzi na waimbaji wa wimbo huu. Mungu awabariki. Endeleeni kutuhubiria

  • @valleluoga6258
    @valleluoga6258 7 місяців тому +2

    Asante sana kwa kuuleta hapa wimbo huu. Unanibariki sanaa

  • @KiariroMapande
    @KiariroMapande 6 місяців тому +1

    Wimbo huu sichoki kuusikiliza

  • @stellahokworo6561
    @stellahokworo6561 Рік тому +2

    Hallelujah hallelujah hallelujah Amen 💃💃💃💃💃💃💃🕺🕺🕺🕺🕺🕺

  • @OrganistjamesKtZ
    @OrganistjamesKtZ Рік тому +3

    Wimbo mzuri sana mwalimu

  • @edgerlyimo1086
    @edgerlyimo1086 Рік тому +2

    Wimbo unanibariki sanaaa

  • @LucyMjema-j9t
    @LucyMjema-j9t Рік тому +1

    Wimbo unabariki sana

  • @asteriamahatane6987
    @asteriamahatane6987 Рік тому +2

    Asantee...

  • @julianakitinde7913
    @julianakitinde7913 Рік тому

    Amina🥰🥰🥰🥰

  • @julliekilonzo1442
    @julliekilonzo1442 Рік тому

    Beautiful song..🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏