WEMA SEPETU MCHAWI SHABIUSI❤️ PART 1
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- BONGO MOVIE New Film SHABIUSI Part One Full HD video OG...Washiriki KOKO BYANKO WEMA SEPETU BUMPU KIMAZI,JAQLINE WOLPER,MAMA KANUMBA Na wakali wengine wengi wamo ktk Film Hiii Ya SHABIUS pata uhondo Kwa Maumivu ya mapenzi,Ubaguzi Na Siri Za WACHAWI na MAJINI Na ROHOI Za Watenda Mabaya kufichuliwa na ECHUPEE MTU WA MUNGU Katika FILAM Hii Ya SHABIUSI ENJOY👍👍👍🔥🔥🔥 from Tanzania vijana wa magufulu For More Cont: +255718458457 +255652724436 or +255657862080 ,Email Sunzukoko@gmail.com INSTAGRAM KOKO_BYANKO,FACEBOOK KOKO BYANKO PII
walper amsha dude kwa hii move Tuzo upewe
nimenjifuza sana kupitia hii move
love u walper umeitendea haki.
Ahaaa mama koko umenivunja mbavu aki anataka kuvua nguo ahaa
Kiukweli wema na wolper mpo vizuri sana kwa mwendo huu 2tafika mbàl kàma uñakubaliana na mm like japo
Jamani kumbe na mama kanumba anakipaji cha uigizaji kama mwane kanumba hongeara sana mama kanumba gonga like
nimempenda uyo mama anaemfokea mwanae kala ela ya chuo yani kaect vzr kabisa kavaa huusika vzr
Celine Samson asante sana kwaniaba yake
Wema na Jack fikieni alipofikia marehemu kanumba kazi nzuri sana jitahidi muinue ile talent yenye imepotea kwa MDA mrefu naona mpaka mama kanumba hapo hongereni
Tyeu Hsvsy kbs hongera san
Daaah aseeee neipendaa
aina saut
Tyeu Hsvsy ongela Dada wema nimependa
Siangalii movie mpk nisome comments..nikisikia nzuri .... Ngoma ina tambaaA,,,,,bravo all the actors.my god....awafikishe mbali
😂😂 kumbe tupo weng wa kusoma comment kabla ya kutazama movie yenyew.
Tupo wengi kkkkkk
ok thanks
Yaani ww mwenzangu kbs
Munapendeza dana
Kwenye sinema za kiswahili wabongo hoye eeeeeeeh .😍😍
Kuusu sauti nijinga la bingo movie
Koko byanko umetisha nimemuona best actress sepetu ninaemkubali❤❤
Iko Powa Sana hongereni San wasanii wetu Umeanza vizuri imeisha vizuri pia tumejifunza mengi kupitia hii maana wengine wanajidai wachamungu wachungaji na mashekhe wakubwa kwenye nyumba za Ibadan Kumbe wao ndo wanaingoza kumkufuru Mungu,, leteni nyingine nzuri Kama hii naamin soko la bongo litapendwa zaid kuliko za nje
ahsante sana kwa maoni yako mazuri yanayo niongezea ujuzi zaidi wa kuandika stori zitakazo kuchimbua matatizo yanayo zunguka ktk jamii zetu
Yooo koko huruma sana, sakina pliz samehe koko
Movie nzuri tokea kanumba afariki hii ndo ya kwanza kuangalia Mungu awaongoze mzidi kutupa mafundisho mema yatakayotujenga kitabia
ahsante sana
Kweli kabis
Wolpa umeniliza kwa kwel siwez kujizuia hii movie ni kali mno imetisha hongeren sana kumbe na sisi bongo tunaweza yaan imekua kama movie ya marehem Kanumba
Same to me
fatma chamb
Kumbe mnaweza bado afu mnaleta poziii nice move......
Kweli wachawi wanakazi aiseee.. Yan uyo anafurahia kuwanga zis iz so fantastic
Moves iko bomba leke kama umekubari
🙏🙏🙏🙏
Sijui nimechekewa wap daa hui muvi kali sana mashallah ♥ 💖 😍 ❤
Bazuri honore pamoja na waciba Idi kazos wameipenda hiyo movies hunamafuzo sana hata mzee bombe lutambwe hanajuwa hivyo hakiwa Africa tanzania mkoani kigoma Kimbini nyarugusu.
Ohh mashallah kumbe wolper kajistiri zamani ❤
Koko amekubali kwa nguvu oyeeee pole sana koko
Dah movie nzur sana...endeleen kutoa kaz nzur zenye uhalisia zaid
Mjomba mbaya sanaaaa
Jamani namkubali @koko👍🏼,
@wolper❣,@wema❣na wengine muko poa movie 👍🏼👍🏼👍🏼
Mama sakina woyeee👏👏😁 anafaa ashirikishwe kwa kila bongo movie
Hujawahi kosea wolper nimependa sana kazi hii
safi sana koko kwa rudisha bongo muvi tena endeleeni kukaza
freditto official ahsante kaka
mama sakina kanogesha sana move much love😁😁😂😂😙😍😍
يحيى السناني dy
daaah!hii movie Kali sana tangu afe kanumba hii ni movie ya kwanza ambayo ni Kali nawapenda sana
ahsante sana kwa kunipa moyo
Gud job Wema ake ni bonge la movie kwan ni maisha yetu hasa na wengi yametukuta haya ktk familia zetu hawa viumbe hawakosekan ni kucmama tu kwa Mungu wallahi
Nakupenda mama sakina mama koko mama kanumba wolper ..koko..mjomba yani dah picha qaliiii sana hii😜😜
🌹
Wow move Kali kinoma nimeipenda Koko mm binafs naomba utuletee kigogo kingine kikal zaid
We Kama umeikubal hii move naomba u like na u comment
Asante Sana nimekuoa umalikia moyoni mwangu🤩🤩🤩🤩🤩😘😘😘
Naaamini ntafanya kitu cha tofauti aise msichoke kuni support 🙏🙏🙏🙏
@@Kokomediagroup tunamsubil utuletee vitu vingine konk ili tuzid kubirudka na kaz zako salut kwako kipenz Chang mung azid kukusimamia inshallah
@@sapna_bebe8704 ondoa shaka kitu kinachokuja ichi ni chamtoto
Jamani nafurahi kumuona mamakanumba kwenyemovie
Mama sakina nakukubali sanaaaa
Nimeupenda imenupa fundisho kubwa Sana
Sauti wanafunga kusudi watu wasizum wakaiba lakini bonge la mchezo sijaona movie kama hii bongo kisha mashallah nimelia Sana inaumiza kweli mchawi so binadam kabisaa na wapo katika maisha yetu kila siku mungu awauwe
Hii movie ina mafundisho mazuri sana yani Inanipeleka kwenye hisia za kulia kabisaa
Mkenya nimeikubali hii...imeweza
Jossy Josphin
Duhhh kwa kweli nimeamini uchawi upo na kila liigizwao ujue kinarelate na jamiii good move from bongo
Jacky amependeza na hiyo mimba kweli..+971 watching
Movie hii nimeipenda sanaaa
Asante Sana 🙏🙏🙏🙏
Yaani koko unaweza Mungu akuinue zaidi tumepata kanumba mwingine jamani
Mgonjwa anaumwa alaf unasimamisha gari ujinga ulioje....apa ndo mnafeli kabisaaa.....movie kali cjawah kuangalia bongo movie muda kaz nzuri vitu vidogovidogo sana umenishawisha tena kuanza kuangalia bongo muvi
nimeipenda na inamafunzo mazuri asante washiliki
Hongeraa mmy
Asante Sana 🙏🙏🙏
mama sakin jicho 😂😂😂daah mov nzr sana ila 😭😭😭😭😭😭melia sana 😢😢😢😢jamn wachaw wakoje eet ooh lord plz prtct us 🙏🙏🙏😖😖😖😖
bonge LA kazi brother
Stawa Paul mama sakina ninoma 😂😂😂😂
Km unaona sio vzr kuwadharau maskin na km unaona usiku ni mida ya wanga gonga like LA nguvu hap
Kwakweli muv nzuri saan
Eeeh bwana wee hapo ss naona mnairudisha bongo mv big up sana Wote mmecheza vzri
mama sakina umenongesha Sana hongera
Love wema Sepetu love jackirine Worlper love mama kanumba mmetuletea kitu kizuri xana
Elasto Maluko
Watumie kakitu kwa simu
@@mathildemwangaza109 😁😁😁😁
Duu nimejikuta nalia Hongera sana wolper
Khadija Hussen asante kwa niaba yake
MashaaAllah nice movie most capture and intresting in Mama Sakina she act very great big up mama and mama Koko you really made it MashaaAllah you made it like really you really made me shade tears over your kids ...nice progress queen wema and all
Yes yes mama kanumba she is so nice, that's why kanumba was in top
Kazi nzuriii hongereni sanaaaa nawapenda bure
Nzuri nakupenda WOLPER
wolper bonge las star huyu dem noma balaaa
mohamed jimia asante kwaniaba yake
vizuri kabisa koko ilaa ushirikiyano niwalazima sana
mme jitahidi San Kama Jackline worp nampenda Sana una igiza vizuli sana
Mama sakina maneno yake😂😂nice movie jamani
Mama hayuko ivo jaman
Daaah tumezungukwa namabaya mengi il kwa uwezo wa Mungu tunaishiii
Hahahahahaa. Koko huyo anakula kilo ngapi kwa siku mpaka anakuchanganya kiasi ichi. Hongera mama koko
ongera kaka mungu akufikishe mbali zaidi
Daaaaaah hii movie nzuri ilakuliponiboa niinakata sauti
👍👍👍👍
wolper jaman unapendezaa ukiwa na mimba mpenz your s swety
.
daah! movie zuri sana hongera jameni
Nalia nasijamaluza niko katikati....wooiii machozi itaniisha ..good actress WOLPER
Nimefurai san na sis tulio mbali na tz tunajisikia kam tupo tz hongera san muv ni nzuri koko
ahsante sana
Kweli kabisa tunajiona tuko tz
Kweli kabisa tunajiona tuko tz from China
Bongo mv bg up jmn mmerud thankx u wolper lv u bongo mv from tz hp hp
thanks
Hahaha worlepar unadeka wewe
Athuman
Hassan Na
Movie nzuri jmni ....wolper mm nakupenda jamni ila koko unamsimamo jmni👏👏👏👏👏
Move nzuri kweli nmempenda mama sakina saana
Duh zinga la movie
Koko upo vizuri inajua Sana utafika mbali kwa nguvu za mungu Kaka kanumba tutamkumbuka daima
Daah movie tamu bongo movie imefufuka ongereni sana wapendwa
Muvi nzr sana shida sauti jamani.
Dah!! Upande wa saut bado ni changamoto ila mov iko👍👍
Koko the star love u much fro Kenya
thanks
Kama upo hapa for Madam Sepetu, gonga like....... From 255+
Izo ndo movie ninazo tafuta kweli ohhh 🙏 Asante sana from Canada 🇨🇦🇹🇿🇨🇩🔥🙏🙏
Unafanya nini huko
Vaneesa Vaneesa ndo kwenye naishi uku
Hi
@@didahassanhassan687 hey Sister
Deborah Jm kwakweri hii filam ninzuri tena inafunzi mema nimeipenda bule jaman
Waah movie ya naigeria vile big up wausika...
Congratulations Koko byanko and for all.
Nzuri kweli lakini kwanini gabo akucheza umujamani mi nimekumiss❤️❤️❤️❤️ sana kwenye movie kama izi
huu ni mwanzo tuu usijali wote utawaina kwenye kazi zinazo zinazo kuja
Koko Byanko Official Asante kaka yangu nitashukuru sana
Nice movie from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩👈❤️🔐
Koko nakupenda bule 💛💛💛👍👍
aaaaaaah nimekukubali xn Cct wema I like it
Safi sana from dubai
Asante Sana nakukubali 🙏🙏🙏
Gala mpamba very good movie 😍🤗
Pole sana sakina yoooo masikini wa mungu kuambiwa hiyo habari kwa hiyo hali ya sakina it is very sad
🙏🙏🙏🙏👍👍👍
Nzuri sana SHABIUSI
Kama umeikubali hii muvi gonga like tujuane jooooh
What it's amazing love it but iko na huruma sana inanifanya nalia big up Mama sakina
M nmelia mpka cjitambui mwenzio
Nzuriiiii aiseeee I like it
Tunaoangalia 2024 gonga like apa😊
Mov nzur sana tena ina mafunzo mazur kwa jamiii hongeren sana washiriki.
Mamake kanumba....nampenda mie bure tu
Movie ni nzuri sana tatizo ni sauti inakatika katika
Kiukweli iyi movie bala mafundisho tupu
papy ntambwe asante sana endelea kua nasi ya mapinduzi
Love wolper daaa nkupenda bure
wolper umetisha umecheza uzuri
Bonge ra movie so very good
Mmmmmjombaaa amtakiiii sakiniii anamtaka mwaga mwenzakeeeee
Sauti tu ndo mumeharibu ndunguzanguni ila mumecheza Poa kbs 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Nzur mnatishaa saana bongo
Mashallah zuri kweli
Woyoooo mchaga mwenzangu wolper Kama unamkubali wolper dondosha like halo chini