Highlights | Simba 1-0 Yanga | ASFC Final 25/07/2021
Вставка
- Опубліковано 24 лип 2021
- Goli pekee la Taddeo Lwanga limeipa Simba ubingwa wa pili mfululizo kwenye wa michuano ya Azam Sports Federation Cup kwa kuwachapa watani wao wa jadi, Yanga bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliochezwa Julai 25, 2021 kwenye Uwanja wa lake Tanganyika, Kigoma.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz - Спорт
This is simbaaa kama wewe ni mnyama like hapa💎🦁🦁⚽
Naqubaliii
ua-cam.com/video/PxBRMjhL2DE/v-deo.html
👋👋👋👋
Clip za SIMBA ZOTE views wapi million na point🦁🔥🙏
Mashabiki wa simba naomben like
ua-cam.com/video/PxBRMjhL2DE/v-deo.html
Nimerudia kuangalia tena, Hongereni sana SIMBA
Congratulations simba SC
Zamalek fans 💪🤘
We are together thanks a lot
Much love 💪🏻
Thanx bro from Egypt
Thanx a lot friend
@@ezekielandirea868 zamalek 🙏simba 😍
Kma unaikubali simba nipe like ynguu
Simba Bora yanga tuta wabeba tu
Saf sana chama lang Simba sport.mzee wao pilipili kawaponza
Jaman simba hii
Poa
Mambo
I love Simba this is why my blood is red as simba
Jamniii simba wananishawish zaid kuendelea kuangalii hiii geam 💥💥💥 I'm a simba gal forever
kwa mpira gani walio ucheza adi ukakushawishi we ni shabiki mandazi tu kamshabikie mama ako
Aisee kila nikikumbuka hapa nazd kuipenda timu yangu simbaaaaaaaaaa
Now i understand why Luis Mickelson is scouted by El Ahly of Egypt . This boooy is a brilliant footballer...superstar in the making.
Congratulations to my Champions... Simba sports club for the champion
Simba ilicheza bila lefa hii mechi na ikashinda🦁💪♥️♥️♥️😅
Wachezaji wadogo hushinda mechi wachezaji wakubwa hushinda makombe, #simbanguvumoja🦁🦁🦁🦁🦁🦁
Hio nalo neno
@@floraluaga1795 😊😊😊😊👌
Kabisaa
@@afterfull-time1348 👌🔥
ua-cam.com/video/PxBRMjhL2DE/v-deo.html
Hongera Simba SC, much love from Kigali
👏👏Thanx much
asante sana karibu simba
Welcome
🦁😠
Apenda support zenu
Simba ni tamu jaman
Inalaha yake.❣️💟
Haya hizo like bei gani jamani mpka wengine hatupati?
ua-cam.com/video/PxBRMjhL2DE/v-deo.html
Hii highlight iko trending no 1
Hivi kuna raha nyingine zaidi ya kushabikia simba jamani me nataka kujua
Amna kitu kingine best
@@omarymtamajika7558 Hapo sawa
@@anithajaphet4587 wewe swali gani tena hilo😅😅😅😅😅
vpo ving
@@minskbelarus7255 😂😂😂
Hongera mnyama kwakutoa #Dozi
ua-cam.com/video/PxBRMjhL2DE/v-deo.html
Simba hongereni sana,mlicheza vizuri sana,Michael toka Mbozi
Like 10 tu nijidai.
ua-cam.com/video/PxBRMjhL2DE/v-deo.html
Tumeshindaaaaa😘❤
I ❣️simba sports club💥💥💥💪💪nguvu moja
What a gooall from Thadeo lwanga
Love you simba. Batter Boy from congo
isaya charex
👋👋👋👋👋👋👋🤚🤚
Jmn mpira mtamu huu nyieee😌😌😌😃still narudia woow big up chama langu💪💪🦁🦁🦁🦁
Nilifrah sana
Hata me leo nmerudiaa kuangaliaa
leo nimewahi nipeni like
I am a brother to Bernard Morrison, I am here for Simba❤️
Welcome simba sc BM3 brothers
Wale wa BARAKA MPENJA na JEMES SAMWEL tujuwanee.......
Ya
ua-cam.com/video/PxBRMjhL2DE/v-deo.html
najua hapa huwez kumuona shabiki ya yanga akiangalia marudio haya
Yanga tafuteni Watu wa saikolojia wawasaidie,...
Mnachocheza sio mpira mmekalili vurugu na rafu
Kiufupi hawajui kucheza si wakacheze mieleka ni upumbavu tuu.
Tatzo hawako talented
Ni aibu kwa kweli
Iposiku utaliakama nyau
mpe hata tano kabisa mbwa huyo nyekundu
Naipenda sna simbasina neno jngne zaidi ya kuipenda dabi ya kariakoo
Wacha Simba ishinde makombe wengine washide mechi kwa gharama kubwa mapesa tele ambazo hazina hadhi.
Ok...msijali .kombe la Mapinduzi bado miezi 5
ua-cam.com/video/PxBRMjhL2DE/v-deo.html
Hongeren simba kwa ushindi wenu wa jana
No 1 on trending
Nikiona hizi mechi za Simba SC nakumbuka sana ile mechi dhidi ya Nkana
❤🇹🇿❤🇹🇿❤🇹🇿
Htare sana
@@dechaggagirl1614 Nilishangilia sana ile siku
@@Ram_1893 hakika ilikuwa cku ya furaha walijua kutufrahisha kwa kwel big up simba ytu🦁🦁🦁
@@dechaggagirl1614 Ni kweli kabisa na cha kufurahisha zaidi mechi ya Simba SC dhidi ya AS Vita nilikuwepo uwanjani
Kbs yani
Watangazaji nimewakubali sana, mnafanya mechi inavutia kinoma🙋🙋
Wanangu wa simba piga keleleeeee 🦁🦁🦁
Wereeeeeerrrr
Oyooooo
Oyooooooooo
😂😂
Oyooooooook
Nimechelewa Kidogo Ila NIMEWAHI.
ua-cam.com/video/PxBRMjhL2DE/v-deo.html
One love simba 🦁🦁
Yes
Love you simbaaaaaaa❤❤❤❤
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO YOUNG AFRICANS FOREVER 💛💚💛💚💛💚
Hii siku ilikuwa muhimu sana kwa Mchezaji bora sana Louis Miqusoun. Ilikuwa Happy birthday yake, lakini pia alicheza kwa performance ya haki huu na kutoa assist ya Goal.
Luis Miquisson jmninamejitahidi dah utaxanishia ninyeye tu.alikuwa uwanjani safi sanaa miq
ua-cam.com/video/PxBRMjhL2DE/v-deo.html
Kwenye daki 12 ilee ni penalty
Dah! Sema ndoivo tuu
Mechi nyingi tunazocheza na yanga tunanyimwa penati
@@josephjohn7003 ukiachana na mpira Una majina ya wanangu Joseph mwanangu wa kwanza John mtoto wangu wa pili 😀safi sana Simba nguvu moja mwanangu wa kwanza
ua-cam.com/video/PxBRMjhL2DE/v-deo.html
ua-cam.com/video/PxBRMjhL2DE/v-deo.html
Kame umemuona kisinda akikimbilia mbele kabla mpira haujaanzisha gonga like
CAD nyekundu ya mukoko ange onyeshwa hata cad tatu mmbwa yule😂😂😂😂
Munguawenawe
Angepewa nyekundu 2 njano 3
@@aishamussa2593 aisha wewe yanga
Na huyo fala chizi angetolewa hata meno
😂😂
Mimi naipenda simba kuliko chakula by betson rwansika
Referee hongera mchezo umeuweza red n sahihi kabisa yanga wajilaumu wenyewe hongera #simba best club in East Africa
ua-cam.com/video/PxBRMjhL2DE/v-deo.html
Kwa Simba hii Raha Sanaa 😂
Simba naipenda Sana sijui why sijawahi kuwaza kuwa Yanga bz napenda sana Simba Leo Yanga watalala nje hahahaha
Hahaha hahaha wajina
ua-cam.com/video/PxBRMjhL2DE/v-deo.html
ua-cam.com/video/PxBRMjhL2DE/v-deo.html
Simba sports club hii ilikuwa bonge la timu viongoz wa Simba wanyeni usajil wa maana msimu wa 2022/2023 hatutaki ujnga
Am here for birthday boy, Luis miquison🎉
Hongel yako
Mimi nisimba mpaka mwisho wangu was uhai.haijalishi kunaijitu gani linataka kutuharibia Simba yeti.lkn limeshindwa kwa jina la yesuuuu.tamaa mbaya mbwa weweeee.kwendraaaaaaaaaa.hatukutaki Tena.
Hii mechi Ahmed alivurunda kidogo yaani rafu za wazi refa anaacha maksudi
Kama nimekosea nimbieni ...mimi naona kadi ilistahili ...kabisa sorry yanga fans
Alistahili kabisa wala hajaonewa
Tena alitakiwa apewe kadi km 5 hv nyekundu
simba simbaaaaaaa
ua-cam.com/video/PxBRMjhL2DE/v-deo.html
Nililia kwafuraha hii siku ilove simba mpk nakufa
Mpende mungu wako acha utazeze
W bb Kubwa hiyooo
Simba oyeeeeeee eeeee 💪💪💪💪💪💪💪💪 simba juu
One love simba SC
Welcome to Simba sports club
Bila ushabiki wachezaji wa Yanga sijafrahia mchezo wao, wajitahidi kuwa fair mchezaji kupambana uwanjan si kutumia nguvu sana pasipo angalia madhala unayoweza mpa mwenzako. Yanga ikue kutumia nguvu sana sio mpira bdo tuko nyuma sana
Ayo nimawazoyakoo,,,,,yanga iko poa sanaa
@@meshajoni5662 poa wapi wamecheza Kama wakulima was viazi ujinga huo hivi alivyochezewa miqson angechezewa mchezaji wenu ingekuwaje acheni ujinga
@@atupelemsyani7411 Nini maana ya dabii,?
@@atupelemsyani7411 nini mmecheza nini pale? Ule mpira mnaochezaga na vitimu vingine mbona hamkucheza pale? Hamna lolote mbele ya yanga labda huko kwingine. Bahati imekuwa upande wenu na kale karefa kenu
@@onesmojustice2348 kiwanja kimetukaba
Derby mbili za kukata na shoka ndani ya mwezi mmoja ni kitu kikubwa sna na hostoria imeandikwa.. kupanga ni kuchagua walianza yanga wao walichagua point 3.. Simba ikachagua point 3 na kombe ni furaha sna kuchkua kikombe mbele ya hasimu wako
Mh mkoko
mimi ni yanga, ila sio mshabiki wa defensive game coz ukikutana na timu inayopress lazima midfield zile umeme na ukuta lazima uvuje.... wakati mwengine ili ujilinde yataka ushambulie.
Ww ni yanga unatafuta nn humu kwa simba???
Hongera sana chama langu pendwa mnyama
Onyango ataua mtu asiguzwe mdg wake chezea ww bby onyango😂😂😂 hii gem ilikuwa na presha kuliko ile ya tarehe3 wanaume wakimenyana😄😄💪💪
ua-cam.com/video/PxBRMjhL2DE/v-deo.html
ua-cam.com/video/PxBRMjhL2DE/v-deo.html
Aragiga anaichukia simba sana
Simba amecheza kibigwa💪
Sema AzamTV wanapush yanga iende haiendi. Wanajaribu kuonesha Yanga waliposses eti simba wakabutua but the opposite is truth
Heko! Nyingi kwa simba toka zambia
THIS IS SIMBA BROTHER🦁
Don't try this At home, school, kigoma or Anywhere💥💥
Hongera saaaaaana simba
KUMBE #MKOKO_TONOMBE NI DUKA LA SIMBA 🤣🤣🤣🤣🤣TUNAKUSHUKURU MKOKO TUKUTANE TENA NGAO YA HISANI🤣🤣🤣
🦁🦁🦁🏆
Kigoma ni nyeupeeee lake tanganyika ni nyekundu.
Hiimech yangawashukuru refalii vinginevyo walikua wanadhalilika sichini yabao 3
Kabisaaa tungewanyoa
Oyoooooo simbaaaaa
Heshima imerudi kimyaaaaaaa
ua-cam.com/video/PxBRMjhL2DE/v-deo.html
ua-cam.com/video/PxBRMjhL2DE/v-deo.html
Hii mechi niliumia sana mnakumbusha machungu!
Mmeiona hiyooooo.
Simba tulinyimwa penalty...tukio la mwamnyeto kwa Luis, Mauya pia hakupaswa kumaliza game bla red card
Raha sana waga najiludia hii kila mara
Ooooh...waooooh football
Kama kawa
Joash onyaangoooo!!hapo simba mnatii Gor ilimusaidia.defender ametulia,hana pressure mgumu ka chuma...we sema kiswahili kunipea pressure
Mumeona clear penalt nyiee🐸🐸🐸af still mnasema simba inabebwa😄😄😂😂nb: tumechukua tenaa💪🦁🦁🏆🏆🏆🏊🏊 weka mbali na watoto mabingwa wa nchi
Paza sauti wajasema hawakusikiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
ua-cam.com/video/PxBRMjhL2DE/v-deo.html
Wape salamu unalia nini wanaume tunashinda vikombe bhana Simba nguvu moja...
Miqissone alikuwa ana kasi na nguvu aisee huyu jamaa alikuwa mtu na nusu
Sawa nimekubali mwaka huu hatuna kitu msimu ujao ujao simba tunakomba kila kitu abbakarmpare
Jamani mimi siyo shabiki yeyote ila mukoko alikosea
Vp kuhhusu onyango
@@aishamussa2593 onyango kafanyeje
@@aishamussa2593 hapa katajwa mukoko ww unamtaja onyango....yan alikua sahihi tena alitakiwa amuwashe kofi huyo yakuba wenu minywele mingi akili nukta
jomn yang mnawaumiza simba yang
This is simba brother
These yanga players geez, they were playing kungfu soccer like really, not good for soccer.
😅😅 Tanzania has good soccer teams like both teams .. but to much violence..and don't respect the referee
Kwa huu mchezo wa kihuni wa Yanga, tuone watafika wapi kwenye mashindano ya CAF.
Mungundoanajua
Mpira wanaocheza Yanga kwa rafu zile kwenye michuano ya Club bingwa wangemaliza mechi wakiwa 8 kwa red card
@@aishamussa2593 mungu hataki watu wavivu kujiituma😆😆😆😆
This is Simba!
Yanga daima 💚💚💚💚
Daima mnapoteza michezo ya hadhi mnashindwa ???? Ama!!
@@haroubhamoud8701 Ndo mpra alafu Kwan hujui kuwa walikuwa pungufu
😂 leo Yanga mlikamia mno mkakosa ball skill na tactics. Nguvu nyingi zikosa uweledi.
Na kama refa angekuwa fair basi zinfekuwa nyingi
@@Aisha-om9go
Pole .....Yanga haikutulia nguvu za gym wakakosa skills ya mpira
@@haroubhamoud8701 hakuna alie kamia labda simba Ndo walikamia mshukurun refa kutoa red cad la sivyo hamna uwezo wa kuifunga yanga kubali kataa ukwel Ndo huo
Jamn onyango unaupendo sana
Uto mnapata wapi maneno, kama ni kuwakanda ni mara nyingi,
Nice simba
Good
Yanga bado Sana kupata kombe..
VPl... ......... SIMBA
SHIRIKISHO.. SIMBA
Yanga. Labda wapewe la kupiga watu ngumi .
Hawafai kutuwakilisha
Mbwana Rajab umenichekesha sana
Yaes yaes simba nguvu mojaaaa
Miqsin bhna anajua Sana kunifrahisha jaman
Baraka mpenja na James samwel nawapenda maana huwamnatimiza majukum yenu kikamilifu kongore kwa umahili wenu.
ua-cam.com/video/PxBRMjhL2DE/v-deo.html
Yaani huyu MWAMUZI kachangia pia kuharibu radha ya MCHEZO wenyewe ukiachalia mbali uwanja.
Matukio ya msingi kama PENATI anashindwa kuyatolea MAAMUZI SAHIHI badala yake FILIMBI zmekua nyingi kwa matukio yasio kua na msingi wala ATHARI
Luissssssss we miss u