WANAOTAFUTWA WAANGAMIZWE NI MBOWE, LISSU, NA MNYIKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 144

  • @victoriamazula5592
    @victoriamazula5592 Місяць тому +2

    Amen damu ya Yesu iwafunike. Na wewe ujivhunge baba malika Michael atawalinda

  • @AmisiLulacha
    @AmisiLulacha Місяць тому +13

    Hiyo ni kweli kabisa Mzee wetu Mgurumo ila kibaya chetu wa tanzani tukisikia jambo kama hili tunalichukilia poa Mzee mgurumo ni mwandishi guli hawezi towa maneno hayo bila kuchunguza tena anakaa nje ya nchi hapo alishataarifiwa zamani naomba kwako Mzee mgurumo watafetu hao inbox waambie wawe angalifu sana

  • @nursechunga4470
    @nursechunga4470 Місяць тому +13

    Mungu atusaidie tumechoka Sana na haya mambo yanaendelea hapa Tanzania, Tanzania yangu sijakuzoea hivi, nimekuzoea ukiwa na amani😭😭

  • @sizorstartv6168
    @sizorstartv6168 Місяць тому +7

    Baba katika jina la yesu kristo ..watu hawa naomba damu ya yesu kristo iwatangulie kila wapitapo ..risasi mapanga nguvu za giza zisiwaguse ..WAWE HAI KWA JINA LA YESU NA HAWATAKUFA MPAKA TANZANIA IMETENGAMAAA...watanzania wote tuseme ameniii

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo Місяць тому +6

    Mungu akubariki msigwa wafe wenzako upate maisha heko kamwene

  • @Didaskamili
    @Didaskamili Місяць тому +10

    Asante sana mr ngurumo hawataweza kuburuza watanzania kama mbuzi machinjioni

  • @brightergermanus2163
    @brightergermanus2163 Місяць тому +7

    AMIN AMIN. TUNAWAOMBEA. SANA KWA JINA LA YESU KRISTO NA MUNGU AWABARIKI AWALINDE AWFUNIKE NA KUWAZINGIRA KWA DAMU YA YESU KRISTO . YEYOTE ATAKAYE JARIBU KUWAWAZIYA MABAYA UPANGA WA BWANA UWE JUU YAKE, NYUNDO YA BWANA IWE JUU YAKE, RUNGU LA BWANA LIWE JUU YAKE, NA SILAHA ZOTE ZA VITA ZA MUNGU WA MBINGUNI YEYE ALIYE BWANA WA VITA ZIWE JUU YA MAADUI. HAOO WANAOTAKA KUWAANGAMIZA. MBWE, LISU NA MNYIKA

  • @RestitutaNjau-k8x
    @RestitutaNjau-k8x Місяць тому +5

    Asante sana kwa taarifa hii,Mungu mwenyezi atawalinda.Tutawaombea

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds Місяць тому +24

    Asante kwa tahadhari hiyo tutafunga kuwaombea makamanda wetu hawa maana hatuna namna nyingine zaidi ya kumwambia mungu

    • @Revelation1412.
      @Revelation1412. Місяць тому +2

      Huu ni utanzania halisi 😊
      Kuongea tunaweza ila kaz ni vitendo sasa

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u Місяць тому +6

    Mungu atawassidia sana tutawaombea hao maana ni binadam kama wengine.

  • @AbigailBateyunga
    @AbigailBateyunga Місяць тому +10

    Mungu mponye Mm Tanzania 😂❤🎉😭🇹🇿🙏

  • @BonifaceKajurunga-x7t
    @BonifaceKajurunga-x7t Місяць тому +7

    Wauaji walaaniwe kabla kuua wafe wao

  • @emmanuelmateru2190
    @emmanuelmateru2190 Місяць тому +7

    Peter Msigwa, alinukuliwa na Star Tv akisema mzee Meddy au Shetani eti ni threat kwa Taifa na Chadema wanamtegemea sana. Haikuchukua hata wiki mzee wa watu akatekwa na kuuawa.

  • @MonicaTimotheo
    @MonicaTimotheo Місяць тому +11

    Wamwaga damu za watanzania wenzetu ovyo bure eti kwa ajili ya kuimarisha mamlaka yao, wataangamia kwa upanga MUNGU hayuko radhi na wapumbavu

  • @freduallughano2301
    @freduallughano2301 Місяць тому +7

    Wameshindwa kuongoza wanapambania kutawala kwa nguvu ya dola.

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 Місяць тому +9

    tunashukuru sana kwa taarifa lakini hata mmoja wao hatokufa ila waliopanga mambo hayo watakufa wao kila kona ili wajue yuko Mungu Tanzania

  • @nourannouuran3514
    @nourannouuran3514 Місяць тому +5

    Mola tulinde nchi yetu iwe salama

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz Місяць тому

    Umechambua vizuri sana na Mungu akubariki sana.Cha msingi tuungane tupiganie utu,ubinadamu na haki ili tuishi kwa upendano katika nchi yetu.

  • @YacintaJames
    @YacintaJames Місяць тому

    Umemsahau Godbless Lema

  • @thomasbrotherscotractorslt1299
    @thomasbrotherscotractorslt1299 Місяць тому +1

    God is good all the time 🎉🎉

  • @MartinMwasyeba
    @MartinMwasyeba Місяць тому +3

    Wanayo yafanya ni Machukizo mbele za MUNGU. Kusikia Kwa kenge.Mpaka damu itoke Masikioni .Wajitafakari.

  • @IsayaKamomonga
    @IsayaKamomonga Місяць тому +3

    Ata Godbless Mema, Joseph Mbilinyi "Sugu" etc.

  • @rithaurassa
    @rithaurassa Місяць тому +4

    AaaaaMeeeni na iwe hivyo Mungu hao wanaofanyia wenzao mabaya wasiwe SALAMA kabisa.Mungu tusaidie kulinda viongozi wote wa chadema,Sikia killio cha wengi Eeee Mungu.

  • @eunho9529
    @eunho9529 Місяць тому +9

    umemsahau mmoja, Boniface Jacob

  • @adeltuszakumuha9618
    @adeltuszakumuha9618 Місяць тому

    Ubarikiwe sana Baba

  • @hoseamwambambale3503
    @hoseamwambambale3503 Місяць тому

    Mtumishi wa mungu wewe nilikua sikufuatilii sana ila kwa sasa moyo wangu umeanza kukuelewa na kukuamini kwa kazi yako na mungu akubaliki usimame katika kweli yako na mungu atakua pamoja nakuombe mungu akuongeze siku za kuishi apa duniani ili uzidi kua nulu ya watanzani najua nawe uta anza kufuatiliwa sana ila mungu atakulinda

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 Місяць тому +10

    Iko wazi hata siku ya vijana dunia ya cdm mbeya kulikuwa na mjama za kumuuwa Sugu,Lisu na Nyika sema mungu alisimamia tu

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri Місяць тому

    Mungu uwalinde kwa nguvu na utukufu wako kwa jina la Yesu Kristo raia wote wa nchi yetu.😊

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en Місяць тому +18

    Wakitaka nchi ichafuke na vita ianze tanzania basi wajaribu kuauwa lisu .mbowe . Mnyima hawa miamba yetu inaipiginia sana tanzania wanataka wasiongee tugeuzwe misukule wajaribu waone

    • @tanzanite9944
      @tanzanite9944 Місяць тому

      Walifungwa Jela m’ezi 8 ulifanya nini?

    • @SalmaAthuman-hp3en
      @SalmaAthuman-hp3en Місяць тому

      @@tanzanite9944 kufungwa ni jambo la kawaida hata wewe unaweza fungwa stupid ww walifungwa lakini walitoka kwa kelele zetu haya wewe Leo ukifungwa nani anakijua kenge kama ww

    • @saidmabanga388
      @saidmabanga388 Місяць тому

      Mkundu wewe​@@tanzanite9944

    • @willykomba8376
      @willykomba8376 Місяць тому

      ​@@SalmaAthuman-hp3enTena sio kenge tu Huyo ni shetani hafai kabisa kwenye jamii

  • @StevenGendo-vx9jo
    @StevenGendo-vx9jo Місяць тому

    Eee mwenyez mungu naomba ilupendeze uwachukue Hawa wanaopanga kuuwa wenzao nauwajalie afya njema Hawa wanaopanga kuuwawa

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 Місяць тому

    Mungu yupo kazini.

  • @wanainchitvrdc6705
    @wanainchitvrdc6705 Місяць тому +2

    Pure fact

  • @rosemghwai8947
    @rosemghwai8947 Місяць тому

    Kila silaha itakayoinuliwa juu yao haitafanikiwa! Mtetezi wetu Yesu yu hai! Tunawaombea sana!

  • @mariaanthoniangowi9376
    @mariaanthoniangowi9376 Місяць тому +2

    Ninyi mnajifanya uongo Kwa sababu wahusika ni wenyewe,lakinifimbo ya Mungu inakuja na injiani mama kilo kinasikika mini Rachel anawalilia watoto wake, asitake kutulizwa, maana hawapo. Panga linalilia shingoni Kwa watesi na wauwaji

  • @MasungaNekwa
    @MasungaNekwa Місяць тому +2

    Ndio mwisho wa ccm Mungu mbariki Mh Mbowe,Mh Tundu Lisu na Mh Mnyika mashujaa wa Tanzania hamfi kwa jina la Yesu watakufa wao

  • @calistassenga6489
    @calistassenga6489 Місяць тому +4

    Eee Baba tuhurumie😂

  • @samwela.kasamalo2113
    @samwela.kasamalo2113 Місяць тому

    Nakuelewa mtumishi

  • @Werema3760
    @Werema3760 Місяць тому +3

    ■Umeongea kama NABII. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿. Na hakika damu ya mtu sio kama ya kuku.🙏🙏🙏

    • @aediaygo8546
      @aediaygo8546 Місяць тому

      @@Werema3760 pumbavu nabii Gani huyo

    • @Werema3760
      @Werema3760 Місяць тому

      @@aediaygo8546 understand neno "kama" sio nabii lakini kaongea uhalisia kama nabii. Tumia ufaham wako vyema.

  • @frankmwandu271
    @frankmwandu271 Місяць тому

    Mungu yupo

  • @jonasaugustine2528
    @jonasaugustine2528 Місяць тому

    Hakuna dikiteta aliye dhulumu uhai wa watu aliyemaliza safari yake salama. Mungu na asikie.

  • @abubakarismail6365
    @abubakarismail6365 Місяць тому

    Kaka nilikuwa na kuiamini sana kumbe u boya tu

  • @YonahMwamwaja
    @YonahMwamwaja Місяць тому +2

    Ongera mzee wetu nakuongezea neno la MUNGU kutoka 9=5 amwagaye damu yabinadamu nadamu zao Zita mwagwa.

  • @amosjoseph7241
    @amosjoseph7241 Місяць тому

    Ubarikiwe sana

  • @KalicKaguz
    @KalicKaguz Місяць тому +1

    Asante karibu nyumbani

  • @loserian-mj1gj
    @loserian-mj1gj Місяць тому

    Siasa ya kinafiki mchungaji wanasiasa kwanza Hawa ndyo wanogawa taifa

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 Місяць тому +3

    Mafiga matatu Mbowe ,Liisu na Mnyika hawataguswa kama wanaipigania haki katika kweli Ila Kama wanaipigania haki kinafiki bora watekwetu.Tunahitaji makamanda wazalendo na wenyeuchungu na Taifa siyo wapiga porojo wa mitandaon

    • @JohnManyilizu-rl5bm
      @JohnManyilizu-rl5bm Місяць тому

      Pumbavu zako nani mpiga porojo

    • @jonfredkewe3451
      @jonfredkewe3451 Місяць тому

      @@JohnManyilizu-rl5bmutajitafuta pale utakapoona umepotea.Chadema hamna lolote kwenye Taifa hili

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 Місяць тому

      Huna akili. Wangekuwa hawako serious wangechukia kiasi hicho??? wangetamani kuwauwa??? Fikiria kwanza kabla ya ku-comment chochote hapa!!

    • @jonfredkewe3451
      @jonfredkewe3451 Місяць тому

      @@upendoeliya9329 nakuona unatokwa namapovu Kama chura kimevamiwa na siafu

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 Місяць тому

    Mungu anusuru maafa yasitokee😢

  • @janeobure3006
    @janeobure3006 Місяць тому

    Mimi kupiga kura sipigi ng'o .wameshasema wenyewe wanapita hata tusipoenda kupiga kura .wapite tu.tunawaombea sana na kufunga ili wanaofanya mambo ya kuteka na kuua walaaniwe pamoja na anaowatuma.

  • @MtanganyikaTanganyika
    @MtanganyikaTanganyika Місяць тому

    Kweli baba ni ccm

  • @LewiNdoda
    @LewiNdoda Місяць тому +2

    Naiona vita siku si nyingi

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Місяць тому +2

    ✌️👍👊.

  • @LensonMwaigombe
    @LensonMwaigombe Місяць тому +2

    Hotuba ya nchimbi kwa wahatiri imedhihirisha hayo unayoyasema

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f Місяць тому

    Tupo pamojaaa kaka

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo Місяць тому

    Nimepigwa na butwaaaa!!!!!!!
    Huyu mwandishi huwa haropoki!!
    .

  • @godfreybitakama9845
    @godfreybitakama9845 Місяць тому

    Hakika tutawaombea

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 Місяць тому

    Kwenye maandamano wasiende

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 Місяць тому

    Mungu atalinda na mabaya yote esmeni amen

  • @daviddsouza735
    @daviddsouza735 Місяць тому

    Sasa tutaanza kusikia vizuri jinsi gani chichiem wanavyochukia utekaji. Diithii wa longido yuko wapi atoe maelezo yake

  • @ibrahimkiula-p6v
    @ibrahimkiula-p6v Місяць тому

    naona bora hii nchi katiba ibadilishwe iwe kila rais awe mkristo maana imekua nongwa sasa kila saa niyesu yesu

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 Місяць тому

    Wanatafuta vita kwakweli, kisa ni matumbo tu?????

  • @janeobure3006
    @janeobure3006 Місяць тому

    Hakuna haja ya kupiga kura kabisaaaa

  • @EmanuelIsaya-sg8bk
    @EmanuelIsaya-sg8bk Місяць тому

    Hili Jambo tulishaanza kulinusa. Naomba hii clip tuisambaze kwenye magrup mbalimbali watu waione

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 Місяць тому

    Nimepata😂 habari Mboye , mnyika na Lissu 😅, Habari zinaweza kuwa sio za😂 kweli au za kweli, Ccm na Serikali haijawahi kusema ukweli, hadi leo kifo cha Magu kitendawili, inawezekana hizi media pia zinachochea🎉 sana

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 Місяць тому

    Malaika wa upanga wa Mungu uwalinde waingiapo na watokapo

  • @FransiscoKaiza
    @FransiscoKaiza Місяць тому

    Watashindana lakin..............????

  • @JohMwita
    @JohMwita Місяць тому

    dah aise inauma lakini inaitaji maombi makubwa na mazito

  • @isaackmwakapala8663
    @isaackmwakapala8663 Місяць тому +1

    Amen.

  • @fadhilimsafiri216
    @fadhilimsafiri216 Місяць тому

    Boni Jacob pia hatalini,

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому

    Wakiangamizwa ndiyo watatafuta wakina Mbowe wengi. Hawa wsmwaga damu hawana aibu hata kidogo.

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 Місяць тому

    Wawaue Ili nchi ihangaike na mazishi ya halaiki!

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 Місяць тому

    Msigwa Msigwa!!!

  • @barakamwamasage-hy2jo
    @barakamwamasage-hy2jo Місяць тому +1

    Hakika

  • @FredrickMnyakiwele-j1s
    @FredrickMnyakiwele-j1s Місяць тому +2

    Huyu atafutwe ahojiwe maana anajua wanaohusika na haya Sasa kwanini aendelee kuangaliwa

  • @louisnyoni4139
    @louisnyoni4139 Місяць тому

    Wanachokitafuta watakipata , hawajifunzi tu?

  • @FrankasamisyeMwaiswasu
    @FrankasamisyeMwaiswasu Місяць тому

    Kwanini huyu mzabari aue watanyika

  • @SimbabweSaid
    @SimbabweSaid Місяць тому

    Wewe chadema acheni hila zenu za uongo mnatekana wrnyewe ili mpate sapoti kutoka kwa mabeberu washenzi wakubws na hamtafanikiwa kamwe kumbe ni nyinyi mliomuua shujaa wetu magufuli msimtishe mama vibaraka wa mabeberu chadema washenzi nyie mnataka kuiharibu nchi tambueni nyinyi ndio mtaangamia

  • @costantinemgalle1910
    @costantinemgalle1910 Місяць тому

    kama umepata habari hizo zakuhatarisha maisha ya hao uliowataja, ambao ni watu muhimu kisiasa na kijamii ya watanzania, kwanini usiweke hadharani ni watu gani wanaofanya mambo hayo? Au ndio kulekule tu kutuvuruga, kutuchanganya na kusababisha tahahuruki. It is not responsible, napengine vyombo vya uchunguzi vianze kwako....afu tuone movie inaendeleaje

  • @IsmailOmarDahir
    @IsmailOmarDahir Місяць тому +1

    Mmmm

  • @watuwamungutaifalamungu.6108
    @watuwamungutaifalamungu.6108 Місяць тому

    Nikweri 3 wanatafutwa wanne na lema Chadema ndio chama cha upinzani kimezamilia

  • @KheiriBafadhili
    @KheiriBafadhili Місяць тому

    Mola mkubwa

  • @AnaniaMmari
    @AnaniaMmari Місяць тому

    Vitanimbaya sn abama inatupa kufanya kz tuombe mungu sn mchi iwe naamani tutaenda wp

  • @travellahmsafirihiphop5325
    @travellahmsafirihiphop5325 Місяць тому

    Hapo ndio kitawaka rasmi

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz Місяць тому +2

    Kama watu Wabaya lazima wakufe kabla ya mudawao waliopangiwa na Mungu basi Duniani wangekua washaisha,,, tafakari kabla ya kutoa neno

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo Місяць тому

    Msigwa msigwa

  • @philbertmweyendeziphilemon4184
    @philbertmweyendeziphilemon4184 Місяць тому

    Hata Magufuli alikuwa ivoivo sasa ngoja tutayaona matokeo yake.

  • @walterbhoke7935
    @walterbhoke7935 Місяць тому

    Hawatadumu milele wataondoka tu

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz Місяць тому +1

    Una hakika wewe haumo kwenye hio rist?

  • @EmmanuelLankama-wh6kg
    @EmmanuelLankama-wh6kg Місяць тому

    Njoo na ww sio unachochea tu wakati upo nje

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 Місяць тому

    Mwenye dharau maonyo yake suku zote huwa mauti, mwenye HEKIMA huonywa kwa maneno wakati mwenye dharau huonywa kwa ngeo...mwanadamu angepewa miaka angalau 500 weeeee????

  • @PaulMbuga-w4b
    @PaulMbuga-w4b Місяць тому

    Viongozi wetu hasa Rais wetu akomeshe wahuni wanaotaka kuharibu amani ya nchi iliojengwa kwa miaka mingi na MUNGU ataliokoa Taifa

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 Місяць тому

    Huyu lissu alishauawa je! Mtu huuawa mara mbili? Mungu asipowalinda hakuna awezae kuwalinda.. MUNGU walinde watu wako Tanzania

  • @muhsinikoki4060
    @muhsinikoki4060 Місяць тому

    nilijuwa nimsigwa tu anachonga izi inshuzote

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t Місяць тому

    HII TAARIFA YA KUTAKA KUWAUWA AKINA KOMREDI MBOWE, LISSU NA MNYIKA INATUKUMBUSHA HOTUBA NA MATAMSHI YA MZEE BUTIKU WA TAASISI YA MWL. NYERERE....TUSIKUBALI TANZANIA YETU KUTAWALIWA NA WAUAJI, WAHUNI NA WEZI!

  • @janeshija6638
    @janeshija6638 Місяць тому

    Hii yote ni MAMA kufuga MACHAWA wengi mpaka jikoni wapo kwa kumpelekea UONGO. Wakithubutu kuwauwa wajue vita ya wenyewe kwa wenyewe hapo hakuna kusimama. Kwanza tunataka akina SOKA wawarudishe kabla ya 21/9/24 bila hivyo maandamano ya tarehe 23/9/24 yako pale pale kama hatujawaona akina SOKA na wenzake. Hata watoe vitisho hatukubali kuona ndugu zetu wanatekwa na kuuawa.

  • @FransiscoKaiza
    @FransiscoKaiza Місяць тому

    🇹🇿♥️👍👍🙏✍️

  • @janeobure3006
    @janeobure3006 Місяць тому

    Kwanini watawala wanapenda madaraka ya damu?

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz Місяць тому +2

    Aaa ngurumo hapo umetoa vitisho vya kijinga Kweli,

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz Місяць тому +3

    Na kwa habari ya magu, tuachieni magufuli wetu sisi tuliokua tunampenda, ashakwenda, na hata wewe unaejifanya mtakatifu Wa tz ikosiku utaondoka tu

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 Місяць тому

    We nawe unapiga Bozx Ulaya Lakini bado unajazwa Ujinga na Mbowe kilishwa Matango kama mjinga. Kwahiyo unaamini maneno ya Mbowe? Vipi ikijulikana Chadema wanajiteka utaweka wapi uso wako?

  • @aronmilinga7303
    @aronmilinga7303 Місяць тому +1

    Huyu akamatwe anajua maovu yanayotokea