"WAKINITOA ROHO, NIOMBEENI KWA MUNGU, ENDELEENI KUDAI HAKI," - MBOWE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 114

  • @geofreymatto6710
    @geofreymatto6710 Місяць тому

    absolute excellent......that i need soooo much:::::: kwani washa washa , ma mubwaaa, mafalasi kwani tupo kenyaaaa

  • @Gaynor1234
    @Gaynor1234 Місяць тому +4

    Mungu awape moyo wa kiungu maaskari wote badala ya kufanya maovu waliyotumwa kufanya, wakageuke ghafla na kuwa walinzi wa maandamano hayo ili yakawe na AMANI ZAIDI. Mungu yabariki maandamano hayo, ukayape KIBALI CHAKO MUNGU kwa sababu hao watu hawaendi kupigana vita bali wanaenda kutafuta HAKI na AMANI kwa nchi yetu yote ya TANGANYIKA.

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 Місяць тому +10

    Inatia huzuni sana lakini Yuko Mungu anayeishii milele

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 Місяць тому +11

    Tunawaombeya mwenyezi Mungu haki itendeke wajuwe hakuna atakaye dumu milele sote marejeo kwa Allah

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 Місяць тому +12

    Mungu yupo pamoja nanyie atawasimamiya inshaallah inaumiza sana mpaka mtu unakata tamaa dunia tunapita

  • @AnnaMwitega
    @AnnaMwitega Місяць тому +7

    Mimi binafsi ushauri wangu kwa sababu maandamano ni ya yaamani majeshi yote lindeni maandamano Yao.

  • @saviomlelwa
    @saviomlelwa Місяць тому +3

    Always stay blessed br for good news

  • @SimoniJohn-j7m
    @SimoniJohn-j7m Місяць тому +6

    tunakoelekea safari hi siko mungu tusaidie

  • @othmanali5362
    @othmanali5362 Місяць тому +4

    Mungu atawalinda.

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u Місяць тому +10

    Kwan watu wakiandamana then wakarudi nyumbani kuna shida gani ccm ni tatizo subway kwenye nchi yetu

  • @Haleluya3819
    @Haleluya3819 Місяць тому +4

    Mungu awatangulie

  • @gracebwimbo1889
    @gracebwimbo1889 Місяць тому +10

    MUNGU WATETEE NA UWALINDE VIONGOZI NA WANACHAMA WOOTE WA CHADEMA UWAFUNIKE KWA DAMU YA YESU .UWANYONGONYEZE NA WASHINDWE KWA JINA LA YESU HAO WOTE WANAOTUMIA NGUVU NYINGI NA SILAHA KALI KUWAANGAMIZA WATU WA MUNGU BILA HATIA

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f Місяць тому +11

    Lazima tuandmaneeeee

  • @JamesRohomoja
    @JamesRohomoja Місяць тому +3

    Daa inauma ila MUNGU ibaliki TANZANIA,

  • @RamadhaniRamadhani-yd4hq
    @RamadhaniRamadhani-yd4hq Місяць тому +9

    Polisi walindeni, chadema, msiwapige mkiwapiga mtachafua inchi

  • @ezekielmadindula2679
    @ezekielmadindula2679 Місяць тому +7

    Bibi anatafuta laana ya karne😢

  • @willymgaya7618
    @willymgaya7618 Місяць тому +8

    Mie kwenye mambo ya uvyama simo. Ila naomba wahusika wanaowashikilio wanaohisiwa kutekwa wawaachie ili mambo haya yapoe. Baada ya hapo tufuatilie mengine yanayodaiwa na baadhi yetu. Police epusheni taharuki hii. Wa-Tanzania tunataka amani na siyo haya yanayotokea. Ni kupoteza fedha za umma kwa yanayoendelea.

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub Місяць тому +3

    Wakijalibu kuua hii nchi haitakalika tena

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc Місяць тому +5

    Bibi ametingwa huyo hapigei mtu anatishia TU.Butiku KASEMA VIJANA mukiwa waoga mtatawaliwa na vichaa, msiniteke hayo sio maneno yangu ni ya Butiku.

  • @adammlonganile7921
    @adammlonganile7921 Місяць тому +3

    Tutakuombea😂

  • @jaymandy8136
    @jaymandy8136 Місяць тому +2

    Kweli chadema wameamua na watafaanikiwa kabisa

  • @MbokaRechadi
    @MbokaRechadi Місяць тому +5

    Kosa ni lipi kwa mboe? Viongozi sikilizeni watu! Nyinyi viongozi tumesha wasikiliza? Nchi ina changa moto wasikilizeni maana mki waumiza hatuwezi kufurahi Mungu awatangulie

  • @ThadeiAndrea
    @ThadeiAndrea Місяць тому +3

    Selekali isikilize maoni itambue watu wanalalamika sana

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 Місяць тому +2

    Alfonce mawazo nae aliuawa😭

  • @ndakimanyakenda1519
    @ndakimanyakenda1519 Місяць тому +2

    Hi ndo ukicheka na nyani utavuna mabua

  • @Dutichgogo
    @Dutichgogo Місяць тому +2

    Sawa kiongozi tume kuelewa serikari inavoonyesha inafanya maovu ndomana aitaki maandamano

  • @JohnMabustar
    @JohnMabustar Місяць тому +2

    Chama pendwa...... 😊😊

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange Місяць тому

    Get up stand up, Stand Up for your Rights .Aliimba Bob Marley./ Nasi twaungana naye tukisema "Simameni Tulilie Haki Zetu waTanzania wakati uliokubalika ni sasa na Saa ya Ukombozi ni sasa.

  • @dullahtechtz3422
    @dullahtechtz3422 Місяць тому

    Utapotea na wew ndugu😂😂

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 Місяць тому +2

    AMENENA VEMA KAMANDA MBOWE. TUSONGE. MABELE

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki Місяць тому +1

    Waende huko bwana watuache sidi tuuze mboga zetu kwani watu wameanza kufa leo au

  • @CristovaoMarioJaimeJaime
    @CristovaoMarioJaimeJaime Місяць тому

    Samia acha huruka umelelewa kwenye siasa hizihizi jipambanue nawanao kupamba kila siku bila kujali nao wana wake zao majumbani wewe nimke tu kama wake wengine Sifa uliyo tunukiwa kwa neema za Katiba itumie kwa busara , kumbumbuka wewe ndiye ueleta 4R ukimanisha unatambua kuwa awamu iliyopita nawewe ukiwemo I hali hukuwa na power Kuna baadhi ya mambo hayakuwa sawa hivyo linda imagem yako kwa taifa , ulimtoa polepole Kwa mihemumko lakini kijana yule alikuwa anakumulikia njia ili uweze kupita vizuri ! maana kaazi ya uenezi nikujua yaliyopo nayajayo ,serkari yako imejaa wahuni nawapiga dili, pamoja nayote haya Samia kunakesho baada ya Urais wako ,nimtazamo wangu,simamamia haki

  • @erickmsigala138
    @erickmsigala138 Місяць тому +1

    Huyu bibi Mungu atampiga kwa mapigo ambayo hataamini yatatokea mabadiliko makubwa amesahau yaliyo pita kuwa amekuwa Rais si kwasababu alipigiwa kura bali Mungu aliruhusu umauti kwa mtangulizi wake amesahau

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange Місяць тому

    Kila Damu ya Mwenye Haki inapomwagwa na kudondoka ardhini,inakaribisha na kufungua Laana kubwa katika Taifa husika "Ardhi italaaniwa iliyofungua kinywa chake kupokea damu hiyo.Yatafuatia msjanga mbalimbali ukame,mafutiko,ajali kubwa na mbaya za kutisha,Vifo na mauaji ya kutisha, yaani Nchi itakuwa ya Hovyo kabisa kutokana na Mapatilizo na Laana toka kwa Mwenyezi Mungu zinazotokana na "Vitendo Ovu"

  • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
    @yosephatMasanyiwa-oh1rl Місяць тому +4

    Viongozi wa dini acheni kunyamaza hadi Mbowe age ndo tusikie kauli za kulaani. Toeni tamko mapema kabla jua halijazama muwaambie serikali iache kushindana na umma

  • @GabrielJoseph-n7z
    @GabrielJoseph-n7z Місяць тому +5

    CCM sikilizeni hotuba hii nzito mjifunze hata kwa mwenda zake

  • @rithaurassa
    @rithaurassa Місяць тому +2

    Mungu awape Polsi moyo wa nyama na awaondolee moyo wa kiburi. Kuchelewa KWAKO ni mda tu wa MUNGU ulikuwa tuu MUNGU MLINDE MBOWE NA VIONGOZI WOTE UWAATAMIE USIRUHUSU LOLOTE BAYA LITOKEE .YEYOTE ANAYETAKA KUSABABISHA ACHAFUKO KWENYE MAANDAMANO YAKAWARUDIE WAO.

  • @jimmykampate78
    @jimmykampate78 Місяць тому +1

    Daah mnao coment hapa , nakumbua mkoani kunadada alipigwa lisasi akafariki waombolezaji kutoka kila pande walijaa lile eneo mkuu wa kituo maeneo yale alifika pale na akawafariji waombolezaji wakatawanyika lilikuwa jambo jema sana, tuwaombe asikali wetu wawalinde mpaka mnazi mmoja shida iko wap sauti ya mtu mmoja inaweza kuwa sauti kuu kwa hiyo niliombe jeshi la police kuilinda amani yetu wawalinde waandamanaji ili shughuli zingine ziendelee na mama samia harusu haya kwani kile chama kinaomboleza kwani sio lazima ambaye hayamusu achana nayo wakimaliza kulia tutawapa pole kwa desturi zetu na sio jambo jema kumkashfu mtu akiwa kwenye majonzi tunao kosoa tulekebishe ndimi zetu kwani tuna kesho zaidi kuliko leo yetu, niwaombe tu viongozi wetu kutumia busara kama taifa

  • @asacconlinemedia5343
    @asacconlinemedia5343 Місяць тому +2

    Haki ya Mungu nimetoa machozi. Vyombo vya, ujambazi wowote mtakao endelea kutenda dhidi raia Hawa wema, damu zao zikawe juu yenu na vizazi vyenu vyote. Nanyi Watawala wenye kiburi hukumu ya Mungu I juu yenu

  • @ThomasAlute
    @ThomasAlute Місяць тому +4

    ✌️

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange Місяць тому

    Mungu alipata kumwambia Nabii Musa kuwa "Msinililie mimi, bali Waambie WanaIsrael waendelee wasonge mbele"- Hata sasa Mungu mwenyezi awaambia CHADEMA Endelea na Songa Mbele mnalindwa na Nguvu za Mungu,kwani sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu,Mungu yu pamoja nanyi (Emmanuel)

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Місяць тому +3

    👍✌️👊.

  • @davidsilwamba2465
    @davidsilwamba2465 Місяць тому +1

    Makamanda wote kesho kwenye maeneo mbali mbali yatanzania nzima nasi tukakiwashe maana hawa mbwa wa ccm wamejazana huko Dar sasa tukikiwasha namaeneo mengine wata feli hawa mashetani watanzania.

  • @NDEWARA
    @NDEWARA Місяць тому

    Hakuna atakayekutoa roho labda wenzako wa CHADEMA. Haya maandamano lengo lake ni "Samia Must Go" na wala siyo kuomboleza. Acha kupotosha

  • @mbagalacharambe114
    @mbagalacharambe114 Місяць тому +1

    Huna maswali MAGUMU zaidi ya unafiki Tu Mzee wetu

  • @MethodJulius-fu9hf
    @MethodJulius-fu9hf Місяць тому

    Ukashangae mbona hatujawah kuskia kiongoz kutoka chama tawala katekwa??😮

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 Місяць тому +2

    Ulikula vya shetani huna cha kujiñasuwa

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 Місяць тому

    Serikali watu wamejaa machoz ni bora mngewasikiliza kuliko vita

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan Місяць тому

    HAKUNA DINI INAYOHAMASISHA UJINGA WENU HUU,

  • @salmajafari6838
    @salmajafari6838 Місяць тому +1

    WATU WOTE HAWATAKUFA KWENYE MAANDAMSNO YA AMANI, NAWAOMBEA UTUKUFU WA MUNGU UENDE PAMOJA NAO NA DAMU YA YESU, DAMU YA THAMANI NI ULINZI JUU YAO

  • @hassankidilikia5566
    @hassankidilikia5566 Місяць тому

    Together 😢to eating big fish and cry

  • @saidnyanda3494
    @saidnyanda3494 Місяць тому

    Ina maana nyie ndio mnaiamuru serikali ifanye mtakavyo ,mmmhhhh!!!!

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz Місяць тому +2

    Wanaoivuruga ,kuiharibu na kuiangamiza nchi hii ni chama tawala na viongozi walioko madarakani na sio wapinzani.Chama tawala na viongozi walioko madarakani walitakiwa wajenge mifumo imara na yenye kutenda HAKI.Sasa wao wanajenga mifumo mibovu na dhaifu yanayoruhusu wizi wa kura na kupora uchaguzi,dhuluma,wizi,ufisadi,ubadhirifu,ulaji rushwa,utekaji,uuaji,kuoneana na kutesana,ubinafsi na uroho wa madaraka.Tunashauri viongozi walio madarakani wajenge mifumo imara na itakayotenda haki kwa mujibi wa katiba na sheria za nchi.

    • @aminimushi6945
      @aminimushi6945 Місяць тому +1

      Tatizo la waliopo madarakani wanaubiri Amani Amani bila kujua Haki kwanza ndiyo Amani,kwa hali hii,huenda wanalijua hili,ila wanafanya makusudi,na kama ni makusudi wasubiri adhabu ya Mungu,tena si muda mrefu wataona cha moto.Mungu tunusuru Eatanzania hali si shwari.

  • @godfreydavid6996
    @godfreydavid6996 Місяць тому +3

    Roho inauma sana,ni nani amelifikisha Taifa letu hapa?😢

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku Місяць тому

    Polisi msiuwe.msiwe sababu ya kuliangamiza taifa.

  • @ThomasMselle-rw5ej
    @ThomasMselle-rw5ej Місяць тому

    Hivi huyu raisi hana washauri wazee wenye hekima angalau kidunchu. Huyu mama atafaidi nini! Mbona hayo maandamano ni kitu kidogo yeye anatengeneza vigisu mlundiko wa mauti na visasi vya MUNGU😢

  • @tobiaspaul9203
    @tobiaspaul9203 Місяць тому

    Tutafanya hivyo tumechoka na mauaji

  • @elirehemasallu5372
    @elirehemasallu5372 Місяць тому

    Hivi nchi hii viongozi wa kiroho mnaona Nini mbele ya Taiga hili. Kweli mnapata usingizi na kuamini damu ikimwagika kesho hamtaidaiwa. Chukueni hatua nyie ni mawakili wa Bwana kaeni ktkt nchi isonge mbele.

  • @patriciamuganda4498
    @patriciamuganda4498 Місяць тому +2

    Viongozi wa dini wamekaa kimya hasa wale ambao huwa wanapewa fedha nyingi wakati wa Jubilee zao na wanazipokea. Baada ya kupokea pesa watakemea vipi? Tayari wamefungwa midomo

    • @DeogratiusAndrew-zi7zv
      @DeogratiusAndrew-zi7zv Місяць тому

      Hata kuomba hawaombi hao viongozi wananenepeana kondoo wana konda tuu

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman Місяць тому

    Police wakiwanusuru basi watakuwa wamebadilika kwasababu wapo kwa ajili ya chama kimoja

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Місяць тому

    wewe ngurumo unakula kuku wa kisasa bure huko ulaya!!halafu unwachochea watanzania walete vurugu ilikuwa amani ikivurugika wakufuate huko ubaya!!sisi watanzania hatuhitaji maandamano tunahitaji mbole tukalime tupate chakula cha familia zetu!!hakuna watu wa kutulisha Bure kama nyie mnavyolishwa huko ULAYA!!
    watanzania sisi si mbumbumbu!!

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub Місяць тому

    Ccm mkitaka hii nchi ichafuke msijaribu kudhulu hata mumoja wapo wawaanamanaji mtachafua nchi hii na ubabe wa ccm utafika mwisho

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 Місяць тому

    Nan akuombee muuaji ww? Jiombee mwenyewe unayeteka na kuua tunaokujua kuwa ww na kundi lako ndyo wauaji hata ww mwenye hiki kichaneli ni kenge tu

    • @asacconlinemedia5343
      @asacconlinemedia5343 Місяць тому +1

      Mpuuzi mkubwa Sana wewe. Huo upumbavu wenu sasa unaenda kukoma.

    • @alexkatabi2951
      @alexkatabi2951 Місяць тому

      Unakereka na maneno au sauti?au ujumbe?usitumike

    • @makobamasawemangu4122
      @makobamasawemangu4122 Місяць тому +1

      Kama Mbowe ni muuwaji si akamatwe ili huu utekaji ukome au yeye yuko juu ya sheria acha ujinga ndg yangu hata Kama wew ni ccm uchawa umezidi

    • @EliyaPaulo-uf6hh
      @EliyaPaulo-uf6hh Місяць тому

      Mm mwenyewe nakujua vizuri Sana Pimbi we,hakuna alikualika umuombe tupo tutakae muombea na tunamuombea Kila leo

    • @estambuya3901
      @estambuya3901 Місяць тому

      Acha upumbavu wewe.

  • @walidmgonja3644
    @walidmgonja3644 Місяць тому

    Ngurumo mtaalam wa fitina na uchochezi

  • @aediaygo8546
    @aediaygo8546 Місяць тому +1

    Acha bwembwe hasira Za mkizi kulipiga Meli kichwa matokeo katumbukia melini nakuwa kitoweo njoo uandamane😅

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 Місяць тому +3

      Wewe kaa na mumeo, sisi wanaume tunaandamana

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 Місяць тому +2

      Hii shuhuli haikuhusu, hii ni shuhuli ya wanaume, wewe mtoto wa kike kiwete haikuhusu

    • @BarakaGabriel-f1b
      @BarakaGabriel-f1b Місяць тому

      ​Wapi kasema Kikwete hapo kasema wewe kiwete kaandika kaa na mume wako mtoto wa kike au hujuwi kusoma vizuri

    • @Robust78
      @Robust78 Місяць тому

      ​@@aediaygo8546soma vizuri kaandika kiwete siyo Kikwete.

    • @NuruLutembeja-h1r
      @NuruLutembeja-h1r Місяць тому +1

      Siku ukijitambua,utaelewa mbivu na mbinchi.

  • @why-ir8zl
    @why-ir8zl Місяць тому

    Kafa baba wa taifa ije kuwa wewe

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 Місяць тому

    Kwa ninavyo ijua Serikali kesho umeme na network hakuna Dar, Sasa nyinyi endeleeni tu kujadiliana kuuweka msongamano barabarani 😢

  • @pastorjully3657
    @pastorjully3657 Місяць тому

    Acha kuvuruga Amani ya Tanzania

    • @NuruLutembeja-h1r
      @NuruLutembeja-h1r Місяць тому +3

      Nani anavuruga amani ya nchi?

    • @pastorbarakangata606
      @pastorbarakangata606 Місяць тому +2

      hujui wewe hata nini maana ya amani

    • @NuruLutembeja-h1r
      @NuruLutembeja-h1r Місяць тому

      @@pastorbarakangata606 Tueleze wewe maana ya amani.

    • @alexkatabi2951
      @alexkatabi2951 Місяць тому +1

      Shida yako Iko wapi kufuatilia media ya wenzako?Wacha wenzako wahabarishwe

    • @josephwilliammnyune5464
      @josephwilliammnyune5464 Місяць тому +2

      Bila haki, hakuna amani.
      Watu wanauwawa, wanatekwa lakini kuna amani. Ni kweli? Au kwa sababu wewe hujaguswa?

  • @PaulEdward-m2c
    @PaulEdward-m2c Місяць тому

    Kwa watu ambao tunafikilia kwa undani tunawaza baada ya maandamano nininkitafuaata
    Je waliokufa watafufuka
    Je vipi kuhusu familia zao watoto wao watapata chochote baada ya maandamano
    HAWA WANASIASI NI KUWA NAO MAKINI WASIJE WAKATUMIA VIBAYA SIASA ZAO

    • @najimsuleiman3690
      @najimsuleiman3690 Місяць тому +1

      Itasaidia waliyo hai wasiendelee kuuwawa!!!
      Lahisi sana kwa wenye ufahamu wa juu.

    • @PaulEdward-m2c
      @PaulEdward-m2c Місяць тому

      Nop nadhani tunaongozwa na viongozi wasio na ufahamu na hekima ni viongozi wenye matamanio na madaraka, ukiwa na tamaa ya madaraka lolote unaweza kufanya.
      Mbowe ni kiongozi lakini anaongoza kwa mazoea sisi si wale mliotudanganya mwaka 2015 mkamtoa Dr silaa mkamuweka lowasa hii ilitupotezea chama makini na kuwa chama cha wasema UONGO.
      KWA SASA TUMEKUWA WAFA MAJI TUNATAPATAPA, TUNATAFUTA SKENDO ZA KUINGIA KWENYE SIASA BADALA YA KUTENGENEZA MISINGI YA CHAMA

    • @JeremiahKaliwa-h1w
      @JeremiahKaliwa-h1w Місяць тому

      Tumia akili jiulize enzi za ukoloni mashujaa waliouawa kama Milambo,Mkwawa na Kinjekitile wakidai uhuru JE, Leo huioni faida baada ya kujitawala

  • @nanubob1969
    @nanubob1969 Місяць тому +2

    Mbona tukikusikilizaga mada zako ni kama unaegemea some how upande wa CDM kama si upinzani jambo ambalo litatia doa credibility yako?
    Ingelipendeza uwe purely objective!!!

    • @villanvalentine7863
      @villanvalentine7863 Місяць тому

      Huyu ni mhariri wa taarifa zote ziwe za CCM ziwe za CHADEMA ziwe za Samia ziwe za Mbowe so acha afanye kazi yake bila upendeleo, kazi yake ni kukufungua wewe macho uone wanayofanya pande zote na nia na madumuni yao then utaamua wewe uwe CHADEMA au CCM

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji Місяць тому

      HUYU NI MTOTO WA TEC ANAPIKA PROPAGANDA ANAJUWA WAGALATIA NI WEPESI KUPOTOSHWA 😢😢

    • @nanubob1969
      @nanubob1969 Місяць тому

      Najua ni mhariri wa taarifa zote! Ninachomshauri axingatie ethics za taaluma ikiwemo kuwa purely objective.

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji Місяць тому

      @@nanubob1969 NI MDINI HUYO AMEPITWA NA WAKATI WACHA ALAMBE WAZUNGU 🥶🥶🥶🥶

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru Місяць тому +1

      ​@@OmmyJames-xn7jiangekuwa mdini angejishika na JPM kwani wote ni Wakatoliki na aliikimbia nchi wakati wa JPM sasa huo udini wake uko wapi