Orodha ya wasanii kumi wenye magari ya kifahari Afrika,DIAMOND kampita BURNA BOY na WIZKID,kashika..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 678

  • @abdulhamiduhaji682
    @abdulhamiduhaji682 2 роки тому +40

    Mwamba d platnumz simba nguli wa muzik baran Africa 🌍 🔥🔥

    • @grande9657
      @grande9657 2 роки тому +1

      bure

    • @Wozeeh
      @Wozeeh Рік тому +1

      ua-cam.com/video/MjfHj_P3ppY/v-deo.html

  • @samsonmatwiga6098
    @samsonmatwiga6098 2 роки тому +53

    🦁🦁🦁🦁 kashidikana simba baba Lao umetuheshimisha 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @enocksima3621
    @enocksima3621 2 роки тому +45

    Simba Kama Simba in Africa ,,,much respect for Simba ,,,tupeperushe watanzania ,tume iweka Imani kubwa kwa Simba 🙏🙏🙏

  • @jonaskitabuzi4503
    @jonaskitabuzi4503 2 роки тому +29

    Simba to the world wcb 4 life

    • @grande9657
      @grande9657 2 роки тому

      bure kabisa

    • @shodristvtv6121
      @shodristvtv6121 2 роки тому

      @@grande9657 si babayake ni billionaire wew ndo mjinga

  • @felixmokua9469
    @felixmokua9469 2 роки тому +34

    Diamond platinumz always the best everywhere

  • @ernestmwakalambo3938
    @ernestmwakalambo3938 2 роки тому +30

    SIMBA KAMA SIMBA BG UP SANA MZEE wenye chuki naww wajinyongeeeee

  • @ndagijimanadavid2779
    @ndagijimanadavid2779 2 роки тому +10

    Simba babalaoo 🔥🔥🔥🔥🔥🤙🤙🤙🤘👊

  • @amokizzyhunter7905
    @amokizzyhunter7905 2 роки тому +4

    Yeah,,,,,simbaaaaaaaa God bless you and i proud of you....... diamond platinum unatisha mwanaume wa kwel huwa hajar juu ya wapiga kelele ww ni mwamba na ni baba yao

  • @shabanichaye8255
    @shabanichaye8255 2 роки тому +7

    Always Mnyama Simbaaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @cjireri5651
    @cjireri5651 2 роки тому +14

    Notification gang! Middle simbaaa🤝🤝🤝

  • @braysonsamson1436
    @braysonsamson1436 2 роки тому +17

    Vizuri sana

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 2 роки тому +50

    Diamond n Namba moja Davido hizo gari kazikuta tuu.. Heshima kwa Simba la Africa

    • @mwakimpalama8877
      @mwakimpalama8877 2 роки тому +2

      Amezikuta wapi ww mjinga

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 2 роки тому

      @@mwakimpalama8877 Amezkuta kwa Babaake wee nguruwe🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕😁

    • @luckyngumbi4243
      @luckyngumbi4243 2 роки тому +1

      Kumbe mmeelewa👍hapo simba nikama tu number 👆

    • @Wozeeh
      @Wozeeh Рік тому +1

      ua-cam.com/video/MjfHj_P3ppY/v-deo.html

    • @EmmanuelOdongo-mv1jk
      @EmmanuelOdongo-mv1jk 10 місяців тому

      uongo davido dangoteee amemshinda

  • @destinsamuelsteven1427
    @destinsamuelsteven1427 2 роки тому +10

    Big up ☝ Sana kwa diamond ♦

  • @fatuamjafary4959
    @fatuamjafary4959 2 роки тому +13

    Mwamba simbaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @mbomo4321
    @mbomo4321 2 роки тому +59

    Diamond has supported to be no 1 honestly coz yeye his cars alizipata kupitia mziki na usani but Davido it's money alizozipata kupitia familia na sio zote eti kimuziki so Diamond ni No 1 in African artists wenye cars zakifahali🙏🧡🥰

    • @pesmobilegamemonster2749
      @pesmobilegamemonster2749 2 роки тому +2

      Na wewe waambie wazazi wako wakupe ununue

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 2 роки тому +2

      Absolutely true

    • @grande9657
      @grande9657 2 роки тому +1

      nonsense

    • @salim02tv24
      @salim02tv24 2 роки тому +3

      @@pesmobilegamemonster2749 Kuna tofaut kati ya kurithii na kutafutaa mwenyewe

    • @Itskelvinking
      @Itskelvinking 2 роки тому +2

      @@salim02tv24 so who told you that he bought it from his family money or do you think diamond is richer Dan Davido when it comes to music money ??

  • @mudolyomanzil6502
    @mudolyomanzil6502 2 роки тому +7

    On fire 🔥🔥 middle simba#$!MB@

  • @afroboy_simba391
    @afroboy_simba391 2 роки тому +6

    Simba ni 🔥🔥🔥🔥

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 2 роки тому +39

    Diamond ndio wa kwanza SELF MADE..... Davido utajiri kaukuta kwao

    • @Userog254
      @Userog254 2 роки тому +2

      Ni kweli maana Hana anachowaza zaidi ya magari

    • @BFM_Udzungwa
      @BFM_Udzungwa 2 роки тому +1

      😂😂 Kam Kuna ukwel ndan ake

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 2 роки тому

      @king von🎶 Hata ajaze wapi ila duara linarudi kua jamaa maisha kayakuta mezani...... mtu kasomeshewa Marekani na kila kitu kaboreshewa....
      Mondi katoka vumbini hana hata kumi akawa SELF MADE millionaire na huyo wa GOLDEN SPOON amekuta life mtelezo....
      Mondi mbali na kuchukiwa na media kubwa zote kushindanishwa na wasanii kibao km Kiba, kuzushiwa anaiba kila wimbo alootoa na mengine kibao bado katoboa....
      Davido na Mondi wakitupwa msituni wajipambanie Davido kunarudi jina tu alafu Mondi anakuja hana hata tope.

    • @latifasharon8054
      @latifasharon8054 2 роки тому +1

      @king von🎶 akuna fuatilia vizuri

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 2 роки тому

      @king von🎶 Wewe huelewi mimi siongelei kajaza wapi ama anafanya nini kimziki so hata apambane vipi mtu anaeanzia 10 na anaeanzia sifuri wa sifuri ndie anae hustle kuliko wa kumi na Mondi kadhihirisha kwa kuwa namba mbili. Unafikiri hayo magari yote anayomiliki Davido hela katoa mfukoni ama atakua kapewa kama zawadi ni babake na wajomba zake mabilionea???
      Mondi kila anachokimiliki kakitoa kwenye jasho lake. Na kisa Mondi hajaenda O2 Arena haimaanishi hawezi kuenda hio ni biashara na kila kitu kina wakati wake.

  • @jacksonhafashimana3603
    @jacksonhafashimana3603 2 роки тому +18

    Simba kashindikana

  • @mohamedjumbe9309
    @mohamedjumbe9309 2 роки тому +5

    Diamond ni noma kila list yupo

  • @coachissah7703
    @coachissah7703 2 роки тому +7

    Diamond platnumz simba baba Lao africa

  • @yulestevo
    @yulestevo 2 роки тому +1

    Ngulii diamond platnumz,he's my role model,my inspiration..well deserved #simba na bado ndo tunaanza ..

  • @adamsiwakwi8691
    @adamsiwakwi8691 2 роки тому +16

    Simbaaa babalao yaani kashika number 2

  • @BFM_Udzungwa
    @BFM_Udzungwa 2 роки тому +6

    Diamond platnumz Simba chibudee Tz 🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🏆🏆🌍✈️

  • @swedisound6807
    @swedisound6807 2 роки тому +9

    Unyama mwingi sana middle 🔥🔥🔥

  • @cholokogil4041
    @cholokogil4041 2 роки тому +21

    Rolls Royce is in 👀🦁

  • @pauljohnmaivaji3850
    @pauljohnmaivaji3850 Рік тому +2

    My favorite musician

  • @AishaManfred
    @AishaManfred Місяць тому +1

    wa Tanzania WA nao mkubali simba gonga like apa👏👏👏👏

  • @footballgenius_tv8489
    @footballgenius_tv8489 2 роки тому +8

    Mond simba🦁 n 🔥
    I

  • @flavourboy2268
    @flavourboy2268 2 роки тому +2

    Middle simba to the world

  • @coolzeddy_official9216
    @coolzeddy_official9216 2 роки тому +51

    Diamond aliongea mwenyewe wasaf tv hao wanaijeria hawamzid lolote watanzania mkamcheka kwa dharau,, ona sasa leo mliobisha mnaabika

  • @BantockMasango
    @BantockMasango Рік тому +1

    Simba Simba Simba mungu akujalie mdogo wangu

  • @beatricekassim6190
    @beatricekassim6190 2 роки тому +22

    alafu kuna mpuuzi alisema diamy Rolly Royce anatembelea wapi😂😂

  • @rushurikarashid3018
    @rushurikarashid3018 2 роки тому +8

    Huyu mwamba anatuwakilisha vyema kila idara😊🔥🙌🤸

    • @Wozeeh
      @Wozeeh Рік тому

      ua-cam.com/video/MjfHj_P3ppY/v-deo.html

  • @BuraMusa
    @BuraMusa 4 місяці тому +2

    Diamond platnumz 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @omanmct135
    @omanmct135 2 роки тому +10

    Ukukwetu watumatajiri nawallah harungi aaallllahmdulilah

  • @abdallaali10
    @abdallaali10 2 роки тому +10

    Middle simba hii taarifa ishatoka mda saana wee unakuja ku2letea saiv unafel sana middle simba ila nakukubali

  • @BonMaro
    @BonMaro 2 роки тому +10

    Big up simbaa mmh Good wendo nguri wa Africa no one like but Davido ilangoja nisiseme tu maana his is Rich Lakn Simbaaa from Tandare to the world🇹🇿🙏🔥👍

  • @muwezahasani4017
    @muwezahasani4017 2 роки тому +3

    Ximbaaa 🔥🔥

  • @fanuellynashon5131
    @fanuellynashon5131 2 роки тому +4

    Simba chibu wambea wa bongo watuache 🙌🙌🙌🙌💪💪💪💪

  • @rajabuabduly468
    @rajabuabduly468 2 роки тому +5

    Simba 👏👏👏

  • @ibrahdedonny4073
    @ibrahdedonny4073 2 роки тому +10

    Mond kaupiga mwingi xana 👊👊🔥🤣

  • @VisionCreationManagementTV
    @VisionCreationManagementTV 3 дні тому

    Oyooooh ahsanteeh xanaaa mwambaaa wetuu mondiii kwaakutuwakilishaaa karibiaaa angle zotee ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉Unyamaaa xanaaa yaaaniii aiseeeh kakaka mkubwaaa 😅😅😅😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @donaldmbunda96
    @donaldmbunda96 2 роки тому +21

    Tatizo la watanzania tunaweka ushabiki mbele kuliko ukweli.chibu atawapa sana oma wanao mpinga by trump from mtwara

  • @danielwilliam5213
    @danielwilliam5213 Рік тому +2

    Simba ndio Simba 🙏🙏

  • @lewisabass
    @lewisabass 2 роки тому +20

    Always Baba Simba ❤️💯💯💯

    • @Wozeeh
      @Wozeeh Рік тому

      ua-cam.com/video/MjfHj_P3ppY/v-deo.html

  • @AMOSINYOSOLE
    @AMOSINYOSOLE 10 місяців тому

    Big my favorite artist in Africa I love u so much

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 роки тому +12

    Tunakupata vzl mzee
    Niliwaambia hawa watoto
    WakinaiGeria hawana kitu

  • @coolzeddy_official9216
    @coolzeddy_official9216 2 роки тому +49

    Diamond aliwaambia hao wasanii mnaowaona n wakubwa hawamzid pesa mkabisha saanaa sasa ona mlio bisha mnaaibika sasa,chuko zenu znawafanya mumuone diamond hana lolote,watanzania mnashndwa kuthamin cha kwenu mnakuwa na dharau sn, diamond is the best in Africa

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 2 роки тому +6

      Uhakika

    • @achawanunetv1167
      @achawanunetv1167 2 роки тому +1

      Acheni ujinga Diamond kanunuwa ma Used car sasa wao waliochambua waliziweka hizo car musamani ya new car. Sasa wenzake wao huwa wananunuwa new car

    • @youngcarlos6343
      @youngcarlos6343 2 роки тому

      @@achawanunetv1167 babako kanunua nini sasa

    • @bakarimakomola
      @bakarimakomola 2 роки тому

      @@achawanunetv1167 kwaiyo uses ina thamani zaidi kuliko new?😃😃😃😃😃 unakwama wap mzee

    • @achawanunetv1167
      @achawanunetv1167 2 роки тому

      @@bakarimakomola Aujanielewa

  • @CharlesMs25Daghaly
    @CharlesMs25Daghaly 6 місяців тому

    Hyo imekaa vzr Mana had kufikia hpo wakubal ushaur sio ivi vitoto 2000 Mana wao awaitaj Ushaur kukubal ni silaa ya Mafanikio daima waendelee kupig kaz wakikubal hta kwa Binadam wanaomzid kipato wamckiliz ❤❤❤❤ Hongera yko mtangazaj kwakutu Hbarisha vyema

  • @mozespatinam9296
    @mozespatinam9296 2 роки тому +6

    Cimbaaa hatareeee

  • @lifting599
    @lifting599 2 роки тому +28

    Kuna watu wanasema list yako ni ya uongo waambir wapost list yao ya ukwelii waache kubishana

  • @NassorSalehe-r2k
    @NassorSalehe-r2k 20 днів тому

    Yuko vizuri mungu amzidishie

  • @fidesmares9089
    @fidesmares9089 2 роки тому +3

    No 1 can be more than SIMBA

  • @zombokoyassin-li8sd
    @zombokoyassin-li8sd Рік тому +1

    Diamond hatari sana,kaka uko vizuri umetoa habari ya kweli

  • @makambosafari2746
    @makambosafari2746 2 роки тому +1

    Ndio big up brother 💪 🙏 🙌 Mungu yupo tu

  • @EsterMshana-s9s
    @EsterMshana-s9s 22 дні тому

    Diamond for the win🚗🚗😍😍😍😍😍❤

  • @mshello4231
    @mshello4231 2 роки тому +3

    Cmbaaaaaa💥💥💥💪💪💪

  • @agogomgagagigigogo2672
    @agogomgagagigigogo2672 2 роки тому +7

    Afu naww unachelewa kweli kuzipata habari ,hii niliiona wiki 2 nyuma kwa tv online moja ya huko Africa Magharibi.

  • @kabwelerywamwatumu5078
    @kabwelerywamwatumu5078 2 роки тому +8

    Alafu mnaturingishia Range zenu mlizonunua apo Kenya 🇰🇪 ata kwenye list ya wasanii kumi ampo🤣🤣🤣🥱🥱

  • @marleybodjiofficial
    @marleybodjiofficial 2 роки тому +12

    Mi nilijua tu huyu mwamba ni lazma atashika nafasi ya juu kabisa

  • @EricksibomanaEricksibomanaatgm
    @EricksibomanaEricksibomanaatgm 3 місяці тому

    Plat ❤❤❤ Simba mwenyewe

  • @official_dicksonmunga
    @official_dicksonmunga 2 роки тому +3

    Simba 🔥🔥🔥

    • @queensalome5
      @queensalome5 2 роки тому

      Wa tanzania mnajisifu sana kuwa na gari nzuri ahimahanish kitu kwani uyo diamond Ana mzidi wiz kid pesa? Acheni ku bweka

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 2 роки тому +3

    Muwakikishi wetu n mmoja hao wengine n vibaka na wachawi Mungu amuweke sana The Greatest Simba

  • @Mamahallybabahally
    @Mamahallybabahally Рік тому

    wabong a2a xan mond good❤💪👏

  • @AnnahBarel
    @AnnahBarel 11 місяців тому

    Big up my bro fanya vizuri zaid🎉🎉🎉 ukiwa bado kijana because you were born too soon my broo

  • @SamweriGabreli-dn7tj
    @SamweriGabreli-dn7tj 2 місяці тому

    Nakubari simba chukuwa ma 🎉yak

  • @JacksonBanda-is2zu
    @JacksonBanda-is2zu 7 місяців тому

    Heshima sana Simba umetuheshimisha 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇺🇦

  • @farajakilanga7334
    @farajakilanga7334 Рік тому

    hongerA Sana Tanzania one simba

  • @jameswisdom2713
    @jameswisdom2713 2 роки тому +5

    Diamond baba lao

  • @tomafrank1161
    @tomafrank1161 2 роки тому +1

    Diamond Ako mbele namukubali sana bro 👍

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 2 роки тому +6

    Niliiona kwa Wa Nigeria hii

  • @lizalex8308
    @lizalex8308 Рік тому +1

    NAMKUBALI SIMBA HAMWEZI

  • @alfredbizimana7814
    @alfredbizimana7814 2 роки тому +1

    Wambie huyo ni Simba🤟🤟🤟

  • @jumanneissakwakala1881
    @jumanneissakwakala1881 2 роки тому +2

    Mwamba Diamond katisha xn. C Tz tu! Afrika nzima. Huyu ndiye Mwamba wa Afrika.🙏🙏

  • @MariamAthman-j9x
    @MariamAthman-j9x 29 днів тому

    Simba lama Simba dangote ❤❤❤

  • @gabinuskambongo7024
    @gabinuskambongo7024 2 роки тому +3

    Aisee

  • @SADEE._
    @SADEE._ 2 роки тому +20

    Team wala panya mko wapi 😂😂 mbona hamjikusema konde is number one 😂

    • @Da_Silver
      @Da_Silver 2 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣

    • @Wozeeh
      @Wozeeh Рік тому

      Hahahaaa ua-cam.com/video/MjfHj_P3ppY/v-deo.html

  • @BuraMusa
    @BuraMusa 4 місяці тому +1

    Simmba 1

  • @mashamasha2854
    @mashamasha2854 2 роки тому +25

    ɴᴀᴍᴋᴜʙᴀʟ ᴅɪᴀᴍᴏɴᴅ 💎🔥🔥ʏᴜᴘᴏ, ᴀʟɪᴋᴜᴡᴇᴘᴏ ɴᴀ ᴀᴛᴀᴋᴜᴡᴇᴘᴏ ʟᴏᴠᴇ ᴜ ғᴏʀᴇᴠᴇʀ💞🙏🏻

  • @ImaniMsafi
    @ImaniMsafi 7 місяців тому

    Diamond platnumz is the best artist of Africa

  • @juvenarypaschal9991
    @juvenarypaschal9991 2 роки тому

    Mtanzania mond amepammbana Mungu amzidishie atachukua nafasi ya 1

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 8 місяців тому

    Nabii Kwao Hakubaliki
    Lakini Atakulika Mungu Atakapo Mchukua Huenda Mungu Atatenda Miujiza Watyu Wamkubali Simba wa African na Kimataifa Diamond Plz
    Anatuheshimisha Wasanii wa Bongo Fleva Gari zake Zitaweza Hata Kumpokea Msanii wa Marecani ❤❤❤❤
    Hongera yake

  • @Salambabugondo
    @Salambabugondo Рік тому

    Simba noma sana!!!!!!

  • @jumasalim8881
    @jumasalim8881 2 роки тому

    Mtasema Sana lakn simba mungu kampa

  • @reganclarence4657
    @reganclarence4657 2 роки тому +1

    Mwamba.kakomesha...platnumz soon hatakuwa namba moja....inshalllah

  • @PacifiqueDaliso
    @PacifiqueDaliso 10 днів тому

    Diamond 👊👊👊💪❤❤

  • @LastBorn-c1x
    @LastBorn-c1x Рік тому

    More fire DAVIDO

  • @sammsacky4781
    @sammsacky4781 2 роки тому

    Kaka mkubwaa umetisha d simbaa no moja

  • @tajirihalisi1092
    @tajirihalisi1092 2 роки тому +1

    Lion oneeee than nigeria artist SIMBA

  • @amirysub7144
    @amirysub7144 2 роки тому +1

    Naile ya wasanii wanaoongoza africa 10 best artist hujatuletea naimetoka

  • @bercatebalvin4344
    @bercatebalvin4344 2 роки тому +1

    Always baba simba💪💪💪

  • @mashoplacky5582
    @mashoplacky5582 2 роки тому

    More Success on Diamond Simba

  • @fofanerap5324
    @fofanerap5324 2 роки тому

    Wongo sana ...Fally ana tembeleya benz maybash ya 450000$...kabla ku pisti fanya kwanza utafiti

  • @dogbydangotebabalao7908
    @dogbydangotebabalao7908 2 роки тому +2

    ✌️🙌🙌 ahipingiki

  • @TulisingiNkinda
    @TulisingiNkinda Рік тому

    Mwamba anatikisa mond❤

  • @OscarDeodatus
    @OscarDeodatus Рік тому

    Kwakweli jamaa angu diamond africa anasumbua sanaa nampa 🎤🎤💪💪maishaa malefu kwakweli anapambana

  • @vumbakingvumbaking9571
    @vumbakingvumbaking9571 2 роки тому +7

    🤴🦁🏆

  • @kajontegashiko
    @kajontegashiko Рік тому +1

    Hiyo nayo krg ananunua gari zao zote wapi like za Kenya bana

  • @dargfurnituretz4178
    @dargfurnituretz4178 2 роки тому +1

    Wanao Pinga wapinge to 🦁🦁 Simba kama Simba 🦁