@@tatuamidu40 kwan Qaswida na nyimbo zimetofautiyan nn Qaswida inaara ya muziki na nyimbo zinaara ya muziki kwa hiyo hukumu kiislam Qaswida ni mziki tusihalalishe vitu ambavyo havijahalaliswa ila nashiid utenzi zina ara ya shairy ni halali Allah atusamehe tuu ss wajawake sii wakamilifu ila pia Qur'an inasema tukawaulizewanao juwa tuliwa ss hatujuw pia tunapaswa kukumbushan yaliyoamrishwa na kukatazwa ss watu tukikosey tukilinganiwa kukumbushwa tusiwe wabishi adhabu za kabri ni kali
ughti adila mungu akuweke swaut nzur sn mashaallah. wallah nalala.
Hongera ukhuti Adyla Merci beaucoup Adyla très bonne voix douce .
ughti adila ddooh unatisha mdogo wangu mashaallahhhhhh
Ukht adila we kungwi.ukija olew huna haja yakufunzw maan um vixur kweny kufunz.mashaalla
Pambe yuhuuuuuu💃💃💃💃💃na ako kamshono chenu nimekapenda kweli jmn
MashaAllah nimesikiza mpka simu ikazima
Mashallah ukhty adila big up mpenz
Ukhty Adila na Khayrat Proud ov that Big up
kaz nzur hongren dad zangu
Mashallah 🥰🥰🥰hongera ukhty Adila
Mashaallha ❤❤❤❤❤❤❤
Kwa wanaomjua Zubeida mlamali, bac huyu adila n mrithi wa sauti yake.
Jaribu kulinganisha sauti zao.
Kazi imetulia sana kilichobaki ni kuyafanyia kazi tu maneno ya kungwi
Mashallah half mabrouk .ma ukhty
Mashaallah Anty Adila penda weyeee
Asalamu alaikum hashaayat hujambo mimi ni mtoto wa feruz ni kiona qasida nafurahi sana mimi aisha mashaallah hashyat👏👏👏
Mashaallah madhui mazuri hongera zako ukhut
Inshaallah mola awajaze kheriiiii
Mashaallah adilla kaz nzur
Mashallah nmeipenda iyo
Mashallah tabarakallahu kheri
Msalimie Mwanacha
Asha umenenepa my 💜❤🥰
Mashaallah maukhty jmn tumemmiss na mwanachaa
🎉
Mashalllwaaah mashalllwaah
Mashallah kwasote 😘😘😘
Tumemmis na ukhty mwanacha jmniiii
Sisters Mnajitahidi sana sauti zenu zipo sweet.
Mashallah paymbee
Mashllah nawapenda mno
MashaAllah ukhty Adila
Mhhh wajua utunzi na sauti muruaa at
Unafaa kuwa kungwi ukhty adira mashaa Allah maneno mazury ila hiyo minanda duu imehalibu ni haram
Izi ni kasida au nyimbo ndugu zangu
@@tatuamidu40 kwan Qaswida na nyimbo zimetofautiyan nn Qaswida inaara ya muziki na nyimbo zinaara ya muziki kwa hiyo hukumu kiislam Qaswida ni mziki tusihalalishe vitu ambavyo havijahalaliswa ila nashiid utenzi zina ara ya shairy ni halali Allah atusamehe tuu ss wajawake sii wakamilifu ila pia Qur'an inasema tukawaulizewanao juwa tuliwa ss hatujuw pia tunapaswa kukumbushan yaliyoamrishwa na kukatazwa ss watu tukikosey tukilinganiwa kukumbushwa tusiwe wabishi adhabu za kabri ni kali
Unajua cna mama
❤
Duuuuuuu kungwi weweee hatariiiii
Mashallah pambe
Maa shaa allah 😘
Mashaallh
Mashallah
Safi mdada
Nice
Bass haya😅
Kwenye hizo picha hapo chini ukimaliza baskeli box la 3 vipi zipo hizo cku hizi
Mwanacha tunamkbali mbna hatumuoni
Assalamu alaykum samahan nna shiddh n uongoz wa yamyam
Au naomba niulize zile ped za mwanzo cku hizi hamna
Kaswida zote
Ash
Pambeee
Jamani ukty mwanacha tummiss au ndo khaira kashachukua nafasi yake
Mwanaacha anadeka kwanza ,
@@nassibaisha1456 haha Allah amzidishie mapenzi
Amiin kheir twazidi muombea
Naon karis
Mashallah