Masha Allah ukhty shara nakupenda sana mungu akupe rizk za halali my na saut Yako pambeee hao weny majungu wanakuonea choyo wala usijal maneno Yao saw mummy
Hivi kwani Ukhty hua sifa yake ni kuimba au kufikisha ujumbe kwa njia ya kutumia yaliomo kwenye Qur-an tukufu...mm nasema mnakosea sana kumuita mtu ukhty tunakoenda tutaenda kulijibu hili
@@mcmuba5015 shekh usifany mzaha na ALLAH unaongopa ili dini ya uisilamu iadhirike WALLAH ALLAH hatosita kukufahamish QASDA na TAARABU ALLAH ATUNUSURU NA DINI YETU ILIPO FIKA HIVI SASA NI HATARI KABISA 😭😭😭
Mashallah ❤❤❤❤❤❤
Walimwengu punguzeni hasama muone dunia. Mashallah ukhty shara
Masha Allah ukhty shara nakupenda sana mungu akupe rizk za halali my na saut Yako pambeee hao weny majungu wanakuonea choyo wala usijal maneno Yao saw mummy
Nashukuru na pia nawapongeza
Ongezeni bidii muko juu sana juu kuliko.
Me nampenda cn ukhty shara
Allah akuongezee siku ya kuishi
Mashaallah inapendezaaa Allah awajalieee..😛😛
Ukhty shara mbona umeimba taarabu 😭😭😭 subhannallah
Mashallah 🇰🇪🇰🇪😘💖💖😍💖😘
Mashallah 🥰
Kwan jaman audio yake mbona hatuupati
Nzur my
Naomba nanb yko
❤❤❤
Ukhty kipenz waache waseme maneno Yao xo donda kama yatakuweka kovu dada ww mungu akuzidishie upate uzidi kuwa juuu
❤
Ja dor ça🥰🥰
Hawa ndio wanao sababisha jua kuwa Kali sana ,PUMBAVU ZENU
Mwaju twende kazii
Maneno hayoooooo.
Wanaume wacheni ujinga kwa wamama mnafanya nini sasa?
pambee🤗🤗
Hivi kwani Ukhty hua sifa yake ni kuimba au kufikisha ujumbe kwa njia ya kutumia yaliomo kwenye Qur-an tukufu...mm nasema mnakosea sana kumuita mtu ukhty tunakoenda tutaenda kulijibu hili
Ttz saut za ukumbini znakera ss zimen mice ç6
Duuh binaadam kwel wabaya😁😁😁 kuichukua taarab ukaileta huku
sasa hyo si niharus au maulid
Kwani jaman niulize iyoo kasida ndo ipi na tarabu ndo ipi mana mie naona vyote sawa
Eti Ukty 🤣🤣 Hadija kopa tu ww
Taarab live🥵
Mtihan kwakweli
🤣🤣🤣🤣🤣
@@ashakhamis9093 nishida
😅😅
Mlio weng mna coment bila kuangalia kwan hapo ameandika kaswda au kwa7bu ndio binaadam hatubebek
Nzr
Inaitwa hii
Muko vzr
Hapa hamna qasda umeimba taarab Tena umeirudia 🙄🙄🙄
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tarabu hiii
Hii nitaarabu
Saut nzury mashallh Ila hiii ni nyimbo Sabah wa pili🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ukhty shara umepata mtu wa kuufurahisha uwanja mashaallah pambeee
Nyie wenyewe wabaya na ndo Mana mnaimba tarab kwny majmvi ya qasda tafuteni majamvi ya tarab mkaimbe tarab zenu washenz nyieeee
😂😂😂😂
Au unaona je da mwaju
@@ayoubelmander9336 kweli iyo c kasida ni nyimbo tuu
Tena mwnz mwsh
@@ayoubelmander9336 ndio taarab kabisa
Ukhty 🙌
Km taarab au mm cjui
@@janethmwanda357 janeth janeth nakuita mara mbili iyo so taarab iyo kasida
@@mcmuba5015 Qaswida ya wp ni taarabu sema kapatia tumpe 7/10
@@mcmuba5015 shekh usifany mzaha na ALLAH unaongopa ili dini ya uisilamu iadhirike WALLAH ALLAH hatosita kukufahamish QASDA na TAARABU
ALLAH ATUNUSURU NA DINI YETU ILIPO FIKA HIVI SASA NI HATARI KABISA 😭😭😭
@@ataifutv3402 shekhe ushapata dhambi kusikiliza nyimbo
Mashallah❤
❤
Mlio weng mna coment bila kuangalia kwan hapo ameandika kaswda au kwa7bu ndio binaadam hatubebek